MKE WANGU : Full movie

  Рет қаралды 72,379

MBWELA MEDIA

MBWELA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@Zeldaommy
@Zeldaommy 10 ай бұрын
Mke anauma sana kazi nzuri ukiona mtu mpole usimdharau watu wapole ni wabaya sana kama unamkubali mbwela bc usipite bila kugonga like jamani nimejifunza kitu hapa🎉🎉🎉❤❤❤
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 10 ай бұрын
Kaz nzur mbwela nakupenda kwa ajili ya Allah na Allah akuzidishie zaid ufike mbali ❤❤
@GetrudaSanga-d7l
@GetrudaSanga-d7l 10 ай бұрын
Bailam yupo Mbwela nae yupo daaah ntake nin mim jaman nawapenda mnooh 💓💝❤️❤️❤️❣️
@RizikiZiki
@RizikiZiki 10 ай бұрын
Kaka mbwela katuleteya kitu kipya kama unamukubali kaka mbwela gonga links ❤❤❤
@استرا-و4ه
@استرا-و4ه 10 ай бұрын
The movie is nice ❤ I love it bro mbwela
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 10 ай бұрын
Mbwela kazi nzr sana hii❤❤❤🎉🎉🎉
@SalmaPurity
@SalmaPurity 10 ай бұрын
Mbwela, nakukubalia kwa onyo lko 🎉❤❤
@salmahoperi9783
@salmahoperi9783 10 ай бұрын
Hii ni 🔥🔥🔥
@ishamtam3
@ishamtam3 10 ай бұрын
Kaz Kama Kaz nakubali broo🎉
@GetrudaSanga-d7l
@GetrudaSanga-d7l 10 ай бұрын
Waooooh kitu New 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aishaomar2287
@aishaomar2287 10 ай бұрын
Mbwela unasema hakuna kulala 👍...mashallah Mungu Aibariki kazi ya juhudi zenu
@mildredoenga4651
@mildredoenga4651 10 ай бұрын
Nice 👍 Kazi nzuri❤❤
@KazwengeKayemba
@KazwengeKayemba 10 ай бұрын
Mmetisha saaanaa jamaaa abane ushuzi kwa wake za watuuu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 10 ай бұрын
Kim mashallah ni mrembo kwa kweli 🎉🎉🎉🎉
@SuleimanSalim-q9j
@SuleimanSalim-q9j 10 ай бұрын
Ila mbwela maneno yak ya busara xan na kijan bhailam hongereni
@fhugghi4109
@fhugghi4109 10 ай бұрын
Mbwela nakukubali sana ❤karibu chuga mwana
@dinabilemanga1703
@dinabilemanga1703 10 ай бұрын
J'aime beaucoup votre travail que Dieu vous bénisse et que vous réussissiez comme vos collègues très bon travail
@Zeldaommy
@Zeldaommy 10 ай бұрын
Well Come bro ❤❤🎉🎉
@rizikisam6481
@rizikisam6481 10 ай бұрын
😂😂😂😂 siku hizi nnajikuta nasema kumanganuka alafu ata sijui maana yake 😂😂
@GetrudaSanga-d7l
@GetrudaSanga-d7l 10 ай бұрын
Maana yake ni kuongea ongea kwa mfululizo bila mpangilio wa maneno unayo ongea
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 10 ай бұрын
Kujiachia wazi wazi
@rizikisam6481
@rizikisam6481 10 ай бұрын
@@mbwelamedia3469 😂😂😂😂
@SafinaS-m1u
@SafinaS-m1u 10 ай бұрын
Mbwela safi brooo nimependa unasimama km kaka
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 10 ай бұрын
Smart sana kaka mbwela alafu plz nisaidie jina la hile movie yako umeachiwa usia na babako ulinde bahari plz naitafuta lkn sijui jina yaitwaje plz mbwela nipe jina la movie ❤❤❤❤❤❤❤
