Tuombe Amani - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).

  Рет қаралды 277,124

Mch. Abiud Misholi

Mch. Abiud Misholi

Күн бұрын

Watch,hear the Message and Share "TUOMBE AMANI" (Gospel Song).
-Umhimu wa Kuitunza amani ya Taifa kwa njia ya kutenda haki.
-Kuhakikisha Amani ya Mungu inadumu nyakati zote.
-Kila mmoja anao wajibu kwa sehemu yake katika kuhakikisha anatenda haki na kudumisha Amani.
#AbiudMisholi#TuombeAmani#
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - www.boomplaymu...
Spotify - open.spotify.c...
Hungama -
www.hungama.com...
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com

Пікірлер: 235
@KennedyLudovicky
@KennedyLudovicky 5 ай бұрын
Kama umekuja kutizama wimbo uu baada ya mambo yanayotokea chini Kwa sasa like hapa, kisha tuendelee kuiombea Amani Nchi yetu 😢😢
@perfectchoiceenterprises
@perfectchoiceenterprises 5 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@UpendoChukilizo
@UpendoChukilizo 5 ай бұрын
Yaaan
@josephhanda3513
@josephhanda3513 5 ай бұрын
yeah
@ArafaKalinga
@ArafaKalinga 4 ай бұрын
😢😢 hii nchi
@StuartiMzava
@StuartiMzava 4 ай бұрын
@@ArafaKalinga huyu Jamaa Kama alitabiri Kitu hivo
@kilimochamahindi6516
@kilimochamahindi6516 2 күн бұрын
Kama umeutafuta wimbo huu kwa mara ingine weka like hapo
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 ай бұрын
Kama na wewe umekuja huku mwezi huu like
@OBAMAMMAREKANIMASSAWE
@OBAMAMMAREKANIMASSAWE 4 ай бұрын
Kama ume kuja hapa tarehe 12 MWEZI 9 2024 na ume guswa na uhu wimbo na ulikwepo hujui kama Kuna nyimbo kama ihi tz gonga like 😢
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 4 ай бұрын
Mi nimekuja tarehe 14.09.2024. Wimbo umebena jumbe mzito na haujachuja
@JosephNgussa-r9r
@JosephNgussa-r9r 3 ай бұрын
Mungu atujalie tudumu na amani yetu
@rayjay7017
@rayjay7017 Жыл бұрын
Wangapi wamekuja hapa baada ya kupata chorus pale TikTok
@Neema-yp3ku
@Neema-yp3ku Жыл бұрын
ex wako akiwa dj au
@danielmusyokadanielmusyoka9642
@danielmusyokadanielmusyoka9642 Жыл бұрын
😂😂
@officialmaufundi5069
@officialmaufundi5069 6 ай бұрын
😂😂😂kenge wewe 😊
@yasinihamisi6397
@yasinihamisi6397 5 ай бұрын
}⁰😊😊😊q​@@danielmusyokadanielmusyoka9642
@frankfidelisngowi5740
@frankfidelisngowi5740 5 ай бұрын
😂😂
@JulianaNduhiye-rm3jt
@JulianaNduhiye-rm3jt 10 ай бұрын
Wimbo mzuri,wakati wa Magufuli ulikuwa bado kipindi hicho,Bora Magufuli alimlilia Mungu,Pumzika kwa amani John Magufuli😢😢
@GaudenceUrassa
@GaudenceUrassa 19 күн бұрын
Kama ukiusikiliza huu wimbo picha ya magufuli inakujia kichwani gonga like hapa
@noelaedward3503
@noelaedward3503 2 жыл бұрын
Bora hayati magufuli
@malcomg1004
@malcomg1004 Жыл бұрын
Huu wimbo ukiusikilza indeep afu ukamkumbuka Magufuli unaweza ukalia😢
@IssaMgeta-ej6ue
@IssaMgeta-ej6ue 4 ай бұрын
Niwaone Waliyo kuja kutizama wimbo uuhu Baada Ya Mambo yanayo endelea inchini tujuane...❤
@abeidsabuni5026
@abeidsabuni5026 4 ай бұрын
☝️
@CastorySangee
@CastorySangee 4 ай бұрын
Ambao wameguswa na wimbo huu tuktane hapa❤
@LITTACUEA
@LITTACUEA 5 ай бұрын
Tunaomba Mungu atujalie Jasiri kama Mzee Magu .
