MKOBA WA BIBI ep 6

  Рет қаралды 96,109

CHILLY MWINYI MKUU

CHILLY MWINYI MKUU

Күн бұрын

Пікірлер: 188
@abubakarswaleh5667
@abubakarswaleh5667 2 ай бұрын
Chilli uko juu sana. Munaupiga mwingi
@AbraSeif
@AbraSeif 2 ай бұрын
Wa kwanza Leo from Zanzibar 🎉🎉
@KagegaAbdlah
@KagegaAbdlah 2 ай бұрын
Akwadaaaaaa 😂😂😂umebana nywel leo
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana mbarikiwe wahusika ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@SenyonjoEliya
@SenyonjoEliya 2 ай бұрын
Shabiki kutoka KAMPALA kazi nzuri
@SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
@SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 2 ай бұрын
Kazi nzuri Sana Mwenye Mkuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@PascalIlunga-zs6xi
@PascalIlunga-zs6xi 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kulukutanta mantetele eeeeeh wabaya binadamu wabaya nyembo nzuri sana
@IbrahimMkwama-m3n
@IbrahimMkwama-m3n 2 ай бұрын
Alhamduli llah bro chill kila hatua dua
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 2 ай бұрын
Mwinyi muku anajuwa sana tumusapot tu atafika mbali
@omarymuya142
@omarymuya142 2 ай бұрын
Nilikuwa naiyonagatu nakuipiya leonikasema ngoja niyangaliye walai nimuvi ya kusisimuwa kakachili unaweza 💯💯💯💯❤ nimeinjoi kwakweli like musisahau jamani
@JudithiObuya
@JudithiObuya 2 ай бұрын
Like zangu wa kwanza mimi
@mrmajengotz.
@mrmajengotz. 2 ай бұрын
Jina la move lingekua msitu wa iguza✅
@jamessamwel9456
@jamessamwel9456 2 ай бұрын
Chanzo cha kwenda iguza ni Mkoba, so Mkoba fits more than🎉
@mixturechannel6988
@mixturechannel6988 2 ай бұрын
​@@jamessamwel9456 hakika broo
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm 2 ай бұрын
Kabsa
@KapilimbaYoshua
@KapilimbaYoshua 2 ай бұрын
Myinyi mkuu una talent kubwa sana nduku
@RajaboSaideRachide
@RajaboSaideRachide 2 ай бұрын
Ninamkupali sana mwnyi mkuu naomba like zenu Mimi naongea kutoka Mozambique ❤❤❤❤❤
@JosephNestory-y3s
@JosephNestory-y3s 2 ай бұрын
🎉 0:00
@mathewmlala6290
@mathewmlala6290 2 ай бұрын
Bi migomba kwenye kazi ya uchawi ni 🔥🔥🔥
@SarahLekinado
@SarahLekinado 2 ай бұрын
Anataka kumzidi hadi zingaa
@antoniojanuariodaily9159
@antoniojanuariodaily9159 2 ай бұрын
Wa moçambique wenzangu na leo nimway nipeni zangu izi👍👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MakwanaJr
@MakwanaJr 2 ай бұрын
Namim pia nipo mozambiq mueda ... Ww wp tujuane
@antoniojanuariodaily9159
@antoniojanuariodaily9159 2 ай бұрын
@@MakwanaJr mimi nipo pemba
@SheikaYussuf
@SheikaYussuf 2 ай бұрын
Kazi nzuri kaka chili upo juuu
@Issamutwiri
@Issamutwiri 2 ай бұрын
Naomba likes zenu from kenya
@erickathurima43
@erickathurima43 2 ай бұрын
Tunawapenda tukiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪
@AbduliShabani-k8i
@AbduliShabani-k8i 2 ай бұрын
Wakwanza like zangu 😂
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 akwadaaaaa
@MshengaSuleiman
@MshengaSuleiman 2 ай бұрын
Jamani HAKIMA yupo vizuri MASHALLA ❤❤❤
@McWrightJeane
@McWrightJeane 2 ай бұрын
