Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

  Рет қаралды 110,648

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪KZbin Link bit.ly/KZbinS...
Turudi nyuma mwaka 1999 wakati nilipomaliza kidato cha nne kwahiyo nilikua sina mitkasi mingi zaidi ya kumkimbia Mama inapofika mchana ili niende kucheza zangu basketball pale Msasani kiwanja cha Pazi. Nlikua natokea zangu Mbagala Charambe nachukua zangu basi mappa Mbagala Rangi tatu then muunganisho unaendelea mpaka nafika zangu mazoezini, nilifanya urafiki na makonda na madereva weeengi kiasi kwamba nilikua ‘staff’ kwenye daladala nyingi, na huwezi kuamini nyingi pia nilikua nikiingia basi radio nlikua namiliki MIMI. Station gani tunaskiliza au tape gani tunaweka ili safari inoge na muziki. Nakumbuka jinsi ambavyo Sugu alikua anaikosha, anakosha nafsi yangu na ya abiria wote ambao walikua wanasafiri nasi basi moja. Chini ya miaka 18 ilikua inaongea na mimi haswam inanifanya nisitake kuwa yule binti ambale Sugu alikua namuongelea ASILAN! Mikononi mwa Polisi… Album kali kama Nje ya Bongo, Millenium, Muziki na Maisha zilifuata na wakati hizi nyengine zinatoka nami tayari nilishaacha kumtia wasiwasi Mama yangu wa kurudi nyumbani usiku na kuwa DJ wa muda ndani ya Daladala za Mbagala Posta au Mbagala Kariakoo na kuweza kupata kazi yangu ya kwanza pale Times FM kabla sijajiunga na EA Radio na TV.
Mapenzi yangu kwa Sugu na muziki wake yako wazi na naamini na yeye anajua maana huwa namuambia kila tunapokutana, pia napenda kuwa around na yeye maana confidence yake ni kitu cha kujifunza. Haogopi, anajiamini na uthubutu wake katika mambo yake mengi ni jambo ambalo wengi wetu tunajifunza sana kutoka kwake. Kuanzia jinsi alivyokua anajibeba, mapinduzi ya uandishi na muziki ambayo amefanya na anaendelea kufanya mpaka leo hii ni kitu ambacho kama utakua unamfuatilia kwa karibu basi utakua huna la kufanya zaidi ya kupenda jinsi anavyofanya mambo yake.
Siku zote nimekua nikitaka saaana kufanya nae interview lakini kama tujuavyo, Mungu ndo mpangaji wa yote na round hii ilikua ndo wakati muafaka. Nilimcheki naye akakiambia kwamba Mimi ni mtu pekee ambaye angependa aongee naye so mengine yakawa historia tu.
Brother alikuja Dar es Salaam malum kabisa kwaajili ya kuongea na sisi na kwa hilo tunamshkuru sana. Mambo ya kisiasa yalikua sio focus yetu hata kidogo na badala yake tulitaka kumfahamu yeye zaidi na pengine mmoja anaweza kujifunza kwa kufuatilia tu nyenendo zake kwenye mitandao.
Kaka alishawahi kwenda jela, amempoteza Mama yake kipenzi pia muda si mrefu baada ya yeye kutoka. Sisi tuliongea naye kuhusu mapenzi yake na Mama yake kipenzi Desderia ambaye hata jina la hoteli yake ameipa jina la Mama yake. Nilitaka kujua ukaribu wao huo ulitokana na nini, jinsi ambavyo Mama alimpa support kipindi hicho ambacho muziki ulikua unaonekana kama uhuni tu. Maoni yake kwenye masuala mbali mbali na kuhusu urafiki na mafanikio. Pia nilitaka kujua historia yake ya muziki na njia alizowahi kupita. Mambo mengine ni kuhusu suala la yeye kuwa Baba na mapenzi kwa ujumla.
Yangu matumaini una enjoy maongezi haya na Kaka mkubwa na pia confidence yake kwenye masala mbalimbali itakufanya pia ujibebe kuelekea mbele!
