Bado wa Tanzania muko number One Kwa movie Watu kutoka Burundi tunawapenda saaaana
@joselynenizi9475 Жыл бұрын
Na sisi tujifunze kutoka kwao labuda tutafika
@RashidiManga Жыл бұрын
Asante sana
@YusuphDaniel-bc2wz10 ай бұрын
Poa
@BarackKalombo-bh5nj Жыл бұрын
Salute kwako clam napenda kaz yako
@vince00442 жыл бұрын
clams facial expression for me 😂😂😂 sending love from 254 🙌🙌
@magnibrondi3152 Жыл бұрын
Ongereni kwakweri kazi nzuri for oman🇴🇲🇴🇲
@husseinmwamba-du2nj Жыл бұрын
Namkubali sana clamu kicheche naeakubali kwa utendaji wenu wakazi
@paulinaswai6661 Жыл бұрын
Huyu mume ni Bora ametumia hekima nzuri sana
@japhethelijah42522 жыл бұрын
Dah shubaaaaaaaaaamity inauma ujue Kwa wenye wake kama Mimi wanaelewa
@immaculatekutto21212 жыл бұрын
Ghai majabu haya mke kataka talaka kwa lazima tabia.mbaya tafadhali wa mama tuweshimu wanaume wetu.tuombee mwenyezi mungu Atuongoze katika ndoa yetu.🙏🕊❤
@ummuramadhan1842 Жыл бұрын
Amiin
@MunaMuna-j5e2 күн бұрын
Aamin bt hii ni movie
@engisack96102 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Mbavu zangu jamani, nipo Kenya 🇰🇪 mmeweza sana jamani big up🙏🙏🙏
@siamnyone8403 Жыл бұрын
Acha umbeaa upo Kenya wap wakt nimekuona asubhii🤣🤣🤣
@libnashaban76042 жыл бұрын
Maskin ,clam weeeeeeeee rafiki uyo
@evansmasoni2910 Жыл бұрын
Mwajuma nakupenda i wish ningekuwaka rohoni ntatoka Kenya
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Hapo ni hekima tu bila yaivyo jela wallah tena mbaya sana rafiki mnafiki
@Melinajohn330 Жыл бұрын
Clam nakukubal San Kaka yang nakuomba Dua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏼🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Amina-xc8tl2 жыл бұрын
Clam utafuturiwa leo 🤣😂we ingia tu mwenzio huchanganyaga huwa ewee😆
@damjuaji4502 жыл бұрын
Jamaa kafanana na simba mtambalike uyo mwenye kofia
@abdulsaidi48162 жыл бұрын
Kazi nzuri sana bro 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@finiaskalist7472 жыл бұрын
Huyu mwamba mwenye kofia anajua mnooo aseee
@nasrikhan42182 жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@finiaskalist7472 жыл бұрын
@@nasrikhan4218 pamoja sana kaka
@MichelleSwai6 ай бұрын
Acha kabisa😢😢😢
@totoclass2470 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu wajalie kila jema
@alisaida4080 Жыл бұрын
Last to comment from Kenya....good work keep it up..mashaallah
@InnocentMagoza-pu9wn Жыл бұрын
Ala we brother unakipaji aise 😂
@clichytraveller80992 жыл бұрын
😂🤣 hiyo ndo mbaya hiyoo
@zeroconscious1916 Жыл бұрын
Hivi clam Nyumbani ndio ulishaona pa kukimbilia mambo yakibuma😂😂😂
@nockigona5160 Жыл бұрын
bailam wakiwa na klam ndo wanapotisha
@swaxtiger8 ай бұрын
Clam umetisha sanaaaa❤❤
@SilviaDirecto.4 ай бұрын
ingekua n mwanaume mkisii hyo siku ndo clam angemtambua
@SilviaDirecto.4 ай бұрын
angetoa shingo
@MinahJoseph-bs8nw Жыл бұрын
Minaenda nyumbaniiiii
@fridahwayua5062 Жыл бұрын
Ghai 😂😂😂clam the best
@Collokenya Жыл бұрын
Collins from Kenya this is too serious ladies do cheat in that way