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 10 ай бұрын
Inaitwa ndonga
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 10 ай бұрын
@@mbwelamedia3469 hewaaaah shukran sana broo
@SalimSalim-m9w4o
@SalimSalim-m9w4o 10 ай бұрын
​@@mbwelamedia3469mbwela mimi fan mkubwa sana nafatilizia sana episode movie 🎥 zako hhhhhhhhh mpeni combined uyo sudi mnyamwezi ajakoma 😅😂😂😂
@SalimSalim-m9w4o
@SalimSalim-m9w4o 10 ай бұрын
​@@mbwelamedia3469nyinyi jamaaa seriously munaweza seriously baihalamu, Zumba kauzu con tawa generally na sengo senior chief mwenyewe mbwela 🎉🎉🎉 lakin mbona naomi akikuona uwakupa hagg uwakukulilia mpaka baihalamu akatorosha na panga wake wenza 😅😅😅😅😅😅😂😂😂 ule bonge mwanamke akudanganya Mtoto wako seriously amemficha uko ila akupeleka makaburini zuchu ule mwanamke c mtu lakin hii movie mungemshirikisha Zumba kauzu con tawa generally au chibu ingekua poa sana
@SalimSalim-m9w4o
@SalimSalim-m9w4o 10 ай бұрын
​@@mbwelamedia3469 mbwela wewe kabila gani kutoka wapi wewe nasikia n mjaluo kutoka Kenya mama n mjaluo kutoka Kenya baba n mzaramo kutoka Tanzania n kweli coz walai uko smarty sana movie zako seriously nazifatilizia kwel movie zako zote ila 😂😂😂😂😂😂nilifurahisha kuona watoka mbio kweli walai ulivyo muona baihalamu akishika panga kisa Naomi akupa hagg
@Mosetieunice
@Mosetieunice 10 ай бұрын
Mbwela ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉kutoka kenya 🇰🇪
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh 10 ай бұрын
Congratulations mbwela🎉🎉🎉🎉
@SylvesterMwinga-ff5iy
@SylvesterMwinga-ff5iy 10 ай бұрын
Kazi nzuri
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 10 ай бұрын
Mjitahid kwenye sound mnyooshe vizuri jameni ❤ much love from Congo 🇨🇩
@chemsahakizimana
@chemsahakizimana 10 ай бұрын
Mbwela ulivyo kata kesi utazani ni mzee wangu 🤣🤣🤣
@SuleimanSalim-q9j
@SuleimanSalim-q9j 10 ай бұрын
Ila huyo jamaa ana busara xan kijan
@omarymkongo7535
@omarymkongo7535 10 ай бұрын
Kaka Omary, Hongera sana
@Eboy684tv
@Eboy684tv 10 ай бұрын
Nakubali sana jamaa
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 10 ай бұрын
❤❤❤❤hatari
@AbiTech96
@AbiTech96 10 ай бұрын
Kazi nzuri kaka Mbwela. Ila sound urekebishe kaka. Nakufuata toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 10 ай бұрын
Mume wa Alice kiboko😂😂😂nampnda huyo mganga nifanyw hili tukio kwa mume wang 😂😂😂akiwa juu ya kifua cha mchepuko😂😂😂😂patamu ❤
@Luchanganya_TZ
@Luchanganya_TZ 10 ай бұрын
Kazi nzuri sana hii Mwenyezi mungu awazid8shie kipaji kizidi kukua
@arafaramadan6234
@arafaramadan6234 10 ай бұрын
My man😊😢 nakupendag tyu
@jpmovies255
@jpmovies255 10 ай бұрын
Kaz Kaz hii Ni Kali sana
@KiboxMedia
@KiboxMedia 10 ай бұрын
