MBONA MWATUCHEZEA BASI AFADHALI MUMLETE BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA SHERIA SHERIA INAPINGWA DADDY??? JAMA ZANGU TEAM MKOJANI GANG HII MOVIE SIO MUNAENDELEZEA (SAUM ZETU) MLETENI NAGWAA ACHANGAMSHEEE TEAM HIII NAGWA KUSEMA TAFADHALINI MLETENI NAGWAAA NA TINY WHITEE UNGANENI MUFANYE KAZI NZURI ZAIDI SIJASEMA MUMEFANYA VIBAYA MUKO VIZURI ILA ZIFATENI PIA MAONE YETU TUNA HAKI ZETU PIA MASHABIKI ZENU
@steveiginansi85862 жыл бұрын
Wanazngua awa
@hashimfaisal58582 жыл бұрын
Haipingwiiiiii!!!sheriiiiaaaa!!!! Nagwa tumemkosa saaana.mob love from 🇸🇦
@mrpam71672 жыл бұрын
kweli kabisaa apo angekupandaa Nangwa na bwana mweupee yule pamoja na kilangaso ingekuwa unyama sana
@youngzubelyzubely22882 жыл бұрын
Nagwa saiz yuko na ringo. Hakika unacheka mpaka poooo. Ety waliokoka wakaingia bara baran kuhubili. Daaa sio kucheka tu
@Emmymajula58382 жыл бұрын
Wale washatengana
@hazardmjeshi52002 жыл бұрын
Mabwende one love ❤ upo vizuri ukiwa pamoja na chuvi
@iradukundachriskagawa Жыл бұрын
Chumvi nyingi kukosekana kwenye Umbambamba kama vile kuna kitu kingekuwa bora saana
@emmainvestment54622 жыл бұрын
Mkojani kaka ile ugai gai nyingine ambayo unamgonga baruti na gari inaisha mbona hauendelezi kaka ilikuwa kali kinoma mzee, ilete tena bana Ile wanayotafutwa na wamechukua pesa
@muzafarsharif94652 жыл бұрын
story ya swaum zetu inaendelea bado ,jina Tu wamechange ,,,🔥🔥🔥🔥🔥🤩🤩
@lightnessmsuya31702 жыл бұрын
Kabsaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Simama wima alafu jipogie makofi
@davidkifua84659 ай бұрын
Na enzi za chumvi na mambwende ndani ya mkojani gang🔥🔥🔥 2024 nairudia tena sasa
@hazardmjeshi52002 жыл бұрын
Mabwende umetisha na kizungu chako cha mchongo
@jumakandy20752 жыл бұрын
Team mkojani kazi nzuri sana muekeni Ringo hapo na ngoma nagwa pia kingwendu yuko poa pia
@azizityson28492 жыл бұрын
1luv Team MKOJANI GANG FULL HAPPY NIMUONAPO SAMOFI, CHUMVI, KAMUGUSHA TOGETHER WITH KIPUPWE.....
@sabrinasabrina39742 жыл бұрын
yaaan samofi n mkojan n we huu tu haaaaaa eti tukatee
Maruvanda amepotea .samofi nilikumic&Mkojani Na wote 😍😍😍
@saidollaaddicted37002 жыл бұрын
Daaa hii filam iko vizur very nice leten episode 2 bx
@indexchitanda44772 жыл бұрын
Ugai ugai muimu🤣🤣🤣Safi Sana tem mkojani 🙏🙏🙏
@alhimnamussasaid36192 жыл бұрын
team mkojani na samofi kweli munaendana duh nimecheka sana wallahi
@adamumsafiri92572 жыл бұрын
Mlingotini Moja huyoooo bagamoyo
@happyjanicki28682 жыл бұрын
Big up Mkojani Gang love kutoka 🇬🇧 tumeisubiri kwa hamu
@shekheshekhe76632 жыл бұрын
Nakubali sana naomba mniunge na mie
@youngzubelyzubely22882 жыл бұрын
Kwanza nimeangalia mr chumvi akiongea nikacheka , nikasikia midde filid kinacheka .. nikamuona mkojan na anavyosikiliza ujinga nikacheka aisee. Ngoja nijiandae kucheka kabsa yan
@ahmedrageahmedrage91342 жыл бұрын
Kenya iimekubali jooh🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💓
@twagiramungu1aboubakari3172 жыл бұрын
