This is one of the best bongo movie I always enjoy each and everytime. #kaboii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SarahSarah-jj6us15 күн бұрын
Vava kimemrambaaa haya sasa jizibe mnya mwenyewe😂😂
@UrbanMunyalo14 күн бұрын
Shukrani zangu ziwaendee Hawa....kaka ntantu mganga mwenye hekima kongole Sana kaka.....dada Halima pia mwenye Moyo uliopondeka.......mama tofa yaani Leo umenibamba Sana Na mtu mwenye mdomo Wa mbuzi 😂😂😂😂 bila kusahau sibomana dada Wa nguvu ❤❤❤ alfu .....vaitooo tunakuombea uponyaji. Wa haraka kwani wewe ndiwe Dawa ya waganga wasaliti...... nawapenda Sana team mkoba Wa mama.....much love from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️
@joshuanyaulingo410915 күн бұрын
daaah kule kijijini nd kuna utamu mrudi wote kule tokeni mjini😂😂
@NYOTAWAMCHONGOTV15 күн бұрын
Vava hatar sana Tena sana
@Emilymama2boys15 күн бұрын
Waaah apa Vito amekua cartoon wakuchorwa muhina ana ndevu zilizokosa mwelekeo halima ana mdomo wa mbuzi😢😂😂😂😂😂😂
@RizikiZiki14 күн бұрын
😂😂😂😂yani kunawatu wanamaneno weaca tu😂
@Awoshy12 күн бұрын
😂😂😂😂nimecheka Wallah
@kelvinemmanuel-wg9rs15 күн бұрын
Zakayo anajua kuigiza sana jaman
@Mustykhan15 күн бұрын
🙏🫶💪🥰🙏🙏🙏
@ramadhanfakh69259 күн бұрын
Vava kimemramba 😅
@hutahuta117015 күн бұрын
Mama tofa mungu anakuona yani alima.mdomo kama mbuz kwer😂😂
@ataramajili72015 күн бұрын
vava nooma sana sema ameatimba kwa wahuni sjui itakuwaje
@malichanda314615 күн бұрын
Mama tanu eti mhina ana mdomo wa mbuzi😂😂😂😂😂😂
@hutahuta117015 күн бұрын
😂😂😂😂vava kumbe ndo wewe baba nimecheka kwasauti
@swabramulanga285115 күн бұрын
Kumbe ndoto😂😂❤❤
@SuleimanSalim-q9j15 күн бұрын
Vaito 🔥🔥 wanao mkubali kijan vaito WA kuswekelea mbali mpo
@PurityNeema-v9o14 күн бұрын
😂😂😂 ndevu zimekosa ushirikiano na mdomo kama wa mbuzi 😂😂
@barakavian116615 күн бұрын
Jamaan mm ndo wa kwanza sio nyie😂
@ishaanizkeah881415 күн бұрын
Halima hana sirii jamaniii
@MOASLLY14 күн бұрын
Sema vaito kafa kizembe sana😂😂😂
@MonicaMkombwe15 күн бұрын
Leo dk uhakika Asante kaka tanu
@floraaloyce621515 күн бұрын
Nilichokua nawaza ndio kimetokea mganga alikua mtt😂😂😂
@MaombiZihalirwa15 күн бұрын
Jamani ep 29 ndugu zangu
@ZanaaIssaa15 күн бұрын
Vaito.jamani.asife.mwamba.wetu😅😅
@AllyOmary-ui7sv15 күн бұрын
Nyie😂😂 sibomana hebu tutake radhi kwa kumuita jeshi letu vaito katuni wa kuchorwa😂na vava umeyakanyaga
@_Wayiva_mukuta_jean15 күн бұрын
Sidomana il love you 🥰 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥
@ميريم-ط1س15 күн бұрын
Na wamefanana kwel vava na mwanae 😂😂hizo pua kwanza na hiyo midomo ❤
@brilliannafula576214 күн бұрын
Ati ndevu za Muina zimekosa ushirikiano, afuHalima mdomo kama mbuzi yani hili mama
@RizikiZiki14 күн бұрын
😂😂😂😂😂yani nimeceka kwa sauti
@HadijaSaid-md7qu14 күн бұрын
Afadhali vaito hajafa maana roho ilikuwa juu t ,Pona haraka vaito uje upambanie Kijiji chako,vava nawe uko kwel
@DavisNgala15 күн бұрын
Educating story ever
@HildaChard-vl1jb15 күн бұрын
Funga funga tuondoke leo mchawi hana huruma leoo
@MkayulaDavid14 күн бұрын
Huyu vaito hajafa
@Yusco_Rhynova14 күн бұрын
Huu wimbo wa nani #heshimapesa
@mr_kajomba_og571914 күн бұрын
Sisi Waha tunajivunia mganga
@SmartVicenzo14 күн бұрын
Iyi nyimbo mtu postie nayo
@zuwenakizere468715 күн бұрын
Waito wsngu nilisema haezi kufaaa🎉🎉❤❤❤❤