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 2 жыл бұрын
😭😭😭 wimbo super ila kwa sasa Bora hayati Magufuli
@malcomg1004
@malcomg1004 Жыл бұрын
Hakika
@wahisiatv2871
@wahisiatv2871 3 ай бұрын
KAMA umekuja kuangalia tena tarehe 26/10/2024 tunaelekea uchaguzi like hapa
@OMARIPaul-l1m
@OMARIPaul-l1m 3 ай бұрын
aah pamoja sana
@neemasamwel9545
@neemasamwel9545 5 ай бұрын
Aiseee huyu baba aliona ya mbeleni au aisee nimejikuta nalia
@MashaSayi-ui7dz
@MashaSayi-ui7dz Жыл бұрын
MUNGU alilibariki TANZANIA yetu kupitia wimbo huu. Ahsante
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 20 күн бұрын
Wimbo mzuri sana barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Mungu akupe mafunuo mengine zaidi utuletee ujumbe wa kulilinda Taifa letu
@PendoMawanga-o4u
@PendoMawanga-o4u 20 сағат бұрын
Bora hayat magufuli ni kweli yaani mungu atupe kiongoz bor
@euginemudaki4805
@euginemudaki4805 Жыл бұрын
Ni Antony Mejah Kutoto kutoka Kenya, napenda wimbo huo, Nina imani Mwenyezi Mungu atanijalia kuwa Rais wa Kenya siku moja. Amina.
@danielmusyokadanielmusyoka9642
@danielmusyokadanielmusyoka9642 Жыл бұрын
Wacha mchezo wewe😂
@andrewmukuru6357
@andrewmukuru6357 4 ай бұрын
Maombi kwa inchi ya Jamhuri ya Kenya!!!!!!!
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Kwa kweli, Bora hayati nyerere, na Bora hayati magufuli, MUNGU atupe replace ment
@jamessamwel9456
@jamessamwel9456 4 ай бұрын
Hajamtaja dictator uchwara wako hapa😂
@bundaman8542
@bundaman8542 4 ай бұрын
Sisi tumeutizama miaka mingi. Na wengine wanautafsiri vinginevyo. Mchungaji Abiudi Misholi ni mtu wa haki maana historia ya maisha yake
@sarahsulle9722
@sarahsulle9722 2 жыл бұрын
Tanzania yangu nakupenda sana
@elienteziryayo3767
@elienteziryayo3767 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana muwufanye cover muongeze magufuli kwajuu uyu wimbo umetoka zamani mbele magufuli atawale
@janethngowi9171
@janethngowi9171 2 ай бұрын
Naenda kupiga kura muda si mrefu kumchagua mwenyekiti wangu wa mtaa Mungu tunaomba amani
@BarugizeJustine
@BarugizeJustine Жыл бұрын
Dah😢😢😢 tutakukumbuka sana rais wetu hayat jpm mungu azidi kukupumzisha salama..
@SelinaHankungwe
@SelinaHankungwe 2 ай бұрын
Barikiwa huduma ya kimungu
@JescawaziriMwaikugile-n5c
@JescawaziriMwaikugile-n5c 3 ай бұрын
Ngoka like kama unaskiliza hii nyimbo 2024
@GodwinMgongo-xi2bm
@GodwinMgongo-xi2bm Жыл бұрын
Umetisha Sana mcha mungu ubalikiwe
@VioletIndusa
@VioletIndusa 3 күн бұрын
Hi wimbo manayakendiohi sasawati paster tuombee
@stewardjohans9989
@stewardjohans9989 Жыл бұрын
Bora magufuli piaa ❤ much love
@marselinadena7618
@marselinadena7618 2 ай бұрын
Mchungaji Abihudi Misholi, mwenye mahubiri magumu yanachoma, usipofanya shingo ngumu ukimsikiliza na kuyatendea kazi mbinguni unaingia, asante pastor
@veronicambithe5640
@veronicambithe5640 2 жыл бұрын
Wakenya nasi tuombe Mungu atupe kiongozi aliyebora, mwenye Hekima, Busara na atakaye linda Amani kwa nguvu zake zote. Hallelujah.. Amina.
