mkate wa mchele /mkate wa sinia laini na mtamu sana /rice cake

  Рет қаралды 205,794

Asha Yummy

Asha Yummy

Күн бұрын

Пікірлер
@samiasalim8322
@samiasalim8322 3 жыл бұрын
Mashalla mzuri mchele waisaga isikuwe na chenga kabisa
@KicksClique
@KicksClique 2 жыл бұрын
My favourite, I introduce people to my culture with this cake. It always wins them over.
@ambasseaugustoinsarare9973
@ambasseaugustoinsarare9973 2 жыл бұрын
Ma sha Allah,ninatengenesa Sá hivi
@sabrinathequeen4628
@sabrinathequeen4628 2 жыл бұрын
I like the way u explain ❤
@SaudaSalumu-oc2jn
@SaudaSalumu-oc2jn 4 ай бұрын
Mashallah mkate mzuru nitajaribu kupika
@rajskipperthecookingpilot8606
@rajskipperthecookingpilot8606 2 жыл бұрын
Masha’Allah Tabaraka’Allah umekuja vizur sana… The best 🤌😍
@amanisiyani8470
@amanisiyani8470 2 жыл бұрын
Hongera mkate mtamu Kwa macho tu unaonekana
@humayraa8636
@humayraa8636 3 жыл бұрын
Nimefanya leo imetokea vizuri shukran kwa recipe🥰
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
Asante na wewe
@ayyunittasweetandsassy4825
@ayyunittasweetandsassy4825 2 жыл бұрын
Assalam alaykum umetumia mchele gani
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 2 жыл бұрын
@@ayyunittasweetandsassy4825 Waalykumussalaam warahmatullah wabarakaatuh.
@ruksanaayub2745
@ruksanaayub2745 2 жыл бұрын
je ulitumia mchele upi hbbty
@humayraa8636
@humayraa8636 2 жыл бұрын
Nilitumia basmati au mchele wowote tu ule ni sawa muhimu ni kuroweka na mapema
@yumnasuwad2246
@yumnasuwad2246 2 жыл бұрын
Asante sana kwa pishi lako zuri nakushukuru kwa kunifunza na kujua kuupika mkate mzuri kama huo jazakallahu khair😘😘
@jescarsuleiman4286
@jescarsuleiman4286 Жыл бұрын
Umepimia kikombe gani dear !?
@mimaeqbal4236
@mimaeqbal4236 Жыл бұрын
Masha Allah ❤️ Alhadulillah umetokea nzuri Masha Allah ❤️
@khadijamahmud522
@khadijamahmud522 2 жыл бұрын
MashaAllah, tabarakallahu feek
@ZainabAllyMohamed
@ZainabAllyMohamed 11 ай бұрын
Mashaa Allah ntajaribu na mm ln shaa Allah
@selmezahor4696
@selmezahor4696 Жыл бұрын
W, ssalam warhmatullah wabarakatuh Ma Sha Allah Shukrn 😍😍,
@fatmayahya2483
@fatmayahya2483 8 ай бұрын
Nimekupenda bure dada....❤ shukran sana...yan huna papara ktk amelekezo yako...short and clead
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
MashaaAllah mpenzi huu mkate ni🔥🔥 Umewezaaaa mchele watundutundu napenda sanaaa mlainiii
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
sanaaa kipenzi nimejitahid mashaallah asante sana dear
@elizabethngao7753
@elizabethngao7753 3 жыл бұрын
Marshaallah
@pinarakbulut
@pinarakbulut 3 жыл бұрын
Love from Turkey 🇹🇷❤️🇰🇪🙏
@rizzokojah351
@rizzokojah351 2 жыл бұрын
MashaAllah Tabbaraqa Allahu 🥰🥰
@yasminhussein7426
@yasminhussein7426 11 ай бұрын
Mashaallah 💕
@sanifamohamedi-fx7vj
@sanifamohamedi-fx7vj 4 ай бұрын
Jamanii nilitaman sana pishi hili ❤❤❤❤❤
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH. Yummy
@an-nisamoon
@an-nisamoon 10 ай бұрын
Ahsante sister
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 2 жыл бұрын
Masha..Allah ntajarbu asubui Insha..Allah
@AblaSaid-uf2nm
@AblaSaid-uf2nm 2 ай бұрын
Assalam alaykum Michele mzuri ni upi
@khadijahaji2970
@khadijahaji2970 4 ай бұрын
Mashallah mashallah cku zote napenda mapishi yko...mm wangu cku zote unakua rojo au nakosea mchele ...mchele n gani
