MTOTO AFUNGIWA NDANI SIKU 3 BILA CHAKULA, AMTAJA MAMA MKUBWA, MWENYEWE ASIMULIA MAZITO..

  Рет қаралды 19,827

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 2 жыл бұрын
Huyu mama mkubwa alikuwa na mpango mchafu juu ya huyo mtoto, walitaka kumtoa kafara wasingizie alipotea,Mungu nipe umri mrefu nilee watoto wangu mwenyewe
@matildamushi1741
@matildamushi1741 2 жыл бұрын
Shida wanawake mnapenda sana kuolewa olewa hamuangalii umri mlionao unaacha watoto kwa ndugu ili ukaolewe huku mkiaminiMaisha yanaweza kuwa mazuri
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 2 жыл бұрын
Ukiwa hai mlee mwanao,usimwamini mtu inasikitisha mno
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Subhannallah 😭 😭 😭 Haya mambo yanatuumiza tuliopo nje tumeacha watoto jaman tumuamini nani dunia hii ndugu wabaya mama wa kambo wabaya sasa tufanyaje na maisha yanatuumiza mno eeh Mungu tulindie vizazi vyetu🤲
@mwanaidiali6166
@mwanaidiali6166 2 жыл бұрын
Mwenzangu mungu atulindie kwakua tupo kwa ajili yakuwatafutia rizki
@maphitamaphita3091
@maphitamaphita3091 2 жыл бұрын
Mung atujaarie maana tulipo mbal sn
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 жыл бұрын
Nyie ach3ni tu nikiona hiv naishiwa nguv
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 жыл бұрын
My dear Allah atuhifadhie inshaallah yaaaani wee achaa sisemi kitu
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Tulee watoto wetu jamani ndugu wamebadilika sana
@jonzinamwakisyala107
@jonzinamwakisyala107 Жыл бұрын
Mmmmh mungu nipe uzima kwa ajili ya wanangu!
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Khaaaaaaaaa ma mkuu ndio unafanya ivyo ni Ajabu xna, kwanza wangemchapa viboko 100 kabra ya yote ... ....!!!!
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 2 жыл бұрын
Simpi mtu mwanangu nikiwa nipo hai
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Alikua na nia ya kumpeleka wapi?!! Jamani kina mama, pambana na hali yako, umezaa lea, kile utakula atakula! Ndg au baba/ mama wa kambo hawaaminiki kabisa dunia ya leo! Mungu atusaidie sana.
@evachuw8092
@evachuw8092 2 жыл бұрын
Mama uyo apelekwe kwenye kiwanja Cha Kijiji mwano upigwe wananchi watoke. Wote schapwe hayo matako Hadi azirai 😭
@kirigitidorothy7201
@kirigitidorothy7201 Жыл бұрын
😄😄😄😄
@raheljoshua6725
@raheljoshua6725 2 жыл бұрын
Chukua mwanao dada acha upumbavu uyo mtoto umlee mwenyewe
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Mmmmh mtihani kazi kweli kweli au alikuwa anataka kumtoa kafara
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Umeonaee mpaka mtu unahisi vibaya kwanini amfungie ndani alafu atangaze kapotea mmmmmmm kunakituhapo
@joycekalago532
@joycekalago532 6 ай бұрын
Mama wa mtoto mwenyewe anaonekana punguani hata uongeaji wake linaongea linaremba kinadhan kuna mtu anakitaka hapo,kwanza kiko kawaida hata hof hakina😢😢😢
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Nachukie wanawake wenye NGUVU zao. Wanaoacha watoto wao walelewe Na watu wengine wao wanakula Bata
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah ukatili gani huo jamani umfungie ndani mtoto siku TATU bila chakula na wewe ni mama mkumbwa ukatili gani huo jamani
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 жыл бұрын
Ndo muwe makini mnapopeleka watoto kulelewa
@zenakihondo5195
@zenakihondo5195 2 жыл бұрын
Jaman jaman ubinadamu unaenda WAP mbona wanawake tuna roho ngumu natunajua uchungu wa Reba serika ebu mpeni adhabu uyu mama aliyefanya ivyo afungiwe wiki nzima asipewe maji wala chakula muuaji uyo.
