MKE WA PROF JAY NA MDOGO WAKE WAFUNGUKA HALI YA PROF JAY, WAOMBA MICHANGO KWA WATANZANIA

  Рет қаралды 368,518

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 545
@mcibralipuli640
@mcibralipuli640 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu nyakati zote Utapona Kwa Damu ya Yesu Kristo Professor Jay.Amina.
@summanelson5523
@summanelson5523 2 жыл бұрын
Kumsaidia Prof Jay ni fursa!!!! Hii imenishangaza kidogo!!!! Ila pole sana mheshimiwa mbunge!!!!Mungu akupe wepesi upone haraka. Ila watanzania tukipata nafasi tukumbuke kuweka akiba na pia kuweka fedha sehemu sahihi. Ubunge miaka 5 pamoja na kiinua mgongo, halafu leo hii unaomba msaada wa matibabu!!! Inashangaza pia kuwa hana bima!!!!
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 2 жыл бұрын
summa nelson embu tena mate chini umeisikia gharama ya vipimo na matibabu kwa week?
@barakachibwana3708
@barakachibwana3708 2 жыл бұрын
Inashangaza mno
@kalengemochi1306
@kalengemochi1306 2 жыл бұрын
Hii nikwa aoiye kuwa mbunge miaka 5 anaomba msaada wq mqtibabu kweli,,, kamq ni mtu hoi hae inakuaje jamani
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 2 жыл бұрын
hicho kitu nacho kinafikirisha mbona kwa muda mfupi tu ameanza kuchangisha maybe ingekuwa mwaka hapo sawa tungesema mpunga umekata lkn ndani ya mwezi tu wameanza kutembeza bakuli, inafikirisha.
@jumasoli7818
@jumasoli7818 2 жыл бұрын
Ww changia tu ndugu kutoa ni moyo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Huo mtindo ja kuchangishana hela Kwa wasanii Wakati Mayatima Na wajane , viwete Wana testejä.siyo mtindo mzuri.Hela wanayo maisha mazuri wanayo Tena Sana..Si mtindo mzuri.
@bibianabenedict2459
@bibianabenedict2459 2 жыл бұрын
Ukiona mtu ameomba mchango ujue amefikwa,sidhani kama mwenye pesa anaweza ombewa mchango,huyu ameumwa muda mrefu lazima kuwe na mtikisiko kifedha,cha muhimu kama upo kwenye nafasi ya kuchangia fanya hivyo na sio kulinganisha vitu au wagonjwa.ni ushauri tu
@messageofloveandhope4249
@messageofloveandhope4249 2 жыл бұрын
Big up bro Malisa..respect kwako all the way from Sauti..you are trully a blessing.May God see you from this point..and bless you!! Get well soon the ICON..Proff Jayz
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 жыл бұрын
Mungu ampe mwepesi sikujua Ana Familia bora hivi nimependa sana Familia ilivo kuwa open binafsi na mpenda sana na nirafiki yangu wa karibu sana mwaka 47... Kichwa sana nitamtafuta nimpe pole zangu binafsi..
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 жыл бұрын
Polen sana Allah ampe pole mgonjwa na amponye kqa haraka yarabiy
@championtv255
@championtv255 2 жыл бұрын
Akiamungu blaza Joseph nakuomba mungu akuamshe Tena usimame tunakupenda Sana kaka.yehova akusimamie uamke Tena🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 2 жыл бұрын
You have our prayers Legend Jay Wamitulinga May Almighty God heals you and quick recovery🙏🙏
@amoskijangwa7095
@amoskijangwa7095 2 жыл бұрын
Pole Sana prof jizo Mungu ni mwema, Kila wakati kila wakati Mungu ni mwema.
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 жыл бұрын
Get well soon,big bro. You have our prayers always!
@mwajumaamiri4259
@mwajumaamiri4259 2 жыл бұрын
Inshaallah m.mungu atakuponya kwa uwezo wake Allah utapona jay
@mukrimchumhaji587
@mukrimchumhaji587 2 жыл бұрын
Kuna maskini wa kuchangiwa Tena wapo Hali mbaya Sana profesa j pesa zake zimenda wap si alikuwa mbunge uyo jamani tuachane na ujinga tuchangie wahitaji ambao hawajiwezi
@aaaaaah290
@aaaaaah290 2 жыл бұрын
UKO SAHIHI, BUT KILA MMOJA ANAHITAJI FARAJA. KUTOA FURSA YA WATU KUMPA POLE NI ISHARA KUWA WANATAMBUA KUWA JAY NI MTU WA WATU NA ANAJULIKANA KTK JAMII.
