Huyu jamaa ya ni kuuuuuuum...... Kuubabeke yani huyu alijitiaa dole halafu akakiramba .... Umbwaaa sanaa
@kgchippyКүн бұрын
🤣😆😂
@zainabwamboiwamboizainab16172 күн бұрын
Wa Tanzania navile wana Huck simu za watu kenya eti ume shinda kumbe mwizi twaishi kusema ni watu Wa kamiti maskini sio hao.
@kgchippyКүн бұрын
Whaaaat🙆🏽♂️🙆🏽♂️
@hajramwakio7580Күн бұрын
Waganga na watapeli hao
@RuthWanjiku-e6o5 күн бұрын
Wakenya shida Yao wako na damu ya tamaa na wizi. unapewa opportunity na mungu ujipange lakini tamaa wizi inakutawala.mtu alithike na chenye mungu amekubariki nacho.tamaa itafanyaa upoteze Baraka.
@kgchippyКүн бұрын
100% correct kabisaaaa
@imaraimara49756 күн бұрын
Sisi Wakenya tumezoea wizi, kila sehemu tukipewa nafasi ya kazi lazima tufanye wizi , inasikitisha.
@musanike30792 күн бұрын
Sio wote
@imaraimara49752 күн бұрын
@@musanike3079 % kubwa hawaaminiki, huo ndio ukweli namimi ni mkenya halisi.
@eddyedduu69125 күн бұрын
Hapo hakuna la ajabu. Wengi wa sisi wakenya tunawaza dhulma
@catherinmutheu53377 күн бұрын
Hio c ni ujinga wa hali ya juu.some people think uku ni kama kenya kwetu. 😂😂😂.
@kgchippy7 күн бұрын
Nae ana bahati kukimbia😊kingemramba vizuri jela
@Pablo199866 күн бұрын
Bro, ikifika mambo na registration Qatar, signature hutoa watu nje hata kama NI yako wewe. Je Yule aliyetumia ID ya mwingine alifanikiwa vipi😂😂
@Pretty227506 күн бұрын
@@kgchippyHujui bd km anabahati maana hujui alie ibiwa ana mwabudu Mungu yupi so km ana abudu miungu subiri km hutatuletea habari za aliekimbia Qatar kwa kuibia Boss wake either amekuwa majinoon ama ameugua ugonjwa usio julikana,sio kwamba namuombea iwe hivyo lkn watu wawe careful sana especially mahali wameku trust maana hujui anakupima ama kuna Jambo anataka kutoka kwako,acheni mchezo watu sikuhizi wamekuwa hawajalo 😢😢😢
@bridgetakuku69557 күн бұрын
Oh my God!
@kgchippy7 күн бұрын
😢
@Stephennjoroge2547 күн бұрын
@@kgchippy,eti Brian ..Huyo jamaa namjua vizuri Sana kaka ...
@Pablo199866 күн бұрын
ID signature hutoa watu nje. Ilikuaje akafaulu Ku match signature ya Yule jamaa. Na pia ID iko na Picha na code
@AliDumbo-en6uq3 күн бұрын
Hayo ni madogo boss
@kgchippyКүн бұрын
Wallah🙆🏽♂️🙆🏽♂️
@MartinWanjiku-u9hКүн бұрын
Hui udaku ni WA watu tu WA gulf.. umbea tupu bila usaindizi
@mesaidikazungu42997 күн бұрын
Hana akili kweli.
@kgchippy7 күн бұрын
Alifkiria na macho😢
@tonygee56804 күн бұрын
Kupea ndio kusema nini 😱😡😡😡😡
@abukhalid34465 күн бұрын
Hio ni problem ya yule aliekubali ku register hio ID kwa jina ka huyo mkenya ambae sio mwenye ID.
@micahalunga7152Күн бұрын
Boss,but how did he get the company exit fro Qatar?
@kgchippyКүн бұрын
Rules are rules!! So far you have your own passport in Qatar unaeza jilipia tikiti na ukasafiri not unless ue kwenye jobs za category flani ndi waitaji exit permit eg. Bankers,cushier,poster na zengine chache
@fatumaadam42716 күн бұрын
Where's the video?
