Рет қаралды 19,346
Unga wa ngano vikombe 4/gram 500
sukari kjk 1 cha kulia
Hamira vjk 2 vya chai
Baking powder 1/2 kjk cha chai
Chumvi kjk 1 1/2 cha chai au zaidi
Nazi ya unga vjk 5 vya kulia
Maji vikombe 2 mpaka 2 na 1/2 / 625 ml
Samli au mafuta ya kupikia kjk 1 cha kulia
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world