@aynatjoe5756
@aynatjoe5756 Жыл бұрын
Masha Allah,, kesho inshaallah naupika ukijaaliwa habibti,, asssante kwa maujuuuuz
@Jayjay-d8o
@Jayjay-d8o 3 ай бұрын
Uko smart sana
@TherezaLimbe
@TherezaLimbe 3 ай бұрын
Maashaalaah unaweza kpkia kwa oveni
@superdeeboy6100
@superdeeboy6100 3 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh mashallah mkate mzur ongera san
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
shukran love 🙏
@KezaNajma
@KezaNajma 11 ай бұрын
❤❤❤ congratulations 👏
@donathakavishe3091
@donathakavishe3091 3 жыл бұрын
Asante nimejua jinsi ya kuandaa mapishi ya mkate
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
asante sana
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Жыл бұрын
Hongeren sana dadangu
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Walykum salam warahmatullah wabarakat..ma sha Allah tabarakallah 😋👌
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
alhamdulilah
@irenegilbert6738
@irenegilbert6738 3 жыл бұрын
Una fundisha vizuri nimependa
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
Shukran dear
@mwantumumsema5093
@mwantumumsema5093 3 жыл бұрын
Mashaaallah maoni jaman kama unaonyesha recp / mapishi yako muwe mnatumia kiasi cha kilo gram na sio kikombe kimoja / kimoja na nusu tunapata ukakasi wa kuelewa vikombe vinatofautiana
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
Inshallah 😆
@sarahbaby9261
@sarahbaby9261 2 жыл бұрын
@mwantumu Msema.. kile kikombe utakacho kutumia kwa mchele bora na tui iwe hivyo hivyo.. kama utatumia mug yoyote kupimia mchele na tui iwe hiyo hiyo size ya mug.. na sukari utakisia size utakavyo ww kama umetia mchele mug 2 sukari waeza tia mug moja au upunguze kidogo
@hidayachamiti1094
@hidayachamiti1094 2 жыл бұрын
Apooo kwenye vikombeee 🙌
@abdimohd8647
@abdimohd8647 3 ай бұрын
Mashallah Allah ❤
@RakiyaMohamed-b8f
@RakiyaMohamed-b8f 6 ай бұрын
MaanshaAllah shukran ❤
@kassimally2713
@kassimally2713 3 жыл бұрын
Mashallah inshallah n me kesho natengeneza
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
Inshallah
@noorayaqoot1294
@noorayaqoot1294 3 жыл бұрын
Mashaallah mzuri na mlaini
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
shukran
@esterjoel1756
@esterjoel1756 2 жыл бұрын
Nimeipenda hy
@munirakombo3503
@munirakombo3503 3 жыл бұрын
Mashalla pishi zuri
@fatmakigai6972
@fatmakigai6972 9 ай бұрын
Samahani mchele ni yoyote au Michele ngani mzuri kupikia
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka ALLAH
@MaggieMkandawire-ki5mu
@MaggieMkandawire-ki5mu 5 ай бұрын
I like the way vou cooked the cake
@neelam507
@neelam507 3 жыл бұрын
👌👌👌👌👌 very nice 👍
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllahu
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
MaashaaAllah verynice Napenda umetoka tundutundu.
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
shukran
@shuu1984
@shuu1984 3 жыл бұрын
Mashaa Allah shukran sana
@reemaalwad3ani616
@reemaalwad3ani616 5 ай бұрын
Nimependa sana
@angelmwambashi6882
@angelmwambashi6882 3 ай бұрын
Nakuoenda sanaaaaaa
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 3 жыл бұрын
From 🇧🇮 Saudia mashaallah 😘
@AnisaKhalfan
@AnisaKhalfan 10 ай бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi ni mzur sana,umetumia mchele gani?
