Asante, ndo hivo tufundishane. Na mimi pia nitapenda kama mkinipa tips za kupika maana sijui nilisokijua 👍🏼😄
@faduladula74145 жыл бұрын
Upo vizuri Dada kwa mapishi.
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
asante 😊
@mariamissaahmed76755 жыл бұрын
Napenda sana recipe zako.Umefanya familia zetu ziwe na furaha Shukran
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Asante sana, nimefurahi sana kwa maneno yako. Shukran ❤️
@aminarusheinali23695 жыл бұрын
Mashallah
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
😊
@yusufsalim35455 жыл бұрын
Asante sana mungu akupe kheri
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Asante sana, Amin 😄
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Nina uhakika ina ladha nzuri sana
@sofiamasseelyas75536 ай бұрын
Bonsoir. Vous pouvez me combien de tasse ou millilitre de lait de coco merci.
@preciouse295 жыл бұрын
Masha'Allah
@asmaomar87885 жыл бұрын
Mashaallah mapishi rahisi na mazuri Mungu akubariki
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Asante sana 😀
@adeiali78805 жыл бұрын
MashaaAllah mapishi rahisi shukran
@adeiali78805 жыл бұрын
Natamani kijuwa vipi kupika nyama ya mashkaki please shukran
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Asante, nyama ya mishkaki hata mimi natafuta jinsi ya kupika. Jamani unanitamanisha mishkaki sasa
@sofiamasseelyas75536 ай бұрын
Bonjour. Le lait de coco c'est combien de tasse ? Merci
@SwahiliSpicE5 ай бұрын
It depends how thick your coconut milk is my dear. If really thick then you add more water. I just do it by eye. It comes with practice. Hope that was helpful.
@aviwaomar4395 жыл бұрын
Wow
@zuwenshemedy73824 жыл бұрын
Mana hii rezemshen yk haitaki haraka leo kwa kesho
@a.8565 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@safianassir38435 жыл бұрын
Leo vitumbua kesho mkate wa ufuta in shaa Allah Jazak allah kher
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Nimekuskia mama! Bado mapishi mengine ya mikate ya ufuta yana kuja, yana matokeo tofauti kabisa.
@tumakassim62865 жыл бұрын
Mashallah 👌👌
@ashasalamam32374 жыл бұрын
Tuongeze mambo (mapishi) zaidi ya kiasili Chaza Za Nazi Papa mkavu wa Nazi ,nk.....🌷🌷🌷 Tunapenda kukumbuka tulikotoka......
@zennaabdullatwif77185 жыл бұрын
Shukran sweetheart
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
I appreciate your support, Shukran 😄
@zeejaff29485 ай бұрын
Uki weka 1 egg chapati zina kua laini sana..
@yubashir755 жыл бұрын
Asalaam Alyakum. Tui ni kikombe vingapi au wakisia. Na oven temperature waeka ngapi
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Tui na kisia. Sitii ndani ya oven, na tia chini ya grill tu.
@rehemaradhid57165 жыл бұрын
Nice cook
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Thank you 😄
@zarnamaleche90065 жыл бұрын
Dada tafadhali niambie ulipo nahitaji kujifunza zaidi
@zakiyatwaib9225 жыл бұрын
asalaam aleykhum, swali: mkate wa ufuta baada ya kuchanganya unauweka kwenye fridge kabla au baada ya kuumuka ?
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Waleikum Salaam. Baada ya kuchanganya ndo unauweka ndani ya friji. Kama unataka, unaweza ku umuwa mara mbili. mara moja ndani ya friji, na mara nyengine nje, ita kuwa nzuri zaidi hivo. Asante
@faridahalil44562 жыл бұрын
Tui hujasema kiasi gani? Ama kukisia tu?
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Watch the English version of this video here - kzbin.info/www/bejne/q3S3fmaobJqGeZI ***Tip: usi kate mkate wako wakati moto sana ukiwa umetoka kupikiika. Acha upowe kidogo ili ndani umalizike kutilia.
@khadraadam93275 жыл бұрын
mapishi mazuri na rahisi asante
@zuwenshemedy73824 жыл бұрын
Nimepeda nitajaribu
@SwahiliSpicE3 жыл бұрын
Asante sana!
@banobaluchvlog23935 жыл бұрын
Hi Sister can you please put the recipe in English thank you
@banobaluchvlog23935 жыл бұрын
Never mind sister I find the English video from you thank you
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
wonderful, thank you 😄
@AbcXyz-yl5xy2 жыл бұрын
Where is the english version?
@zeinababdallah69295 жыл бұрын
Je nilazma kutia kwenye fridge??
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
ata sio, unaweza ku umuwa nje, lakini umuwa mpaka uone unga unavutika. Nimesha wahi ku umuwa mara 4/5, lakini bila ya kupiga.
@zeinababdallah69295 жыл бұрын
@@SwahiliSpicE shukran sana mammy ntajaribu kesho In Sha Allah
@nuruamer53415 жыл бұрын
Kwenye mahitaji.
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
samahani, asante kuniambia. Nime maanisha ‘mafuta’, nimesha rekebisha. Shukran
@rehemamajura77935 жыл бұрын
Kwani ni lazima kuweka kwenye friji
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
si lazima. unaweza ku umuwa nje, lakini usi ogope ku umuwa mara nyingi, mpaka unaona unga unajivuta.
@rehemamajura77935 жыл бұрын
Shukrani
@husnaali27895 жыл бұрын
Je unaweza kupikiya kwenye oven
@SwahiliSpicE2 жыл бұрын
Unaweza kupika nda ya grill
@yaninamajidy6965 жыл бұрын
Axant nimeelewa
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Asante sana
@salma233285 жыл бұрын
ok
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
are you mocking me 😂 It’s hard not to say ‘ok’
@asiy22835 жыл бұрын
😍😍
@omanseeb86094 жыл бұрын
Napend mapish yak my
@nuruamer53415 жыл бұрын
A.aleikum ni nini maguta.
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Samahani, sijakuelewa. kama nimeseme katika video, nielekeze dakika gani nimesema ili niende kuona
@yaninamajidy6965 жыл бұрын
Je kama huna chuma unafanyaje
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
jaribu kutumia ulonacho, kama haifai, itabidi utafute chuma yoyote ujaribishe
@tumaomar8155 жыл бұрын
Kesho nitajaribu kupika
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
asante, utapenda, rahisi sana
@omanseeb86095 жыл бұрын
Nijifunza ni rahis san tuk pamoja
@SwahiliSpicE5 жыл бұрын
Oman Seeb Asante mama, “tuko pamoja” - I love it 😄