@jimohkirax919
@jimohkirax919 2 жыл бұрын
It's true
@jacklineurmi2564
@jacklineurmi2564 2 жыл бұрын
Amina
@zachariadoro1073
@zachariadoro1073 Жыл бұрын
Sisi tunapenda maandamano mpaka saa nane ya usiku
@damariskimeu4930
@damariskimeu4930 4 ай бұрын
All the way from tiktok ❤❤❤❤
@EsterMapunda-s1l
@EsterMapunda-s1l Ай бұрын
Asante mtumishi tuzidi kuiombea nch yetu aman na viongoz wetu
@FasaliMwenzegule-d5j
@FasaliMwenzegule-d5j 6 күн бұрын
Very good song, melody, message, vocals... 👍
@simonpetro3896
@simonpetro3896 4 ай бұрын
Leo hii tarhe 24/09/2024 nimekuja kuisikiliza huu wimbo..dah...😢😢😢😢
@justinemyovela3353
@justinemyovela3353 4 ай бұрын
You're not alone
@sarahfisoo5689
@sarahfisoo5689 4 ай бұрын
Huu wimbo umenitoa tiktok hakika kuna unabii unaenda kutimia kutoka katik wimbo huu tunakilasababu ya kuiom bea hili taifa nchi imevurugika sahiv,,,, 😢😢😢😢😢😢
@abeidsabuni5026
@abeidsabuni5026 4 ай бұрын
Wazi kabsa
@tadeibaraka6201
@tadeibaraka6201 4 ай бұрын
Kwann walikutoa ndgu
@HannahElykana-k2z
@HannahElykana-k2z 3 ай бұрын
Mch.Abihud Mungu akujarie sana nyimbo zako zina ujumbe mzr
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 5 ай бұрын
Kweli roho mtakatifu anajuwa mambo ya unabii huu wimbo ulitabili mambo yanayoonekana sasa
@MosesSimusokwe-r5z
@MosesSimusokwe-r5z 21 күн бұрын
Mungu Akubaliki sana baba yangu wa kiroho🙏
@jumasaimon8647
@jumasaimon8647 2 жыл бұрын
Ubarikiwe uzidi sana sana katika huduma mwana wa misholi
@bundaman8542
@bundaman8542 4 ай бұрын
Wenzako tuliona na tunaufahamu miaka mingi. Tunamfahamu Mch. Abiudi Misholi mtu na historia yake ya wokovu. Hana mrengo wowote ni mtu wa maana sana . Anaimba kuwekeza imani yake mbinguni na siyo duniani
@mossesramadhani501
@mossesramadhani501 Жыл бұрын
Bora magu
@LITTACUEA
@LITTACUEA 5 ай бұрын
Kweli bora pia Baba Magufuli
@AnisiaKamala-nq1yk
@AnisiaKamala-nq1yk Жыл бұрын
Mungu ibark Tanzania ata inch zingine🙏🙏🙏😁
@abeidsabuni5026
@abeidsabuni5026 4 ай бұрын
Hakika la msingi tumuombe Mungu atupe amani.... Tuchague amani Kwa maana ndio msingi wa maisha yetu.... Japo mambo hayapo sawa!!!!!!