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 307
@jameskinuthiamunene6356
@jameskinuthiamunene6356 3 жыл бұрын
Pioneer East African hip hop star huyu,nakumbuka nikimskia mara ya kwanza huku Kenya mwaka wa 2000/1 na ngoma ya 'Ana Miaka kumi na nane'
@catalanink174
@catalanink174 3 жыл бұрын
Moja ya interview bora kabisa toka hiki kipindi kimeanza, asante Sugu, nimejifunza mengi kupitia hii interview, Mungu akubariki
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@EBMSCHOLARS
@EBMSCHOLARS 3 жыл бұрын
Hii interview nzuri sana, mafunzo makubwa sana na great memories
@davidheche839
@davidheche839 3 жыл бұрын
Mr 2 sugu..... im very proud of you niga.... unao uwezo mkubwa sana wa utambuzi wa maswala ya maisha kiujumla
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 жыл бұрын
Kama umemsikia SUGU kasema ALHAMDULILLAHI gonga like tuendelee.
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@r.kassimtoutautre3432
@r.kassimtoutautre3432 3 жыл бұрын
Iko bomba sana 🇧🇮Who 🇹🇷
@manchalijob9600
@manchalijob9600 3 жыл бұрын
Ndo mnareta udin wapumbavu nyinyi
@freduallughano2301
@freduallughano2301 3 жыл бұрын
Kwani alhamdulilah si ni lugha ya kiarabu tu waislam mbn upeo wenu mdogo?
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 3 жыл бұрын
Tumepoteza watu muhimu sana bungeni
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@nicholausmtamba327
@nicholausmtamba327 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mr Sugu.
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 3 жыл бұрын
Sio kivile sheikh wangu...huwezi ukakawa bungeni muda wote...
@lotinyumba1573
@lotinyumba1573 3 жыл бұрын
Namuomba MUNGU mafanikio yangu au machungu yangu yasiwe sababu ya mimi kuwahumiza watu wengine
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 жыл бұрын
Hongera brother sugu naququbali kaka hasa kwenye suala LA siasa we are together
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 жыл бұрын
sugu papa sasha faiza ali ex love you from congo you are respectful men
@abdulmfaume7927
@abdulmfaume7927 3 жыл бұрын
Daaa brother katika history ya mama yako hapa umenigusa Sana !! Pole sana ,
@abdallahsamuhando3997
@abdallahsamuhando3997 3 жыл бұрын
Like kwa jongwee mr II sugu mbeya moja green city
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@emeldakazumba2487
@emeldakazumba2487 3 жыл бұрын
Interview Bora Sana
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@TheMastertz
@TheMastertz 3 жыл бұрын
Legend wa Kweli Wa Tasnia Hii!! Sugu ndiye msanii ALIYENYOOSHA mistari ya Bongoflava. Asikuambie mtu. Story Teller. Hadithi zilizonyooka, makini, kweli kuhusu maisha na jamii. Sauti ya watu. Mh anastahili kutambulika kama kinara mahiri wa Bongoflava!! Najisikia fahari kuwa muhusika katika hatua na harakati zake kimaisha na kimuziki!! ✌️
@eddimwamba4208
@eddimwamba4208 3 жыл бұрын
Kukata rufaa upo form3 bro i respect
@panjumitindo1135
@panjumitindo1135 3 жыл бұрын
Interview Bora Kwa Mwaka 2021 Appreciate #HipHop4rever
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
Sugu mungu anakuona mana sio kwa vibes ilo na Salama mumetisha🔥🔥🔥🔥🔥na Faiza Ally apo anacheka tuu mpk bac akikuona kipenzi chake Baba Sasha😀😀😀😀
@patrickchegere1833
@patrickchegere1833 3 жыл бұрын
True inspiration from sugu
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@wazirituppa6739
@wazirituppa6739 3 жыл бұрын
Huyu ndio nilinifanya nipende mziki nimenunua Albamu zake sana
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@ahmedndossa2966
@ahmedndossa2966 3 жыл бұрын
I refuse to loose - I like this line. #Powerful
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 3 жыл бұрын
Salama, I like how in these interviews you also open up about your personal life as well. Mbeya oyeeee nice interview.
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 3 жыл бұрын
If your talking abt legend in music sugu iz the legend
@erickendrick3330
@erickendrick3330 3 жыл бұрын
Noma
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 жыл бұрын
Sugu naomba afanye rmx ya Hayo hayakuwa mapenzi
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 3 жыл бұрын
Sugu kweli ni mwamba ni mtu wa pekee anawajibu kwa jamii anajiheshimu na kuwaheshiku wengine na hichi kipindi kinatufunza mambo mengi hasa ya kuheshimiana na kujali wengine watanzania tunakosa kiunganishi!!!