@AdelinaBruno-vx5qr
@AdelinaBruno-vx5qr Жыл бұрын
❤❤i like this
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Mashallha nitajribu kesho lnshallha
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
inshaallah dear
@mamalaozphilemon.8800
@mamalaozphilemon.8800 2 жыл бұрын
me sai nasema asante kwa wapishi humu KZbin sai nmekua fundi bdo hyo mume ajitoze nko apa biaishaa.
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 3 жыл бұрын
Mashallah 😋😋😋
@BJM-j2t
@BJM-j2t 8 ай бұрын
Naeza tumia maziwa
@mimaahmed6603
@mimaahmed6603 3 жыл бұрын
@asha yummy umetumia kikombe cha chai, maana vikombe vyetu saa nyengine haviko sawa
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
ndio mpenzi
@prettyfetty3731
@prettyfetty3731 2 жыл бұрын
Asante mkate mzuli sana
@tobimwinyi8856
@tobimwinyi8856 3 жыл бұрын
Nakumbuka panganii mashaAllah
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
hhhhhh asante sana sana
@aminaomary5003
@aminaomary5003 3 жыл бұрын
Mashallah ❤️❤️
@naomimakono8392
@naomimakono8392 3 жыл бұрын
Asante kwa kutupatia mafunzo mazuri
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
shukran sana
@sophias3334
@sophias3334 9 ай бұрын
Kwahio mm nitafanya nn n nko na nazi ya unga siez kueka maji hio Nazi ikawa tuwi kwan
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 Жыл бұрын
mashaallah
@asmaomar1471
@asmaomar1471 3 жыл бұрын
mashallah machozi ya zaina yametokezea vzur
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
sana dear shukran
@glammummy
@glammummy 4 ай бұрын
hello mimi nilipikabukawa kama una layer juu na chini ukatoka mzuri tuu sasa sijajua nilikosea wapi mpk ukawa na layer iyo iko kama sponge
@atkahasna8960
@atkahasna8960 3 жыл бұрын
Masha Allah umetumia mchele gn
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
basmat dear
@zahraahmed9109
@zahraahmed9109 3 жыл бұрын
Asalam aleikum nime jaribu lakini mchele haija sagika ina chenga iko sawa
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
nitahid usage iwe lain inside chenga nyingi utakuwa mzuri dear assnte
@GodizilaMwatao
@GodizilaMwatao 11 ай бұрын
Sawa
@أمصفيةالخير
@أمصفيةالخير 3 жыл бұрын
MashaAllah nimependa hzo matundu 🤤
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
shukran
@saadahamad3568
@saadahamad3568 2 жыл бұрын
A.alayakum Masha Allah mkate mzur naomba kuuliza,je kipimo cha mchele kinapimwa kabla ya kuroekwa au baada ya kuroekwa
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 Жыл бұрын
Kabla ya kuroweka
@fatumakadenge7696
@fatumakadenge7696 9 ай бұрын
Michele Gani ni mzuri kwa mkate wa sinia daa
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Waelekum salam aunty mashallah mashallah mkate umetolea vizuri sanaaa 😋😋👌🏻
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
sanaaa kipenzi changu asante sana
@dr.naseemahbarayan4449
@dr.naseemahbarayan4449 3 жыл бұрын
Je waweza weka ute wa yai?
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Huu.mkate.naupenda.lkn.sijui nakoseawapi
@ninaamri537
@ninaamri537 3 жыл бұрын
Nilazima uweke juu yajiko mimi nemejaribu naona unaungua chine halafu unachokota vipi nifanye
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
yes
@SaumuHamad-l6g
@SaumuHamad-l6g Ай бұрын
Mahalla nimzuri
@maiyaali3455
@maiyaali3455 Жыл бұрын
A.alaykum naomba kujua mchele mnao tumia
@mimaahmed6603
@mimaahmed6603 3 жыл бұрын
@ Asha Yummy umetumia kikombe cha chai? Maana vikombe vyetu vyengine, haviko sawa
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
ndio dear
@AnnaNeri-q3h
@AnnaNeri-q3h Жыл бұрын
Masha allah mkate mzuri ntajaribu kupika. Ni mchele aina gani mzuei kwa kupika mkate huu au wowote?
