No video

MIUJIZA YA UPAKO WA (MWEZI WA UFUFUO)

  Рет қаралды 64,011

ARISE AND SHINE TANZANIA

ARISE AND SHINE TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 601
@FurahGrace
@FurahGrace 3 ай бұрын
Nataka ni zaye wa mapasa tatu waume mbili n'a musichana moka mutoto yangu apate kibali ya kuenda Ichi ya kigenyi niuzeihi nyimba nikonakaa ndani Niki uze kiraisi niuze ngari ki raison tuu yote ninao maitaji itendrke kiraisi tuu amen
@dativafreedrick9965
@dativafreedrick9965 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish Boniface kwa Kaz yako na mm naomba uniombee maombi yangu Saba niiyoweka mbele ya mazabau yako.amina
@marypaulo1363
@marypaulo1363 5 ай бұрын
Naitwa Mariam Marco paul namshuhudia mungu amenitendea mengi mweza wa 8 tulikuja kawe badaa tu ya kuganyaga mafuta nakujiungamanisha na komboa familia usiku nikiw kawe asbuh yake tukapigiw cm paka wawili wamekufa na niliandika maombi 12 mme wangu aache pombe na tayar ameacha namshukur mungu na mtoto wangu alikuwa na kifafa miaka 12 na shv anaendela vzr mungu mungu akulinde uishi miak mingi baba
@pendoernest8655
@pendoernest8655 4 жыл бұрын
Amen nimepokea kutoka Dubai nilikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi lkn kwa dk chache nagusa miguu nahisi .kitu.nilikua nimelalal ghafla nimeamka ahsante mtume Dr mwamposa barikiwa baba
@FurahGrace
@FurahGrace 3 ай бұрын
Amen naomba mume wangu apate oro ya maajabu ndani ya chimu yake yote mupaka watu wa ndunia yote wa changae ataka abarikiwe kimiujiza yani tinguba ❤
@user-sj8os4zl5l
@user-sj8os4zl5l 3 ай бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏 napokea kutoka Saudi Arabia napokea muujiza wangu kulipwa madeni yangu napokea uponyaji na ndoa yangu kulejea
@FurahGrace
@FurahGrace 3 ай бұрын
Amen naomba mume wangu apate oro ya maajabu ndani ya chimu yake yote mupaka watu wa ndunia yote wa changae ataka abarikiwe kimiujiza
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 5 ай бұрын
Uchumi ukaongezeke kila kazi iongezeke kwa kasi Amen 🙏 🙌 ❤️
@FurahGrace
@FurahGrace 3 ай бұрын
Amen naomba mume wangu apate oro ya maajabu ndani ya chimu yake yote mupaka watu wa ndunia yote wa changae ataka abarikiwe kimiujiza yani tinguba
@nikolasmndeme
@nikolasmndeme 3 ай бұрын
Naomba no pokeeupako naomba kazi nanijege nyumba yangu amina
@josephinachipa3928
@josephinachipa3928 5 ай бұрын
Napokea uponyaji wa mwanangu janeth kupata kazi nzuri kiurahisi
@Mwaminihabarugira
@Mwaminihabarugira 5 ай бұрын
Naitwa mwamini nahitaji kuombea manymbani and shine nayipendasana Asante nipo ichi ya burundi mupakan y Tanzania
@TinaJulius-in8rd
@TinaJulius-in8rd 4 ай бұрын
Naomba uniopee na mim niolewe ndio ya Baraka nipete nijilie uzao mwema mungu wangu mutumishi wa mungu atakapo omba na mim poake kwajina la yes Amina Amina nimepokea
@josephinachipa3928
@josephinachipa3928 5 ай бұрын
Napokea uponyaji wa mwili wangu na napokea mambo mazuri na mafanikio yangu Kwa jina LA yesu
@Mwaminihabarugira
@Mwaminihabarugira 5 ай бұрын
Napokea kwajina la yesu Krist niweze kubeba mimba myaka 23 nime olewa sijawahi kushika mimba ❤❤❤
@maryamjumah
@maryamjumah Ай бұрын
Naomba mchumba wangu khalid afunguliwe maisha yake na mwili wake apate kutembea vizr arudishiwe maisha yake yaloharibika na nguvu za majini
@elifarajasarwat
@elifarajasarwat 5 ай бұрын
Nataka kujifungua mipango yangu yote ya mwaka 2024,,, nifunguliwe kiafya. Kiuchumi na kifamilia watoto wafunguliwe kiafya na kitaaluma Kwa jina la Yesu kristo
@user-eb3fh7vf1h
@user-eb3fh7vf1h 4 ай бұрын
Asante Mungu naomba nipone hofu na wasiwasi naomba aman moyon nimekosea aman baba naamin katika jina lako
@mariamoneiro6927
@mariamoneiro6927 Жыл бұрын
Naomba ntume,mimi nahishi n ndoa yaa Kufugua na washawi. Ubariki. Family yangu na witoe mangojua wote kwajila lá yesu.