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@aureliaissack8309
@aureliaissack8309 3 жыл бұрын
Sugu yo the best, we love you! Andika kitabu chako kilichoshiba vzuri, naomba kopy ya kwanza, niinunue japo Sina pesa ila ntanunua.
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@evaristomwilongo5567
@evaristomwilongo5567 3 жыл бұрын
Salama...Unatiiiiiiiiiiisha unagusa hisia za watu
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@allymatilda7519
@allymatilda7519 3 жыл бұрын
Like za salama kwa interview kali 2021
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 3 жыл бұрын
Japo siwez jua ya wawili na nini kilitokea,lakin Faiza Ally na sugu wote wako vizur kichwani..Mr sugu Asante kwa kushare exclusive 💪
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@vitalischarles2714
@vitalischarles2714 3 жыл бұрын
Ata wewe salama ni legend down town kitambo....I salute you
@mariagwaje8976
@mariagwaje8976 3 жыл бұрын
I like the statement ndoto ni bure it cost you nothing kuwa na ndoto.....Mimi nasema huitaji pesa nyingi kuwa na mafanikio unahitaji ndoto/maono kuwa na mafanikio 😜
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@belak999
@belak999 3 жыл бұрын
@@shakilajuma4558 acha kusumbua
@omarimadiva5352
@omarimadiva5352 3 жыл бұрын
Ninakukubali Dada ,unanifanya nijifunze kuthubutu katik maisha yangu kwa sbabu ya wageni unaowahoji.
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 3 жыл бұрын
Hii Episode nimeisubiria sana... SUGU is an inspiration
@elizabethsabilo1017
@elizabethsabilo1017 3 жыл бұрын
hahaaa, was looking for your comment.
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@Ibratz255
@Ibratz255 3 жыл бұрын
Mim pia nmetafta comment yako mze as nmeona previous interviews ulikua unaomba hii kitu
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 3 жыл бұрын
Hahaha dah nimemsubiri sana ndugu yangu nimuone huku,
@priscarmshama8897
@priscarmshama8897 3 жыл бұрын
Sugu daaaah. Mungu akupe maisha mareefu. Nakukubali sana
@clarencemapunda4884
@clarencemapunda4884 3 жыл бұрын
MUCH RESPECT SALAMA KWA KUMLETA RAISI WA MBEYA,ANAJUA ANACHOKIFANYA
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@sadiqmakunga1807
@sadiqmakunga1807 3 жыл бұрын
Maisha yanaendelea na naamini ipo siku utakua rahisi wa nchi hii!!na ni Mara yangu ya kwanza kujiingiza kwenye siasa
@jumakapaya7169
@jumakapaya7169 3 жыл бұрын
Salama wewe ni mbunifu sana.hongera mungu akubariki.
@shabanathman5836
@shabanathman5836 3 жыл бұрын
Salama napenda vile unafanya interview
@georgenkanawa7156
@georgenkanawa7156 2 жыл бұрын
Taita Kama Taita,Taita mtata,Taita mfupi lakini fulu matata #EndeleaKutupaHasiraYakupambana #Sugu#mfanowakuigwa
@dapperadam4591
@dapperadam4591 3 жыл бұрын
Big up salama...I am falling in love with this channel 😍 ..🇰🇪
@mathayojohn5440
@mathayojohn5440 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana sugu niliumia uliposhindwa kwenye ubunge, Ila si mby ngoma zako ninazokibao Sana, Moto chini, hayakuwa mapenzi
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
hakushindwa Ila wizi ulitawala hakuna nchi nzima kushinda chama 1 ata huku State vyama vyote 2 vimeshinda je Tz na maisha ayo na uchumi wap wa blue
@mathayojohn5440
@mathayojohn5440 3 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 kweli bhn ipo siku kitaeleweka tu, pw bhn amani!!
@magwajaonetz9984
@magwajaonetz9984 3 жыл бұрын
Sugu you real inspired me kaka
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 жыл бұрын
Hip Hop kila mmoja anataka kuwa C.E.O yeah
@mamoridan4675
@mamoridan4675 3 жыл бұрын
Salama dear you are the best kwenye interviewing 👏👏👏👏👏
@fadhilmnyamwezi5037
@fadhilmnyamwezi5037 3 жыл бұрын
Kama umemsikia sungu anasema hutakiwi kuwe kwenye mapenzi paka usijielewe goga like
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 3 жыл бұрын
Huyu ni sugu tangu mdogo, kavunja mkataba wa hela akiwa chalii
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@hidayagodfrey8837
@hidayagodfrey8837 3 жыл бұрын
Sugu nakukubari sana na mm Ni mmoja ya watu wanao jifunza kutoka kwako
@daniellepari4525
@daniellepari4525 3 жыл бұрын
Ahsante sana da salama kwa kipindi chako wengi tutajifunza mengi kupitia kipindi chako ubarikiwe sana 🤞
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@alizuluman4739
@alizuluman4739 3 жыл бұрын
Datz true Legend Mr Sugu
@eddovanny2553
@eddovanny2553 3 жыл бұрын
Jongwe ✊
@johnmgohele2606
@johnmgohele2606 3 жыл бұрын
Nice, ina tia moyo sana ukisikiza ukaelewa.
