MIZENGO PINDA : BERNARD MEMBE NI RAFIKI YANGU / ATAKUA AMECHAGUA ENEO SAHIHI ZAIDI

  Рет қаралды 99,128

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

Пікірлер: 105
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Umeongea point Mtoto wa Mkulima. Ccm imejijenga toka ngazi za chini. Magufuli hoyee
@kingmicky1002
@kingmicky1002 4 жыл бұрын
Kati ya wazee ambao hawana uchu na madaraka na Pinda ni mmoja wapo
@TENGAMSOGOYA
@TENGAMSOGOYA 4 ай бұрын
Hongeraa sanaaa mheshimiwaa upooo vizur sanaaa mungu akupeee maishaa marefu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 жыл бұрын
Safi sana waziri mstaafu.anajifanya hawajui wajumbe.ndiyo wenye ushawishi kwa wananchi.
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 4 жыл бұрын
Uko vizuri mh Mstaafu pinda hao hawana ubavu wa kupambania Na jpm
@kasimugullum5862
@kasimugullum5862 4 жыл бұрын
Wataalamu wa siasa hawatukani ovyo, safi sana mzee pinda
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Sio mshamba musiba huyu.
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 4 жыл бұрын
Mzee pinda upo sawa. Demokrasi ndio hiyo. Ni moja ya kupata umaarufu. Uliza Membe Katavi watakuambia hatumjui. Lakini Kabudi muda mfupi wengi wsnamtambua. Kama alivyo Kikwete wengi walimjua kabla na alipata kura nyingi. Lakini Membe took.as Ego which was wrong. Nakuambia Magufuli mwaka huu kura sio chini ya 80% inshallah. Tukubali Magufuli kafanya mengi na uzuri nchi imetulia.
@josehkasuru7244
@josehkasuru7244 4 жыл бұрын
Nadhani anafahamika sana huko kwao Lindi.
@saliitz5430
@saliitz5430 4 жыл бұрын
Atawalee miaka mingapi unataka
@rajabalfarazliganja397
@rajabalfarazliganja397 4 жыл бұрын
Sema Mzalendo Pinda. Sio mizengo Pinda plz.
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 4 жыл бұрын
Mzee chadema ni msingi ila wasiwasi tume ya chama kimoja ndio mnalingia ila mtatoka tu
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Safi Sana Mzee pinda, mlezi Wa chama cha mapinduzi Mkoa Wa manyara, tunaomba uwe karibu katika uchaguzi, hasa Wilaya ya Hanang, nguvu ya hela isitumike, tunahitaji mabadiliko Mkuu wetu.
@ramahamis5793
@ramahamis5793 4 жыл бұрын
Nakupend sana mjomba wangu
@abednegosimoni7716
@abednegosimoni7716 4 жыл бұрын
Wakati Mwingine Inatakiwa Tukubali Tu Hahahaha hahahaha 🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Ukikaidi Utapigwa Tu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 4 жыл бұрын
Umejibu kibusara sana mzee
@paulrhema1782
@paulrhema1782 4 жыл бұрын
Kiukweli chama kitakacho mpokea Membe kijue ANAWAPUMZIKIA TU! akishamaliza anarudi CCM!
@samuelzachariah3984
@samuelzachariah3984 4 жыл бұрын
Hilo cheko tu mzee baba inaonyesha ulivyomsikitikia kimawazo... atarudi tu nyumban 💥💥
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Kabisaa
@sudyyusuph4294
@sudyyusuph4294 4 жыл бұрын
Kaka kafukuzwa. Atarudi vipi
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Utasikia kishamfata unaona anampenda kweli wala hamsemi vibaya. SIO kina mapimbi musiba
@samuelzachariah3984
@samuelzachariah3984 4 жыл бұрын
Kwan unadhan anachokitafuta yeye si urais tu... akikosa na ACT atarudi tena tu CCM kujaribu
@danielmoses2244
@danielmoses2244 4 жыл бұрын
@@sudyyusuph4294 wengi tu *walifukuzwa uanachama* kisha *wakaomba tena na ni wana-CCM tena*
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Mkubwa dawa umelonga mswano🤝🙌
@kudrambambizi6471
@kudrambambizi6471 4 жыл бұрын
Sijaona wakupingana na Simba polini wale hzo pesa za rudhuku sio kwenda ikulu
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 3 жыл бұрын
Aje tushindane akishinda tumuibie ?au tuwaenguwe wagombea ubunge kisha ndo wameshinda.kutia mpira kwapani
@onesmomaruti5256
@onesmomaruti5256 3 жыл бұрын
Wazee wapumzike vijana hawana ajira mmekula hii nchi vya kutosha tunahitaji mabadiliko
@saralusubilo6885
@saralusubilo6885 4 жыл бұрын
Bila kuwa na tume huru ya uchaguzi upinzani no vigumu sana kushinda uchaguzi ni bora uchaguzi usifanyike mpaka ipatikane tume huru bila hivyo upinzani mnajisumbua
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 4 жыл бұрын
Sara, naomba unielimishe: TUME HURU inachaguliwa vipi, na kwa utaratibu upi? Nisaidieni wananchi kunifafanulia.