@PaulOrenge-eo4hb
@PaulOrenge-eo4hb 5 ай бұрын
Wamama wanamlilia Mama Samia Suluhu Hasan,Bora hayati Nyerere,,Bora mheshimiwa Mwinyi,Bora Mheshimiwa Mkapa watamlillia Mungu.😢😢😢😢Majirani wetu Kutoka Kenya Amkeni wacheni Kutishwa Kenya 🇰🇪 yawahimiza
@FloraRwiza
@FloraRwiza 2 ай бұрын
Kama na Wewe umesikia wibo hu na ujaja uku kama Mimi like kwangu na comment
@estherkikore
@estherkikore 2 ай бұрын
magufuri tumekukmbuka san maan mauaj yamekuwa menge 😭😭😭😭😭
@ThomasAidanKomba
@ThomasAidanKomba 2 ай бұрын
Naomba urudiwe tena na uwe na kikwete Magufuli Samia. Wimbo huu upewe Tuzo maalum.
@FelixKiomoka
@FelixKiomoka Жыл бұрын
Bora Nyerere Bora mwinyi Bora mkapa Bora ayati magufuli😢😢😢 ao wengine wapite ivii☹️
@rahmaally9159
@rahmaally9159 6 ай бұрын
Tanzania nchi yangu 🙏tunaomba amani 🙏
@damariskimeu4930
@damariskimeu4930 4 ай бұрын
Mtukufu rais John pombe mangufuli continue Resting In Peace 😢😢😢
@tadeibaraka6201
@tadeibaraka6201 4 ай бұрын
Nyimbo itaishi vizazi na vizazi😢
@EmanuelAllan
@EmanuelAllan 4 ай бұрын
HAtimae Leo tumeukumbuka huu wimbo😢😢😭😭
@GraceMandara
@GraceMandara 4 ай бұрын
Tupo tunalia sasa Samia anatunyosha 😭😭😭😭. Mungu ibariki TANZANIA mwakan kweny uchaguzi😭🙏🙏🙏🙏
@ElizabethDamiani-mp7qn
@ElizabethDamiani-mp7qn 5 ай бұрын
Huu wimbo nashindwa kupata TikTok nifanyeje
@yusuphjames-oz8mr
@yusuphjames-oz8mr 3 ай бұрын
Tafuta Kwa kutulia vdimet file
@mnyilinga
@mnyilinga 4 ай бұрын
Dah
@fabiankiio2638
@fabiankiio2638 4 ай бұрын
Am a Kenyan but I really I miss the late John pombe Mangufuli
@daudkimario
@daudkimario 3 ай бұрын
Ipo vizur
@stevenobure8241
@stevenobure8241 2 ай бұрын
2024 tujuane hapa
@RobertChengo-o2w
@RobertChengo-o2w 4 ай бұрын
Natokwa na machozi ndani yangu. Huu wimbo JAMENI
@KenyanopinionTV
@KenyanopinionTV Жыл бұрын
Too bad Tanzanians didn't see that God was warning them about Jakaya Kikwete's administration. The man obliterated Tanzania and Maghufuli tried to repair the broken nation and some itchy person had to get him out of the way. Suluhu today is no solution and Tanzania has to sing... Bora hayati nyerere, bora mweshimiwa mwinyi, bora mweshimiwa mkapa, bora mweshimiwa pombe,... Pole sana ndugu zangu watanzania. Twawapenda toka Kenya.
@jamcomeir8503
@jamcomeir8503 Жыл бұрын
We nawe pita hivi...kwani hiyo nyimbo si alikuwa anaomba kiongozi ataelinda amani au hujasikiliza ujumbe wa nyimbo....haya kuna vita imetokea kwenye utawala wa kikwete? Pambaneni na hali zenu
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 5 ай бұрын
We nae ni matako ya kuku nini,kama kuna Rais aliinua uchumi wa Tanzania ni Kikwete.Katika kipindi cha Kikwete hakukua na utekaji na wapinzani walipewa haki ya kukosoa huyo JpM kipindi chake watu wengi walipotea.