Aaaah mnazinguwa uyu soo muendelezo apa siwezi ata kuangaliya tena
@mwanaidisadi50212 жыл бұрын
Hiii ni swaumu zetu wamebadilish jina nahis ivoo
@mohdkhamis91702 жыл бұрын
Abduli Aziiz nyama eeh😄😄😄
@vyatwonagroup52592 жыл бұрын
Kkkkkk we bba kingwendu msimbwa akuna mtu watu wamekibia vita
@aishaaliey94492 жыл бұрын
Asee we uloimba kindengeleko kwa kwel umenikosha kwel umenikumbusha mbali
@khalidnassor7202 жыл бұрын
Nyiye noma sna mkojani na samofi
@dr.bonye12 жыл бұрын
Chumvi nyingi anaipeperusha bendera wandengereko 🙏🙌🔥🔥🔥🔥♥️
@godliveryusuph90722 жыл бұрын
Hatari sana
@esterjohn8712 жыл бұрын
Mko vizuri San mkojani Gang
@ahmeddhize57282 жыл бұрын
Big up Mkojani Gang 💪 Much love from 🇶🇦🇰🇪
@faridabendo2669 Жыл бұрын
MashaAllah move taamu
@raphaeltanzania2 жыл бұрын
Kwa tamthilia hii aaaa kuifuatilia mpk mwisho Ni sheria wa sio ombi maana iko poa kinoma noma
@humphreynduye62392 жыл бұрын
Nmewahi,,,, (◍•ᴗ•◍)❤
@mohdsaad27362 жыл бұрын
Kwa hakika tunafarajika sana kupata starehe yakutosha
@rehemarajabu19432 жыл бұрын
Aburazizi aburazizi nyamaza eee
@sophiazephaniah30102 жыл бұрын
Mpo Vzur Sanaa🌹🌹🌹
@charleskomba27102 жыл бұрын
Wa kwanza aseeeeee
@bennywizzysimbaaaaaaaaaaaa85152 жыл бұрын
APANA, umekosea sana mkojani storyy imechenjiii kabisaa tunataka story yamwanzon mkojaniii, umetukosea mashabiki zakooooo, , tuliisubilii kwa ham lakini imekuja ndivyo sivyooo why, tunataka ile uliekanyaga mtoto
@Westsidemose2 жыл бұрын
Wow it about to go down I love you guys
@zoozzoz98792 жыл бұрын
Kingwendu Nyoa bans ndevu chana nywele,,,haupendezi Huo muonekano mchafu
Yn mm nikimuona chumvi nying na mambwende lazma nianglie
@Marioo_official2 жыл бұрын
Everything is good
@duartefelix37172 жыл бұрын
Nice movie 💗💗
@MuedasomosnosMML2 жыл бұрын
Ety nimekaaaa mozambical mocimboa da praia kkkkkk muongo kingwendo mocimboa da praia akuna mtu
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kamgisha n mkojani vituko
@Mgalimemba2 жыл бұрын
Big up mkojan
@karamasaahmed50262 жыл бұрын
Mkojani Gang IPO juu sana tu
@BodyBody-l7v Жыл бұрын
😂nawafatilia kutoka south Africa bigap kwenu
@lailadaud55032 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mabwende kwa kupenda kiengreza mtihani
@ashachitemo78162 жыл бұрын
Jamaani kiingereza cha mabwende ni shida
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Ndugu wavidore 😆😆😆😆😆😆nawapo wengi kweli
@Swafarsy2 жыл бұрын
Mkojani Gang big up kaka zangu muko vizuri sana Allah awafanyie wepesi kati kazi zenu pia awafurahishe kama mnavyotufurahisha Request yangu naomba huo wimbo wa uswahilini full ugai gai 🙏🙏🙏
@deejaymatiangi50632 жыл бұрын
Huu ni mwendelezo wa saumu zetu bana
@officialbaloteli79652 жыл бұрын
Hatariii sanaaaa
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
😂😂😂😂 hawafui boxaa zao hao
@saxannjo61732 жыл бұрын
Super,, ila tumemic ladha za Tiny na Nagwa
@abdulnasirmakame73462 жыл бұрын
Hiii movie saumu zetu kabs
@quarexthemoz69712 жыл бұрын
Moçambique (mocimbua) da praia.