@HAWASAIDI-n5e
@HAWASAIDI-n5e Жыл бұрын
Mimi nikipika unakua mgumu sana nakosea wapi
@sharifamtonya2192
@sharifamtonya2192 10 ай бұрын
Moto ngapi umetumia
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
Waeza tumia mchele wa kitumbo?
@ashaomar7109
@ashaomar7109 3 жыл бұрын
mashaaallah very nice…mimi mvivu kuwasha jiko la makaa,huu ujuzi wa kupiga na gas utanipa sana…shukran sana ukhty
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
asante dear
@maariyama5142
@maariyama5142 2 жыл бұрын
Allahumabarik
@rosskendi7400
@rosskendi7400 11 ай бұрын
Do you have to preheat the oven first
@carolkimaiyo4259
@carolkimaiyo4259 6 ай бұрын
Dada Mimi hapa naishi kitale sijui kama ni bara ......kupata tui ni ngumu sana naeza tumia maziwa instead
@azmedmtwana8135
@azmedmtwana8135 3 жыл бұрын
Nzur
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Жыл бұрын
Naeza eka maziwa kama Sina nazi
@shaheroselalji9890
@shaheroselalji9890 2 жыл бұрын
In the video description you have written 1 1/2 spoons of rice instead of 1 1/2 cups. Kindly correct the error.
@zahorozahoro6039
@zahorozahoro6039 3 жыл бұрын
Maashallah
@nurukhamiskea457
@nurukhamiskea457 3 жыл бұрын
MàshaÀllah mkate umekubali hasa😋
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
asante sana kipenzi
@ruksanaayub2745
@ruksanaayub2745 2 жыл бұрын
asalam aleykum....je unatumia mchele upi plzz
@fatmaswareh5869
@fatmaswareh5869 2 жыл бұрын
wow mashallah nimejifunza kupika mkate wasinia uwa naupenda xana assante
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
👍👍👍
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
thank you
@queen-yx8uo
@queen-yx8uo 3 жыл бұрын
Mashalla mashallah hasbiyallah
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 3 жыл бұрын
Mashallah. Nice 1
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
asante dear
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
TabarakaAllah Ma Sha Allah
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
afwan dear
@abdhulkadirsalim5012
@abdhulkadirsalim5012 2 жыл бұрын
Assalm aykm..Mimi bado sijaweza kupika..nimejarbu Ila baada kuufinikia unakataa kutoka na unaachiliana .. naomba unisaidie Zaid tafadhali
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@nourathmahenge4958
@nourathmahenge4958 3 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
jazakalah khei
@abidasultan7580
@abidasultan7580 3 жыл бұрын
Masha allah
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
shukran
@zeeniism
@zeeniism 3 ай бұрын
Asante Sana dada
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 3 жыл бұрын
MashaaAllah dadaa umeongoka ..ila nauliza je waeza tumia maziwa km huna tui
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
sijawahi kutumia dear lakin unaweza kujaribu mpenzi shukran
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 3 жыл бұрын
@@ashayummy2299 Afwan dadaa
@NabahanySwahabah
@NabahanySwahabah 5 ай бұрын
Umetumia kikombe kipi kupimiaa ???
@angelinatesha9331
@angelinatesha9331 2 жыл бұрын
Kila nikipika hauivi, nakosea Nini?
Makate or Rice Cake Makati or Mkate wa Sinia/Kumimina Mikate GLUTEN FREE CAKE
13:34
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Mango Basil Bonbons: The Ultimate Sweet Delight!
10:18
Sweet Kitchen Skills
Рет қаралды 659
mkate wa mayai  mtamu sana /sponge cake
4:34
Asha Yummy
Рет қаралды 4,7 М.
MATHNA{UKEWENZA} full movie
3:05:29
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 185 М.
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
Mkate wa Sinia/Kumimina in Kiswahili
6:55
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 430 М.
Ladha ya Mapishi | Mkate wa Sinia  | Chef Sheikha Lali | Episode 7 |
5:35
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН