Wahenga wanasema usikosee kuoa lakini kaka mbwela umekosea kuoa sijui wanawake wanataka nn kwakweli hili ni somo wanawake tulieni bc mmmmh 😮😮😂😂❤❤❤🎉🎉🎉😢
@Bisativa8 ай бұрын
Wa kwanz jaman...naomben likes km unamkubali mbwela❤❤❤
@sharleenrubby92147 ай бұрын
Toweni maoni acheni mambo na like hapa...kwani mnataka like za nini😮😮😮
@MonnaclassicFashion3 ай бұрын
Upewe like umeigiza cini gani ujinga tu
@mariamchuu27042 ай бұрын
❤❤❤ mbwela umetisha sana
@mariamchuu27042 ай бұрын
Mbwela ❤
@Mkuu-u8k8 ай бұрын
Big kaka Mungu akupe nguvu kaka na kupenda bur❤❤
@Zeldaommy8 ай бұрын
Big kaka pia mm huyo msemo wako sijauelewa na kwa sahii sina akili ya kufafanua naomba unifafanulie😢😂❤❤❤🎉🎉
@J239768 ай бұрын
Movie kaliiiii 🔥🔥🔥
@FelistarMagigeАй бұрын
Kweli mwisho wa ubaya aibu kazi nzuri sana mbwela😂😂❤❤❤❤❤
@Mkuu-u8k8 ай бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
@RukiaMbarak-s2k8 ай бұрын
Mafundisho mazuri hongera sana Bwela 🎉🎉🎉
@mwalisuleih11646 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤Much love to you mbwela 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Masha'Allah yan apo mwisho mwisho ndo patamu zaid ak unanifunza xan kaka asante xan ❤❤❤❤❤ napenda movie zako yan zinauhalisia wa maisha laeima tue na msimamo kwnye mapenzi hongera xan mbwela
@MarthaMkasi8 ай бұрын
Kweli Rafiki sio MTU mzuri kbs yn anaweza kukuua
@mwalisuleih11646 ай бұрын
❤❤❤❤Kabxa rafiki yako ni adui yako tuu
@JanetRiziki-ut2is5 ай бұрын
Waah nimejifunza kitu kaka mbwela big up sana broo ❤❤❤❤
@AzungoNgolongo8 ай бұрын
Big up sana
@MaryamNurru8 ай бұрын
nime kukubali sana kaka mbwela imetupa mafunzo mazuri ❤❤❤❤
@Pili-n3l6 ай бұрын
Kwn kijijin pia watu wanaitana baby👌
@Muhsin-d3u8 ай бұрын
Mbwela uko vzr mola akuzidishie 🎉🎉🎉❤ natizama nkiwa Saudi Arabia
@aishaomar22878 ай бұрын
Hongera big kaka🎉🎉🎉ni wanaume kidogo sana wangefanya maamuzi kama yako#wengi ni wale wakisikia tetesi tu uamuzi ni kuacha au kufukuza mke!
@fatumakushonda42778 ай бұрын
Kwa kweli mbwela uko sawa bwana🎉❤
@StephenLukangu-sc8km8 ай бұрын
Hata nami nipewe like natoka Nairobi
@nelsonandanyi13 күн бұрын
Weka bendera ya nairobi.... 047
@ESTERMREMA-v2q8 ай бұрын
Ya moto sana 👊
@HawaSaid-u7o8 ай бұрын
Hongera kaka kazi nzuri ila sio vizuri kusingizia kifo, naona ata kwenye big kaka umefanya hivyo
@JoyceWaweru-ng9hk4 ай бұрын
Usaliti unauma sana😢😢, hongera kwa mafundisho
@shamsiyasalim68668 ай бұрын
Wewe ni mnafiki umefurahi Sana kusikia mbwela amekufa ujuwe mwisho wa ubaya aibu
@mwalisuleih11646 ай бұрын
Kabxa ❤❤❤❤😂😂😂😂
@Ummykassimtz8 ай бұрын
Yan mie ni shabiki wa mbwela lakini hajawai nipa ata like 😢😢
@Professor.Irene958 ай бұрын
Like Yanni bwana mie nataka anioe😅😅😅😅 nanimemwai sitaki tuingiliane 😂😂😂❤❤❤
@Ummykassimtz8 ай бұрын
@@Professor.Irene95 🤣🤣🤣 oyi mbwela ukuje bas harusi tunayo mbona
@mamakenajma32578 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂@@Professor.Irene95
@RizikiZiki8 ай бұрын
Jamani nyiye😂😂😂😂😂
@Ummykassimtz8 ай бұрын
@@RizikiZiki mie ndie na shika pesa ya mchango ya mwanangu mbwela oyi bibi harusi mwanangu mbwela kama muhindi mahari una lila wewe imeisha iyo
@officialbhaddierozalia49453 ай бұрын
Nice movie ❤❤
@GervaisbituAkili8 ай бұрын
Ongeza bidi kaka
@margaretnamubi45657 ай бұрын
😢😢😢😢nice movie..msaliti jina mzuri ya hii movie
@MariamuMolleli18 күн бұрын
Mbwela movie zako nzuri sana mimi ninafatilia sana nazipenda kiukwelli
Kaka mbwela unatumia akili nyingi sana movie zako mjingaa awezi kukuelewa❤❤❤
@mwalisuleih11646 ай бұрын
❤❤❤Nkxel kbxa ak mm namuelewa xan uyu kaka Masha'Allah mafunzo mazuri xan mbwela endlea kutufunza kaka
@zeinabuAchiengOkara8 ай бұрын
❤❤❤❤
@MaryamKjor326 күн бұрын
Aaaaa!!mbwela njoo ufumanie 🎉nakukubal sn
@ZulfaJuma-z6s14 күн бұрын
Kazi nzur brother
@Katuni8628 ай бұрын
Sauti inakera sana iwekeni ya chini isizidi sauti y mazungumzo
@Kuyu-f2k8 ай бұрын
Kaz saf n uwa nkupendea roho saf n mawazo saf sn,,, Allah akuongoze ktk kaz zko zjayo inshallah
@zenakioga65678 ай бұрын
Mbwela ana plani B ambayo wanaume wengi hawana dàah hongera sana kaka ni zaidi ya mwànaume sahihi
@thamratysuleiman30538 ай бұрын
Mimi kilio changu kwa waigizaji ,wanatukela na miziki kwenye cinema zao
@paustephano8 ай бұрын
N nzuri hongera Sana kaka mbwela, Ila ushauri wangu punguza muziki hasa wakat mnaongea
@AminaAthman-g7n8 ай бұрын
Brother Mbwela Masha Allah I always love your movies
@salmah99088 ай бұрын
🔥🔥
@MariamAlly-j2g8 ай бұрын
Kazi nzuri ila mziki upo juu kuliko maongezi
@BintmohamedNasiri8 ай бұрын
Movie nzuri sana yenye mafunzo ❤ila weeeh nimechukua masaa 2 kuiyangalia sijui nyie wenzangu 😂😂😂😂
@RizikiZiki8 ай бұрын
😂😂😂😂nishida hadi uvivu ju niubora aigawe marambili kama Donta TV wanavyofanya ndo powa
@GravitTaboi8 ай бұрын
Kazi safi kaka Mbwela ila tu hujai like my comments sijui shida wapi ila mm penda ww sana❤❤❤❤❤
@mbwelamedia34698 ай бұрын
Duh mbn mm Nalike comments zote kila movie nikiachia Na wakat mwengne najibu comment. Ndg yng
@Zeldaommy8 ай бұрын
Mwanamke mnafiki ww sijui watu wa you tube wanaruhusu kucomment mara ngapi kwasababu mm najihisi kucomment tu leo😂😂😂😂😂
@AnnaLea-lq6ob5 ай бұрын
Chukua m🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako kaka
@mc-bii2285 ай бұрын
Ila wanawake bnee tuna shida sana unamuacha mkaka mzuri unaenda kuchepuka na 🤐😂😂 Anyweis Acha watu wapendane tu. But Good Job Mbwela❤️🔥.
@افلينافلين-ي9ك8 ай бұрын
Kazi nzuri sana bwela duhh
@RoseOenga3 ай бұрын
Never give up,i love you always big kaka ❤❤
@sharleenrubby92147 ай бұрын
Toweni maoni acheni kuomba like hapa
@abubakarndegwa48358 ай бұрын
Good work mbwela...
@BukuruAlexander7 ай бұрын
Mbwela bwana nimuingizaji mzuli sana nanaweza sana
@marrialmary35108 ай бұрын
Jaman uyu kaka ako na sauti nzuri❤
@mbwelamedia34698 ай бұрын
Kaka yup? Huyo
@marrialmary35108 ай бұрын
@@mbwelamedia3469 mbwela
@FatumaJumanne-p4d8 ай бұрын
Yaan cjamalza kuangalia lakn nahc huo wema ndio fimbo yako 😢
@arafaramadan62348 ай бұрын
My Man miss you and good Job 😢 love you mbwela
@femidayahaya48828 ай бұрын
KAKA MBWELA KARIBIA MESSAGE ZOTE...ZOTE NI SIFA JUU YAKO...HII YOTE NI JINSI MUNGU ANAVYOKUPENDA NA KUKUOA MAARIFA..KATIKA KAZI ZAKO. KIPAJI CHAKO KAKA KIWEKE MIKONONI MWA MUNGU ILI AKUWEKE JUU ZAIDI YA KILELE. BIG UP BROTHER.
@ashamwanganzi64008 ай бұрын
Big kaka much love wallah❤❤
@RizikiZiki8 ай бұрын
Subhanalah we dada unamuciti mmeo alafu unamuombea nakifo juu😢iyo nizaidi ya unyama kama humpendi siubora umuace tu pakumuombea kifo🤭
@SaidyMkambalaАй бұрын
bwela fundi sana🎉🎉🎉🎉🎉
@GHgh-hq3zj8 ай бұрын
Safi sana kbs ❤❤❤❤
@MarthaMartha-tz6rl5 ай бұрын
Mbwela sai nsipo angalia movie zake sijihisi kamili uko sawa
@bilalmubarak84148 ай бұрын
Nakukubali Sana mbwela
@haythamkhamis-d4p8 ай бұрын
Honger san nataman sku moj nifny kaz na wew
@Shakila-pq2gv8 ай бұрын
Kazi nzur kaka
@koperawasona95518 ай бұрын
Wamaume wote duniani wanaakili yaziada joomana Mungu akasema tuumbe mtu kwa mfano wetu mwana mke sio mtu kwamfano wa Mungu mwanamke ni binadamu ametoka mbavuni mwamwanaume awezi kuwa naujaja kuzidi mfano wa Mungu
@rehema-lg5cl8 ай бұрын
Ila mbwela wakati wa mazungumzo zima mziki plz move tamu
@AmenaMm-r5t8 ай бұрын
Saf san kk mbwela mung akubarik
@umaima11788 ай бұрын
Kweli sisi wanawake walimu wetu vipofu 😢
@MariamMwaronga5 ай бұрын
Mbwela balance sauti inayocheza inakuwa juu mnaongea tunapitwa,mnapoongea sauti ya muziki iwe chini tafadhal lkn uko juu hongera shabiki wako kutoka kenya
@TuyishimeMakounmussa8 ай бұрын
Big up sana Mbwela
@aminahhuawei11338 ай бұрын
Daaa sisi wanawake cc mungu anatuonaa kwakweli 😢😢😭😭
@mwajumasaid73067 ай бұрын
Yaan hii move somo tosha kwakwel
@fiakizi7 ай бұрын
Uyo mdada alokuw anachota maji saut yake kama ya Riyama