mimi nyipenda sana hii show sana. AY nampenda sana na Napenda jinsi mnavyohoji wasanii mbali mbali! One LOVE AFRICA kutoka Seoul City South Korea!
@BabakeNazBeel10 жыл бұрын
those kicks worn by salama!......wah!! dopest kicks i have ever seen!
@Mwana32210 жыл бұрын
Mkasi siyo mbaya leo kwani mnajadilianaaa na ni msimu wa mwishooo huu
@hadijaabby935510 жыл бұрын
i love dis show nd alot of fans frm turkey nyc show keep it up salama
@wajihiramadhani398910 жыл бұрын
It is very interest SHOW in town MY.
@TheBallyagatty10 жыл бұрын
This is my fav mkasiii. Ay is deep.!
@mwagosisam84058 жыл бұрын
Ni show nzuri sana mimi hupenda kuangalia hasa hasa ninapokuwa free........Itakuwa vyema zaidi mkimleta mwalimu Ally Yakuti wa bongo Movies next tym
@galanaraha867610 жыл бұрын
we need long show but nice discation.j'aime cette série car sa donne de leçon.
@belindabellz10 жыл бұрын
Salama you're too much!! "Kuolewa ni wito kama polisi" LMFAO!!! Your sense of humor always makes me look forward to the show! :)
@jamesngena167410 жыл бұрын
"Mkasi TV ni Tuition kwa maisha ya kila siku kwa mwanadamu wa leo"
@newtannewtan16066 жыл бұрын
xo cool interview from ma Bro another Mother love this from ma heart
@siriyamwanamkemkakamavu10 жыл бұрын
mtumeeeeeeeeeee AY TZ hakuna Sport Studio..? any way u doin great Job...
@MrHobidan10 жыл бұрын
mmechemka show hiii wote,mnaogopa kumuuliza maswali Ambwene,alafu Ambwene mwenyewe hayuko makini kujibu maswali. Nilitegemea Ambwene angehojiwa maswahili ya maana, mmechemsha sana !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@yusuphbaracha613710 жыл бұрын
sikujua anaye fanyiwa interview AY au salama na wenziko......AY dominate the show
@selfmadegroup306610 жыл бұрын
I like AY
@dmwanga110 жыл бұрын
I'm glad MkasiTV is coming back, but my hope for the new season is that you will ask the hard questions when you interview your guests. I didn't like the last interview you did with Lulu; she didn't want to answer any question, so I didn't see what was the point of the interview
@seyra9310 жыл бұрын
@mkasi i just admire mwamvita makamba naomba mumuweke plz and jay dee plz
@fredykiwelu56510 жыл бұрын
4sure ni bonge la shooo respect kwenu!!!
@RobbieSwahili10 жыл бұрын
Nice show
@marshalytz10 жыл бұрын
Mkasi esp Salama hii interview imepungua,ipo chini ya kiwango ambacho kimeonekana katika vipindi vingi vya nyuma. Interruptions zilikuwa nyingi sana,focus ya Kumhoji AY ilikuwa hafifu maana. I would prefer when you have such an interview ya kuhoji insider awe AY,Josh,Kistuli,Mubah ama John iteni atleast 2 Guest interviewers ili kuleta Ladha tofauti.
@dominicogeorge13407 жыл бұрын
nakukubali sana bro
@dubaimohd743910 жыл бұрын
big up kwa sana
@NickMasao10 жыл бұрын
Hii ya AY imeniboa sikutegemea but I guess siku hazifanani. Anajaribu kuwa mcheshi but he isn't and he came off kama arrogant hivi nadhani. Ukiwa na mafanikio then ukawa humble ni bora zaidi. Naona kama hes not a humble person. Au labda haikutokea fresh tu leo. Za Slaa, Carol, Gea Habib na Dnob ndio the best. Mnafanya fresh endeleeni.
@yudadaniel48679 жыл бұрын
daaa huyu dullar ana kiherehere
@batotoyakivu452110 жыл бұрын
sikujuwa kama AY yuko funny ki hivi
@fahadfahmy10 жыл бұрын
Niliposikia Ay anakuja kuhojiwa nilitegemea hii show itakua babkubwa lakini nikinyume na matarajio yangu au yetu.
@yusuphbaracha613710 жыл бұрын
bring B12 wa clauds
@tumpiliksye10 жыл бұрын
Kinara AY ...
@babyskk42110 жыл бұрын
inamaana hii wiki hakuna mkasi au vipi tujuzeni basi tujue
@anthonyfesto97010 жыл бұрын
it's GK's time next
@dollykemmy726510 жыл бұрын
Muiteni jide jmn,show ya lulu na kajala ziliboa,nilizopnda amhed kipozi,slaa
@Seckylonge2810 жыл бұрын
Hii show imeboa baada ya salama kuuliza maswali instead ay ndo anauliza and please jipangeni kwanza kabla amjashoot
@shabanhassan242310 жыл бұрын
salama iko poa mkas bdo aujamnyoa pasha why
@ashminaabdullah56267 жыл бұрын
Inategemea muda gani umekaa kwenye sofa ila sidhani usemavyo
@seyra9310 жыл бұрын
show nlioipenda ni ya gamba iloniboa ya wadananda fujo nyingi upewo wa akili kufkiria ni hola....kama mtawezafanyia kaz HD tutafrai sisi wa kanada tunapenda kipindi ila hao kina josh na muba wanaitaji kuwa upgraded..