@kgchippyКүн бұрын
😳
@DaudiSaid-bj7dhКүн бұрын
Wakenya kila mahali hawaaminiki wana damu ya wizi
@jeremiahmuli176620 сағат бұрын
FLIGHT C MATATU ZA MTWAPA
@miriamkaguamba23337 күн бұрын
When you sit any place with kenyan be very careful
@kgchippy6 күн бұрын
La sivyo nyote akutoe chambo😒😒
@fatumaadam42716 күн бұрын
Nonsense
@aliabdulwahab5094 күн бұрын
Kisha wakenya wakishkwa utasikia oh warabu ni wabaya. Kuna jamaa mwengine manjua alkopa pesa hukohuko Qatar akataka kuhepa akashikwa. Mbaka sai ukoo ndani mbaka amalize kulipa pesa zote
@feisal382 күн бұрын
Huo ni ujinga sana 1000 riyals inakufanya uharibu kazi na urudi kenya.
@luckydubebello11317 күн бұрын
Nilisema siku ingine mkanikemea sasa umeona??thats y no body wants a kenyan its a shame
@kgchippy7 күн бұрын
😢😢jamaa waaribu CV
@luckydubebello11317 күн бұрын
@@kgchippy yes
@luciemuthua21985 күн бұрын
You can't use anyone id juu ya finger print aje?
@lalumohdyanga55087 күн бұрын
Majuto ni mjukuu awezi tusi tena qatar kwa kazi ata yakufyagia
@kgchippy7 күн бұрын
C jui atalaumi nani sasa😢
@phoenixhub44542 күн бұрын
Kuna wengine hata Wamefika tu juzi hana hata QID ameenda amelewa hata kutembea hawezi.
@JacintaMuthoni-s5z6 күн бұрын
Haya mambo ndio yanafanya pia sisi house managers tunyanyaswe kwa makosa iliyofanywa na waliotutangulia😢😢 People should style up tusiharibie wengine
@WakhanuLewis3 күн бұрын
Sasa 1000riyal ni pesa inafanya mtu aharibu kazi pamoja na jina la nchi yake wakenya poooo!!
@virginiabundi41827 күн бұрын
Mwizi ni mwizi ata aende wapi.
@kgchippy6 күн бұрын
Nakuta😟
@SamuelNyakundi-l1h6 күн бұрын
Huyo ni jamaa fala benefits aliaacha nyuma SI angelipa aendelee na kazi
@modiladaddy23133 күн бұрын
Kikweli haawa jamaa zetu huwa wajifanya wa njanja sana tabia zao
@JeskarAlubili2 күн бұрын
Kuna kitu huyu mtangazaji hajaelewa, huku Hakuna tajiri ambae yuaweza mpa mtu id ya mtu mwengine cha 2 ndio mtandao watakupigia na kama haushiki wanai block Ile number hadi siku utakua warudi nyumbani utazuiliwa airport kila mtu hushika id yake mwenyewe unless waliombana id na huyo mwenye id anajua kila kitu huyu jamaa yuaongea upuzi tu 1200 haziwezi fanya MTU arudi kenya unless alikua yuaja vacation
@yusufmwangichannel66926 күн бұрын
This is a content story, 1200 na mtu ni supervisor na analipwa mshahara mara mbili na nusu ya pesa anayo daiwa🤔. Hio story ni ya uongo unless awe alikua ameibia mtu lakini sio maswala ya deni la sim card. Mimi nilidaiwa na Vodafone more than 900 na sijalipa mpaka sasa but walinifungia sim card na sijatafutwa na police wala sijatishiwa na mtu yoyote na nilibadilisha sim card nyengine na bado ni hio hio Vodafone na nilipo enda kununua sikuulizwa kuhusu deni lao
@samsonnjenga1935 күн бұрын
Huwezi toka Kwa Airport to Kenya bila Exit ya Company this cooked
@yusufmwangichannel66925 күн бұрын
@@samsonnjenga193 Hio ni story ya kutengeneza, unajua KZbin ni biashara so kama hakuna story lazima utengeneze story yako
@user-vy8ym2mg5k4 күн бұрын
Story za jaba nonsense wakenya wakenya umepata like furahia
@zainabwamboiwamboizainab16172 күн бұрын
Weeewe mtoa post ndo mwenyewe waka mwizo
@erickmuchanginyaga19192 күн бұрын
Hii ni uongo supervisor hawezi toka qatar bila kuwa cleared na company
@erickmuchanginyaga19192 күн бұрын
Alitoka aje qatar bila kuwa cleared na office,,?. Supervisor uwezi toka qatar bila clearance 😂. Hii ni story ya jaba
@lmaa6013Күн бұрын
Bro ukona shida kwa kweli🤣🤣🤣 hio issue ndogo ndio una payuka kama mjinga,I think uli toka Qatar ukiwa hoi bro, I'm sorry you don't make it but thats not the way to make it