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 2 жыл бұрын
Polenı watoto wa Mungu .Mwenyezı Mungu awaponye wote wanaoumwa.
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
mmmh ina maana hana Ela
@twahasaidi7578
@twahasaidi7578 2 жыл бұрын
Pole Sana super ster wakitanzani utapona tu kwa uwezo wake rahimu yeye ndo muweza
@crepinakatundu1831
@crepinakatundu1831 2 жыл бұрын
Pole sana Professor Jay.Mwenyezi Mungu ni mwema.Utapona.
@kyalohenry5654
@kyalohenry5654 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe uponyaji #Wa Mitulinga
@fransisigulu9761
@fransisigulu9761 2 жыл бұрын
Professor j amefanya kazi kubwa Sana kwenye hii career yake musc nchini Tanzania na afraca pia kaitangaza Tanzania kupitia music wake kimataifa na dunian kwa ujumla kwanini Sasa serikali watu isimjali na kumtibu Prof j Kama legend wa hip-hop Tanzania?
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
Yaan kabisa licha tu ya usanii ameitumikia Tanzania pia...
@iranangole7007
@iranangole7007 2 жыл бұрын
Watanzania mda mwngne 2punguze Aya Mambo m2 Kama profesa ajafikia hatua ya kuchangiwa pesa Kuna wa2 wanashida Awana ki2 kabsa uyu kikubwa kumwombea sio pesa wapo wanao stahil sio uyu
@asantelaizer6674
@asantelaizer6674 2 жыл бұрын
Kweli kaka
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 жыл бұрын
Mm ndosielewi kabisa kwann achangiwe,sijui akili imeganda hata sijui.
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 жыл бұрын
Mawazo yako sio kweli .
@RUFUS_97
@RUFUS_97 2 жыл бұрын
Ao watu wenye shida km wanamikono na miguu wafanye kazi.
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 2 жыл бұрын
Jamani sisemi kwa ubaya lakini tuwe tunabakisha na maneno ya kusema niliskia Kuna interview moja alifanya na kituo kimoja cha Tv akasema yeye ni mgodi unaotembea Sasa nashangaa leo kuchangiwa sio kwa ubaya lakin lakin to tuwe tunabakisha maneno ya kusema
@mariachuri7123
@mariachuri7123 2 жыл бұрын
Duuuh...mbaya sana! Yaani binadamu jamani🧐
@gadafimasoud310
@gadafimasoud310 2 жыл бұрын
Kwani yeye ndo anaomba au familia yake
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 2 жыл бұрын
Sio hayo tuu wasanii maisha wanayo ishi wanapo kuwa wakosawa nikama tusio nahela hatufai Ila muda wasiku tusio nahela ndio tunawachangia mchango inauma Sana matajil hawanaga muda huo kumsaidia mtu
@josephk90
@josephk90 2 жыл бұрын
Nahisi hapa kuna watu wanataka kupiga pesa.
@gabrieljoseph4603
@gabrieljoseph4603 2 жыл бұрын
Pole sana legenda
@lyrics_forum
@lyrics_forum 2 жыл бұрын
Nikiwa kama Mwana CCM na Mzalendo wa Nchi yangu, Siangalii Uchama Nitamchangia Prof Jay.. Watanzania Tushirikiane tusiangalie Tofauti zetu. Tumchangie.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
bima ya afya daraja la kwanza anayo imeenda wapi?au ni mradi wa watu kujipatia fedha kupitia prof jay?.Huyu prof ni tajiri na hakosi bima ya afya daraja la kwanza
@gamc773
@gamc773 2 жыл бұрын
Kabisa kaka sema wao walicheka kifo cha magufuli
@oliversimpliskimariokimari3510
@oliversimpliskimariokimari3510 2 жыл бұрын
@@gamc773 walimcheka je
@ndakishinje3269
@ndakishinje3269 2 жыл бұрын
Ameingiza shingapi Tanzania Tanzania mpeni gawio lake tu limsaidie
@morogorodoll397
@morogorodoll397 2 жыл бұрын
Hakuna kuna wenye shida hata hospital hawawezi kwenda Panadol tu hana hao ndio wa kuwachangia jamani kuna kwa nitetee faundition lulu nation glady
@graceamadi2141
@graceamadi2141 2 жыл бұрын
Prof, may the Lord heal you physically spiritually and emotionally, put your trust in Him for there is nothing impossible with God
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Prof jay hela anayo kateni bima ya afya daraja la kwanza badala ya kusumbua watu.Alivyokuwa mbunge walikatiwa bima ya afya daraja la kwanza imeishia wapi?bima ya serikali ni laki saba daraja la kwanza.Na akitaka bima ya binafsi milioni tatu anakatiwa daraja la kwanza.Mchangieni bima ya afya badala ya kuchanga mamilioni na hatujui yanaenda wapi?
