MKE WA JIRANI - YALIYOMKUTA KIJANA HUYU OMBA SANA YASIKUKUTE - NI SIMULIZI YA KUSISIMUA SANA

  Рет қаралды 54,671

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Niliyagandisha macho yangu juu ya mwili wa mke wangu ambaye alikuwa akiondoa vyombo juu ya meza baada ya kumaliza kupata kifungua kinywa.Moyoni nilijisifia kwa kupata mwanake mzuri wa umbo na tabia kitu ambacho ni nadra katika dunia ya leo, ukipata mwanamke mzuri basi tabia yake mbaya.

Пікірлер: 167
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 11 ай бұрын
Wakwanza like zangu 😊
@Fatum112
@Fatum112 11 ай бұрын
Wow..Ankojay i miss you... uuuuuwiiiii.sauti hiyo😊😊❤️❤️❤️❤️❤️❤️ mashaAllah mungu Akupe umri mrefu na uzima nakupenda sana
@uwimanazaujia5038
@uwimanazaujia5038 11 ай бұрын
❤😊🙏
@uwimanazaujia5038
@uwimanazaujia5038 11 ай бұрын
Nakupenda sana mimi bibi kize😅
@Fatum112
@Fatum112 11 ай бұрын
@@uwimanazaujia5038 😂Asante babu kize
@MaryamMasudi-n3v
@MaryamMasudi-n3v 11 ай бұрын
Nimekuwa wakwanza ankojay love you ❤❤❤❤❤❤❤
@kibibi7826
@kibibi7826 11 ай бұрын
Nlivyokua nimepoa kweli Anko jay akaleta kuchamsha akili😍😍😍
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 11 ай бұрын
Asante anko jay jamani am obsessed to your voice kwa kweli asante sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gladyssamba8370
@gladyssamba8370 11 ай бұрын
Thanks sana ankol jay utafanya usiku wa leo kuwa nzuri ❤❤❤
@sabinamasangwa293
@sabinamasangwa293 5 ай бұрын
Aaah sijapend asee khaa wajn wangu kweli ana tabia mbayaa hviii uwiiiiiih nabadili hii jina
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 11 ай бұрын
Haki mungu azidi kukubariki kila wakati kaka yetu kwa kazi nzuri na juhudi zote congratulations 👏👏👏🎉 🎉🎉 my wetu kipenzi ❤❤❤❤
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 11 ай бұрын
Jirani mwenye roho mbaya ya shatani ndiyo Hapendi watu wa mungu
@Dasoor-tt3vf4dj8i
@Dasoor-tt3vf4dj8i 11 ай бұрын
Wakwanza leo naombeni like zangu
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 11 ай бұрын
Nipoa but inatisha sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪 and
@binthassan9191
@binthassan9191 11 ай бұрын
Nadhani mke wa jirani anataka minza awe mbali na mumewe ili apate nafasi na yeye😂😂na yeye ndio nadhani alipiga simu😅
@ElishaHaonga-h4v
@ElishaHaonga-h4v 11 ай бұрын
Nice anko jay😃😃😄
@GraceShansila-f1f
@GraceShansila-f1f 11 ай бұрын
Anko jay napenda sana sauti yako ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@soudedward3779
@soudedward3779 11 ай бұрын
J uko active kwenye kusimulia ht kama filamu mbaya itakuwa nzuri,,,,ht sehemu ya mzagamuo unaongelea kwa TAFSIDA ,,,,KIAS KWAMBA UNASIKILIZA POPOTE
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 11 ай бұрын
Shukurn Ankojay 🙏 ❤️
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn 11 ай бұрын
Ubarikiwe uncle
@RuwaydaIssah-hx5xr
@RuwaydaIssah-hx5xr 11 ай бұрын
minza msukuma n ni mremb wa vyot kama Mimi RUWAYDA 😋 thanks ank j
@ToumaKhalid-g6o
@ToumaKhalid-g6o 11 ай бұрын
Duuu watuwako fasta❤❤❤
@RamadhanMr.d
@RamadhanMr.d 11 ай бұрын
Kinoma
@Karimiddylenje
@Karimiddylenje 11 ай бұрын
Wa kwnza leo like zangu❤❤❤❤
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 11 ай бұрын
Yaani hiyo yote ilikua ndoto???😂😂😂😂😂😂?jamani usiombe yakukute hayo.mke wa wenyewe sumu🥺🥺
@gabriellasifa8987
@gabriellasifa8987 11 ай бұрын
Leo wakwanz jaman ❤❤
@FatumaSaid-y7c
@FatumaSaid-y7c 11 ай бұрын
Mashallah ♥️♥️
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 11 ай бұрын
Anco j leo. Umeweza wallah simulizi 2 ndani ya siku moja..big up Anko.
