Mkate wa Sinia /Mkate wa Kumimina / Rice Cake With Coconut / With English Subtitles

  Рет қаралды 9,139

Tajiri's Kitchen Swahili Flavor

Tajiri's Kitchen Swahili Flavor

Күн бұрын

RECIPE ⬇️.
2 cups rice
2 cups thick coconut milk
1/3 cup sugar
2 tbs yeast
1/2 tsp cardamom
1 egg white
RECIPE ZENGINE KAMA HIZI ⬇️.
Jinsi ya Kutengeza Cinnamon Rolls Tamu Sana /Cinnamon Rolls ➡️ • Cinnamon Rolls /Jinsi ...
Mahamri /Jinsi ya kutengeneza Maandazi ya Custard na Maziwa /Swahili Bread Recipe ➡️ • Mahamri /Maandazi ya C...
Mkate wa Mdalasini/ Jinsi ya Kutengeza Mkate wa Mdalasini na Zabibu / Cinnamon Raisin Bread➡️ • Mkate wa Mdalasini na ...
Jinsi ya kupika Maandazi Laini ya Nazi /Mahamri ya Nazi/ Coconut Bread /Mapishi Rahisi ya Maandazi ➡️ • Jinsi ya kupika Maanda...
Jinsi ya Kutengeza Mzinga wa Nyuki Tamu san / Honeycomb Bread ➡️ • Mzinga wa Nyuki / Hone...
Jinsi ya Kutengeza Mkate wa Mayai Mlaini Sana / Sponge Cake ➡️ • Mkate wa Mayai /Jinsi ...
Jinsi ya Kutengeza Burger Buns Laini Sana / Burger Buns ➡️ • JINSI YA KUTENGEZA NA ...
Mikate ya Mofa /Mikate ya Unga wa Sima ➡️ • Mikate ya Mofa/Muufo /...
Mikate ya Mchele / Vibibi/ Jinsi ya Kupika Vibibi vya Tui la Juu ➡️ • Vibibi vya Tui la Juu ...
Rice Bread /Mkate wa Kumimina / Jinsi ya Kupika Mkate wa Sinia➡️ • Mkate wa Sinia /Mkate ...
Skonzi /Mapishi ya Skonzi Tamu Ajabu /Scones Recipe ➡️ • Skonzi /Mapishi ya Sko...
Mikate /Jinsi ya Kupika Mikate ya Nyama Mitamu Sana /How to Make Stuffed Bowl Bread /Eid Special ➡️ • Mikate /Jinsi ya Kupik...
Pizza /Mombasa Pizza /Swahili Pizza /Mombasa Sreet Food /Mkate wa Nyama ➡️. • Pizza /Mombasa Pizza /...
FACEBOOK ➡️ / tajiris-kitchen-100334...
INSTAGRAM ➡️ ...
#mkatewasinia #mkatewakumimina #tajiriskitchen