@fakizotz1727
@fakizotz1727 3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@tulisanga2023
@tulisanga2023 3 жыл бұрын
Daaaah suguuuu kila nikikusikiliza kunakitu kinanijia kinaniambia nisikate tamaaa respect brother ntaish kwenye ndoto zako
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 жыл бұрын
Haifunguki salama
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@MrSABYY
@MrSABYY 3 жыл бұрын
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com Instagram@mr_sabyy 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
@adamsmashenenhe3364
@adamsmashenenhe3364 2 жыл бұрын
Daaah...............。。。。。。。。。。noma
@maryjoseph7931
@maryjoseph7931 3 жыл бұрын
Ameacha mahusiano na Marry Juana ?
@atukyando6246
@atukyando6246 3 жыл бұрын
inauma sana kumpoteza mama kisa kutetea haki, siasa za bongo hatari sanaa
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@asueddy1465
@asueddy1465 3 жыл бұрын
Mara navuta shuka nastuka, Naota Sugu ananiita,kwa mbali akilalamika, Nauliza vipi Sugu!? Anazidi kulalamika,anawaka, Music Bongo haulipi mwanangu me nang'atuka, Duuh natetemeka, nahisi Kama naanguka, KWA VILE BILA SUGU HAPA NILIPONISINGEFIKA
@ubaludomgulunde5827
@ubaludomgulunde5827 3 жыл бұрын
Dunia mapito jama
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@danielluvunzu553
@danielluvunzu553 3 жыл бұрын
Afande Sele kitambo sana aseee
@asueddy1465
@asueddy1465 3 жыл бұрын
@@danielluvunzu553 saaaana
@rahimhamis672
@rahimhamis672 4 ай бұрын
Broo more bless
@geeva99
@geeva99 3 жыл бұрын
Wadau wa mziki tunahitaji nyimbo za sugu ziwe online, ile legacy haitakiwi kupotea
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@anastaziamduda1803
@anastaziamduda1803 3 жыл бұрын
sanaaa wanyumbaniii
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@joachimmashallo5800
@joachimmashallo5800 3 жыл бұрын
My favourite rapper ever
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@wilsonjublet4245
@wilsonjublet4245 2 жыл бұрын
Rispect Sugu
@manko5627
@manko5627 3 жыл бұрын
Bunge laawamuhii hovyooooo
@juliusjustice9170
@juliusjustice9170 3 жыл бұрын
Mr sugu en our lady salama Hallah
@binbaya923
@binbaya923 3 жыл бұрын
Respect Bro, Thanx Sister Salama kwa kumleta huyu Mzee. Mmoja ktk wapenzi wa Sugu frm Bs As- Arg 🎶🎶🎶Nimesimama akili inanituma kusema nasimama hasubuhi namapema, nafungua macho naona kitu nikama kiwingu polisi njoo na pingu masisha haya nibaya...🎤🎶🎶
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@gastordominic410
@gastordominic410 3 жыл бұрын
Nice unemesahau kuwa ww ndio ulikuwa wa kwanza kuingia mjengon kama mbunge
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado ., kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@abdullahmunish3988
@abdullahmunish3988 2 жыл бұрын
The don... hustler...mbishi
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 3 жыл бұрын
We love Sugu so much
@mohamedkachapa4433
@mohamedkachapa4433 3 жыл бұрын
Salama katika watu wote uliowafanyia interview mr sugu kachangamka sana big up broh 💥💥💥
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@ahmedsalumomar5002
@ahmedsalumomar5002 3 жыл бұрын
I like humble me
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@crizostomsamson3543
@crizostomsamson3543 Жыл бұрын
Sugu Master
@djelly7621
@djelly7621 3 жыл бұрын
Namkubar
@SantaFlavoulOFFICIAL
@SantaFlavoulOFFICIAL 3 жыл бұрын
Chadema4life
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@semsimbazisemsimbazi2866
@semsimbazisemsimbazi2866 3 жыл бұрын
Tuleteeni mstaafu mzee mwinyi..