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 жыл бұрын
Well said brother
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 2 жыл бұрын
Ukiona ivo ujuwe imeshindikana hukulazimishwa kuchangia
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
@@zaytunhijja6771 hapana wachangishaji wana jambo lao.Watu wanataka kugeuza mradi tu wakujipatia fedha.Hospitali zote siku hizi wanapokea bima za afya za serikali na binafsi
@omarsultan7195
@omarsultan7195 2 жыл бұрын
Pesa wanazo bwna they look rich after all he was mbunge miaka 5 mil 12 kila mwezi yaan pesa bwana
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
Saiv anaumwa already bima hawatokubali mana itakua hasara kwao insurance unatakiwa ukate kabla hujaugua maradhi makubwa kama ivyo mana ninakoishi mie life insurance wanakuliiza masuali kabla huja approved
@justinejackson1731
@justinejackson1731 2 жыл бұрын
Mungu akuponye na akufanyie wepesi Mr Joseph Haule..
@abdullykapole9617
@abdullykapole9617 2 жыл бұрын
Mungu atakuponya prof jay na utakua salama insha-allah🙏.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
🙏🙏
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Zuchu juzi kasema analipia Kodi jumba lake kwa mwaka million 44. Na Daimond platinumz Ndinga zake billion ukipiga esabu 7 eeh Harmonize jeshii CEO of Konde gang alinunua jumba la kifahal billion 1 na kiba sijui ana majumba mengi Aya Sasa wanatuonyesha na wamenunua ndege jet ila wakishaumwa aseeh wanakuja uku kulia lia sisi wa maisha ya chini ila bola tumchangie tu mzee wetu Professor J mzee wa mitulinga Hana ajawai kulinga
@mariambakari8065
@mariambakari8065 2 жыл бұрын
Pole sana professional Jay hakika mungu hajawai kushindwa na chochote
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 2 жыл бұрын
Malisa Mungu akubariki sanaaaa nakupenda sana unajituma mnooooo
@silverman6930
@silverman6930 2 жыл бұрын
Get well soon Prof. We are praying for you bro . 🙏❤️
@bonifacemarwa283
@bonifacemarwa283 2 жыл бұрын
@Fatma Karama pole sana ndugu yetu profess j mungu atasaidia
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Nani naaimani hakosi hela kunawagonjwa Maskini kibao
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Unamaanisha kwamba
@robertlinuma6051
@robertlinuma6051 2 жыл бұрын
Nadhan akitoka salama anaweza kuwa baloz mzur kusaidia watu wenye uitaji !!!! Kwa ukubwa wake anaweza kufanya kitu kupitia hili ...mungu ambariki .