@rainacypriansebastian8100
@rainacypriansebastian8100 3 жыл бұрын
Nipatie Mme mwema,nishinde mitihani yangu ,nipate nafasi ya flied ,napokea naomba kufunguliwa kwa jina LA Yesu
@samwelsakaza9314
@samwelsakaza9314 3 жыл бұрын
Naomba mungu anipenguvu za kila Aina iliniweze kufanya mambo yangu kwa kurud kubwa amen
@ulumbimtemi7625
@ulumbimtemi7625 2 жыл бұрын
Navunja roho za utasa ktk uchumo wangu,roho za unyumba wangu nazivunka amina
@marypaulo1363
@marypaulo1363 5 ай бұрын
Kwa kupitia madhabahu ya inuka uangaze Leo nafunguliw biashara yangu amen
@gideonmichael8757
@gideonmichael8757 Жыл бұрын
Bwana safiwe MTUMISHI najiganisha nikiwa namanga
@IrineRingoine
@IrineRingoine Ай бұрын
Naitwa irine Paulo kutoka karatu nashkuru mungu nilikuwa na tatizo kwenye kizazi lakn baada y kuskiliza maombi haya mda huu nimeangalia nimekuta tatizo limeisha
@noellaNigaba-qg5vj
@noellaNigaba-qg5vj 6 ай бұрын
Mungu naomba ubadilishe Baba watoto wangu aweze kuaudumiya
@SleepyBallet-yp2cu
@SleepyBallet-yp2cu 5 ай бұрын
Najiungamanisha na maombi haya komboa familiy kwa jina la yesu kirsto ameeeen,
@DEVOTAMSENDO
@DEVOTAMSENDO 3 ай бұрын
Ee mwenyezi mungu niko mbele zako nakuomba unitendee muujiza nipone uvimbe kwenye mrija wauzazi nanibebe mimba nipate watoto wawili wakike na wakiume
@HagaiAron
@HagaiAron 9 ай бұрын
Naamini napokea nguvu za Mungu,kama Prophet Mwamposa mtumishi wa Mungu ulivyosema.Amen
@anchillakagombola93
@anchillakagombola93 2 жыл бұрын
Glory to God.Asante Mungu kwa baraka za kufunguliwa kiimani, kimaisha, kikazini, kiafya Na mentioned mengi kwa familia na uzao wangu.Mtume barikiwa sana na Bwana Yesu.
@Mwaminihabarugira
@Mwaminihabarugira 5 ай бұрын
Naomba uniondolee hofu kwamoyo wang yesu❤❤❤❤❤
@SADAMKUYU
@SADAMKUYU Ай бұрын
Naomba mungu anisaidie nipate Mme pia nlgunguliwe uzaz nopata families pia nifunguliwe kiuchumi
@josephinachipa3928
@josephinachipa3928 5 ай бұрын
Napokea uponyaji wa mwili wangu Kwa jina LA yesu
@MakinginhaSahani
@MakinginhaSahani 5 ай бұрын
Baba napokea neema napokea upako ninamimba ya miezi 2 inanitesa sana naumwa sana napokea uponyaji ameeee
@SofiaTabu-jp7gd
@SofiaTabu-jp7gd Ай бұрын
Sohpia swendeni nipone nauzo wangu namumewangu kikohozi nipone❤❤❤
@user-xi3kn2rf9w
@user-xi3kn2rf9w 5 ай бұрын
Mungu nakuomba nifungulie kiuchumi nakuomba mungu nikapone tumbo nakuomba mungu wadogo zangu wakabalikiwe na mama yangu akapone tumbo
@user-ee8fo8zl3k
@user-ee8fo8zl3k 4 ай бұрын
Namim apostle naomba uniombee nipo Rwanda ndoa yangu inamsukosuko sana ifunguriwe kwa jina la yesu christo
@Ashura-sr4uv
@Ashura-sr4uv 5 ай бұрын