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 5 ай бұрын
We nae ni matako ya kuku nini,kama kuna Rais aliinua uchumi wa Tanzania ni Kikwete.Katika kipindi cha Kikwete hakukua na utekaji na wapinzani walipewa haki ya kukosoa huyo JpM kipindi chake watu wengi walipotea.
@theemperor8229
@theemperor8229 4 ай бұрын
​@@Baba-nm4qz Chacha wangwe unamkumbuka, David mwangosi, Dr Ulimboka, Amina Chifupa??
@bundaman8542
@bundaman8542 Ай бұрын
Acha uongo na viingereza vyako. Maisha TU magumu Wala hakuna Rais kasababisha. Fanya kazi acha kulaumu watu.
@plasmascreen2459
@plasmascreen2459 4 ай бұрын
Kama umekuja hapa kwa sababu uliona huu wimbo kauposto kigogo tujuane ❤❤❤
@morismwandogo8595
@morismwandogo8595 Жыл бұрын
This song reminds me of my late father!! 2006 as we were always listening to our small radio.
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 5 ай бұрын
Tunahiitajiiii amaniii Tz yetuu 😢😢😢😢mungu tusaidiee
@jacklineurmi2564
@jacklineurmi2564 2 жыл бұрын
Amani ipatikane kwa nchi zote
@ChristinaKiria-r2j
@ChristinaKiria-r2j 3 ай бұрын
Tujuan tuliokuj Leo hii tareh31/10/2024 kuisikilz huu wmbo, Mungu atulindee
@JustineAloyce-lu8ux
@JustineAloyce-lu8ux 4 ай бұрын
Kama upo unausikiliza huu wimbo 2024 tujuane
@RachaelNyerere-tt6qz
@RachaelNyerere-tt6qz 5 ай бұрын
😭😭😭 napenda hii wimbo sana I wish Kenya kungekuwa hivi aky tungekuwa mbali ki financial
@lubungaetienealmasi1059
@lubungaetienealmasi1059 4 ай бұрын
Huu wimbo umenigusa licha mm sio mtanzania ila nakumbuka tulipo hingia Tanzania kwakua 1966 mkapa ndo yupo ushiwani wazazi kipindi icho wanahiyombea inchi yangu ya Kongo iwe na amani kama Tanzania ili turudi nyumbani, Mungu ikumbuke RDCongo ikumbuke pua TZ pamoja na bara letu pendwa Africa leo machafuko yapo mahali pote ila tukumbuke siwezi penda nyumba ya jirani iwe na machozi na mm niwe na machozi nani atahifazi mwegine 😢😢😢😢😢😢😢
@jerbinmosha2095
@jerbinmosha2095 2 ай бұрын
Nyimbo nzur sana 2024 kwameku
@apostledr.peterkathalu4465
@apostledr.peterkathalu4465 4 ай бұрын
I like your music ministry Man of God. Great grace upon you.
@KisakaSteve
@KisakaSteve 4 ай бұрын
Ipo siku huu wimbo utaimbwa
@EbenezerMoshi-f7h
@EbenezerMoshi-f7h 4 ай бұрын
Ndo tunauimba
@MariaNsajigwa
@MariaNsajigwa 3 ай бұрын
Huu wimbo kwasasa ukisema niuweke uimbe ntapelekwa jela Mana Sasa hatujiamini
@JosephNandi-k9g
@JosephNandi-k9g 3 ай бұрын
Amina kwa wimbo wa ushauri
@veronicadaudi-f2z
@veronicadaudi-f2z 3 ай бұрын
Nahao ndio walikua viongoz wazuri baada ya hapo akaja magufuli stor ikaishia hapo ya kupata kiongoz mzur mweny kujal maslai ya taifa na cyo binafs😢😢mungu awalaze mahali pema peponi😭😭🙏
@damariskimeu4930
@damariskimeu4930 4 ай бұрын
Wow!what a nicely soloist ❤❤❤❤❤
@minaaaldo.1510
@minaaaldo.1510 5 ай бұрын
huu utabiri kabisa
@mbalilax162
@mbalilax162 4 ай бұрын
Wimbo wa maana kabisa!!....2025 gonna hit more!!
