Mama ameni inspire sana,nimempenda sana Kweli umaskini ni sumu,nachukia umaskini na naukataa umaskini.
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Kweli umaskini siyo mzuri kabisaa
@esterjoseph94746 жыл бұрын
niombeen jaman Mungu anisaidie namimi skumoja nitimize malengo yangu kwan mmewangu hstaki nijishugulishe kwa chochote ananiudumia vizur lakin nataman kusmama kama mam Mungu awasaidie wamama wote mnao jishugulisha mtimize malengo yenu
@thebatafly93765 жыл бұрын
wanaume km hawa hawajui leo wpo kesho hawapo
@advocatekarama49175 жыл бұрын
Amen utafanikisha malengo yako 🙏
@LucyJMtitu5 жыл бұрын
Wanaume kama hao weka kushoto.hawaoni mbele.
@janefidelis22555 жыл бұрын
Chukua maamuz yakoukimfuata sana unaweza kua maskini wakudumu
@heriethmbwambo82724 жыл бұрын
Kiukweli mwanaume Kama huyo hajitambui hajui Kuna leo na kesho tafuta watu wenye hekima wamshauri ,na wewe endelea kumombea mshauri usichoke atafunguka tu.
@samwellwiza10982 жыл бұрын
Ukikosa heshima katika maisha ya kawaida tafuta elimu, ukikosa heshima katika elimu tafuta hela, ukikosa hela katika vyote hivyo tafuta Mungu atakupa heshima.......
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
yani Mungu umemuweka wa mwisho
@priscaemmanuel5027 Жыл бұрын
Mungu Ni wa kwanza
@BundaraMaria8 ай бұрын
Kujiamini ndoo mpango .mzima wakina mama tusimame uhakika ❤❤❤
@samateryussuf59385 жыл бұрын
hongera sana , ukihangaika unafanikiwa tu , vitafunio vyake vyote bei ni 500 tu
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Congratulations Madam Margreth.
@shabanizuberi45035 жыл бұрын
Huyu Dada namjua mama rusajo,nimepanga nae nyumba moja,,mbagara!hongera yake na mungu azidi kumuinua
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Shabani jirani na ni mdogo wangu.habari za siku nyingi
@shabanizuberi45035 жыл бұрын
@@mpalleymwaipola7435 ,,salama Dada angu VP familia wazima wotee?,daa yaani ni miaka mingi sana Dada angu,.
@neemaisaya8290 Жыл бұрын
Asante Sana nimejifinza kitu
@bernadethajohn54 Жыл бұрын
Hongera mama NAMI natamani niwe Kama ww
@catherinefaney9488 ай бұрын
Asante sana,nimejifunza kitu
@angelainnocent29917 жыл бұрын
Hongera sana Mama wewe ni mfano hai... Nahisi kuelimika sana.
@modernbob1998 жыл бұрын
Hyo bank ijitangaze zaidi hasa sehemu za vijijini
@magdalenamadusa4407 жыл бұрын
Nashukuru kwa ushuhuda mzuri Dada umenifumbua fahamu zangu
@beatricemdoe77896 жыл бұрын
Jamani.nimefanya zandani Miaka 12 bila nafanikio mpaka nimechika naombeni mnisaidie mkopo hata na Mimi nijitegemee kufanya biashar
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
@@beatricemdoe7789 pole mumy
@الهامسيف-ط7ذ7 жыл бұрын
naitwa merry nipo Oman kiukweli nimependa nitaomba nikifika Tanzania
@CHIEFBARUTV-e5e6 жыл бұрын
habari aisha
@daudmakala72745 жыл бұрын
Oman sehem gan
@joycejacob6263 Жыл бұрын
Good nitajiunga benki Iko wapi
@estherjoseph9415 жыл бұрын
Hongera bibie ila naomba hiyo benki ilete huduma na mikoani wakina mama tupo.