Naomba nipate mume sahihi kwenye maisha yangu nifungulie ameeeeeen
@SofiaTabu-jp7gd
@SofiaTabu-jp7gd Ай бұрын
Amen nitapona namu.yangu nauzawo wangu
@DEVOTAMSENDO
@DEVOTAMSENDO 3 ай бұрын
Ee mwenyezi mungu naomba unisaidie mume wangu aniheshimu anijari
@maryamjumah
@maryamjumah 2 ай бұрын
Naitwa mariam naomba kufunguliwa mwili ndoa na watoto na maisha yangu
@roseboamo5777
@roseboamo5777 3 ай бұрын
❤❤nataka mungu anitendee nifanikiwe kiuchumi
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 5 ай бұрын
Mponyeshe mjukuuu wangu junior gusa kila Alison kwenye familia yangu uchumi wangu ukaongezeke wateja wa mchele wakanizidie bsriki uzao wa tumbo yangu amina ndugu zangu wakaolewe
@IMAKULATAMWENGWA
@IMAKULATAMWENGWA 6 ай бұрын
Amen ninapokea kibali cha kupona kwangu naninapokea kibali cha kurudi kwa ndoa yangu kufunguliwa 5:55 5:59
@elnasanga8607
@elnasanga8607 3 ай бұрын
Naomba mungu anidaiye nijifungue salama nakunisaidiya kutimiza yale niliyo yapa ngapa yakafanikiwe
@LovenessKileo-fc1tk
@LovenessKileo-fc1tk 4 ай бұрын
Mungu naomba unipe watoto mapacha mwaka huu na uponye Juma msunza akapoke uponyaji popote alipo mungu naomba
@rusiamboma9164
@rusiamboma9164 3 жыл бұрын
Namuchukuru mungu nirikuwa nasikiya maumivu ubavuni sayivi siyasikiyi tena naitwa rucia mboma Niko seychelles
@RoseLukandonda
@RoseLukandonda 3 ай бұрын
Naomba kupokea uponyaji, naomba kufunguliwa kila kitu kwenye maisha yangu, naomba kupokea uponyaji kwenye kizazi changu, kazin kwangu, kila njia ya mafanikio, navunja kila mikosi, laana, kupona ugonjwa, Leo napokea katika Jina Yesu Amen
@emmymwakyusa2138
@emmymwakyusa2138 2 жыл бұрын
Amen najiunganisha na madhabuu hii mdg wng afunguliwe ache ulevi anaitwa nashony
@roseboamo5777
@roseboamo5777 3 ай бұрын
Nataka mungu anitendee uponyaji wa tumbo.
@SarahSaraha-ct1cg
@SarahSaraha-ct1cg 2 ай бұрын
Ameen naomba Mungu atend mujiza kwenye ndoa
@nittysaloon2720
@nittysaloon2720 2 жыл бұрын
Naitwa Rebekah mwashambwa naomba mumuombee baba yangu anakisukali pia naomba miujija itende mungu wangu
@DEVOTAMSENDO
@DEVOTAMSENDO 3 ай бұрын
Naomba, mungu uwaepushe wanangu maradhi
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 5 ай бұрын
Naomba motor wangu Lillian kufunguliwa kupata mume kutoka kwa yesu amina
@rashidykidaude7599
@rashidykidaude7599 4 жыл бұрын
Mungu Ni Mwema Nimesikiliza Haya Maombi Leo Lakini Nimehisi Kama Kitu Kimeachia Tumboni, Asante Yesu Ubarikiwe mtumishi Wa bwana
@kashindiburimwengu3666
@kashindiburimwengu3666 2 жыл бұрын
Ninahitaji kufunguliwa maisha yangu ktk jina la yesu
@roseboamo5777
@roseboamo5777 3 ай бұрын
Namshukuru mungu pia nilmefunguliwa kiuchumi.