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 жыл бұрын
Afadhali Uyuu Prof Jay Tunaweza Kumchangia Ila Wema Na Muna Love hawa Watakula Walicho Panda Shenzi Kabisa Hawa Wasanii Wanawake Wachen Maisha Fake , Tunangoja Na Irene Woya Tumshangie Siku sio Nyingi ni Swala La Muda Nyinyi Endelean Kuigiza Maisha ila Kwa Prof Jay Tupo Pamoja Nae
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
🤣😘🤣🤣kabisaaaa
@saddamrashidmohmmedsaddamr7378
@saddamrashidmohmmedsaddamr7378 2 жыл бұрын
Mungu ampe wepes inshalah
@calebjoshua5589
@calebjoshua5589 2 жыл бұрын
Watu wenye hali duni mnawaacha na wana matataizo makubwa kutwa kuomba michango kwa ma celebrities tena wenye hela ndefu na walishaonja pesa za bunge kwa miaka mitano ndo akose bima ya daraja la kwanza kweli wakati ni mshauri wa fred vunja bei kabsa au ni ushauri wa kununua Hennessy za bata na akina Aristote hebu changishaneni wenyewe au uzeni magari yenu
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
🤔🙄
@jacquilinetenth3447
@jacquilinetenth3447 2 жыл бұрын
Acheni husda kama unamfatilia malisa kasaidia masikini wengi. ,
@annamarry2033
@annamarry2033 2 жыл бұрын
Acha roho mbaya Kama hutaki kutoa Kaa kimya haujalazimishwa bibie
@fredrickonchokanimrods9631
@fredrickonchokanimrods9631 2 жыл бұрын
@@annamarry2033 ,Atoe wapi huyu,hana lolote n roho mbaya tu anayo
@bibianabenedict2459
@bibianabenedict2459 2 жыл бұрын
Hujafa hujaumbika ndugu,kama huwezi kutoa mchango ni bora ukae kimya kuliko kumbeza mtu
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Pole sana bro, Mungu akujalie nafuu ya haraka
@IsmailKhan-ge9ri
@IsmailKhan-ge9ri 2 жыл бұрын
Da aisee Mungu tunusuru na maradhi Zari la mentali kaka utarudi tu kwenye uzima Inshallah
@leticiamchomvu3623
@leticiamchomvu3623 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi atapona.
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 2 жыл бұрын
Mkono wa pole ndiyo kiswahili gani. Wewe sema ni mchango wa kulipia matibabu.. siyo useme Mkono wa pole.
@noahjoel5207
@noahjoel5207 2 жыл бұрын
Brather pole. Mungu. Atafanya wepesi
@officialjclever9879
@officialjclever9879 2 жыл бұрын
Huyu dogo Hana kauli nzur alfu ni muhuni pili anadharau sana
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
Nani?
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 2 жыл бұрын
Mkono wa pole kwani kashakufa tayari
@meerahskitchen.loosingweig2535
@meerahskitchen.loosingweig2535 2 жыл бұрын
Tanzania kila kitu fursa ,Get well soon prof RAIS KASHASEMA ATASHUGHULIKIA MATIBABU YAKO
@dainagano3656
@dainagano3656 2 жыл бұрын
Dua yangu ni mchango pia kwake ,mungu amjalie apone kabisa haraka.....
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 жыл бұрын
Mlicho waza nikitu kizuli sana hili kuweza kuokoa huai wa mtu niko bega kwa bega na hilo Hushauri wangu Br.prfesa J Mungu ni mwema atafanya wepesi Ombi Prfesa hakiwa yuko fit ningeomba hawe mwenyekiti au katibu wa kuwapigani na Wale ambao wanaitaji msaada zaidi maoapitalini ambao hawana saport nao akawasimamie kama inavyo fanyika sasa kwake. Shuklani
@hassanmakamba7166
@hassanmakamba7166 2 жыл бұрын
Naomba Bunge la Tanzania kuchukua fursa ya kumchangia mbunge mwenzao mstaafu.....kwa wema tu na kumuogopa Mungu......
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 жыл бұрын
Tena wabunge hao wanaweza kumsaidia kupata bima ya afya ya daraja la juu kabisa !!
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
@@richardnganya2311 tayari anaumwa maradhi makubwa bima gani itakubali kula hasara wanataka wakule wao kwanza kisha wakulipe
@kingkuntajr6283
@kingkuntajr6283 2 жыл бұрын
Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 😀😂
@matteonyerera9722
@matteonyerera9722 2 жыл бұрын
Asanteni sana kwa maelezo Mazuri yanatia moyo!!🤝🙏
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 2 жыл бұрын
Broo Joseph Haule ugua pole broo
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
Kuna maskini kibao wanaugua wanakosa hata sh 100 ya matibabu leo hii mtu aliyewahi kuwa mbunge anaomba achangiwe hela za matibabu kha! Jamani embu tuacheni jamani tupambane na hali zetu aibu
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Aibu kweli jamanii ghaa wasanii wanapenda kiki ila wakiugua ndio kama haya mmh😳
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 2 жыл бұрын
Pole kaka j ,MUNGU AKUTIE NGUVU
@msengelaprimaryschool8885
@msengelaprimaryschool8885 2 жыл бұрын
Pole sana Profesa Jay tunakuombea upone ili iendelee na majukumu yako.