@pangarasthomas2171
@pangarasthomas2171 4 жыл бұрын
Membe na magufuli ni sawa ngumi za paka na mende ,utajua mwenyewe mende Nani ,Ila kisu na magufuli kidogo watu watasikiliza
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Mzee @Pinda Maneno mazuri sio wengine wako bias ktk kila Jambo, muda wote kuongea kwakubeza wapinzani wao. Tunajenga nyumba moja Kwann tugombanie fito? Siasa ya vyama vingi Ni kushindanisha hoja, matumizi ya nguvu hayana nafasi. Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee...
@deogratiasmassawe4543
@deogratiasmassawe4543 4 жыл бұрын
Umeonge vzr sana
@justinendizeye714
@justinendizeye714 4 жыл бұрын
Baba mkali sana kwa uzalendo wake 👌
@deogratiasmassawe4543
@deogratiasmassawe4543 4 жыл бұрын
Huo ndouanachama sasa siy kumtus memba hap hap umeonge kiutuuzm na kiakil kubwa kbc
@innojtm1861
@innojtm1861 4 жыл бұрын
well said
@mathewbahati2831
@mathewbahati2831 4 жыл бұрын
Kweli
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 4 жыл бұрын
Amesema ni rafiki yake ulitegemea ata mtusi rafiki yake? Membe ndiye alieanza maneno machafu kwa JPM.
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
Pinda hapo ndo ninapokuaminiaga sana .umenena vema mkuu.kupanga ni kuchagua
@hassansamata5995
@hassansamata5995 3 жыл бұрын
Safi mzee wewe ndio babu mwenyekujielewa
@rashidally1149
@rashidally1149 4 жыл бұрын
Nakumbuka kauli yako muheshimiwa ya ukifanya fujo wapigwe tu hakuna namna
@florafrank5069
@florafrank5069 4 жыл бұрын
Umeongea kibusala Sana pinda good
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 4 жыл бұрын
Point👍
@KhalidAli-xx4vk
@KhalidAli-xx4vk 4 жыл бұрын
Muheshimiwa mstahaf kaongea maneno machache yenye mezani
@piusnkwale
@piusnkwale 4 жыл бұрын
Hahaha mzee anacheka🤣
@ayoubsuleiman3675
@ayoubsuleiman3675 4 жыл бұрын
Yan niakili ilo tulia yn umejibu kiakili kinyama
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Wapigwe tu.
@billgussy6099
@billgussy6099 4 жыл бұрын
Ccm sikuhizi haishindi tena kwa uma mzee enzi hizo ziliisha zamaaani sikuhizi ina shinda kwa kutumia dola. Chama mlisha kiuwa zamani
@ezekieljotham4003
@ezekieljotham4003 4 жыл бұрын
Hekima hekima hekima
@Butondo
@Butondo 4 жыл бұрын
Membe mimi ningeshauri tu tumpe hata urais pale Yanga. Kwani ni aibu kushindwa na Simba kila match.