@jasminmashaallahjohn447
@jasminmashaallahjohn447 3 жыл бұрын
Napokea miujiza kwenye ndoa Yang,biashara ,watt Wang mama yangu ambae ni mgonjwa Mi pia ugonjwa sukari napokea uponyaji Amen
@jasminmashaallahjohn447
@jasminmashaallahjohn447 3 жыл бұрын
Amen
@Fatma-qi9yc
@Fatma-qi9yc 3 ай бұрын
Naomba maombi nipate mme mwema 🙏 amen
@Mwaminihabarugira
@Mwaminihabarugira 5 ай бұрын
Nahitaji kufunguriwa tombo rangu rauzazi niweze kubeba mimba mtume aniombee kupitia Sim yangu and shine nayipendasana Asante Samuel
@user-wn2zx4kd2r
@user-wn2zx4kd2r Ай бұрын
Nafunguliwe na mm leo hii kiuchumi biashara yangu nizidiwe nawateja amina wateja
@roseboamo5777
@roseboamo5777 3 ай бұрын
Nataka mungu anitensee niuze shamba kirahii
@SarahBilliah-sl5lz
@SarahBilliah-sl5lz 8 күн бұрын
Na mm napokea
@user-zj8hz5rv3q
@user-zj8hz5rv3q 5 ай бұрын
Mwanangu rehema afunguliwe kazi zimkimbiliye
@suzan4712
@suzan4712 6 ай бұрын
I received in the name of Jesus 🙏. I'm watching from Dubai
@marypaulo1363
@marypaulo1363 5 ай бұрын
Mungu naomba nijibiw ombi langu nimalizie kujenga kwa njia rahisi
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 5 ай бұрын
Kupitia dhabahu hii ifungue familia uchumi uzao biasshara ndugu zangu roho za kutoolewa nanafunguliwa Amina
@marypaulo1363
@marypaulo1363 5 ай бұрын
Mungu naomba maombi yangu yajibiw ndan ya mweza huu tanesco waondoe nyaya zao bila garama yeyote
@elisimalongo4965
@elisimalongo4965 2 жыл бұрын
Nataka yesu anifunguliwa kwenye uchumi wangu
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi 🙏hakika unafungua wengi hata mamaagu alinusurika na kifo iman yake ndo ilimuokoa kumbeba mafuta ya upako wakati wanasafiri walitetwa na majambazi jiani 😭😭😭lakin hawakufanikiwa nashukuru Mungu alikuwa upande wao
@josephinachipa3928
@josephinachipa3928 5 ай бұрын
Napokea uponyaji wa mwanangu kuacha bangi kiurahisi .amen
@durmoizeally875
@durmoizeally875 3 жыл бұрын
Naomba nipate kazi ameeen
@Ashura-sr4uv
@Ashura-sr4uv 5 ай бұрын
Leo nafunguliwa mm Leo napokea ameeeeeen
@queenmamy8414
@queenmamy8414 3 жыл бұрын
Baada ya haya maombi naomba mungu hanifunguwe nyota yangu ya mafanikio ingae bwana yangu shaban mmanga hanipe ela nyungi na haniudume vizuli eee mungu nisaidue Emeee
@shshsus6337
@shshsus6337 4 жыл бұрын
Napokea taarifa njema kwa mtoto wangu ramadhani amepokea furaha katika maisha yake
@dativafreedrick9965
@dativafreedrick9965 Жыл бұрын
Napokea baba ktk jina la yesu
@benwamanzimulumba8121
@benwamanzimulumba8121 3 жыл бұрын
Naomba mungu anipoye casa yadamu na sina kazi ata watoto mungu anisikiliye uruma anifunguwe ndachuudiye manguu yamungu
@noellaNigaba-qg5vj
@noellaNigaba-qg5vj 6 ай бұрын
Naomba mungu aniteteye katikanyumba ninayo ishi
@marypaulo1363
@marypaulo1363 5 ай бұрын
Mungu ataka nijibiw na tanesco mapem
@mwanaidbaraka8475
@mwanaidbaraka8475 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu kupitia mazabahu yamtume burudosa mwamposa uniponye maradhiyote yanayo nisumbua,ipepe familia yangu uwezo na mafanikio
@user-zj8hz5rv3q
@user-zj8hz5rv3q 5 ай бұрын
Mwanangu arudishiwe kazi zake apate mume mwema
@munirasaga6494
@munirasaga6494 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe.. Naitwa munira nipo Oman nimeguswa sana na maombi nilikuwa kondoo niliye potea 😭😭mchungaji Asante Sana 🙏🙏 kwakunifungua ufahamu wangu 🙏
@elibarikiwilfred939
@elibarikiwilfred939 Жыл бұрын