@fatmamohammed834615 күн бұрын
Shedafa weee shedafaaa😂😂😂😂😂 kila umbea aliokwambia nani shedafa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉shedafa weeee shedafaaaa🎉🎉🎉🎉🎉😢
@salamarashid368715 күн бұрын
Jamani muhina wangu😂😂
@AbdulRachide-z3h15 күн бұрын
Numefurai sana kuona ivi jamani mana akifa vaito nani atatusaidia tena
@GlagladoPrincess15 күн бұрын
😂,😂😂😂😂❤❤❤ nakupenda sana mwalimu n zakayo kwa kuzaidia vaito
@Mustykhan15 күн бұрын
🙏🙏💪💪🥰🥰🥰🫶🫶
@mrnarabuku15 күн бұрын
Twakupenda pia🎉🎉❤❤
@FaithSham14 күн бұрын
Mimi naomba mnikujie Kenya....mnifundishe movie jamani@@mrnarabuku
@ZawadiNelson15 күн бұрын
Kazi nzuri sana kaka Tanu Mungu akubariki sana
@hythamshadrack232315 күн бұрын
Mganga ndio baba wa muuni namba 32😂😂😂😂
@WaithiraGift14 күн бұрын
Tena amejichomea,hatoenda haja 😂😂😂😂
@WaithiraGift14 күн бұрын
Vava😂😂😂😂mwezi mzima hamna kwenda haja,wewe ndo babake mhuni 32
@JasintaSalum-p9k14 күн бұрын
Kaka ntanduu msameh zaky
@Mustykhan13 күн бұрын
🥰🙏🙏🙏🙏🤝😊😊
@SmartVicenzo14 күн бұрын
Wanao itaji uu wimbo wa gonge like
@gadafimuemede298515 күн бұрын
Wakwanza Leo from 🇲🇿
@WaithiraGift15 күн бұрын
❤❤🎉🎉nakupenda kaka#mganga Ntandu❤❤❤🎉🎉🎉
@EzekielKalangamoto14 күн бұрын
Mmmh Leo sijui ata wangap lakn nipeni tu na Mimi like zenu
@audrickiranzi281015 күн бұрын
Sibomana unatufanya waBurundi tuyipende iyi movie
@MWANAISHAMTENGO14 күн бұрын
Kazi safi ,vaito apone jamani
@KhairatySuleiman15 күн бұрын
Uhuni wote umewaisha
@fatumaselemani380714 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu ❤❤❤
@KhairatySuleiman15 күн бұрын
Machibiya akilia anakua mzuri
@HandexIlambo15 күн бұрын
Uchelewi yahani njo ninacho kupendeya🎉
@FadhiliAlly-q1t13 күн бұрын
Assalamualaikum wewe mtandu mungu azidi kukuengezea kipaji kiwe chenye upeo mkubwa zaidi upo vzr mno 🎉
Vaito apoe haraka awapunguze hao wabaya mana huruma ya wengine inawaponza hamtafanikiwa mana wabaya mnawaleya
@caluchinotz536715 күн бұрын
Vaitoooooooooo anainuka soon
@JuliusJembelayexu-dh5mm14 күн бұрын
Pole xana bro kumbe umeaxhwa ukiwa mdgo huyo baba yako anafaa kumpata adhabu Hy ya mwenz mnzima xaw axikar wang mmh lkn dii na wew nkama mtu na kaka yke❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@WaithiraGift14 күн бұрын
Mapombe na mhina chombo kimoja,wasaliti wote
@KashSule-e1b15 күн бұрын
Ila mama tofa jaman 😂😂😂 et mdomo kama mbuz nmecheka mpaka basi
@fatmamohammed834615 күн бұрын
Kumbe mume hajafaaaa😂😂😂😂😂
@Badablaise-vc6zu15 күн бұрын
Ndevu zimekosa ushilikiano na mdomo kama mbuzi❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@IssanangweaNgwea14 күн бұрын
Namtakia vaito amke aendelee na majukumu yake.....
@elizabethmahenzo722014 күн бұрын
Nice movie 🎥❤
@Katuni86215 күн бұрын
Muhuni wangu kalia 😢😢
@J7425114 күн бұрын
Nilikua mbali madukani ju ya bundle na nimekimbia sana Hadi madukani juu ya hii series naipenda sana hiii ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤Naaarabuk🎉❤🎉❤
@fatmamohammed834615 күн бұрын
Shemeji yangu tanu mi wa kwanza leo bila kupinga🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@michaelkaowe435315 күн бұрын
Numéro 1
@ms-bii22815 күн бұрын
Na mmefanana kwl yan 😅😅
@SaraphinaFundi-rl2hx14 күн бұрын
Safi sana kaka tanu🎉🎉🎉🎉 yako
@AronToyi4 күн бұрын
Mganga vava na wahuni da mnatisha kamabukoma hahhahahaha mnafurahisha sanaaaa