MKE NA WATOTO wa HUSSEIN JUMBE WASIMULIA DAKIKA ZA MWISHO za JUMBE AKIWA ICU - ''AKING'ATA MDOMO''

  Рет қаралды 28,769

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@husnaali1610
@husnaali1610 Жыл бұрын
Naitwa Husna Ali said kutoka Oman Jamani tujitahidi tusiharibu dini kizuka hatakiwi kuongeea kwasauti nawatu ambao wanaweza wakamuowa,Kwa mujibu wadini yakislam haipenzi kuonekanwa nakila MTU anaongea kwasauti samahani kamantakua nimewakosea.kuongea.lakini,hakuna mkamilifu,zaid ya Allah.
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Жыл бұрын
Innalillah wainnailaihi rajiuun Allah amjaalie kauli thaabit. MSIBA mwingine ni hali ya kiuchumi jinalake na NYUMBAYAKE haviendani umaarufu isiwe chanzo cha KUTENGENEZA maskini WENYE majina makubwa sanaa iwe ngazi
@ashaayoub3653
@ashaayoub3653 Жыл бұрын
Tatizo saif tunajifanya wadhungu kiukweli ukiwa eda ata sauti ulusiwi kutoa, maswali yote wangejibu wasemaji wafamilia sijapentaa😏 Allah awasamehe.
@MsafirChampion
@MsafirChampion Жыл бұрын
Acheni ujinga mnataka aongee VP sasa angalien maisha yenu
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
​@@MsafirChampion hujui dini eda inazuru
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 Жыл бұрын
Kufiwa kugum sanaa Inna lillah waina ilayh rajiuun Allah awape subra Poleni sanaaa
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 Жыл бұрын
Kwa kweli kugumu jamanii
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun Allah ampe kauli thabiti🤲
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Wenzangu dah waislamu biashara nyengine mtihani unakwenda mbele ya mungu na hii CV kwelii katoka hapa kenda pale kuimba mpaka amekufa Allah atupe mwisho mwema
@MassoudAlly-c9e
@MassoudAlly-c9e 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu anajua zaidi
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Dini ishaenda hovyo ndy nayaona kwa vizuka wa sasa mke unaongea km sio mfiwa Subhannallah macho juu unahojiwa na mwandishi wakiume someni dini muelewe jaman msimkosee Allah kwa vitu vidogo
@zamzammohamed4821
@zamzammohamed4821 Жыл бұрын
Kweli kabisa ile stara ya kizuka ata haipo😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Khatari sana
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Kweli labda wao ndiyo wanajulikana mmmh kizuka anasema waendelee kutunga dah
@frankmbijima399
@frankmbijima399 Жыл бұрын
Kwakweli maana daaah
@patrisami8405
@patrisami8405 Жыл бұрын
Kwahiyo ulitak alie agare gare wabongo punguzen maneno mnaboa wew unay jua din mbon kutw unatend dhambi
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Jaman mbona aibu mnapeleka mwandish mbovu kama huyu jambo gumu anahoji watu waloguswa namsiba direct maswali yakijiweni hajui hata kuhoji pumbavu sana
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Allha amfanyie wepesi aafaliyake yamwisho
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Жыл бұрын
Mzee anaumwa vibaya nahaliumeiona ww kijana umepataje moyo wakwenda kuangalia Mpira dah nihasara ilioje umepoteza point dakika zamwisho sw polesana
@abdulomar608
@abdulomar608 Жыл бұрын
Allah ampe kauli thabiti inshaallah 🤲
@hyy4114
@hyy4114 Жыл бұрын
Allah akupunguzie adhabu za karbun nawe mwanamke mungu akusamehee kwa ulichokifanya mume amefarik unakuwa na nguvu hzo za kuongea hivyo Allah atuongoze wanawake ndomaana tumejaa moton hata Hiyo ibada ya eda kwel utaitekeleza ilivyo Allah alamu wa Rasuli
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Hivi we mtoto wa marehemu hizo Nywele zinapata maji kweli?Au ndio usanii?R.I.P Jumbe
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Allah ampe mwisho mwema
@saitawilson7307
@saitawilson7307 Жыл бұрын
R.I.P mzee jumbe..poleni wafiwa
@Ybmmediatz
@Ybmmediatz Жыл бұрын
Mtumishi Hossein Jumbe - Nachechemea
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Жыл бұрын
Hata aibu huna kwenye media baba anaumwa Upo busy na mpira
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 Жыл бұрын
Kizuka jmn😢daah Allah akusamehe marehemj kizuka ameinuka mbele za watu na kwenda nje nguvu hiyo umeipata wapi😢