Naomba maombi 10 yesu nisaidie 1_ naomba nipate mchumba 2_ naomba nipone mangonjwa yanayo nisumbua 3_ naomba nimalizie nyumba yangu 4_naomba nipate hela 5_ namombea mam yangu
@elifarajasarwat
@elifarajasarwat 5 ай бұрын
Nataka kupona UTI wa mgongo leo. Kila nguvu za Giza zikome leo katika maisha yangu
@MarietaRukag-ch1vr
@MarietaRukag-ch1vr 2 ай бұрын
Amina Amina !!!!!!. Nimepokea ❤❤🎉🎉
@jobandoade4934
@jobandoade4934 3 жыл бұрын
Naimn naenda kufunguliwa maish yangu yote nanfungua vifungo vyote saba katika jina la yesu naennda kupokea miujiza na ufaulu mkubwa katika shule yangu biashara yangu Amina
@Ashura-sr4uv
@Ashura-sr4uv 5 ай бұрын
Baba Leo na mm napokea ameeeeeen
@lilywei6616
@lilywei6616 3 жыл бұрын
Mungu naomba unifunguwe vifungo vyote nilivyo tupiwa katika maisha yangu
@user-sj8os4zl5l
@user-sj8os4zl5l 3 ай бұрын
❤❤❤❤ubalikiwe baba bonecface
@user-nc4xg8yp2g
@user-nc4xg8yp2g 7 ай бұрын
naomba mungu anifungue vifungo nie namayisha mampya
@user-jz5wz3mz6h
@user-jz5wz3mz6h 5 ай бұрын
Namini mtume nami mungu atanitendea niombe
@ulumbimtemi1669
@ulumbimtemi1669 2 жыл бұрын
Asante mungu nimepata faraja sana leo amina
@maryamjumah
@maryamjumah Ай бұрын
Nimepokea uzima sahii nipo oman nilikua nabanwa na mbavu na mgongo wa chini nashukuru madhabahu ya mwamposa zimeachia
@GrolyDevid
@GrolyDevid 2 ай бұрын
Amen nimini nitafunguliwa
@WilliamKulalu
@WilliamKulalu Ай бұрын
Mimi ni wiliamu mwaluko kulalu mutumishinakuomba kwa i'mani familia yangu ikae kwenye mukono wa mungu namutumishi wa bwana kupitia maombi haya familia yangu itakaa kwenye mukono wabwana
@hildadaniel3828
@hildadaniel3828 3 жыл бұрын
Nipo india napokea upako uku nilipo katika jina la Yesu kristu Ameen
@neemarichard893
@neemarichard893 3 жыл бұрын
nipo arusha naomba niponye baba nina maambukizi ya ukwimwi naomba uniponye baba
@neemarichard893
@neemarichard893 3 жыл бұрын
naomba unisaidie baba
@dorisjohn1272
@dorisjohn1272 Ай бұрын
Mungu..nataka..nipate..kazi..kiula..hihi..Sana..kwa..jina..la..yesu
@emanuelmbughi3583
@emanuelmbughi3583 3 жыл бұрын
Amina napokea mafanikio kwa jina la yesu kupitia upako wa nabii na mtume Bobiface mwamposa
@ewadimlay2040
@ewadimlay2040 3 жыл бұрын
Amina mtumishi
@lunangatamitunda9707
@lunangatamitunda9707 3 жыл бұрын
Napokeya baba yangu
@roseboamo5777
@roseboamo5777 3 ай бұрын
Nataka mungu anitendee nilipe hela ya marejesho niliyo mkopeshea mtu flan
@zainabujumarajabujumarajab8260
@zainabujumarajabujumarajab8260 2 жыл бұрын
Nitendewe miujiza nipate wateja wengi changu kikawe changu.nipate mtu atakae niinua kiuchumi 🙏🤲
3 keys to receive HEALING from any DISEASE | APOSTLE JOSHUA SELMAN
27:05
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 35 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 2,2 МЛН
MIUJIZA YA PAPO KWA PAPO NA MTUME MWAMPOSA.
9:12
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 120 М.
MTUME MWAMPOSA ATOA SIRI YA KUKUWEZESHA UFANIKIWE KWA HARAKA
3:27
MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA. POKEA POPOTE ULIPO
12:21
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 85 М.
MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZINAZOPINGA FAMILIA .
14:05
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 30 М.
JOYJANET  - NIWEGA {OFFICIAL VIDEO}  SKIZA SMS 6983032 to TO 811
5:58
JOY JANET OFFICIAL
Рет қаралды 327 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН