MKE WA MSAIDIZI WA ZITTO KABWE ALIETEKWA AFUNGUKA, MUMEWE ALIVYOTEKWA

  Рет қаралды 64,459

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 168
@martinsafari3111
@martinsafari3111 5 жыл бұрын
Pole sana Dada, Mungu ndiye kila kitu, Damu ya Yesu imfunike mume wako na apatikane
@kulwamaduhu532
@kulwamaduhu532 5 жыл бұрын
Martin Safari
@stanslausangelus8714
@stanslausangelus8714 5 жыл бұрын
Huyu Dada mtanzania anazungumza Kiswahili-Kiingireza,lakini pole take.
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 2 жыл бұрын
Pole sana my dear ivi na wale vijana tano waliotekwa walipatikana?au ndio imeisha! Kiukweli tanzania yetu kwa sasa inatisha sana tunaogapa yaan tunatekana wenyewe kwa wenyewe!
@mkonlinetv2089
@mkonlinetv2089 5 жыл бұрын
Aise Pole sana Dada Veronica. Tuombe Mungu maana mungu ni mwema.
@kilutilepamo3959
@kilutilepamo3959 5 жыл бұрын
Cinema nzuri sana badala Ya kwenda Polisi umeenda Nyumbani Kwanza
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 5 жыл бұрын
Pole sana dadaangu Mungu yu pamoja nae uko alipo muombe Mungu tu aludi salama inshaallah
@adolfnkumbi9353
@adolfnkumbi9353 5 жыл бұрын
Poleni sana,,,,,,,Maombi yana nguvu sana Vero, Bibi & Babu wamepata wakati mgumu sana ........endelea kuomba na Kufunga !
@V24hrs
@V24hrs 2 жыл бұрын
Pole sana Dadangu
@raziambwana2145
@raziambwana2145 5 жыл бұрын
Mungu nimwaminifu atafanya njia pasipo njia! Amina.
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 5 жыл бұрын
My dear Vero mungu akusimamie ktk hili jambo zito
@aureliambawala7145
@aureliambawala7145 5 жыл бұрын
Poleni sana wana familia inauma sana huu UTEKAJI SASA UMEOTA MAPEMBE.Inatia aibu sana kuona TANZANIA 🇹🇿 kuna utekaji wa kiholela kiasi hiki. Mr SIRO WHY??? Tunaomba WAWEKEZAJIZI WAJE NCHI KWA STYLE HII UNAFIKIRI TUTAWAPATA KWELI??.Maombi yangu yamfikie Mumeo apatikane mzima na wa afya njema.May God bless him.
@yusuphshaban2327
@yusuphshaban2327 5 жыл бұрын
Lung,wecha
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 5 жыл бұрын
Mimi huwa nashangaa, watu eti wanajiteka! Ben Saanane, Azory, Abdul Nondo, Mo Dewji, Mdude Nyagali, na huyu kijana Raphael!! Nikiwa kijana wa T. Y. L., na sare zangu sikuwahi kusikia harufu ya utekwaji mauwaji kama karne hii!! Mungu tunusuru waja wako. Mara achunguzwe uraia wake, mara anabambikiziwa mtu mwenye mkosi eti fulani ndio amemteka, mpaka watoto wa shule ya msingi wanacheka! Mimi naona aibu sana, sijui wengine kiukweli inaumiza sana.
@rashidmkwinda23
@rashidmkwinda23 5 жыл бұрын
So sad! !!Pole sana Shemeji Mungu akutie nguvu
@vivianikiria143
@vivianikiria143 5 жыл бұрын
POLE SANA DADA HILILINCHI LINAWATU GANI MAANA BINADAMU TUMEKUWA KAMAWANYAMA HAWAWATU SASIOJULIKANA MWISHOWAKE NIWAPI NIMEUMIA SANA POLESANA DADA...MUNGU AKAFANYE MIUJIZA APATIKANE SALAMA AMEN...