Kazi Nzuri sana Ila Kuna Changamoto ya Sauti kwenye baadhi ya Scene but ni jambo la kawaida ila linatakiwa kuwekwa akilini na kuangaliwa kwa Jicho la 6 ili Next Time Kazi iwe Safi zaidi 🙏🙏✍️
@Maokototv100
@Maokototv100 10 ай бұрын
Kazi nzuri sana🙌🙌
@ogechilinus1
@ogechilinus1 10 ай бұрын
Kazi safi sana kaka. Kenya 🇰🇪 tunakukubali sana
@ndayiragijejeanclaude-rh1zl
@ndayiragijejeanclaude-rh1zl 10 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮 number one.na stahili kupewa hata ka like basi🤷🤷
@LinusMsimbano-uq1kg
@LinusMsimbano-uq1kg 10 ай бұрын
Kaz nzur sana
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 10 ай бұрын
Much love from saudi
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml 10 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 10 ай бұрын
Atasijui wangp bora tuu nipo nipen tuu like nione rajah❤❤🎉🎉
@estaphone
@estaphone 10 ай бұрын
Nzuri jamani
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 10 ай бұрын
❤❤❤❤hta ni Leo stell wanachepuka 2 wake kwa wanaume 😂😂😂😅😅
@Jstar949
@Jstar949 10 ай бұрын
Safi
@AhmedChitema
@AhmedChitema 10 ай бұрын
Nice
@ebangulawabisama9974
@ebangulawabisama9974 10 ай бұрын
Mrekebishe sauti jameni mwambieni producer aweke vizuri sauti
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 10 ай бұрын
Bana ushuzi kwa wake za watu utakuja kuganda😂😂😂😂😂😂
@ElizaMideko
@ElizaMideko 10 ай бұрын
Kaka unatisha sana kwenye kazi zako piga kazi kaka mdgo wako nipo nyuma nakufata
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 10 ай бұрын
Mideko❤❤❤
@aminakesi5945
@aminakesi5945 10 ай бұрын
Limemkuta jambo😂😂😂😂😂😂😂😂mke wa watu.......ngoja nkurekebshie mke w mtu
@MsodokiAli
@MsodokiAli 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ From zanzbr
@nkurikiyearodiedavid6255
@nkurikiyearodiedavid6255 10 ай бұрын
Hamjui,hata mume wa mtu anauma.following you fro from Bujumbura Burundi 🇧🇮
@AlemaAishitembwe-zn8dv
@AlemaAishitembwe-zn8dv 10 ай бұрын
Naikubali Sana mbwela nakufata kutokea Congo ,burundi
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 10 ай бұрын
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@Siddstar2023
@Siddstar2023 10 ай бұрын
bro kwenye sound set vizurii mitambo
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 9 ай бұрын
Nawapenda kwa ajili ya Allah awajalie kwa vipaji vyenu inshallah 🙏
@Wardat-o3l
@Wardat-o3l 10 ай бұрын
Na kukubali mbwela ❤
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 10 ай бұрын
😂😂😂 Mbwela dada yako ana mang'anuka tu
@ashakimaya6527
@ashakimaya6527 10 ай бұрын
Mbwela nakumang'anuka 😂😂😂😂😂
@AshuraMohammed-p2q
@AshuraMohammed-p2q 10 ай бұрын
Eti bana ushuzi
@salmah9908
@salmah9908 10 ай бұрын
kazi nzul
@KIDAWAFILM
@KIDAWAFILM 10 ай бұрын
Good❤❤
@Faizali-x9
@Faizali-x9 10 ай бұрын
Mbwela una weza sana wewe moto😊????