@yusuphwilliam4291
@yusuphwilliam4291 4 жыл бұрын
😅😅😅😅
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Acha uongo bwege wewe 😂😂😂😂😂 simba juzi ndo mmetufunga kabla ya hapo tumewatungua. Membe hatufai labda tumweke kwny benchi la ufundi
@Butondo
@Butondo 3 жыл бұрын
Timoth Mwakakusyu Mimi nimekuwa bwege tena. Wakati Simba ikishinda mbili sisi tunashinda moja. Huo ni ukweri. Membe ananyenzo na mpenzi wa Yanga anaweza akatusaidia
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 жыл бұрын
Ccm ushindi wao wanatumia DOLA Bashiru Ali alilieka wazi hilo
@amanijampion3045
@amanijampion3045 4 жыл бұрын
Hamna cha dola wala nini mbona panapo haki mambo yanaenda sawa. Kuna wabunge, madiwani wanashinda mbele ya dola hiyo hiyo. So tusinukuu tu propaganda za kisiasa. CCM na wenyewe watalilia humo humo kwenye sehemu walizoshindwa kwamba kuna watumishi waliwahujumu
@godfreymasele558
@godfreymasele558 4 жыл бұрын
Siku zote MTU akishindwa hakosi sababu mbowe alishinda nchi gani kama so Tz Dora Dora acheni visingizio?? Kila chama kinapambana kushika Dora pambaneni na hali zenu msitafute huruma . hukumuelewa Bashiru na hutokaa kumuelewa hata kidogo
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 жыл бұрын
@@godfreymasele558 mbowe alishinda vipi aliongoza nchi gani Tanzania lugha yetu ni kiswahili na bashiru ndio lugha aliotumia na alisema wazi watatumia DOLA kubaki madarakani nifafanulie kiswahili chako wewe ili tuwelewe
@hailatyhamissi3114
@hailatyhamissi3114 4 жыл бұрын
Ccm oyeee
@enocklema7213
@enocklema7213 4 жыл бұрын
Aina maana izi point
@salumungele4594
@salumungele4594 4 жыл бұрын
Kikubwa haki TU utaona mnavyogalagazwa
@bakermusa9033
@bakermusa9033 4 жыл бұрын
Kamiliusi na apigwe tu maana hatuna jinsi tumechoka
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 4 жыл бұрын
Oooooh
@masrergaudens3967
@masrergaudens3967 4 жыл бұрын
Wananchi tuna hasira maana mmetupora haki ya kikatiba ktk mambo mengi sana hadi tumeingia kwenye utumwa tena
@gizakazeno1688
@gizakazeno1688 4 жыл бұрын
Sema mimi nina hasira ,,usitusemee sisi mawazo yako
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 жыл бұрын
Nimependa ilo cheko la mzee pinda
@mathayodundo5433
@mathayodundo5433 4 жыл бұрын
Membe labda awe rais wa namngo fc
@anoldjose7793
@anoldjose7793 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 4 жыл бұрын
Tatizo la ccm,ni ujinga,ufisadi,rushwa na unafiki mkubwa waliojijengea na ndio maana hawajielewi,hivii,utaratibu wa ccm ni kwamba rais akishika nchi ni hadi miaka kumi,je,huyu membe kuhangaika nae mmetokana nae wapi? Kwanini msingelimuachaga tu? Maana kuna michujo,si mngeeda kumchuja mbelebya kamati zingine huko? Yaani ujinga kweli ni mzigo.
@ezekieljotham4003
@ezekieljotham4003 4 жыл бұрын
Mzee anayestaafu vyema
@charlesmulimi1786
@charlesmulimi1786 4 жыл бұрын
Huyu pinda sura ngumu kama limao.
@righton19
@righton19 4 жыл бұрын
Nawaza hivi huyu jamaa angekua hana pesa angekuajeee nawaza tuu,,
@allysalimu6176
@allysalimu6176 4 жыл бұрын
Hiyo ndiy sura mwanaume wewe
@fadhilinyengo7853
@fadhilinyengo7853 4 жыл бұрын
Na kwa bahati mbaya mungu amekunyima akili unawaza kutumia MATAKO
@bakarimashi2299
@bakarimashi2299 4 жыл бұрын
Hapo labda kijiko mzee kwenye suala la umma lilisha toka 2015 🤣
@saliitz5430
@saliitz5430 4 жыл бұрын
hahahahahahaha duuh tisha
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 4 жыл бұрын
Umma unahitaji madiriko
@florachogo5537
@florachogo5537 4 жыл бұрын
cheka mh pinda
@dianadouglas9054
@dianadouglas9054 4 жыл бұрын
embu imagie Membe ndy imetokea amekua Raisi 😂😂😂😂...
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Ya Mungu mengi ya kuku mayai ain't no body know tomorrow.
@GUESSNOW
@GUESSNOW 4 жыл бұрын
Katika nchi gani? Tanzania hii hii?? 😂😂😂 Labda aanzishe mikoa ya kusini iwe nchi atakua Rais..
@samwelimashaka8997
@samwelimashaka8997 4 жыл бұрын
Nitalia sana
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 жыл бұрын
@@GUESSNOW hahahaaaa
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
@@GUESSNOW hata kusini hawezi kuwa rais, hii kasi ataiweza kweli???