@kgchippyКүн бұрын
Pole kwa kukupayukia 🤭🙏🏾
@halimaali87325 күн бұрын
Oooomy god😢
@abdulnassirbawazir15372 сағат бұрын
Kisha wasema waonewa na Wana dhulumiwa Wana toa story za Uongo ku haribia wenzao Kazi na Uaminifu kwa wengine
@IssaMraja-kr3qi5 күн бұрын
Hii story y uongo bro usitudanganye.qatar ni nchi ambayo mtandao wake Uko juu xn.huezi ukatumia details za mtu mwengine hata siku moja.labda iwe visevasa.kitambulisho chako ndio kina imformation zote za mtu.huezi tumiaID y mtu mn ID Uko n sura y mtu.tuseme aliesajili hakuangalia sura.hii sio kenya bro,hii inchi Uko n ulinzi mkali xn
@user-dc5he7ss6f5 күн бұрын
Ni mshamba uyo
@SheeMaryam.M7 күн бұрын
Yani wakenya wanapeleka wizi kwa watu jaman 😢😢
@kgchippy7 күн бұрын
Mthihani kweli😮
@luckydubebello11317 күн бұрын
Wizi na umalaya ndo ya wakenya its a shame
@SheeMaryam.M7 күн бұрын
@@luckydubebello1131 that's what we know how to do best.. it's so ashamed
@luckydubebello11317 күн бұрын
@@SheeMaryam.M imagine dear wameharibia wengine kabisa
@Shillingi5 сағат бұрын
Huna kazi yakufanya tafuta kazi wacha watu wa fanye kazi mwaume bure
@salimsumba74985 күн бұрын
Deni la line ya simu haiwezi kumfanya mtu ashikwe ama afungwe shida ni kuregister line ya simu na ID ya mtu
@Ezrashizzle.Күн бұрын
Hii story hai add up
@kgchippyКүн бұрын
Ita add up ile siku umehusika kwa njia moja au ingine😒😒
@elijahasiso2876 күн бұрын
Huyo atafute na serikali ya kenya,ashikwe! Wakenya wanang'a riadha na huyu anachafua.... Alikuwa mlafi and sometime his extended family are part of it by depending on brian and burdening him!!!
@user-px8sr6sr8e7 күн бұрын
Waaa jamanii!🙆🙆
@kgchippy6 күн бұрын
Kubaya😧
@christinemambo68405 күн бұрын
Kama alikua supervisor hata hiyo pesa haifiki salary yake ya one month,, is this what they say village people are after someone?? Or what do we call this nonsense yawa, what I can say is MUNGU kila wakati kila mahali🙏
@mosesalim86695 күн бұрын
Uyo ni mpungufu ya dini akiwa Muslim awezi fanya
@benjaminmuriira61116 күн бұрын
Wakenya tuko sawa bro don't involve all people in that nonsense,pia TZ hakukosi wajinga I know you guys I work with your people
@charlyb35606 күн бұрын
Uongo😅😅...how can you register with someone else id..Acha uongo baana
@GracePendo-nc1el4 күн бұрын
😂😂😂😂😂story za jaba hizi apa hajatuambia kitu
@ayubmetah15582 күн бұрын
Inawezekana especially kama picha iko kwa id inafanana yako. Ukienda pale metro ukutane na hao sales boys wako na tablets za ooredoo ama vodafone, simcard unapewa bure bora upeane id na ununue credo ya 10 rial. Muindi hataki kujua id ni yako, yeye bora ame register afterall analipwa kulingana na number of sales amefanya kwa cku. So it seems, Brian alihepa case ya impersonation. Na airport sikuizi u dnt need employers' approval. Unatoka anytime u want.
@VincentGamboMuye7 күн бұрын
this so bad why kenyans always
@kgchippy6 күн бұрын
Stay smart when you’re with them😧
@catecate907 күн бұрын
Upumbavu tu
@kgchippy6 күн бұрын
Roho zimeungua sister
@totodavis19496 күн бұрын
Vitu zingine hazifanyiki bure ukifatilia utapata foundation yake ya wazazi haikua poa zingine ni mikosi
@annewenjiku-oc8bk7 күн бұрын
It is his home altar was calling him not him madhabahu ilimuita ishindwe Pepo shafu in Jesus Christ Name Amen
@kgchippy6 күн бұрын
Kingemramba ole wake na izo mapepo zake
@zipporahmujiti54357 күн бұрын
Ndio tunasema usiwe ukiuliza mtu umesoma hadi kiwango gani? Tabia ndio msema ukweli 😢😢😢
@kgchippy7 күн бұрын
Nakubaliana na ww!! Tabia yaeleza mtu
@DamarisDuuTausi7 күн бұрын
Mwenye bahati habatiki nimjinga huyo.