Пікірлер: 47
@Amena-z5r
@Amena-z5r Жыл бұрын
Very nice 😢😢❤❤
@asmaomar1471
@asmaomar1471 3 жыл бұрын
mashallah naumissssss
@dee2483
@dee2483 5 жыл бұрын
Very well explained.....cant wait to try it tomorrow......I've already soaked my rice.
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Thank you, dear, and welcome
@mwajumbetajiri3771
@mwajumbetajiri3771 5 жыл бұрын
Waooo waonesha ni mtamu sana
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 жыл бұрын
MashaaAllah bibie una rangu yakuvutia waonekana mtamu ..nauliza waeza tumia maziwa fresh ama lazima nazi
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Kwakweli sijawai jaribu na maziwa, pengine nazi ya unga. Yah nimtamu tu sana😊
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Asante my
@ajqualitycakes
@ajqualitycakes 5 жыл бұрын
Umetokea Masha Allah
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Shukran
@fallymetoo191
@fallymetoo191 4 жыл бұрын
Hongera sana 👍🏻
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Shukran
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah
@mayacel1391
@mayacel1391 4 жыл бұрын
This is beutifull👍👍
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Thank you
@zahramauba4821
@zahramauba4821 5 жыл бұрын
shukran dear
@ericshelton3162
@ericshelton3162 5 жыл бұрын
I love the coconut
@parmenamungatana5142
@parmenamungatana5142 5 жыл бұрын
Mmmh inavutia sana
@khadijabadawy83didaa85
@khadijabadawy83didaa85 5 жыл бұрын
Yummy
@krypnium
@krypnium 4 жыл бұрын
Is it three quarters cup of sugar or a third cup sugar?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
3/4
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
3/4
@krypnium
@krypnium 4 жыл бұрын
Why did mine have cracks ontop please help
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
That's normal
@radhinibolakulikamalizuber7316
@radhinibolakulikamalizuber7316 5 жыл бұрын
Thanks sory my ni naomba kujua kwny mchanyo w keki hamira hutiwa na kwny kutoka kwenye oven yatakiwa naomba ngp
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Hapana hutiwa kabla hujaeka kwenye Oven,alafu niliweka moto wa juu kwanza kwa mda ya 25 mnts alafu nikaweka moto wa juu na chini for another 25 mnts 180 Celsius
@radhinibolakulikamalizuber7316
@radhinibolakulikamalizuber7316 5 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 thanks nilikua namaanisha hamira hutiwa au haitiwi
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
@@radhinibolakulikamalizuber7316 Inatiwa hata sinimeweka vijiko viwili vikubwa
@abdullahalmahrooqi8306
@abdullahalmahrooqi8306 5 жыл бұрын
Salam shukuran sana swali langu daima wakati wa ku Backe mkate huwa unaanzia chini halafu juu, wewe umeanzia juu kisha chini na juu kwa wakati mmoja?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Waaleikum musalam. Ndio nimeanzia juu sababu juu huchelewa kuiva na pia kubadili rangi, alafu baada ya hapo niliweka moto wa juu na chini
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Na pia inatakikana uwe umewasha Oven yako dakika kumi na tano kwa moto wa juu na chini kabla uweke mkate wako, kisha ndio utoe uweke moto wa juu kwanza.
@lizcoms9283
@lizcoms9283 5 жыл бұрын
naona wengine huongeza yai, kumbe si lazima?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Nimeeka Ute wa yai, lakini pia sio lazima uweke.
@lizcoms9283
@lizcoms9283 5 жыл бұрын
Ok
@allatifsofia1662
@allatifsofia1662 4 жыл бұрын
Asalaam Aleeykum ute wa yai wasaidia Nini?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Kuzidi kuwa laini. Lakini kama haupendi sio lazima.
@allatifsofia1662
@allatifsofia1662 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 shukran wanted to know umuhimu, so it acts as a softening agent 🌹
@hadijaawadh3922
@hadijaawadh3922 5 жыл бұрын
Unaweza kutumia jiko la mkaa?
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 жыл бұрын
Ndio, tena utatoka vizuri Zaidi.
@hadijaawadh3922
@hadijaawadh3922 5 жыл бұрын
Ahsante ntajarb ila mkaa juu unakua mwing ee
@fatmahussein1238
@fatmahussein1238 4 жыл бұрын
Nitakuonyesha wangu ulivyotokea nisharoweka mchele
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Ok sawa
@pinerchao9256
@pinerchao9256 4 жыл бұрын
Yangu imetoka ngumu why
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Ulitumia chombo kikubwa sana kuoka ama?
@pinerchao9256
@pinerchao9256 4 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 nilitumia sufuria kubwa
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
@@pinerchao9256 Ndio maana basi ukawa flat na mgumu
@sofialion4925
@sofialion4925 5 жыл бұрын
Mashaallah
Makate or Rice Cake Makati or Mkate wa Sinia/Kumimina Mikate GLUTEN FREE CAKE
13:34
Pizza /Mombasa Pizza /Swahili Pizza /Mombasa Sreet Food /Mkate wa Nyama /Tajiri"s kitchen
11:02
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 19 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 27 МЛН
mkate wa mchele  /mkate wa sinia  laini  na mtamu sana /rice cake
6:12
Mkate wa sinia/Mkate wa Kumimina/Rice Cake #ricerecipe
4:18
Hadija Sheban
Рет қаралды 15 М.
Could this be the best Sweet rice bread ever???!
6:48
Swahili Food
Рет қаралды 20 М.
Mkate wa Sinia/Kumimina in English
6:55
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 26 М.
How to make swiss roll cake / Basic roll cake Recipe / Easy roll cake
8:37
쿠킹씨 Cooking See
Рет қаралды 62 МЛН
Vitumbua Vya Unga wa Mchele / Rice Flour Cakes Recipe /Vitumbua Recipe /Tajiri's Kitchen
7:14
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 103 М.
How to make Vanilla Sponge Cake / fluffy cake Recipe / Easy Cake / Genoise
7:32
쿠킹씨 Cooking See
Рет қаралды 46 МЛН