@agathadaud245
@agathadaud245 5 жыл бұрын
Dainaumaxana jman !polexana Dada .mmh mungu naomba ushuke maeneo ya huko osterbey.maana weng hupotelea huko hatujui watuwasiojulikana ndowanakopatkana!!?mmh tumuombexana mungu binadamu tunawindana kma wanyama.
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 жыл бұрын
Ahsante bashite na polisi kwa kuteka watu.
@rahjah5882
@rahjah5882 5 жыл бұрын
My prayers for dear direct from Japan 🇯🇵
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
Nipe mchongo bongo kumenuka Niko Sirius broo
@faridamatata1950
@faridamatata1950 5 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu yupo nawr
@elisanteelisante172
@elisanteelisante172 5 жыл бұрын
Pole Sana my dada Mungu akutie nguvu
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Pole sana dadaangu, funga na kuomba umlabidhi mungu
@rweyemamueustace1706
@rweyemamueustace1706 5 жыл бұрын
Kwa Msiba,no problem. Pole
@remmyonlinetv1655
@remmyonlinetv1655 5 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu katika yote.Hakika amekuonekania katika gumu hili.
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 5 жыл бұрын
Pole sana shem mungu amlinde mumeo huko alikopelekwa.
@gracemima5234
@gracemima5234 5 жыл бұрын
Huyu bwana kajioeleka mwenyewe Mombasa akimukimbia Zitto Kabwe
@sophykambi5614
@sophykambi5614 5 жыл бұрын
Mungu ndio hakimu wa haki
@bakarisadala1639
@bakarisadala1639 5 жыл бұрын
Hi dunia Kuna watu ndio wao wanaiona Tanzania ni yao kunakufa Tanzania itabaki
@johnbosco8914
@johnbosco8914 5 жыл бұрын
Pole Sana kwa yaliyowapata Wewe n.a. Mumeo.
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 5 жыл бұрын
Very strong👏
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Kama movie vile nchi hii daaah
@dinhamvenance7367
@dinhamvenance7367 5 жыл бұрын
pole my sis Vero...Mungu aendelee Kuilinda familia yako🙏😢
@saidahj2543
@saidahj2543 5 жыл бұрын
May the power of God locate him wherever he is IJN ..
@albertocason3564
@albertocason3564 3 жыл бұрын
A tip: watch movies at Flixzone. I've been using it for watching all kinds of movies recently.
@ronniesullivan9567
@ronniesullivan9567 3 жыл бұрын
@Alberto Cason definitely, been watching on Flixzone for since december myself :D
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 4 жыл бұрын
Yaani watekaji wampe mda mme wako akupigie nakukuambia baby nenda nyumbani. Pumbavu zenu watanzania mnatumika vibaya sana.
@eustacevenant4567
@eustacevenant4567 5 жыл бұрын
Una Imani kubwa MUNGU Anasimama na Wewe!
@dativaherman9235
@dativaherman9235 5 жыл бұрын
Pole da Vero kwa nguvu ya Mungu atapatikana
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 5 жыл бұрын
Pole sana dada Allah amlinde mme wako arudi salama
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 жыл бұрын
It is a Crime to Hold anybody beyond 24 hrs. It is Illegal / Unconstitutional for TISS or Presidential security to Arrest anyone. And even when arrest is Legal it is a Crime to hold somebody without Processing him (Booking) It is Illegal to hold anyone more than 24 hrs without taking him to Court.
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 5 жыл бұрын
POLE SANA DADA YANGU.MUNGU AMUIFADHI SALAMA NA AMREJESHE SALAMA.
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 5 жыл бұрын
Ahahahaaa!!! hawa wasiojulikana Jamn mbona wanajiamini sana???
@jerrywilhelm
@jerrywilhelm 5 жыл бұрын
Nenda 'kamhoji' sounds familiar. @4:01. Basi sawa
@paulkisatulusana1142
@paulkisatulusana1142 5 жыл бұрын
Wamhoji Zitto vizuri atakuwa na Habari kamili
@bennympatanishi8341
@bennympatanishi8341 5 жыл бұрын
Jitambue
@paulkisatulusana1142
@paulkisatulusana1142 5 жыл бұрын
BENJAMINI MUYENGI jitambue mwenyewe Huwezi elewa kuna maigizo hapo
@mickmaheka2541
@mickmaheka2541 5 жыл бұрын
hii nchi mbona mm siielewi kuna nn mbona saivi mtukio yanatisha? Mungu tunakuomba utufumbue macho tujue??