Tuning from Kenya
@StanslausWekesa
@StanslausWekesa 2 ай бұрын
Wa kwanza nashukuru mungu 🎉🎉🎉
@MakonoJr
@MakonoJr 2 ай бұрын
Ila ninge penda mumuongeze mau fundi aise daah kitambo sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@Erastopk
@Erastopk 2 ай бұрын
Great work 👍
@ShaibuJuma-i6q
@ShaibuJuma-i6q 2 ай бұрын
❤❤huna baya kaka chili
@faridaMtambo
@faridaMtambo 2 ай бұрын
Hongera sn chilli Kwa kazi nzuri
@OmanMobile-v7h
@OmanMobile-v7h 2 ай бұрын
❤❤ from oman 🇴🇲🇴🇲
@Kitufemiwashofilm
@Kitufemiwashofilm 2 ай бұрын
Hiiii Kaz ni kubwa San kama ww unaesoma comment hii ukiamua kushea Kwa kila best yako ili ndugu yetu afike malengo maan nia anayo tumpe moto afenye jambo zuri na aelimishe jamiii🙏🙏🙏🙏🙏
@Samiyabahatinanti
@Samiyabahatinanti Ай бұрын
Kabisa
@ReemaM-i5t
@ReemaM-i5t 2 ай бұрын
Wakumi namoja kutoka 254 congratulations 👏👏👏 kaka kwa kazi safi
@MasauShida
@MasauShida 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Chilly🇹🇿
@Rjohnbabucinema8199
@Rjohnbabucinema8199 2 ай бұрын
Kazi ipo hapa je vous aimes tous et courage depuis CONGO DRC GOMA appel moi R JOHN BABU
@MakwanaJr
@MakwanaJr 2 ай бұрын
Tupo pamoja kaka ... Ila kazi inachelewa sana
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 2 ай бұрын
kumbuka wako na kazi mingi
@FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
@FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 2 ай бұрын
Yaani Leo nimefurahi sana 🙏
@MakwanaJr
@MakwanaJr 2 ай бұрын
Mamb❤
@NicholausMziray
@NicholausMziray 2 ай бұрын
Mwinyimkuu na mke wako mnanitia uchungu mpaka Machoz yananilenga😢😢😢
@JohnDee-q3d
@JohnDee-q3d 2 ай бұрын
Kazi nzuri, tamu, japo ngumu kwa mganga🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲
@pascalselemani8132
@pascalselemani8132 2 ай бұрын
Nawakubali sana natoka congo drc
@WazirMatimbanya
@WazirMatimbanya 2 ай бұрын
Nimewai Leo najipa ongera
@MiryamSleiman
@MiryamSleiman 2 ай бұрын
Nawakubalisanaa kutoka dubai
@priscamsetti2315
@priscamsetti2315 2 ай бұрын
Akwadaa amebana kisabato leo😂😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Nmecheka sana😂😂😂
@NeriaMedda
@NeriaMedda 2 ай бұрын
Unajua kutunga chilky❤
@Nyangondeog
@Nyangondeog 2 ай бұрын
Kazi nzuri ❤️‍🔥🔥❤️‍🔥
@HudhaimaJuma
@HudhaimaJuma 23 күн бұрын
wazee wamevaaa calture😂😂😂😂😂
@AminAli-v3h
@AminAli-v3h 2 ай бұрын
Jaman mke wa kipara anatupa funzo kuwa usikubal kuolewa kwny familia usiyoo ifahamu hulka yakeee🎉
@IslamPeto-fd6wr
@IslamPeto-fd6wr 2 ай бұрын
Uyu mganga wa kikongo wa kazi gani sasa,,, Lina roho mbaya,, yuwaboa
@MethodRichard
@MethodRichard 2 ай бұрын
ABIGAEL Mrefu Kama Twiga Poli😅
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
African height mashallah
@allymwinyi8175
@allymwinyi8175 2 ай бұрын
Daa bonge la kaz
@jamesmahenge2736
@jamesmahenge2736 2 ай бұрын
Kazi nzuri Sana, 🔥🔥🔥
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 ай бұрын
❤❤❤❤nawapenda🎉🎉
@JohnKipalile-bq9ec
@JohnKipalile-bq9ec 2 ай бұрын
Mwinyimkuu kazi kazi🙌🙌
@JayproMedia-gs7ql
@JayproMedia-gs7ql 2 ай бұрын