@omarrefuse8606
@omarrefuse8606 4 жыл бұрын
nguvu ya wizi na umma ni majeshi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ujinga huo!!!
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Mzee wa wapigwe tu!! Vip mbona hamkuruhusu ushindani ndani ya chama?? Hovyooo kabisa!! Najiondoa ccm!! Siasa ushindani wa hoja na fikra!!
@aliabeid6226
@aliabeid6226 4 жыл бұрын
Wewe unaonesha si ccm huyo membe si alishindana 2015 na akashimdwa juu ya kubebwa na kikwete atamshinda Magufuli sasahivi macho haambiwi tizama
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
@@aliabeid6226 sasa kama hawezi kumshinda hofu iko wapi!?? Kwani kushindana lazima ushinde??? Wanashindanisha hoja!! Na Magu hajui kujenga hoja!!! Sijawahi kumsikia hata bungeni akichangia chochote cha kutetea raia!! Kwake uwaziri ulikuwa maana!!! Sasa asijitie juwa uongozi wa kikwete ulikuwa wa kifisadi wakati na yeye alikuwa waziri!! Unafiki uachwe
@benezethkapongwa3111
@benezethkapongwa3111 4 жыл бұрын
Tatizo unajilazimisha kutoelewa afu unaelewa...huo utaratibu si wa kuogopana. Huo ni utaratibu wa chama...na kama mtu akitaka kuvuruga utaratibu wa chama hana budi kushughulikiwa. Mnaona kama kamfukuza ili asishindane?? Hebu jikumbushe ni lini huo utaratibu uliwahi kufanyika tangu enzi hizo? Afu Magufuli siyo kama unavyomchukulia ndg. jiangalie vzr yawezekana humjui vzr JPM wewe siyo bure. Yule si mtu wa kujiuza kwa hoja...yeye ashajiuza kwa utendaji wake tayari tofauti na huyo Membe. Sasa wewe sijui unataka porojo(hoja) hizo wapelekee wasomi huko vyuoni...
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
@@benezethkapongwa3111 umeongea vizuri sana mkuu, chizi hawezi kukuelewa. Membe alitaka tu kuvuruga utaratibu na kupoteza muda sio kwamba hajui magufuli nguvu yake imekua mara dufu kutokana na utendaji wake. Alikuwa anatafuta njia ya kutoka
@FocusNewsTanzania1994
@FocusNewsTanzania1994 4 жыл бұрын
"Wakuu wa Wilaya na Mkoa nchini Tanzania hawana adabu, wamkosea heshima hadharani Magufuli" Mchambuzi. Kwa habari zaidi bonyeza link hapo chini kzbin.info/www/bejne/Zp_Rm6x-q82hf6M
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 жыл бұрын
Very wise old man
@Teacher_sharak
@Teacher_sharak 4 жыл бұрын
Huyu hapa mpinzani wa mtiga njoo sikiliza simulizi zake Kisha Mpe maksi kzbin.info/www/bejne/bZuyenZmhd1gmJY
@medardnkilijiwa1976
@medardnkilijiwa1976 4 жыл бұрын
🤣🤣
@tablatabula5866
@tablatabula5866 4 жыл бұрын
MNATOKA MWAKA HUU BABA. HUYUHUYU KAMILIUS ANAWANGHOA
@jumanneibazu7709
@jumanneibazu7709 4 жыл бұрын
Pumbamvu zako namama yako kamungoe baba yako na dem wako membe
@samuelzachariah3984
@samuelzachariah3984 4 жыл бұрын
Labda anang'oa meno!!
@saidabdul3695
@saidabdul3695 4 жыл бұрын
ccm imekufa wewe mzee katulie nyumbani ufuge kuku wako
@jumanneibazu7709
@jumanneibazu7709 4 жыл бұрын
Amekufa baba yako na mama yako
@azizabdallah585
@azizabdallah585 4 жыл бұрын
Mh. Pinda umetoa maneno ya hekima na busara sana....vijana na hasa wa CCM tuige mfano wake.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
TAZAMA DIAMOND AKIWA KWENYE JEZi MPYA ZA YANGA 🔥🔥🙌🏼
0:56
WATOTO YATIMA WALIVYO-ENJOY NA SONIA WA MONALISA
4:14
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 М.
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 10 МЛН
ПОДВОДНЫЙ ГЕЙМИНГ #shorts
0:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,7 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 3,6 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 3,6 МЛН
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3 МЛН