@goldchannel4866
@goldchannel4866 5 жыл бұрын
Mnaichafua nchi majambaz gan wanakubeleza had mumeo anakwambia baby Nena nyumban mnaboa
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 5 жыл бұрын
Tumia Akili kwa kuunganisha doti hao sio majambazi
@goldchannel4866
@goldchannel4866 5 жыл бұрын
@@ayubunsajigwa3935 hiyo ni Sinema hakuna jpya
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 5 жыл бұрын
Its hard forsure....pole my dear
@frankkway5283
@frankkway5283 5 жыл бұрын
Hivi ichi kikundi cha “watekaji” kwenye nchi huru kama hii kinaongozwa nanani? Kwanini ao watu awakomi kufanya hivi vitendo vya utekaji? Hii nguvu ya utakaji tena mchana kweupe wanatoa wapi? Mpaka leo vyombo vyetu vya usalama avijui ni wakina nani wanao fanya hivi? Inaumiza sana........
@kudraomar7053
@kudraomar7053 4 жыл бұрын
frank kway unaumizakichwa watekaji ni selikali wanajuana
@piushappyness226
@piushappyness226 5 жыл бұрын
hahahahahah walimteka wakampeleka kwa shangazi yake mimbasa. dada acha kudanganya watu usitimike na mambo ya siasa yatakupeleka pabaya
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 5 жыл бұрын
Pius wewe hunq huruma huyo Dada anachosema ndicho alichoshuhudia wewe unatetea mini?
@mirajimiki3780
@mirajimiki3780 5 жыл бұрын
Njoo upumzike Zanzibar dada uondowe mawazo huku utulivu na hali ya hewa safi..
@taghashatv4095
@taghashatv4095 5 жыл бұрын
Jambazi akubembeleze kweli nawewe nishahidi tafakari kabla
@leticiajohn4952
@leticiajohn4952 5 жыл бұрын
Pole mwaya Mungu ni mwema
@zachariasumisumi4907
@zachariasumisumi4907 5 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu atakusaidia Maana yeye Ndiye ajuajye
@ombennassary7438
@ombennassary7438 5 жыл бұрын
Yote ni watu kukosa hofu ya Mungu cha msingi tumuombe Mungu watu wawe na hofu ya Mungu
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 5 жыл бұрын
pole sana mwanangu ila tuangalie vitu vyengine wanavyovipenda wenzi wetu kama vina hatari tuwashauri kuachana nayo sababu likitokea kama hivyo tunoteseka na watoto ni ss wanawake.
@thadeimatenga4397
@thadeimatenga4397 5 жыл бұрын
This is Tanzania bwana na watatekwa sana na wasiojulikana.
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 жыл бұрын
Pole sana ila
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 5 жыл бұрын
Pole sana dear😭
@furahadastani8639
@furahadastani8639 5 жыл бұрын
Pole sana dada
@mengicacoconut8144
@mengicacoconut8144 5 жыл бұрын
Wekaaa tarehee kwenye taarifa zako@millardy ayo
@markndibalema5678
@markndibalema5678 5 жыл бұрын
Ya nini
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 5 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu unapitia wakati mgumu
@hamisisha
@hamisisha 5 жыл бұрын
Hawa watekaji kwenye nchi huru wanatokea wap!? jamani serikali mko wap tuelewe nn ktk hili suala la utekaji holela wa raia?
@gracemima5234
@gracemima5234 5 жыл бұрын
Unaaminije kuwa watu hawa wanasema ujweli? Hawa ni watu walioziwea kuvuna bila ya mashamba, wameshindwa na masikini ya Rais wanaona watunge story za kijinga. Imekuwaje huyu bwana kupatikana Mombasa?
