Рет қаралды 2,570
Wakati chama cha ACT-Wazalendo kinatimiza miaka kumi mwaka huu tangu kuanzishwa kwake, umefanyika mjadala wa kina kuelezea safari tangu kuanzishwa chama hiko mwaka 2014. Mjadala huu ni sehemu ya matukio katika Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia wa chama hiko uliofanyika mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.