Ungana nasi Katika mada hii aliotoa Sheikh Othman Maalim yenye anuani ya Abdallah ibn Salaam, iliofanyika Masjid Nour Muhammad (S.A.W),Cameraman kutoka Al Hijra Video Production. Usisahau ku Subscribe channel yetu
Пікірлер: 21
@khatibumickidadi3245 Жыл бұрын
Sheikh othman nakupenda kwa ajili ya Allah sw unaelimu kubwa mno Allah sw akufanyie wepesi ktk adhabu ya kaburi
@saumusalimuhassan24997 ай бұрын
Mashallah, shukran shekhe Othman Maalim, Nakupenda kwaajili ya Allah, Jazakallahu kher shekhe, Allah akulipe Jannah firdausi Allahumma Ameen Yarabb 🙏
@user-xx9qp7ov4v11 ай бұрын
Mashalla kisa ni kizuri alla akulipe nasi piaatuongoze ishaalla
@ruzatuntajadin127410 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@ShomiKalunde-zb8gx7 ай бұрын
Allah akbar
@YussufSaidYussuf9 ай бұрын
Tuendee kumsimi🎉ljza sheikh😮
@feisal6592 Жыл бұрын
Iko njiaaa niii defuuu Sanaa lakini najuwa nitapata msadawakunigikisha ishallah Amin! Bil iliniiallahmuhimu muniombee nikuwenasubra yakuwakweye safari yataka subra! Musiwatukane maswahaba zangu nitatumia masiku mingi lakini najuwa ishallah nitafika tunusuruu Aqsw ishallah
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma Sha Allah Sheik Othman Maalim kwa mawaidha nzuri
@chokandahaza3565 Жыл бұрын
Maa shaa Allah sheikh letu Allah akuhifadhi
@Nimriysbabe9842 жыл бұрын
😋😘shukrani nakupendaa kwa Ajil ya Allah nafrahia darsaa zako.
@abdallahmakassy3003 Жыл бұрын
Ma sha Allah al akhy kareem... Baarakallah
@alinoor4783 Жыл бұрын
Mashaallah
@binbaya923 Жыл бұрын
Maa shaa llah
@bakarkhamis6423 Жыл бұрын
Safi sana ww nihodar uachiwe 2
@hassanirashidi19062 жыл бұрын
Allah akuongoze shehe wangu
@user-ms8kn6xo9q2 жыл бұрын
Mashallah
@abdullaabdullahmpakanjia23362 жыл бұрын
Naaam
@feisal6592 Жыл бұрын
Yaki history
@shamamamalisa65132 жыл бұрын
Herry
@feisal6592 Жыл бұрын
Nipeni nitakacho ntajsrubu njia nyegiiner nifikee nitakapo hatakams ni defu Bora nifike kuliko kutukia fupi halafu Haina nsadaa wakusonga mbelee
@feisal6592 Жыл бұрын
Ninapokusufia mwapajuwa nitakapo ukiwashamoto ujue utkuonesha Moshi na ukiona moshio ujie kunapikwa chakula kuzuri ndio namanisha