Cilly mimi ni shabiki number moja kutoka congo ila shida kazi zina chukuwa mda sana kwako tolewa mpaka tunakuwa tume vunjika moya
@teamakilimbilitv3753
@teamakilimbilitv3753 2 ай бұрын
Chumaaaaa
@ShariffHussein-td1ji
@ShariffHussein-td1ji 2 ай бұрын
Nakukubar brother
@EzekielKyara-i1x
@EzekielKyara-i1x 2 ай бұрын
Jamani mwambie Hawa nampenda🎉🎉❤
@ThomasMsemwa-ob9im
@ThomasMsemwa-ob9im 2 ай бұрын
Unaweza kk unajua dont giv up
@JackilineGeorge-r2r
@JackilineGeorge-r2r 24 күн бұрын
kazi nzur mke wa mganga 😂
@Seifbrown
@Seifbrown 2 ай бұрын
Mkongo 😂ni bala sana fire 😅😂
@SalumHassan-i1v
@SalumHassan-i1v 2 ай бұрын
Mungu awape nguvu wote❤
@SadikiAlly-v6l
@SadikiAlly-v6l 2 ай бұрын
Unajua kaka your so so so
@muniracheusi9955
@muniracheusi9955 2 ай бұрын
Maana halisi ya legend kazini ❤
@chancemuhindo555
@chancemuhindo555 2 ай бұрын
Akwa daaaaa 🎉🎉😂😂❤❤❤❤❤❤❤ CONGO
@kaskasifilm5413
@kaskasifilm5413 2 ай бұрын
Makolokolo nyabilike
@SaidiNgomwa-f4l
@SaidiNgomwa-f4l 2 ай бұрын
Kazi safi from🇲🇿🇲🇿
@MakwanaJr
@MakwanaJr 2 ай бұрын
Upo mpaka ukuuuh
@KapilimbaYoshua
@KapilimbaYoshua 2 ай бұрын
Myinyi mkuu una talent kubwa sana ndugu yangu
@salamasalum6956
@salamasalum6956 2 ай бұрын
Mwinyimkuu mnayuchanganya mzimu gani unaonrkana hivyo jamno
@Ibrahim-me6cd
@Ibrahim-me6cd 2 ай бұрын
Story kaliiiiiiiii sanaaaaa
@LeylaMwamkoa
@LeylaMwamkoa 2 ай бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉
@lornahmulitani2798
@lornahmulitani2798 2 ай бұрын
Waombee watarudi kwaimani
@YusraWaziri-t3w
@YusraWaziri-t3w 2 ай бұрын
Kazi nzuli mwiny
@clarencesichila9497
@clarencesichila9497 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@mohdkidarasa
@mohdkidarasa 2 ай бұрын
Halima nakupenda bure
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 2 ай бұрын
Kanenepa mpk nilimsahau
@Johnjjbady5967
@Johnjjbady5967 Ай бұрын
Kweli. Anafanya vizuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SimonMASABO
@SimonMASABO 2 ай бұрын
Pamoja nami
@AminAli-v3h
@AminAli-v3h 2 ай бұрын
Mmm ni abdul-amin kutokea pemba 😂 naomba like zanguu
@ZeyanaKhamismashaka
@ZeyanaKhamismashaka Ай бұрын
Mtatuchanganya bhnaa mizimu amevaa kacha ya kongo 😂😂😂😂 ila move nzur ninayo na ninatamba nayo 😀😀😀😀
@EstherJoram-gt4lt
@EstherJoram-gt4lt 2 ай бұрын
Pamaoja sanaaa
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 2 ай бұрын
Safi sana ❤❤❤❤
@MakwanaJr
@MakwanaJr 2 ай бұрын
Mambo
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 2 ай бұрын
@@MakwanaJr jambo kaka
@SuzanFelix-mo8fq
@SuzanFelix-mo8fq 2 ай бұрын
Daag 91= Moja Leo angalau😅
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 2 ай бұрын
Wewe ni msanii mzuri na unaweza snq kuect uganga lqkin umekosa viti viwili kuna huna maector wenye uwezo nq la pili hujaweza kutunga story mwemyew
@fideliafaida1247
@fideliafaida1247 2 ай бұрын
Umemutungia ww story 😮
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 2 ай бұрын
Hapna wapo watu
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 2 ай бұрын
sa si kawaida au ulitakajeee