@omaridarous82042 жыл бұрын
Na Hawa mnawptia wakiwa pa1
@adinanlakas58612 жыл бұрын
Now ka badili jina anaitw mkojan bin ashuraa 😀😀😀😂😂😂😂😁😁 big up mno mkojan ashu 😁
@sophianyog64262 жыл бұрын
Mimi natokeya Mocimboa da praia Mozambique
@aswalukasoma5142 жыл бұрын
Abdul Azizi nyamaza eeh
@legrandpuissance51142 жыл бұрын
Good movie
@sophiazephaniah30102 жыл бұрын
Salute
@clichytraveller80992 жыл бұрын
😂😂🤣🤣 Mkojani eti Abdurazizi nyamaza eee
@DbrownMozta2 жыл бұрын
MOCIMBUA da praia akukaliki baba vitaa
@saidmwinyi70622 жыл бұрын
Jitahidi mkojan hii imalizike vizuri maana movie zako shida kwenye umalizikajiii
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥
@hamid42022 жыл бұрын
LEGEND KINGWENDUUUUU😂🔥
@maasaimkisii90892 жыл бұрын
*WAKENYA TUKO NDANI* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officialsaddmfalme53812 жыл бұрын
Tupo
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Ndo naaza nmb moja leo trh 19 mwezi wa 12 2022 alafu wengn wapo 82 😁😁
@aminaamina-xj6qs2 жыл бұрын
Much love my husband mkojan🤣🤣🤣🤣
@patricktegea14302 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mkojan na samofi bhn 💯👊🙏🇹🇿
@suleimansuleiman11272 жыл бұрын
Abdul Aziz Abdul Aziz nanyamazaa eeh nyamaza eeh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ammarsalah56932 жыл бұрын
Hahahahahaha aloo nimecheka Alhamdulilah
@timothysirengo1 Жыл бұрын
Mwanawanne kingwendu
@fadhilaiddi5352 жыл бұрын
Respect mkojani gang 💪💪💪
@chaberlee93282 жыл бұрын
Nakubali sana
@sarahomary36152 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Eti Abdul laazizi nyamaza eeeeh
@paulnyongesa2542 жыл бұрын
Kazi nzuriiii
@ambarnelly63042 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣aaa Abdul azz Abdul aziz nyamaza eee
@shazirsaid52762 жыл бұрын
Duh
@official_thedon72 жыл бұрын
Hahahaha htr
@saidahmed9688 Жыл бұрын
mkojani bin darwesh bin tarbush
@innocentmathias86682 жыл бұрын
Kitambo sana et "Abdul azizi nyamaza eeh"😁
@hamiskengwa61482 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🤣🤣🤣🤣🤣 Mkojan gang ni 🔥🔥🔥🔥💪🏻
@bonifacekankoma96632 жыл бұрын
Safi sana
@saidjuma252 жыл бұрын
Mkojani upo juu
@timothysirengo1 Жыл бұрын
Mwamba huyu mkojani
@madollarmadollar70972 жыл бұрын
Nzuri but mmi ncitalilia kwenye muda wa epsod nkidogo sana weken hata dakika 30
@ramadhankarim31172 жыл бұрын
Yeah
@Stinga_Tza2 жыл бұрын
Kingwendu is living legend asee,,,😂😂😂
@prriya5072 жыл бұрын
Apo Papa Wemba Sasa😂😂✌️
@MAPETEE2 жыл бұрын
Swafiii ila fanyeni kubwa kidg zidin dakika vbutu ni vifup sanaa
@mwavivizboy41922 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@francisliberio33712 жыл бұрын
hii nayo ni moto
@genitocrisanto32722 жыл бұрын
Kingwendu (Mocimboa de Mplaya) 🤣🤣🤣😂😂
@nextleveltalent15762 жыл бұрын
Kuanzia Leo kucheka na masnitch sitaki yaan kabla hujaanza wamesha nakili idea bongo bhana
@mrbabadtz90742 жыл бұрын
YAAN SAMOFI MM AKIWEMO BASI KWANGU BURDAN
@ramadhanmnembuka14082 жыл бұрын
Kaz mzur
@sixbetussebastian79902 жыл бұрын
Duuuuuu
@athumanmgissasimbadamu33162 жыл бұрын
Chumvi Nyingi Nakukubali Sana 😀😀😀😀
@officialsaddmfalme53812 жыл бұрын
Navyoanza kama aitamalizika araka niueni ....hawa niwajanjajanja