Katika kipindi cha miaka mi5 ya ndoa mke/mume halisi ndipo huanza kudhihirika na kuonekana na Tabia yake halisi. Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist & Senior Pastor WCC
Пікірлер: 7
@shabanishabani24535 жыл бұрын
Dah kiukweli una tisha Mr Msitu A.K.A Mitimingi.
@felisterzacharia17123 жыл бұрын
Daah! Kwel kabisa mm had tunagombana kuhusu majina
@trophainamagogwa95906 жыл бұрын
Mpaka hata zaidi kwa kweli mtumishi inategemeana wanandoa wenyewe wanavyochukulina
@michaelrweyemamu10683 жыл бұрын
Great message
@juvetv2296 жыл бұрын
NI UKWELI KABISA
@vivianvictor50696 жыл бұрын
Mwaka wa 1 unasave daring Hahaha Baada ya miaka 5 eti baba stella