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 жыл бұрын
Mungu awabariki na Amponye Prof Jay
@officialmanji4438
@officialmanji4438 2 жыл бұрын
Ugua Pole Professor J
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
In Sha Allah Mungu amfanyie wepesi apone
@juhudmedia6674
@juhudmedia6674 2 жыл бұрын
Get well soon Prof,Jay
@victoriamkilya928
@victoriamkilya928 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka Malisa
@jumambwana7074
@jumambwana7074 2 жыл бұрын
pole sana mkuu inshaallah mungu akupe nafuu
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 2 жыл бұрын
Poleni familia lkn lkn binadamu tabia mbaya sana mnaanza kuchangisha wakat uyo alikua mtu mkubwa tu tena mbunge wana bima zao yani mapema hvo mshaanza michango hela alizofanyia kazi miaka yote embu ninyamaze
@Papaahansmo
@Papaahansmo 2 жыл бұрын
Asante sana
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 2 жыл бұрын
Pole Sana
@melaigora7698
@melaigora7698 2 жыл бұрын
Pole kwake na mungu amponye
@ramadhaniathumani7615
@ramadhaniathumani7615 2 жыл бұрын
Pole sana mzee wa mitulinga
@hafsaali4423
@hafsaali4423 2 жыл бұрын
Hatudhihaki maradhi ila tukienda kwenye uhalisiya mnatupa maswali sana maana sidhani kama kweli hana pesa ya matibabu yule ni mbunge ni mwana mziki pesa wanapeka wapi jani kaumwa hata miezi miwi haijafika mnaomba msaada kweli hapa ndiyo nazidi kuwadharawu wasanii wetu mbwembwe nyingi mitandawoni mfukoni hakuna kitu hapo huyo mke ajifunze kuwekeza siyo kula raha mwisho mkipata shida kidogo mnakuwa omba omba
@reemareemo2698
@reemareemo2698 2 жыл бұрын
Umeonaee kuna wanawake wengine nikama chuma ulete tuu kupenda kuvaa wigi kubadirisha muonekano wa asahau kana ipo siku wataugua
@rehemambilinyi3523
@rehemambilinyi3523 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akuponye ktk jina la Yesu kristo
@hamidangitu227
@hamidangitu227 2 жыл бұрын
Poleni sana jaman mungu ampe wepsi
@zackrichard3617
@zackrichard3617 2 жыл бұрын
Ni jambo nzrii but kuna wengine wengi wanapoteza maisha kwa kukosa pesa ya matibabu tuwasaidie nao pia
@emmaadrian2929
@emmaadrian2929 2 жыл бұрын
Mwenyez Mungu amsimamie apone
@eliudmaster2175
@eliudmaster2175 2 жыл бұрын
Dah polen jamn msaniii wangu wa mda wote
@lemamoleli4320
@lemamoleli4320 2 жыл бұрын
pole sana jey mungu akulinde upone
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 2 жыл бұрын
Shemeji unazungumzia chama? Hapana prf j ni wa kila mtu sio chadema tu.
@alexambrose4722
@alexambrose4722 2 жыл бұрын
Sasa SI ndiyo chama chake na unajua jinsi walivyo msaidia?
@vitalresspeter7295
@vitalresspeter7295 2 жыл бұрын
mungu hatampa nguvu bala shaka hata mimi binafsi namuombea sana hapone haludi kufanya majukumu ya kitaifa letu amina
@selemanjuma1595
@selemanjuma1595 2 жыл бұрын
Mungu msaidie kaka yetu profesa jay
@agustinorichadi1253
@agustinorichadi1253 2 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia Mungu ata mjalia atapona2
@daudstivin9065
@daudstivin9065 2 жыл бұрын
Pokea uponyaji katika jina la Yesu.
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 2 жыл бұрын
Mngesema kwa mashabiki wa J kuwa J anaumwa so kwa mtu mwenye nafasi akamtembele na sio kuomba msaada....swali langu?je ni kwamba mmeishiwa au? Sikatai kuishiwa?ila jee ni kweli mnataka msaada au mnachora watu!!🤷
@deborapetro9926
@deborapetro9926 2 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu atakusaidia
@roseyohana6789
@roseyohana6789 2 жыл бұрын
Pole mheshimiwa Mungu akuponye. Ila mkeo mbona haonyeshi kama anauguza?