@KloveOGOG
@KloveOGOG 10 ай бұрын
Nakubali Kaka %100
@liy254
@liy254 10 ай бұрын
Hii nayo nmeikubali tokea kenya
@Jton-u1h
@Jton-u1h 15 күн бұрын
Safiii sana kak mbwela
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 10 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤
@aboiakili
@aboiakili 10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mabuga_og
@mabuga_og 10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥💪
@ishamtam3
@ishamtam3 10 ай бұрын
Watatu nimejitaid jamani plz like zenu
@kibibimlaula2526
@kibibimlaula2526 10 ай бұрын
Ila mbwela ana misemo ety bana nn ...😂😂😂yani syllabus inaenda chapu sijacram kumanganuka tayari jipya lishaingia
@LailaKaimu
@LailaKaimu 10 ай бұрын
Mbwela unaweza
@selemanimatumba
@selemanimatumba 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Zeldaommy
@Zeldaommy 10 ай бұрын
Jamani nimerudi Tena nyinyi wenye mko kwnye ndoa hamtulii dawa yenu Niko nayoo 😂😂😂😂
@Keke-m6d
@Keke-m6d 10 ай бұрын
🎉🎉🎉from Burundi 🇧🇮💕
@MillycentSidi-ij7rr
@MillycentSidi-ij7rr 10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 10 ай бұрын
😏😏😏😏uyu mume boyaaa kweli
@ruthnasambummmuchongorimuc6386
@ruthnasambummmuchongorimuc6386 10 ай бұрын
I am from Kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JacoboWilliam-k8t
@JacoboWilliam-k8t 10 ай бұрын
Duuh kwenye maisha tunafel tunapo fanya ujinga tuk Amin hatutaachwa
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 10 ай бұрын
Shikamo 😅😅😅😅
@JumaaaKadenge
@JumaaaKadenge 10 ай бұрын
😂 kwani mbeba mzigo simtu
@772moana
@772moana 8 ай бұрын
Asantee sana mbwela❤
@MartinMikhalisi
@MartinMikhalisi 10 ай бұрын
Much ❤from kenya
@kwizerafatu5587
@kwizerafatu5587 10 ай бұрын
Huyo kaka kafanan n zhumba😅 Mke wa mtu sumuuuu
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 10 ай бұрын
Wow mashallah ❤❤❤ keep it up you guys
@SaraphinaFundi-rl2hx
@SaraphinaFundi-rl2hx 10 ай бұрын
Mbwela kama mbwela kazi nzuri
@marthaelias3422
@marthaelias3422 10 ай бұрын
Kaka mwenyewe anae wabebea wake zenu anasura mbaya kama hamorapa, 🤣
@PresenterRash
@PresenterRash 10 ай бұрын
Nice 👍🇰🇪
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 9 ай бұрын
Bwelaa kama Bwelaa huna baya jamani
@mg_panther
@mg_panther 10 ай бұрын
Jaman sauti hazi kutoka vizuri jaman ila story ninzuri ime tulia
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 10 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@SteveJames-j8m
@SteveJames-j8m 10 ай бұрын
😅😅😅😅
@benardictlimanye9215
@benardictlimanye9215 10 ай бұрын
noma sana
@RahmaIbrahim-u8o
@RahmaIbrahim-u8o 10 ай бұрын
Inaitwa ndonga
@kiya0910
@kiya0910 10 ай бұрын
Big kaka
@eggysulle7988
@eggysulle7988 10 ай бұрын
Uyu mkaka mgen kwa mbali anafanana na kanumba
@everdhekay4924
@everdhekay4924 10 ай бұрын
Much 💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 10 ай бұрын
Kazi nzur kaka mkubwa
@rosettenadine452
@rosettenadine452 10 ай бұрын
𝑴𝒃𝒘𝒆𝒍𝒂 𝒆𝒕𝒊 𝒌𝒖𝒎𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒖𝒌𝒂😅😅😅
@merinazyd0532
@merinazyd0532 6 ай бұрын
Mbwela ❤❤❤
ROYAL BLOOD {6}
19:20
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 7 М.
KUNGWI MLEVI FULL MOVIE
2:51:37
BUTUA MAGINGA TZ
Рет қаралды 27 М.
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
TIMU MBOVU : MKOJANI,TIN WHITE,SAMOFI,TUMAIN ABDALAH [ PART 1]
23:15
WATEMA MADINI
Рет қаралды 459 М.
DEAR X FULL MOVIE ❤️❤️ MBWELA
1:23:03
MPAYU FILM
Рет қаралды 21 М.
TIKTOK FULL MOVIE
54:10
BHAILAM
Рет қаралды 24 М.
UBAYA  | FULL MOVIE
1:26:09
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 96 М.
NAMPENDA 💝 (FULL MOVIE)
1:37:54
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 132 М.
HISIA ZANGU [ EP 1 ]
16:29
HoT BaSe
Рет қаралды 5 М.
MATE | FULL MOVIE
1:06:14
Fabby Khan
Рет қаралды 92 М.
ROYAL BLOOD {5}
17:59
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 12 М.