@edithaaron45207 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@piusrenatustv26723 жыл бұрын
Mama umenigusa sana naamin nami Mr BEBWA nitakuwa billionea
@dianahmarco14916 жыл бұрын
Nashukulu sana dada kwa kunifungua akili naomba namba zako
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
0753710681
@josephinemule3604 Жыл бұрын
Hongera sana umenitia moyo sana
@annamasale38935 жыл бұрын
Duh hongera mama
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Asante sana
@mwaminiiddi83105 жыл бұрын
Mama nimekupenda bureee mama yangu mama mm ni mwanafunz wachuo natamani biashara naomba mawasiliano.
@الهامسيف-ط7ذ7 жыл бұрын
mm nimeipenda hiyo
@jacklinejoseph52915 жыл бұрын
jamani ongela nimeshituka kukuona hapa nimesom na mwanae kwl huyo mama Ni mchapakaz Sana anastahili pongezi
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Asante sana
@gloriamagesa23317 жыл бұрын
umeizindua akili yngu
@heriethmbwambo82724 жыл бұрын
Hongera Sana mama songa mbeie
@sherifmpozembizi53355 жыл бұрын
Asante Sa na Sauda. From Europe.
@omaiim40145 жыл бұрын
Hongera sana
@ireneemmanuel60212 жыл бұрын
Naweza vp kupata namba ya mama sarujo
@zulfamnzava67356 жыл бұрын
Dada nimependa kazi zako sana naomba namba zako
@amirikilagalila37376 жыл бұрын
KWA KWELI INAFUNDISHA SANA
@azizamkindi17846 жыл бұрын
Naomba no zako
@conniesilayo2506 жыл бұрын
Nime Furahi sana Naona Ndoto sangu Sita Timia
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Upo sawa
@roselynejason45725 жыл бұрын
naomba mawasiliano na huyu mama jamni...ameninspire saana
@AlbertBikogoto4 ай бұрын
Karibu tuanzishe biashara pamoja
@josephinemule3604 Жыл бұрын
Naomba nitumie namba zako mama yangu ninamengi ya kuongea na wewe
@jacklinejerr24473 жыл бұрын
Tuna omba namba za iyo benk jaman
@MalcolmBukene-ic4tf7 ай бұрын
Naona kunjia nyingi zakufaniki nashindwa nifuata ipi naomba ushauri
@zulfamnzava67356 жыл бұрын
Mimi natengeneza cheni,hereni ,mikoba,Batiki,mafuta ya mgando na sabuni ya maji
@doreenmalesi60396 жыл бұрын
Zulfa Mnzava haki nami natamani kujua kutengeneza mafuta
@clarenceyengayenga57976 жыл бұрын
Habari Ndg?, unatenfenezea wapi huko?, nami nataka kujifunza
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
@@doreenmalesi6039 Na mafuta ya mgando yenye mchannganyiko wa miski nirahisi sana mumy
@neemamushi60375 жыл бұрын
Na mm pia nataman kujua kweli my friend
@dianawanavyotembeanihatarh73453 жыл бұрын
Hongera kwako
@jeskamgina79634 жыл бұрын
Naomba namba yako
@neemaremigi5068 Жыл бұрын
Naomba namba ya huyu mama wa ubuyu tafadhali
@kidanishow288 Жыл бұрын
0753710681
@kabulamanyangu47033 жыл бұрын
Nilikuwa nmelala ila nmeamka
@happykilango53962 жыл бұрын
Hii benk iko wap
@joinanganunga6985 Жыл бұрын
Vizur
@jumandutu22755 жыл бұрын
Nimempenda huyu mama
@esterjohnstone31373 жыл бұрын
Nimependa benk yenu nawezaje kujiunga nipokigoma
@aishahayata48316 жыл бұрын
daaaah umenitia moyo sana
@mizesuleiman18342 жыл бұрын
Tatizo ua hawaongei ukweli wanaaminisha watu mambo ni rahic lkn wanamambo yao mengine😳😡😠
@abdonbageita8656 жыл бұрын
good entrepreneur
@happymasangula99095 жыл бұрын
yaani nimefurahi mno..! naamka sasa
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Pambana
@farajakiba56094 жыл бұрын
Duuuuuh kwann nisiweze sasa nimefurah xana an
@noeljohn40577 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii mada.Sasa naomba contact zako lakini pia ninaomba kujua chakula bora cha bata ili watage sana.Asante sana.