@naomikabalika876
@naomikabalika876 4 ай бұрын
EeMungu tuhurumie wa tanzania😭😭😭😭😭😭
@BarnabasiSamweli
@BarnabasiSamweli 2 ай бұрын
HUU WIMBO KAMA HUNA JICHO LA TATU UWEZI UELEWA ATA KIDOGO BALI NDIO UNABII UNATIMILIKA
@lucykimario5550
@lucykimario5550 3 ай бұрын
na kweli tunamlilia Mungu tukikumbuka ya nyuma
@emilianamtundu3426
@emilianamtundu3426 Жыл бұрын
😢😢😢 magufuli
@HannahElykana-k2z
@HannahElykana-k2z 3 ай бұрын
Mwenyez tujarie Aman nchi kote
@jenniferalfredy4316
@jenniferalfredy4316 4 ай бұрын
28/9/2024 Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🙏
@Safariwakunyumba
@Safariwakunyumba 2 ай бұрын
2024 mwezi wa 11
@ShukuAngel
@ShukuAngel 4 ай бұрын
September 2024 bora hayati magufuli ila nyimbo imeniliza😭😭😭😭😭
@paschaljohnmwaisumo6180
@paschaljohnmwaisumo6180 4 ай бұрын
😢😢😢
@MariyamSimba-ub7lz
@MariyamSimba-ub7lz 4 ай бұрын
Tunamlilia magufuli
@josephtula5525
@josephtula5525 Жыл бұрын
Na tunalia kweli maana hatuelewi nchi inaendaje kwa sasa 😢😢
@KamugishaSupe
@KamugishaSupe 4 ай бұрын
Mtumishi ulianza ukazeeka Kisha ukawa kijana
@zakayolazier1193
@zakayolazier1193 8 ай бұрын
Papa magufuli😢😢😢
@elishambise-qz1cx
@elishambise-qz1cx 11 ай бұрын
bora angekuwa rais lowasa naimani tungekuwa mbali wa tz
@Sharifiddy
@Sharifiddy 3 ай бұрын
unauma xanaaaa
@rahmaally9159
@rahmaally9159 6 ай бұрын
Bora hayati magufu 🙏
@StuartiMzava
@StuartiMzava 4 ай бұрын
Mchungaji aliona mbali sana
@januarybura3216
@januarybura3216 4 ай бұрын
Mchungaji uko wapi jamani ,???? Endelea ulipoishia ongeza chorus zaidi awamu zimeongezeka watu sahizi 😢😊😅😮😮😊😊 ubashiri waanz ,ubarikiwe mtumishi wa mungu.
@hosianamosha389
@hosianamosha389 4 ай бұрын
Mungu Tunaomba Utuvushe Watanganyika Sawa na Zaburi Ya 23
@Carolinempoyola
@Carolinempoyola 3 ай бұрын
❤❤❤
@gloryatv1779
@gloryatv1779 2 ай бұрын
2024 mwezi wa 12
@Emmanuel-b4g1n
@Emmanuel-b4g1n 6 ай бұрын
Hakika wimbo huu wani bariki,na wanihimiza kwa maombi.🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Lini Utapita kwangu  -  Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
10:20
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 2,9 МЛН
Simama Mwenyewe  -  Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
8:27
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 1 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Wanamwabudu Nani? By Pastor Faustin Munishi
6:25
Munishi TV
Рет қаралды 7 МЛН
Wewe Mungu ni wa Ajabu - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
7:19
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 974 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 117 М.
KATIKATI YA MIUNGU - Swahili Nonstop Worship by Rosemary George
58:45
Rosemary George
Рет қаралды 1 МЛН
Usifurahi Juu Yangu
6:00
dadacynthia
Рет қаралды 10 МЛН
William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}
8:50
Muhubiri Production
Рет қаралды 21 МЛН
Nimekukimbilia Wewe Bwana - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
8:27
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 808 М.