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Jamani waandishi mnakosea huyo nikixuka haifai. Kutoka sauti yake wala kuonana na mwanaume alikuwa si maharim wake mnakosea
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun mungu ampe kauli thabiti kaburini mwake inshallah 🤲🤲🤲😭😭😭luiza ungevua tu hiyo miwani dada angu 😢😢
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Жыл бұрын
Watu_hawataki_,Kusoma
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@habibakhalfan1065 mtihani lakini tumuombee tu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@habibakhalfan1065 hee hatari
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Inna lillah wainahy llah rajioun poleni sana
@CharlesPalangale
@CharlesPalangale Жыл бұрын
Rest in peace husen jumbe
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
Innalillaih Wainnaillaih rajiuun
@saidomary6414
@saidomary6414 Жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
RIP mzee waliongea dah! Hatimaye Mungu amekuita mja wake tutakukumbuka na nachechemea
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Dah hatari Allah atupe mwisho mwema inshallah
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 11 ай бұрын
Kizuka sura wazi
@remiomar7154
@remiomar7154 Жыл бұрын
Jamani wanake ndio tukaambiwa wenge tumeonekana motoni kuliko wanaume ....hy dada siyuko kwenye eda 🤔???
@ilhamkarama9518
@ilhamkarama9518 Жыл бұрын
Kama walitaka maelezo yaliyo na uwakika wanayapata wap
@yusrahamad2939
@yusrahamad2939 Жыл бұрын
Mtihani huu
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
Yan labda hawakufunga ndoa
@zahraalhabsi7931
@zahraalhabsi7931 Жыл бұрын
Haifi kabisa kumuhoji mtu akiwa eda,subhallah 😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
​@@ilhamkarama9518 ndo hapo sasa
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Inna Lillah wa Inna Ilaihi Raajiun
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Dah hosen jumbe amepitia mengi juzitu lakini wakati umefika
@abdulomar608
@abdulomar608 Жыл бұрын
Allah ampe kauli thabiti
@sarahmwakilasa7425
@sarahmwakilasa7425 Жыл бұрын
R.ip Huseni jumbe
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Жыл бұрын
Luiza mbn km membe?
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Allah amrehemu
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 Жыл бұрын
Eh ndo najua leo kama kafarik huyu mtu
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Uchungu hauna dini
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 Жыл бұрын
Nikweli sijawahi kuona haya kutolewa kizuka kuja nnje kuaga kizuka kuhojiwa na wansema haluhusiwi kuongea na mwaume yoyote asiye kuwa haramu yake hadi 40 mnaiga mambo ya upande wa pili basi wangempeleka makabulini akaqeke udongo
@muhammedabdallah6335
@muhammedabdallah6335 Жыл бұрын
Usionge kitu ambacho huna Elimu nacho amekwambia nani mtu akifiwa hatakiwi kutoa sauti msifanye dini kuwa ngumu kwa mila zenu
@user-gb3fk1yt8n
@user-gb3fk1yt8n Жыл бұрын
Jaman ni haram haifai. Kabis
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Жыл бұрын
Masikin pole mama
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Eeh Mungu
@samhattemba2233
@samhattemba2233 Жыл бұрын
R I P
@songombingo108
@songombingo108 Жыл бұрын
Luiza Mbutu..... Matokeo ya kutumia Mkorogo ndo hayo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
😂😂😂tuko na msiba plz 😅😅😅na hiyo miwani🤭🤭
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Mtihani Allah atupe mwisho mema dah Duniani kuna mengi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Mbona yuko vizuri jamani, hii ndio rangi yake, mlizoea weupe, namfahamu vizuri
@momosaid6193
@momosaid6193 Жыл бұрын
😂😂😂jmn
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Rangi ya Luiza ya sasa ni nzuri tu haina tatizo mimi nimepumzika kutumia mkorogo mwezi sasa umepita na nipo mweupe vile vile rangi haijabadilika sababu natumia mkorogo original wa dukani
@janemwenda7627
@janemwenda7627 Жыл бұрын
Mtangazaji rudi shule
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 37 МЛН
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 9 МЛН