@kgchippy6 күн бұрын
Am sure aliko ajutia saii😟
@Pablo199866 күн бұрын
Lakini signature ya ID na yake NI tofauti. Bro wewe muongo. Nili register line ya Vodafone mpya na ID yangu. Ilipofika kwa signature nikaambiwa nisign Sahihi kama yenye iko kwa ID. Nilijaribu mara ya 4 ndo ila match. So tell me, huyo jamaa Ali sign vipi na signature si yake
@itiamekimbui7226 күн бұрын
weee sio kueli kwakweli ukipatia mtu kitambulisho chako ni hatari rafiki yangu alipatia rafiki yake akanunua line ya simu later on jamaa alitandikwa fine kwa kutokuvaa mask during corrona. funny enough jamaa ali exit fine ilienda kwa mwenye kitambulisho
@kgchippy6 күн бұрын
I am counting your comments more than twice and am really happy that you’re concerned, am sure your are in Doha, kuja messenger tutaftane unipe QID yako na ntafanya registration ya new simcard bila ww kuwepo! Tusibishane kwa maandishi! Avail yourself and prove our point
@kgchippy6 күн бұрын
Uyu abishana nmemshow tutafte tuprove anachosema ni kweli??
@bintrashid51085 күн бұрын
Huyu anakaa ni brian chira😂😂😂😂
@omarmbarak15797 күн бұрын
Hakuna hiyo ati sim card ukopeshe zaidi ya 50 riyal an less maybe Internet napia hiyo Internet pia mwezi moja kama hukulipa bills itakatwa net usituwoshe zere
@huskhalyomary4877 күн бұрын
Post paid wanakuwekea tu kila tarehe ikifika😂😂😂 japo saiii wamekuwa wakifuatilia kila mwezi mpya ukiingia. Nahisi wakenya ndo mmewasanua hawa Vodafone 😂😂😂
@kahurire34987 күн бұрын
Ama alinunua WiFi na hio ID
@KhalifaMwinyi6 күн бұрын
Nashangaa yangu ilifika 150 ikakata sasa hio imefikaje 1000😂
@sisterolivia98746 күн бұрын
Wacha aende Kenya maandamano.
@kgchippy6 күн бұрын
😆
@benardoenga28767 күн бұрын
Bro huyo ni mjinga na bundles hapa qatar ni doo kidogo
@Pablo199866 күн бұрын
Hii story NI ya Jana na uongo. ID iko na Picha na signature. Qatar si Kenya. Technology itakuuma nje. How did he sign the signature of the ID in iPad. Registration process
@kgchippy6 күн бұрын
@Pablo19986 haha 🤣 hopefully uko Qatar tutaftane unipee QID yako na nichukulie simcard roho safi…. Izi ni vitu watu wafanyiama mpaka leo as we are talking kuna watu wanatumia simcard ambazo ziko registered na QID ambazo sio zao
@kgchippy6 күн бұрын
He must be regretting wherever he is
@ElmiM-j4n4 күн бұрын
Wizii wamezaliwa naye... Wanjinga sisi?? Bure kabisa . Look at kenya's news it's all about thuggery from Prez.Ruto to jr.Afande police!! It's the cultural thing in kenya!!
@user-lo7ez7bm3e7 күн бұрын
1200😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Pablo199866 күн бұрын
Uongo huu bro hii NI made up story
@kgchippy6 күн бұрын
Umekazana sana uhakikishie watu ni uongo, jilete na ID yako na tuonyeshe watu hii ni uongo😂🤣binadamu nyie
@kgchippy6 күн бұрын
And thus was the limit(Vodafone)
@Jingajinga646 күн бұрын
@@Pablo19986kubali tu yaishe. Mbona zile nyengine za uongo za wasichana wakenya husemi ni za uongo. Wakenya wengi hawana uaminifu. Kuwa mpole
@Gangalamu7 күн бұрын
Amateurish, someone can stoop this low is beyond me. 300$ has screwed all his future
@Paul.G1433 күн бұрын
Watanzania na umbeya😂😂 where are the receipts to proof he actually did that.mnakuanga na roho chafu Juu ya wakenya.we mzee unasema mtu alikuambia badala you do the due deligence.kazi ni kubweka tu upate views.kichwa mharo.puga