@aminarama1633
@aminarama1633 11 ай бұрын
MashaALLALH Alhamdulillah
@FrolaMajaliwa
@FrolaMajaliwa 11 ай бұрын
Mambo ndo hayo!
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 11 ай бұрын
Wale wakupitia comments be4 tuanze kuskiza gonga like tukisonga
@mayaalshukairi9485
@mayaalshukairi9485 11 ай бұрын
Hiyo ni nodoto au ni kweli
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 11 ай бұрын
Ancojay we love you❤❤❤❤
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 11 ай бұрын
❤❤❤
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz 11 ай бұрын
Ankojay leo umetupa kilalio kaz nzur sana anko❤❤❤❤❤
@EmmanuelThomas-v5f
@EmmanuelThomas-v5f 11 ай бұрын
Thanks you anko jey
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 6 ай бұрын
Heri ungekubali fedheha ya kumkataa kushawishiwa kuzini na mke wa jiran yako kuliko tuhuma za kifo
@johnkuma6867
@johnkuma6867 11 ай бұрын
Simulizi poa sana.Hakika sioni vile mtuhumiwa angejitowa hapo. Mke wa mtu anafanya nini kwako kiasi mauti yamfikie? Kaa mbali na wake za watu 🇰🇪
@latifahsimba
@latifahsimba 11 ай бұрын
Dah mpk nimelia alaf ni ndoto duh🤣🤣
@JapharMakame-oz2rs
@JapharMakame-oz2rs 11 ай бұрын
Perfect voice
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 11 ай бұрын
Asante ankoj kwa kutuletea cha kulala usingiz mubasha 😊 roho inapenda🤗 kitu Nadra kma jina langu shukran Ally mbetu❤❤❤❤❤
@binthassan9191
@binthassan9191 11 ай бұрын
Dah..sauti imefanya mpk masikio yakazibuka 😂😂MKE WA JIRANI ni karembo jamani kipua chake sasa kama firimbi ya mpirani 😂😂😂 Ahsante Anko jay kwa kutupa kigongo cha kulalia😅😅
@shaklamwai7868
@shaklamwai7868 11 ай бұрын
Nimewahi kidogo ❤❤❤❤❤❤
@JapharMakame-oz2rs
@JapharMakame-oz2rs 11 ай бұрын
Nc work
@augeniamasha4626
@augeniamasha4626 11 ай бұрын
Akoj Asante kwa kutupeleka uzinzani. Hata sisi leo tumefurhia😊😊😊🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@jokhajj
@jokhajj 11 ай бұрын
Wa kwanza like zangu jaman😂😂
@emmanueljiwoo580
@emmanueljiwoo580 11 ай бұрын
Hayo ndo mambo sasa ayani atupoi toa kiyu weka kitu
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 11 ай бұрын
yani hy mambo uyasikie tuu kwa mtu usiombe yasikuteee jela unaiyona iyo mbele ya macho yk😅😅😅
@aminah9557
@aminah9557 11 ай бұрын
Mke wa jirani kafia geto dhaaa😢😢😢😢 msala huo
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 11 ай бұрын
Chuki na fitina ,dhrau ,chuki siku zote huwa ni silaha kubwa kwa kila adui wa mwanadamu ,ila haki ikifuata mkondo mambo yote huwa inamweka mtu huru
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 11 ай бұрын
yani uyo mke wa jirani ni balaa sana mwanamke anajiraisisha vibaya mno mbk amemuingiza mwenziye kwenye matatizo kwa ajiri ya tamaa za kimwili zilizo mpelekea kifo chake
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 11 ай бұрын
Kiswahili chako saaaaaafi kabisa. Asante sana
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 11 ай бұрын
Wow leo nimepitwa sana
@noonnoon9476
@noonnoon9476 11 ай бұрын
Watu hawalali kwa anko jay mambo nimoto kabisa
@victoriangasa
@victoriangasa 11 ай бұрын
Naomba like jmn najua nmechelewa 🎉🎉
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 11 ай бұрын
Aahh kumbe ni ndoto 😂😂😂,no wonder imeisha haraka❤❤ but am still waiting for UNTIL FOREVER part 2 , thanks Ankojay simulizi😂😂😂😂