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 5 жыл бұрын
Tanzania ya Viwanda
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 5 жыл бұрын
mwenyezimung amrejeshe haraka salama:
@abasiachimika541
@abasiachimika541 5 жыл бұрын
mtatuwa weng mjiandae
@santegotoronto5803
@santegotoronto5803 5 жыл бұрын
pole dadaa
@stanslauslawa4777
@stanslauslawa4777 5 жыл бұрын
Unatuzingua bhana mara waliondoka wote mara walibaki wawili sasa tushike lipi?
@bahaliasimango3034
@bahaliasimango3034 5 жыл бұрын
Rais mbona kanyamaza kimya ina maana hayaoni?kwa sababu yeye ndiye mkuu wa nchi mbona hana wasi wasi.
@gadsonobeid6278
@gadsonobeid6278 5 жыл бұрын
mungu atafanya njia my FLP pertner
@msingidamtz6680
@msingidamtz6680 5 жыл бұрын
Hayo maelezo Mbona kama ni stori ya kutengeza yaani mpaka mkuu watukio unamjua!!!!? Yaani watanzania tutafakari sana haya matukio
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 5 жыл бұрын
Na wewe katengeneze ya kwako kama unadhani hivyo
@missmoona4497
@missmoona4497 5 жыл бұрын
Tulipumzika hapa kat hao watu wasio julikana sasa wameanza tena. Mungu amsimamie huko aliko mumeo dada
@colepapichulo4422
@colepapichulo4422 5 жыл бұрын
Ushauri Wangu tu kwa zitto kabwe next time mipango kama hii mke asijue yy abaki kuamini kuwa tukio ni la kweli,Dada amefeli kuonyesha uhalisua Wa tukio
@barutisaidi110
@barutisaidi110 5 жыл бұрын
halafu mnasema Tz yaamani aman gani kutekana tekana
@geoffreymwarabu8323
@geoffreymwarabu8323 5 жыл бұрын
pole sana but hizi cinema zitaisha lini?
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 5 жыл бұрын
Na hawa watekaji kwanini hawawakamati chama tawala wanakamata wapinzani tuuu
@vivianoforo4760
@vivianoforo4760 5 жыл бұрын
Pole Sana sana Vero 😢😢😢😢
@hewilmodey6006
@hewilmodey6006 5 жыл бұрын
Sorry ccy this too shall pass much love to you
@reachthegoal7624
@reachthegoal7624 5 жыл бұрын
Majaribu ni mtaji labda lingekuwa kwa mwingine asingeweza hata kuzungumza hivyo. Ombeni bila kukoma. Dumu ktk kuomba zaidi.
@farajaluvanda1242
@farajaluvanda1242 5 жыл бұрын
Ni bora tu nikae hukuhuku Namibia maana naona sasa nchi yangu Tanzania 4+4=44√.
@credychipungahelo1515
@credychipungahelo1515 5 жыл бұрын
Unayako sio kwa ajili ya haya
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
ss na mm nafikaje uko jaman maana!
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 5 жыл бұрын
Ila mdada mrembo mno
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@Ali Ali htr.,chaggaz tena!
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
borz umenisaidia thaminisha!
@vitusprotus8877
@vitusprotus8877 5 жыл бұрын
🙅🙏
@alexkachemu7957
@alexkachemu7957 5 жыл бұрын
Lakini hivi vitndo vimezidi sana.
@taghashatv4095
@taghashatv4095 5 жыл бұрын
Gari yenu ilikuwa haina Rivas? Alafu kama nikweli mbona umejipamba sana
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
LoL kajipamba Sana???? Ama kweli
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 5 жыл бұрын
So,so,so,so, cm'on get serious.
@halimaomari7589
@halimaomari7589 5 жыл бұрын
Umeona eeeeeh!!
