Mwanamke anahitaji mume atakayemuonesha kumjali kwa kumuonesha security na kumdefend!.
Пікірлер: 63
@yoseamliga14232 жыл бұрын
Dr. Mitimingi was a very potential teacher. Although he is no longer with us, he is still teaching!
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Mungu awasaidie Wanaume kwa kweli,Tuwaombee saana na tuwasamehe saana tu
@kelvinnzilano61534 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu. Hakika mafundisho yako yataishi miongoni mwa watanzania.
@yohanaprosperitydaddys98714 жыл бұрын
Asante baba asante baba asante baba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂hah atar sana
@lindajohn21564 жыл бұрын
Asante Baba ubarikiwe saaaaaana
@t7zkc5tpxgim284 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@Justsimplystarlight4 жыл бұрын
Mungu atusaidie.
@jenifamtima93253 жыл бұрын
Da! Mungu kumchukuwa uyu baba jamani tumemic madini yako baadhi ya wanaume ni shidaaaa!
@judithlukindo73334 жыл бұрын
Mungu atupe upendo wa dhati
@belinamartin97154 жыл бұрын
Me napenda sana kudeka, nikimpata mwanaume wakumdekea hakika nitafurahi sana ktk maisha yng.
@SaikoMsongo4 жыл бұрын
Utakuja ulie Sana
@madalejoseph44334 жыл бұрын
Njoo huku Belina
@adammsuka2144 жыл бұрын
Mh
@husseinhassan42414 жыл бұрын
Belina Martin tatizo sio kudeka jeee wakati unadeka umemtengenezea mazingira gani yayeye akupende zaidi
@johnmsokulu77264 жыл бұрын
Njoo huku
@judithnjunwa66684 жыл бұрын
hahahah ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ati hivyohivyo tu,,jamani kudeka raha ila upate wa kumdekea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,mume muda wote busy ee MUNGU TUSAIDIE
@lindajohn21564 жыл бұрын
Wengine wanaishi kwa kuiga wengine ndio maana
@lovelynurukeil63594 жыл бұрын
Ubarikiwe baba yani waume wengine
@anitucciamuvurwaneza85794 жыл бұрын
Poleni Tanzania tume poteza ila Mungu njo Amechukua safari njema
@adelinajerome33564 жыл бұрын
Kifo nikitukibaya remi alisema kifo hakana huruma kimeua wapendwa wetu wengi mno
@rehemamwachalula29154 жыл бұрын
haya wanaume wengi hawayajui kabisa ni kweli kabisa
@lindaelidoriye52104 жыл бұрын
Pumzika kwa amani pastor
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Na wanaume wabovu mno hapo umesema ukweli kabisa hatuwatukani wanaume
@jenipherkavusha5064 жыл бұрын
Nkuelewa vzr mchungaji
@janiffermueni41143 жыл бұрын
Ooh my GOD u mean he is dead navile amenibariki
@janetlanoi97972 жыл бұрын
Hata mm siamini, i just discovered now
@violetrwechungura36573 жыл бұрын
Point👍
@nyambirotrueinformation75003 жыл бұрын
Mitiming kama nakuona Baba
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Habari gani baba mchungaji . Kweli kabisa
@paulsamuel39764 жыл бұрын
Asante Baba
@queentheo82154 жыл бұрын
Ni shidaaaaa... Mungu atusaidie wanawake.
@janemsigwa73433 жыл бұрын
Daaaa sitaki kuamini kama hatupo nawe tena very saad
@segolinetingo29164 жыл бұрын
Wengine hata umpe VP upendo unaumizwa tu...Sina hamu na hao...
@amanimanase57943 жыл бұрын
Real
@annasumaili96344 жыл бұрын
R.I.P
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Asante sana mchungaji. Mungu hakubariki sana kwa mafundisho yako . ❤❤
@saidichotimbao75413 жыл бұрын
Dah inauma
@nebethymayunga99013 жыл бұрын
Dad!! Hakika pengo lako halitazibika kamwee😭😭😤😤 Rest easy dad!!
@mutwalesylvie74433 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hajirmigeyo27214 жыл бұрын
Mung utamjibu nn pastor way wanataka roh zao zipone sip kufundisha uzinzi nynyi mnavunja ndoa za watu eti mnafundisha mambo ya ndoa mshindwe na mlegee kwa Huna la Yesu
@elizabethmassawe54484 жыл бұрын
Hapo umeandika nn hajir?
@fmizzojunior54123 жыл бұрын
Pumbav sana ww hujitambui! Hapo wapi amefundisha uzinzi
@amanimanase57943 жыл бұрын
Hawathaminiki hawa mzee wangu hata umpende vip IPO siku atakufanyia unyama tu
@filomenabarongo6934 жыл бұрын
R.I.P.
@kobelochamanga97573 жыл бұрын
Mungu iyari yake
@josephykifuya82172 ай бұрын
Ndio maana yake
@fatumabiliel99053 жыл бұрын
Jaman
@akistare48604 жыл бұрын
Safi xna
@rehemarwanda60393 жыл бұрын
RIP dad...😭
@johnemmanuel42894 жыл бұрын
Duu kweli baba
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Unakwenda chuo miezi 6 tu unarudi Likizo tayari ameshahamisha akili kwa msichana wa Kazi ,Na huku amekuruhusu nenda nitavumilia
@madalejoseph44334 жыл бұрын
Ha ha haaaa et miez 6
@segolinetingo29164 жыл бұрын
Wengine unasimama kwa zamu yako ni bure
@fedinantmlwilo52403 жыл бұрын
Pamoja
@elinasanyambonyambo32704 жыл бұрын
K
@jenipherkavusha5064 жыл бұрын
Hahahaha
@rehemalugoma56384 жыл бұрын
Kweli baba
@brunomhume7404 жыл бұрын
Kila mmoja akiwajibika kwa upande wake ndoa zitakuwa salama!