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Kwenye interview yake alisema story ametunga mwnyw...ama mm ndie sielewi
@mariomlowehazardjr2402
@mariomlowehazardjr2402 2 ай бұрын
Aka ka ushaur ka uongo tu asa stor umetunga ww au
@ClemensCloud
@ClemensCloud 2 ай бұрын
wazee misim ya wababu na ma bibi
@Hkiller8481
@Hkiller8481 2 ай бұрын
KaIi nzurii sanaaa
@NuruLiwali-e1y
@NuruLiwali-e1y 2 ай бұрын
nilikua c jaiangalia lkini ni nzuri
@MzeeRaca
@MzeeRaca 2 ай бұрын
One love ❤❤❤💯💯
@komorajonah
@komorajonah 2 ай бұрын
Twangoja sana
@QURAISHIBOSSKUMBWA
@QURAISHIBOSSKUMBWA 2 ай бұрын
Kazi safi
@Alimartin-w4b
@Alimartin-w4b 2 ай бұрын
menachelewa sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Tusisahau gang yao ni kubwa na wote wako na channels na wanasapotiana kufanya kaz...wako bz sana,tuwaelewe wanajitahidi sana
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Mamigomba we hatari sana 😂😂
@olivermollel2490
@olivermollel2490 2 ай бұрын
Uhalisia mzur sana lkn msivae brand kijijini mfano fendi,,gucci n.k
@oskasesekalemaofficiel
@oskasesekalemaofficiel 2 ай бұрын
Kazi zuri saaaana
@fundiujenzi-yy4vk
@fundiujenzi-yy4vk 2 ай бұрын
Tumefikia mbali Sana. mnajua Sana ongelen
@ahmedmohd4540
@ahmedmohd4540 2 ай бұрын
Kazi ni nzri ila sasa hawo wakongo sisi wanbong na wazazbr hatuwafahamu mujaribu kueka subtitus mn hatuelewi chchte
@NarzisMbunda-n6p
@NarzisMbunda-n6p 2 ай бұрын
Mm shabiki yako sana lakin next time ukishoot mwambie uyo jamaa mzimu avue kacha yake ya CONGO 😂
@AaminAmin-m1z
@AaminAmin-m1z 2 ай бұрын
❤❤❤🇸🇦🇸🇦🇸🇦🤟
@DizaBoy-zw9mz
@DizaBoy-zw9mz 2 ай бұрын
Kazi nzuri mkuu🎉
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 2 ай бұрын
Kazi nzuri ❤🎉
@mrmajengotz.
@mrmajengotz. 2 ай бұрын
Humu tu
@SunnahMickdady
@SunnahMickdady 2 ай бұрын
Kazi nzuri ila inachelewa sana.
@Sanjeyidi
@Sanjeyidi Ай бұрын
Kweli kabisa binadamu wabaya wallahi
@DanieljumaDaniel
@DanieljumaDaniel 2 ай бұрын
Tupo wengi
@SalmaMakilika
@SalmaMakilika 2 ай бұрын
Tusioelewa hiyo lughaa kazi tunayoo tunaishia kuangalia watu
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Tuangalie midomo tu😂😂😂
MKOBA WA BIBI ep 7 #clamvevo #mwinyimkuu
18:49
CHILLY MWINYI MKUU
Рет қаралды 83 М.
SHANGAZI KAJA (Full Movie)
59:14
KIPARA BRAND
Рет қаралды 248 М.
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 53 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,6 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 21 МЛН
MAITI YA BABA ep -1#clamvevo #mwinyimkuu
29:36
CHILLY MWINYI MKUU
Рет қаралды 55 М.
NYOTA ep 3
19:09
MBALA MEDIA
Рет қаралды 2,7 М.
DUNIA (Ep 26)
22:12
ASMA FILMS
Рет қаралды 193 М.
MKOBA WA BIBI ep 5 #clamvevo #mwinyimkuu
21:00
CHILLY MWINYI MKUU
Рет қаралды 89 М.
MKOBA WA BIBI ep 9 final #clamvevo #mwinyimkuu
35:36
CHILLY MWINYI MKUU
Рет қаралды 90 М.
EBITOKE NA OBEDI LAZIMA UCHEKE
5:09
Obedi Radiateur
Рет қаралды 365 М.
MGENI WA KIJIJI |8|
29:09
Boncena got Talent
Рет қаралды 124 М.
SIRI YA HUBA { 34 }
14:49
Rk Movies
Рет қаралды 116 М.