@jasminngoya1106 жыл бұрын
Nifanyeje nijiunge nanyi nipate mkopo nijikwamue na umaskini nimechoka mnoooo nisaidieni. Najihusisha na nursery school lakini pia najifunza kutengeneza sabuni za maji nisaidieni wapendwa
@nyanzalakaporo25047 жыл бұрын
Mimi naitaka iyo bank ndoto ya nyumbani naimani itanisaidia sana
@janethshem57825 жыл бұрын
nyanzala kaporo Tanzania Women’s Bank(TWB)
@jenifasilayo37402 жыл бұрын
Nikitaji kujinga mimi nipo mwana nyamala
@tatuathmani8834 жыл бұрын
naomba namba yako yasimu
@malalezengo44056 жыл бұрын
hongereni sana akina mama
@tahahsjsbbehbsd96105 жыл бұрын
Dada niajir na Mimi🙏 kwenye kazi yako
@khalidjimmy57744 жыл бұрын
We ofisin kwako ni wapiiii
@delfinamushi12135 жыл бұрын
hiyo Bank mbona haijitangazi?wanawake wengi hawaijuwi njoon huku pembezon mwa jiji bunju mtuelimishe tujiunge tunapenda sana hata kuweka akiba zetu za vikoba.
@meyuunassor2004 жыл бұрын
Mm nipo zanzibar napataje hio
@mutesiflorence41833 жыл бұрын
Dah nimejifunza kitu wakat wakuamka ni sasa
@luciamallya23315 жыл бұрын
Jaman Mwanza mpo sehemu gan ??
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Bidhaa zetu unazipata kahama.Royal supermarket
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Nenda kahama.royal supermarket
@fatmanasser68297 жыл бұрын
mimi najua kupika kashata na bisikuti tofaut tofaut lakini sijuwi nianzie wapi mpaka nipate wateja dada naomba unisaidie kwa hili plz
@leilakassim19927 жыл бұрын
Fatma Nasser ,anza kuongea na wenye maduka ya jirani pika peleka, kama unamtaji wa kutosha ongea na vijana wanauza stand unawauzia jumla wao wanauza reja reja,
@fatmanasser68297 жыл бұрын
Leila Kassim shukran inshaallah nitaanza kufanya hivyo asantee
jamani dada naomba namba zako nataka tuongee zaidi umenitia changamoto sana umeishtua akili yangu
@juliethkelvin94788 жыл бұрын
dad asante kw kuinsper vijan weny change motor kam hyo naomb namba yko
@kidanishow2887 жыл бұрын
0789243606 au tutumie maoni kupitia KIDANI SHOW FB paje
@daudisumai58037 жыл бұрын
ali kiba
@Evictanzania7 жыл бұрын
+Kidani Show hii namba mbona haipatikan
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
0753710681
@genilozalukambaiga48026 жыл бұрын
na Mimi nataka kufunga kuku nifanyeje
@deomagoha1007 жыл бұрын
Nashukuru kwa kunifungua juu ya hii benki
@joseefaidabutu64676 жыл бұрын
Asante
@racheltonola94583 жыл бұрын
Aloo Dada mjasiriamali Tafadhali naomba namba yako ya simu.
@maryamoman59266 жыл бұрын
Kwei😭😭😭
@kuruthumuissa61754 жыл бұрын
Iyo bnk iko wap jaman
@ummulkheirzubeir63207 жыл бұрын
Arusha vp mpo sehem gan
@stellahemilian91685 жыл бұрын
Dah hii bank kweli imelenga kusaidia jamii,jamani mikoani vipi
@aishamohd98528 жыл бұрын
tunashukuru kwakutuwezesha wanawake but nilikuwa naomba kuuliza kwa upande wa Zanzibar iko wapi iyo bank
@rumbayarumba15287 жыл бұрын
an
@aminafataki42635 жыл бұрын
Nawe pia dada naaidi nitafata nyayo zako ila cjui kupika kashata
@jescajohn50345 жыл бұрын
iyo ya kubaki nafunguo nimeipenda
@anethnico45376 жыл бұрын
kwa tanga mko wapi
@lilianluhasi76855 жыл бұрын
Nashauri Sasa kama imeunganishwa na Posta basi nashauri wawe na department inayohusu wanawake tu
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
Wanayo.kuna account inaitwa Tabasamu.tembelea matawi yao sasa
@fatmaomarymwiha76915 жыл бұрын
Dada nisadie namba nimeipenda Sana
@fauziakassim3235 жыл бұрын
M sipendi mikopo mara hufe nan atagharamia
@nyanzalakaporo25047 жыл бұрын
ume nitia sana moyo dada Mpale, nataka nije kujiunga na iyo bank ya wanawake mko wapi kwa hapa dar.