@samusonibalazingiza3689
@samusonibalazingiza3689 5 жыл бұрын
Nchi inatisha kwa sasa duh
@credychipungahelo1515
@credychipungahelo1515 5 жыл бұрын
Maelezo mengii hayana mwisho wa taarifa sijui tuanzie wapi
@kimitochacha6275
@kimitochacha6275 5 жыл бұрын
Frai kwa kuwa hayajakufikia yakikufikia utajua
@evamlay8997
@evamlay8997 5 жыл бұрын
siku yakikukua utaimba
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 5 жыл бұрын
Drama zinaendelea, ...... hakuna mpya
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 5 жыл бұрын
Angalia anayesimulia kwanza ndo ujue uharisia wa tukio.
@albatrose9865
@albatrose9865 5 жыл бұрын
This is terrorism at the highest level.
@mabruqjumamponda7629
@mabruqjumamponda7629 5 жыл бұрын
Ahh mbona huyu dada yuko sawa hana hisia zakama mnamke mume wake katekwa,even though kasema yeye ni strong women...bado semeni kweli
@cmsa1r
@cmsa1r 5 жыл бұрын
Sababu ana elimu. Si mwanamke wa uswahilini mashambenga wa kuku za mambo. Ana deal na issue as they unfold
@ashaali7154
@ashaali7154 5 жыл бұрын
Ulitaka aonekane vipi?
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 5 жыл бұрын
Wanawake wakitanga ukipotea wanafanya bati kamwe hata machozi hayatoki
@margarethkitalu3105
@margarethkitalu3105 5 жыл бұрын
Huyu mkenya Sio mtanga
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 5 жыл бұрын
Mtajua hamjui,huyu ni Mkenya mwezetu,plz let him be found in one piece.Hatutaki ujinga wa CCM.
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 5 жыл бұрын
Usiseme hauwelewi tumia akili tokea yalipoanza matukio kama haya mpaka Leo hamjaelewa tuuu mengine yanafanyika kuichafua serekali jamani
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
niandalie makazi naja huko ndg maana dooh!
@eustacevenant4567
@eustacevenant4567 5 жыл бұрын
Wametekwa na vyama vya Upinzani!
@samsonfulgence6170
@samsonfulgence6170 5 жыл бұрын
Sasa vyama vya upinzani viko juu ya sheria? Na kama unajua hivyo kwanin usipeleke ushahidi wako huo polisi? Yaani Eustace bwana! Nakuhurumia sana. Marne ya 21 bado tuna watu wenye akili ya kiwango hicho😎!
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 жыл бұрын
I’m so sorry 😐 did you see any face ?
@yusuphsanga3762
@yusuphsanga3762 5 жыл бұрын
Wanatekwa na watu watekwa sana na watu wasio julikana
@yassirkipemba7889
@yassirkipemba7889 5 жыл бұрын
mbona hulii sasa kweli ?
@obbymwakasoke9842
@obbymwakasoke9842 5 жыл бұрын
wanaotekwa wote ni wale wenye itikadi ya upinzani tu cjui ni kweli au nimekosea
@zagaronondo8130
@zagaronondo8130 5 жыл бұрын
.mzungu frani iv
@hashimabdallah673
@hashimabdallah673 5 жыл бұрын
Hawa wanawake wote wenye wapenzi chadema wanajua neno "so" of course "then " and that is round saa so kesho take nitaenda one of the stop hawajui kiswahili hata kidogo
@arodiadeogratias6457
@arodiadeogratias6457 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 5 жыл бұрын
😂 😂
@halimaomari7589
@halimaomari7589 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@emanuelurassa5574
@emanuelurassa5574 5 жыл бұрын
ni saidien huyu anakaa mke wa muheshmiwa yuko kama mcheza shooo
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 5 жыл бұрын
Matukio mengine mwayatengenaza nyie wenyenu kutaka kuipakazia serekali
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 5 жыл бұрын
Kwelii kabisa.