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 3 жыл бұрын
Sugu Moto chini ✌️✌️✌️💪💪
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@abdulazizam2929
@abdulazizam2929 3 жыл бұрын
Mx mmetisha Sana 🇸🇦🇸🇦🇹🇿🇹🇿
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@rashidiwaiti6686
@rashidiwaiti6686 3 жыл бұрын
Hongeraa Sana suguu nchii tu hii Sasa hatujuii Mambo yanaendaje mafuta ya kula Leo Lita moja duuu panador ndioooo mmmmmh
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@denischacha9104
@denischacha9104 3 жыл бұрын
Yahoo niga
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 3 жыл бұрын
Nakukubali
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@abelabba7809
@abelabba7809 3 жыл бұрын
Karibu tena
@sulleysidey2844
@sulleysidey2844 3 жыл бұрын
Nakuelewa mwamba
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@kudrachristopher5622
@kudrachristopher5622 3 жыл бұрын
Mbunge wa mbeya mjini😘
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 3 жыл бұрын
My role modal Mr sugu (Joseph mbilinyi)
@rksimulizi9208
@rksimulizi9208 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/apSxiZuYmc9meMU Wafahamu WAJITA, Hii ndio Historia ya Kabila la WAJITA
@osbethdaniel7835
@osbethdaniel7835 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@adamkamwakajulius6817
@adamkamwakajulius6817 3 жыл бұрын
Respect Mr II
@adamakyoo3003
@adamakyoo3003 3 жыл бұрын
G.O.T
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 жыл бұрын
Ndoto ni bure nimebeba iyo🙏🙏🙏🙏
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
Salama umehama samaki samaki?
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 жыл бұрын
Nw imefunguka
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@mrs2918
@mrs2918 3 жыл бұрын
wengine hawana njia za kufika kwenye TV shukuru hata ukipewa sifa vichochoroni
@christopherkalolo1805
@christopherkalolo1805 3 жыл бұрын
Amesema hao wenye wanamwambia vichochoroni they have access to mainstream media coz ni watu ambao tayari wamekuwa superstars
@mamirokongx195
@mamirokongx195 3 жыл бұрын
Nimecheka
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@zaizaitwaha6633
@zaizaitwaha6633 3 жыл бұрын
Faiza njoo usikilize huku
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 3 жыл бұрын
Nakubaliiii Suguuuuuu🙏🙏🙏🙏
@josephatjofrey7247
@josephatjofrey7247 3 жыл бұрын
Wa kwanza
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 жыл бұрын
Jm sauti ya sugu inatetemesha my 📱
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 жыл бұрын
@NYEGERE ONLINE 🤣
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@umakramzahor4836
@umakramzahor4836 3 жыл бұрын
Nakupenda sana Salama my Wifiii yangu
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . , kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@herbertkamote2213
@herbertkamote2213 3 жыл бұрын
Sugu hilo jina amepewa na Ali choki twanga pepeta ampe credit zake
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
Sio kweli choki alimtaja kipindi ambacho teyari anajulikana kama sugu
@mamukassim4075
@mamukassim4075 3 жыл бұрын
Hahahaha. Allhamdullilah
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado , . kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 жыл бұрын
Salama👋🥰
@shakilajuma4558
@shakilajuma4558 3 жыл бұрын
Pia jua na hii kama ulikuwa bado ., kzbin.info/www/bejne/gJrZqql4eJVkmZo
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 2
21:29
YahStoneTown
Рет қаралды 94 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 114 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 55 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 268 МЛН
USIYOYAJUA KUHUSU KARIAKOO || KARIAKOO HISTORY!!
33:03
Kariakoo Radio
Рет қаралды 6 М.
Mkasi - SO4E06 with Maulid Kitenge
28:17
MkasiTV
Рет қаралды 57 М.
Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1
36:54
YahStoneTown
Рет қаралды 122 М.
Soggy Doggy: Ni mimi tu ndo sikuwahi kunaswa kibao na Majani
34:46
Dizzim Online
Рет қаралды 18 М.
Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1
43:34
ТИПИЧНЫЙ ТАКСИСТ В СОЧИ #юмор #прикол #сочи #ржака
0:59