@annajohn1755 жыл бұрын
TWB ILIKUA BENKI YA WANAWAKE..ILISHAFUNGWA HAIPO TENA ...SO SAD ILIKUA DAR ES SALAAM ,POSTA YA ZAMANI...
@felistamedard33025 жыл бұрын
Mm iyo bank jaman please ipo wapi
@bernardmitti59205 жыл бұрын
Ilishaungana na benki ya posta (TPB BANK PLC)
@malandufaustina18183 жыл бұрын
Tawj lao lipo wp kwa dar
@georgecosmas11564 жыл бұрын
hata Mimi nimeipenda
@aminafataki42635 жыл бұрын
Mi kigambon lakin mbona cpajui
@aminafataki42635 жыл бұрын
Nakuomba unishauri dada cjui nifanye biashara Gani
@zerawitmabratu3815 жыл бұрын
Allah akufungulie kheri dada
@bolingobolingo53215 жыл бұрын
0752688265.....nichek Dada
@bolingobolingo53215 жыл бұрын
0752688265 nicheki Dada yangu
@zerawitmabratu3815 жыл бұрын
@@bolingobolingo5321 uwa chekiwe vp kaka 😁😁
@zerawitmabratu3815 жыл бұрын
@@bolingobolingo5321 uchekiwe kivipi**
@conniesilayo2506 жыл бұрын
Naa Moshi mko wapi
@agripinabolingo64762 жыл бұрын
Nielekeze na mimi
@hiiughdhd46668 жыл бұрын
Naomba namba yako please
@playstore7904 жыл бұрын
Hogera
@jacklinejerr24473 жыл бұрын
Twb
@fakihdarusi43853 жыл бұрын
Elfu tatu ,Duh
@salomebenson55456 жыл бұрын
Anaetaka kufuga kuku anitafute nauza incubator automatic(mashine za kutotoa vifaranga)na kama upo sehem hamna umeme tunazo zinazotumia ges,mtungi mdogo unaweza kukaa nao mwaka mzima bila kujaza .nitafute No 0743998234
@piliwisman70206 жыл бұрын
mm nataka hiyo incubator Dada angu
@shanelndimbo41385 жыл бұрын
I need 1 pls
@shantelshanty51937 жыл бұрын
Nimeshukuru kwa ujumbe
@salusamson25524 жыл бұрын
Ntumie namba zako mama angu nakuomba nicheki ibox 0628969220
@kelvinjohn79325 жыл бұрын
How is watching this to open a restaurant give a like plz
@kelvinjohn79325 жыл бұрын
Comment also
@omaiim40145 жыл бұрын
Mngetutumia namba zenu jamani
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
0753710681
@mpalleymwaipola74355 жыл бұрын
0753710681
@winniemagomba74757 жыл бұрын
naitaji kazi dada maana ali teteeeeeeee kwangu
@yaqoobsalim58083 жыл бұрын
Mimi nipenda sana hao njiwa
@juliethelim51986 жыл бұрын
nam nataman darasa lenu ntawapataje?
@jovithajonathan53186 жыл бұрын
Salama, nimesoma comment za mwenzangu naona km vile kuna msaada au make me sisikii( kiziwi) then nipo bkb najiusicha na biashara mdogo mdogo naombeni km mtaweza nitumieni taarifa nisome make hapa mmeongea me sijasikia kitu pia naombeni msaada wenu nikuze biashara yangu me ni mqanamke najiamini make ukiziwi sio tatizo
@judithgeneralservice77913 жыл бұрын
Naitaji sapot yenu mimi ni mjasilia mali0765352872