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 11 ай бұрын
Waaah umeamua kutusapraise Leo 🎉🎉🎉 najioni wallai asante Sana aki j
@ankojay_
@ankojay_ 11 ай бұрын
😊😊 kwa sababu nawapenda sana, nimeona niwaletee hii mpate kuinjoy
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 11 ай бұрын
​@@ankojay_we love you more
@jokhajj
@jokhajj 11 ай бұрын
​@@ankojay_tunakupenda pia 😊
@zainabjordan5659
@zainabjordan5659 11 ай бұрын
Thanks ❤❤❤
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 11 ай бұрын
majirani wabaya 🤔🤔
@خديجه-و1خ
@خديجه-و1خ 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@JapharMakame-oz2rs
@JapharMakame-oz2rs 11 ай бұрын
😅😅😅 Respect for you AncleJ
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 11 ай бұрын
😮😮😮😮😮😮hatari sana sani
@speciozamikole2194
@speciozamikole2194 11 ай бұрын
Yaani nyie watu ni wasanii na mna kipaji Sana yaani hadi mwisho n mm nilikuwa ninalia tu kwa kumsitikia underson kumbe ni ndoto. Mhh hii kali. Asanteni sana
@LyidiaSilayo
@LyidiaSilayo 11 ай бұрын
Weweeeee sasa hapa nimependa anko jay ❤❤❤❤❤❤
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 11 ай бұрын
Ni nn hicho kweli,sasa tusikilize basi
@Pretty22750
@Pretty22750 11 ай бұрын
Amazing story ❤❤ with more lessons thanks Mr Jay n doctor mbetu 🎉🎉
@bushg4154
@bushg4154 11 ай бұрын
0 😊😊
@bushg4154
@bushg4154 11 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@violetmulya
@violetmulya 11 ай бұрын
Aki sauti itaniua jamani dah! Feel loved @ankojay❤❤❤❤❤❤
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 11 ай бұрын
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 11 ай бұрын
❤❤❤
@fahmimohd261
@fahmimohd261 11 ай бұрын
Wasukuma tupo vizuri jamani😅
@Haruneyjr
@Haruneyjr 11 ай бұрын
Eeeeh kumbee
@Nuru8700
@Nuru8700 11 ай бұрын
Mbna usiku leo kwema❤❤❤
@SumayyaahMuzzammil
@SumayyaahMuzzammil 11 ай бұрын
Yani jaman Kwan ss HV Ni usiku kwa ajili ya ankojay Sasa HV Ni asubuhii
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr 11 ай бұрын
Mungu hufanya kazi yake kwa wakati wake
@Dasoor-tt3vf4dj8i
@Dasoor-tt3vf4dj8i 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov 11 ай бұрын
Asante Anko j 😊😊😊
@speciozamikole2194
@speciozamikole2194 11 ай бұрын
Waooo karibu mtunzi hatumwoni
@nurafedrick378
@nurafedrick378 11 ай бұрын
Ndoto zingine nazo zinaeza toa mtu rohoo hixo risasi xingekuwa nihali halisi ungekuwa sahii uko sayari ingine
@tinershayo6191
@tinershayo6191 10 ай бұрын
Hi I ndio sauti yako bro zingine unatulisha matango poli
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 11 ай бұрын
Kwakwel leo asante sana Anko simuriz mbili mauwa yako🎉🎉🎉❤❤
@mary-kamara
@mary-kamara 11 ай бұрын
Mimi wa 54 nimeipenda
@salmasasha
@salmasasha 11 ай бұрын
Jirani kafanyaje anko❤❤
@heriethmozes8151
@heriethmozes8151 11 ай бұрын
❤❤❤Asante anko j baadhi yawanawake wanazo tabia izo
@jamesmozes3038
@jamesmozes3038 11 ай бұрын
Anko jay tuletee bc story za mikasa tumezimiss
@SSS-oy9ni
@SSS-oy9ni 11 ай бұрын
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦
@رحيمهزيزو
@رحيمهزيزو 11 ай бұрын
😢😢 ndoto ,haki nilikua mbali kimawazo
@YohanaemchomvuMchomvu
@YohanaemchomvuMchomvu 4 ай бұрын
