Рет қаралды 20,057
Ungana nasi Katika mada hii aliotoa Sheikh Othman Maalim yenye anuani ya Zainab Bint Jaash, kuna mazingatio makubwa katika kisa hichi, iliofanyika Masjid Nour Muhammad (S.A.W),Cameraman kutoka Al Hijra Video Production. Usisahau ku Subscribe channel yetu