@rhodamwakaje778
@rhodamwakaje778 2 жыл бұрын
Mnapenda dezo bint mbich anagawa mtoto km nyanya
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 жыл бұрын
Meonaaa wanawake wengine wa ajabu sana
@angeljasson4376
@angeljasson4376 2 жыл бұрын
Alitaka kumuuwa kwa mambo ya kishetan
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 4 ай бұрын
Wazazi fungueni akili kulelewa watoto hata maisha ni magumu mungangane na watoto wenu ukiza na ule mwenyewe
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Kunakitu kixito hapo kwa mama mkubwa huyomlezi
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Jamani tukae na watoto wetu sasa hivi dunia imani imekwisha jamani!
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 жыл бұрын
Sasa amepotea au alifungiwa ndani.mana alikutwa hapo hapo home.mmm jamani jamani mengine wacheni kuchanganya watanzania
@peninamsuko4858
@peninamsuko4858 2 жыл бұрын
U si amini m2 katikahii dunia amini mungu 2
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Kama uliweza kubeba mimba miezi 9 ,ukamzaa unashindwa Nini kuwa na mtoto mama.??????
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Kwanza mume anaye taka kukuwoa mwambiye namtoto au watoto sasa mnakua mnaficha nini simambo yahajabu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani inawezekana yote hayo ni mambo ya tamaaaa
@tatumwakitwange8369
@tatumwakitwange8369 2 жыл бұрын
Huyo ma mkubwa alitaka kumua huyo mtoto
@patrinussanga3081
@patrinussanga3081 2 жыл бұрын
Hiyo mama si anauza yeboyebo black
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Wamama walezi na mama wakambo wanatesa jamani.
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 жыл бұрын
huyo mama kwa mungu atajibuje
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Duuuuh
@janejohn1083
@janejohn1083 2 жыл бұрын
Uwiii
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Alitak kumuuwa binadam sis jmn
@sarafiamakilika9975
@sarafiamakilika9975 2 жыл бұрын
Acheni kumpa ma mkubwa lawama, ameshachoka kulelea lkn mnaaminije kuwa mtoto hajala siku tatu? Hebu huyo mama abebe mwanae aende nae bwana,maisha magumu bwana aende na mamaake,hapo ma mkubwa alitumia saikolojia tu,pengine mamaake aligoma kuchukua je? Leeni watoto wenu,acheni dezo dezo mtaua watoto
@nasraomari7235
@nasraomari7235 2 жыл бұрын
Roho yake tuu mbay uyo mama mkubw au ushirkin tu apo nd umfanyie ivo mtt wa ndugu yak
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Km kachoka amwambie tuu amchukue mwanae bc
@sophialemmpalasu4133
@sophialemmpalasu4133 2 жыл бұрын
Huyo mama mchawi Nini?
@keytanwhite4847
@keytanwhite4847 2 жыл бұрын
huyo mmama wakupigwa hazalani
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 жыл бұрын
Saivi binaadamu hawaaminiki
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 2 жыл бұрын
hee makubwa
@MuunganoMwakifwamba
@MuunganoMwakifwamba Ай бұрын
Mh,
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Mtu uhai mzima na hupo nje km unafanya kazi upo hapo hapo unaachaje kulea mwanao km si uvivu? Mtto kulea ni kazi ndio mana kazi hio w'ke wavivu na wanaopenda dunia hawaiwezi. Sasa utamlaumu vp mtu mwengine na ww mwenyewe ilikushinda?
@keytanwhite4847
@keytanwhite4847 2 жыл бұрын
apewe kipigo mamamkubwa
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 жыл бұрын
Waandishi hawajielewi unauliza swali moja mara mbili hadi mtu unaona kazi kusikiliza
@esterhezron6143
@esterhezron6143 Жыл бұрын
Yan mwandishi mahumashi huyu hatr
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 жыл бұрын
Hilo limama lilitaka kumtoa kafara
@getrudathomas535
@getrudathomas535 2 жыл бұрын
Mamkubwa huyu sio mtu mzuri achunguzwe
@sabinachachaghatinafajiwan9830
@sabinachachaghatinafajiwan9830 Жыл бұрын
Acha nife na wakwanga hata nikilala jaa ila niwe na amani jamani uchungu. Sana.
@shalomkubali4884
@shalomkubali4884 2 жыл бұрын
Duu makubwa
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 26 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 21 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 20 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 14 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 26 МЛН