Sheikh mzungumzaji wa mwisho yupo sahihi MashaAllah Sheikh Bahasan Hadithi swahih ya Ibn Abbas mwajitia hamnazo hamtaki kuitambua eti answar sunnah
@ayyamirubba5226 Жыл бұрын
Maashaa Allah.
@shamsunurdin2384 Жыл бұрын
MashaAllah Khabar kubwa
@amiriduma-ek3ok Жыл бұрын
MASHA llah
@twahamuhoro1656 Жыл бұрын
OK
@HillteckMajengo-ts7bz Жыл бұрын
Wallah elimu ni Bahar
@mhrmahir3756 Жыл бұрын
Sauti haina au ni kwangu tu
@hajjabryabdallah4959 Жыл бұрын
Part 1 ya Ahmad mussalam tunaomba
@akthammuhammad7844 Жыл бұрын
Kumbe mwezi wa kinataifa walikua kitambo hswadalili
@bindaudamee-ei7cy Жыл бұрын
❤❤❤❤
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Zama hizo ilikua Jina bado ni Amswari sunna hayajazaliwa majina mengine ishirini kama yaliopo sasa
@rajabumbendenga5480 Жыл бұрын
Hii ilikuwa mwaka gani sheikh...?
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Nakumbuka Zanzibar kiongozi Alikua ni Salmin Amour
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 Жыл бұрын
Mwanzo wa miaka za 90
@AbdillahSOthman Жыл бұрын
Sheikh alozungumzia aya inayohusu mwezi hakumalizia kwa sabb ibada ya hijja inahusiana na mwezi je km kutakuwa kila mtu na mwezi wake katik nchi vipi watu wakitaka kwenda hijja watajua vipi, au kila mtu atakwenda hijja kwa siku atakayo yeye kwa mujibu wa mwezi wake alio ona nchi yake? Na sio kuwa umma wote hijja ni moja
@nassirmohammed9381 Жыл бұрын
Ibada ya hijja haifanyiki popote isipokuwa eneo maalum na ibada ya funga haina eneo maalum ukiwa popote unafunga