Yaani mwanamke anatongozwa kirahisi Ivo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 11 ай бұрын
Waoooo❤❤❤❤💐💐💐💐
@fridamweni5681
@fridamweni5681 11 ай бұрын
😊😊😊😊
@aaq9812Bintksaim
@aaq9812Bintksaim 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 11 ай бұрын
Anko hii nilisikia kwa simulizi mix 😂😂
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 11 ай бұрын
Much love Ankojay simulizi ❤❤❤❤❤❤
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 11 ай бұрын
Hukujuwa kujitetea ungempigia sim mumewe unenge mvyalisha nguo ukawaita majirani ukawaambia kaja anaumwa ushahid muuza dawa ushahid tosha unao pole sana kaka angu
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 11 ай бұрын
Mie napenda sauti tu kwa kweli una confidence na mvuto wa kusimulia kitu hali ya kufanya umvutie kila mtu usimchoshe
@YohanaemchomvuMchomvu
@YohanaemchomvuMchomvu 4 ай бұрын
Minza ni pambo la moyo wangu
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 6 ай бұрын
Haaa,kumbe ni ndoto 😮😮
@shakiramohamed8824
@shakiramohamed8824 5 ай бұрын
Kumbe ni ndoto jamani ❤❤❤❤
@Clarice-rg3ib
@Clarice-rg3ib 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 11 ай бұрын
Nimelia sana kumbe n ndoto ilikuwa aisee wee sm kali pia n lesson mob,aasante
@donaldchacha
@donaldchacha 11 ай бұрын
Hahahahaha pole sana, Mimi nimeishiwa ma pose baada ya kusikia ni ndoto yaani Leo Anko J uneniweza kweli kweli. Nimejiuliza marehemu anawezaje kusimulia kisa kilichomoata au machozi ya baridi ya mkewe yarakuwa na miujiza ya kusukuma? Kumbe ni ndoto lol!
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 11 ай бұрын
Majaribu yako hii ndunia simulizi nzuri sana ❤❤❤
@janethkomba4485
@janethkomba4485 11 ай бұрын
Kabisaa😢
@Sabinajosephndunguru-xq9lc
@Sabinajosephndunguru-xq9lc 11 ай бұрын
Wow 🪑🎧
@nuriatqueen5575
@nuriatqueen5575 11 ай бұрын
🧡🧡🇬🇧🇬🇧🎉🎉🎉
@janethkomba4485
@janethkomba4485 11 ай бұрын
Dunia hi kwer watu wengi sanaa wanapitia izo changamoto😢 Mungu atusaidiye tuskiye tu ila tuombe sanaaa yasitutokee😢
@hawrashabani2102
@hawrashabani2102 11 ай бұрын
Anko jei tulikumiss 😅😅😅
@ladyt1471
@ladyt1471 11 ай бұрын
Kumbe ulikuwa unaota jmn pole sana ila huenda mke wa jirani anakutaka kweli 😂😂😂 asante anko Jay
@AureliaCharles-r6b
@AureliaCharles-r6b 11 ай бұрын
❤❤🎉
@FrolaMajaliwa
@FrolaMajaliwa 11 ай бұрын
❤😂😊😅😊
SIMULIZI MPYA: DEREVA TAXI
2:05:08
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 37 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 60 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
CHIARA : SIMULIZI MPYA, By Ankojay
3:20:24
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
SIMULIZI MPYA: NATALIA part 01
3:01:39
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 72 М.
BINTI ZUENA - SIMULIZI MPYA
2:04:54
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 61 М.
SIMULIZI MPYA - MUUZA KUKU
3:30:14
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 85 М.
SIMULIZI MPYA: JINI MAHABA, By Ankojay
3:14:42
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 53 М.
SIMULIZI FUPI: BINTI LINDA , By Ankojay
3:17:06
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 59 М.
ONE MISTAKE - SIMULIZI MPYA - PART 01
2:00:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 30 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН