Asante Yesu kutupa watumishi wazur kwa ajili ya maisha Yetu.
@kakonyaradjabu80665 жыл бұрын
Ok Mchungaji mungu akubariki sana Jamy inailimika sana.
@pascalanselmi74385 жыл бұрын
oooh! i love u pastor,teacher and Dr.Mitimingi
@happyneskanyenye37605 жыл бұрын
Unasema kweli Barikiwa mtumishi shayapitia hayo
@judithmbwilo74706 жыл бұрын
Mwalimu barikiwa sana, kwa kweli masomo yako yanatujenga sana!
@barakalaiser37656 жыл бұрын
Be blessed pastor
@rahimaaaaa86992 жыл бұрын
Habhabhabha ha corona
@fadhilisanga9116 жыл бұрын
Mungu atusaidie ss wanaume
@dinakidai41186 жыл бұрын
kweli kabisaaaa,chabandi William. chabandi ujumbe huo jifunze hapa
@scholarfrank51806 жыл бұрын
kwl kbs ubarikiwe
@focustz44086 жыл бұрын
kweli pesa inaweza bomoa kila kitu kuwenye ndoa au mahusiano ata kuwenye family
@samboreeadam42734 жыл бұрын
R.I.P brother mitimingi
@selemaniyunusi26916 жыл бұрын
Amen
@hurumambatuka59596 жыл бұрын
Kweli baba umeongea ukweli ujakoseya
@sophiepeter18406 жыл бұрын
Nice
@wakilongokahugusi65286 жыл бұрын
Endelea kutukokota masikio wanaume.Utafiti waonyesha kuwa wanaume tuko chanjo cha uvunjikaji wa ndoa kwa asilimia nyingi tu.
@hellenogochi29085 жыл бұрын
👍
@amenahimbwaga46966 жыл бұрын
Mafundisho mema,walai tunapata taabu Sana..
@jolieingabire19926 жыл бұрын
Nimeyapitiya ayo Pasta 😢😢😢
@catherinejullu66155 жыл бұрын
Aisee nikweli kabisa mwanaume Akiwa na hela upendo nyumbani haupo na hakushilikishi kwachocho akaunt zake hakwambii anasema nikwambiye anataka nini kwenye akaunt yangu