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 2 жыл бұрын
Anaendelea vzr sana, halafu mnaomba michango ya nn? Sura zenu zinaonyesha hali yake si nzuri, tuko pamoja In Shaa Allah
@tinamahega9848
@tinamahega9848 2 жыл бұрын
Au kakata kamba tayari,Mana hata kwa ruge ilikua kama ivi kumbe mtu alikata moto kitambo
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 жыл бұрын
Ni ishara ya upendo tuu, haimaanishi chochote kuwa umepona au anaendelea vizuri.
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 2 жыл бұрын
Pole sana kaka tupo tayar kuchangia mungu akuponye 🙏
@moshiamos7957
@moshiamos7957 2 жыл бұрын
Pole san mungu yupo
@nishajuma8576
@nishajuma8576 2 жыл бұрын
Pole sana p j mungu u pamoja na wewe
@khadijalambo2138
@khadijalambo2138 2 жыл бұрын
Aliyekuwa mbunge pia mwanamuziki,hana bima?na tuchangie anaumwa nini,pelekeni serikalini jamani sisi huku chini hata tukichangia tukiumwa hatutachangiwa nae/nao😏😏
@eddimwamba4208
@eddimwamba4208 2 жыл бұрын
Pole sana Jay mungu akutie nguvu😭🙏
@marygregory7566
@marygregory7566 2 жыл бұрын
Poleni sana familia..je ni vipi kuhusu kuwa BIMA
@winnerhapila155
@winnerhapila155 2 жыл бұрын
Mlivo hapo yawarudieni pr ako goood kaz kweenyuuu hajaishiiwa
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Sikatai achangiwe ila bima na uhakika anayo tena ile kubwa, mungu akupe shufaa
@evambukwa1765
@evambukwa1765 2 жыл бұрын
Pole sanamheshimiwa jaman
@preciousnatashanatasha4110
@preciousnatashanatasha4110 2 жыл бұрын
Devine healing InshAllah
@saikalyasi2707
@saikalyasi2707 2 жыл бұрын
Tangu atoke bungeni ni mwaka mmoja umepita, Leo hii Hana hela ya matibabu 😳😳😳
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 2 жыл бұрын
Get well soon Prof jizeee
@sylvesterkwembe3686
@sylvesterkwembe3686 2 жыл бұрын
Bima ya afya kwa wote ni muhimu 💪🇹🇿👍
@evaristmrope
@evaristmrope 2 жыл бұрын
Poleni sana familia ya Professor Jay🙏 get well soon
@saidyahya6392
@saidyahya6392 2 жыл бұрын
Inshallah mwenyez mungu atamfanyia wepesi
@raymondchansa8077
@raymondchansa8077 2 жыл бұрын
Mm nampa pole mungu ndo muweza yote
@jflavour9199
@jflavour9199 2 жыл бұрын
Pole Sana Prof mngu akutangulie mbele
@yotehapatv7705
@yotehapatv7705 2 жыл бұрын
M mwenye atafany wepesi wake 👏🙏
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 2 жыл бұрын
Get wel soon brother
@gasparkiwiapamkiwia8105
@gasparkiwiapamkiwia8105 2 жыл бұрын
Nizambi kumchangia pj...Masikini kibao wamelazwa wanakosa ata pesa yakula
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 жыл бұрын
Haswaaa
@sirielsamweli4751
@sirielsamweli4751 2 жыл бұрын
Duuu pole sanaaaa Prof Jay
@fredymaswimwita3091
@fredymaswimwita3091 2 жыл бұрын
Thanks,,, lkn waheshimiwa wanakuwa na nhf kubwa saana,, imekaaje hii wangwana,,
@jonasmsabato9754
@jonasmsabato9754 2 жыл бұрын
Jamanii mungu hatamuacha pr,J
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 2 жыл бұрын
Allah amponye njinsi ninavyo mpenda huyu mwana music
@swaumurushaka8112
@swaumurushaka8112 2 жыл бұрын
Masikin professor Allah akusimamie upone baba
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 25 МЛН
Wakili wa Mbowe azungumza, Sakata la fidia.
3:29
Land Dwellers
Рет қаралды 437
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Professor Jay Feat Walter Chilambo - Siku 462(Official Music Video)
7:30