Every when I listen this song I feel blessed. May the Almighty God bless all whose listen the song
@MargaretAchieng-o8i3 ай бұрын
Let's give thanks to GOD this morning
@justinemaingu14602 ай бұрын
Hakika Roho Mtakatifu shuka uje katika kazi zetu na katika familia zetu tujazwe neema zoko mioyoyoni mwetu. Leo ni Novembar 7. 2024 na pia wape heritage ya milele wote waliotangulia amina🙏
@OdiliaAliganyila8 ай бұрын
Tumuombe Mungu Roho Mtakatifu atushukie atujaze mapaji yake
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@DamarisKativa8 ай бұрын
Thanks they are blessing these songs barikiweni Sana wanakwaya🙏🙏
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@AGNESKAGEMLO8 ай бұрын
Mungu awabariki waimbaji nimebarikiwa na kazi yao
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@EdithaGama8 ай бұрын
Naomba mwanangu ajazwe roho mtakatifu🙏🙏🙏🙏
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@JulianaCelestine-o1f8 ай бұрын
Bila nguvu Yako sisi hatuna lolote. Mbarikiwe
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@ELIASRICHARD-ko9pk8 ай бұрын
Ukawashe ndani yao moto wa matendo yako🙏🙏 mkabarikiwa sana waimbaji kwa wimbo huuu 🎤🎤✍️✍️
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@TinaSulle-j5x8 ай бұрын
Mungu naomb umjaze kila mhitaji wako roh mtakatifu ndani yake🙏
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@josephthamaini80138 ай бұрын
Siku ya Leo twakumbuka pentekosti day, uje kwetu roho mtakatifu,Thanks for your souls nourishing songs. Kwaya idumu milele.
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@DeboraJanuary-lb5pj8 ай бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa sana nisiku yafuraha sana mungu wabariki
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@frankmataka71858 ай бұрын
wimbo wapentekoste waipeleka roho yako ukuburudishe asubhi njema dada Mary martin
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@FelisterFabian-qz3qq8 ай бұрын
Naomba roho mtkatifu akashushe Baraka niweze kupata kaz
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki upate haja ya moyo wako.
@selestinfrancis59047 ай бұрын
Najivunia kuwa Mkristo Mkatoliki❤❤❤, Mungu awabariki waamini wenzangu
@winniemicere94418 ай бұрын
Feeling blessed
@ElphasNyongesa-en3jg8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana kazi njema
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@GidionJoseph-g3i3 ай бұрын
Amina mungu atujaze loho mtakatifu atuongoze kwenye maisha yetu amina
@JaneAwuor-n8r8 ай бұрын
Njoo Roho mtakatifu wa Mungu kaa pamoja nasi Amina.
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@frankmataka71858 ай бұрын
kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu amina asubuhi njema mbarikiwe asubuhi ya roho mtakatifu
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@BeathaSwai8 ай бұрын
Naomba family yangu ikajzwama roho mtakatifi
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu awabariki sana.
@luciejoseph99028 ай бұрын
Nawatakia nyote sikukuu njema ya Pentecost
@ImaniKuu8 ай бұрын
Asante, na kwako pia. Mungu akubariki sana.
@LucianaPoli-ft3rg8 ай бұрын
Zienee nyoyo za waamini wako ukawashe ndani Yao moto wamapendo yako
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana. Ni furaha yetu kuona unabarikiwa na nyimbo hizi.
@SegolinaNgowi8 ай бұрын
Naomba Roho mtakatifu adumu ndani yangu
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@lucyshipande89208 ай бұрын
Hongera Vinny Mkasa kwa kupiga Kinanda vizuri.
@jojigeorige10568 ай бұрын
Heri ya sikukuu ya pentekoste....
@ImaniKuu8 ай бұрын
Asante, na kwako pia. Mungu akubariki sana.
@judithkatabaro32948 ай бұрын
Mungu awabariki mno
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@dafrosamsonge20078 ай бұрын
Nipo hapa 2024 ,Uje Roho wa Mungu❤
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@ShabanBakari-j3y8 ай бұрын
Asantee kwa sikukuu ya pentekoste
@ImaniKuu8 ай бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@miriammoraa6597 ай бұрын
Mehri i pray that through this holy songs be blessed in whatever you're doing and also have positivity.
@GbNero8 ай бұрын
Uje Roho Mtakatifu,Unishukie Na Kukaa Nami Leo Na Kwa Maisha Yangu Siku Hii Ya Pentecoste