@ignasyluena9197
@ignasyluena9197 5 жыл бұрын
Dah 🤔
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
vyama kwa kweli vinaendeleea kuteka akili zetu dah haya tumuachie mungu
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 5 жыл бұрын
Wasenzi hawaaaa
@luganomwambulukutu5311
@luganomwambulukutu5311 5 жыл бұрын
Mbona mnajiteka
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 5 жыл бұрын
Hawa wanajiteka wanyewe hawaaaa
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Wewe dada acha maigizo huwezi simulia tukio la namna hiyo muda wa dk 3 usitoe machozi ningekuwa polisi wewe ndiyo ungekuwa mshitakiwa namba moja
@kibokongurai4488
@kibokongurai4488 5 жыл бұрын
tumia akili wewe unahisi kulia ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo uliyonayo hata kama ungekuwa polisi lazima ungekuwa wa MOMBASA TUU maana unapenda kulialia halafu mwanaume unadhani wewe utakuwa wa aina gani kama siyo mchele
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Kiboko Ngurai dada zako hawaolewa nipo muoaji ili aje akusibitishie hata polisi wa mombasa ni polisi muulize vizuri mama yako asili kabisa ya baba yako ni wapi kama hajakuambia ni mtu wa mombasa halafu umuulize nae baba yako kama anafirwa
@kibokongurai4488
@kibokongurai4488 5 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 ahahahaha hujanielewa ndugu mimi kenya ni home land na mombasa ni mji wetu pia but kuna watu kama wewe wapenda kulia lia ndiyo michele kama wewe ok hata dada alisema wewe si mzima ndiyo maana kaludi nyumbani maana umemshindwa ahahaha
@geoffreymwarabu8323
@geoffreymwarabu8323 5 жыл бұрын
hizi cinema zitaisha lini jamani?
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 5 жыл бұрын
Anajua movie kamili
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania ya Magufuli,na ndio serikali ya CCM,kwa hiyo binaadamu mwenye fahamu zake kamili,ataamua na kufahamu,haki za kiraia na wananchi,namna gani zilivyokosa haki na amani,hizi ni mbinu za kuweka sheria na haki pembeni,ambazo kuna wengine ziliwapotezea maisha,tokea serikali hii ilipoingia madarakani,2015,suala sifa gani kubwa tuipe serikali hii?,kutawala kwa namna hii ndio,alama ya mafanikio yetu,?,jee hukumu ya makosa inahukumiwa kisirisiri,au kwenye mahakama zilizoteuliwa na kuongozwa kwa sheria zenye mezani ya haki?,hawa watekaji,wanapata wapi haki ya kumdhulumu raia aliye huru?,hizi ndio haki za kibinaadamu?na hili ndio lile taifa linalojisifia kwamba ni la amani?.
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 5 жыл бұрын
Wewe dada acha unafiki
@emanuelurassa5574
@emanuelurassa5574 5 жыл бұрын
muheshimiwa gan ana jiendesha mwenyewe kama unaakili timamu mskize huyu mpuuzi ulionaje wkichukuw ivyo vitu vyote wakat ulikuwa umeina mishwa
@ostackkinglaba9550
@ostackkinglaba9550 5 жыл бұрын
wewe Emanueli mbwa kweli kama unatetea chama chako ccm ,
@emanuelurassa5574
@emanuelurassa5574 5 жыл бұрын
nikama umeumwa eeee ubya mi snaga chama ata kura spigyag kaz kwako usio tazama maisha yako unakazan na vyama k wewe
@dinnarandrew1982
@dinnarandrew1982 5 жыл бұрын
Anaongea kwa comfidence mno wakati mume wake bado kupatikana🤔Mimi ningekuwa hoi
@mamadanhelena8190
@mamadanhelena8190 5 жыл бұрын
Ni rahis kuelekeza wachimbaji wa kaburi ikiwa hujafiwa ww lakn ukifiwa ww n ngum kdgo byyyyy
@edesiuskuyasiwa6352
@edesiuskuyasiwa6352 5 жыл бұрын
Huyu jamaa hayupo vizuri mumpuuze
@emanuelurassa5574
@emanuelurassa5574 5 жыл бұрын
toka lin jambaz akabebembe leza wewe mpuuzi wewe
@SHEIKHMWAIPOPOTV
@SHEIKHMWAIPOPOTV 2 жыл бұрын
Huyu mama chizi hata huyo mumewe chizi sioni hata anacho ongea
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
ONYO LATOLEWA KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA
3:04
Millard Ayo
Рет қаралды 2,2 М.