THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 28 MKOJANI - SAMOFI - TIN WHITE

  Рет қаралды 58,650

MKOJANI GANG

MKOJANI GANG

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@hamdunslimofficail4150
@hamdunslimofficail4150 3 ай бұрын
Bro mkojani upo vzr sana kwa kukumbuka wazee wenye uwezo mkubwa sana aisee big up xna🙏🙏🙏
@fahruq4486
@fahruq4486 3 ай бұрын
Mkojani a ka kipupwe😅😅😅😅 team nzima ya mkojani Mimi ni miongoni mwa mashabiki wenu wakubwa kutoka kenya mombasaaaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪msalimieni kingwenduu
@Yahya-we5sc
@Yahya-we5sc 3 ай бұрын
Wakwanza from Kenya na mm n shabiki sugu wa mkojani 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@khamisathman7171
@khamisathman7171 3 ай бұрын
Tamthilia yoyote akiingia Kingwendu lazima ichangamke, huyu mzee Kingwendu ndio Legend aliyebaki baada ya hayati Mzee Majuto Mungu amrehemu 🤲. Ila Kingwendu zaidi😂😂
@0maryMathias-e8y
@0maryMathias-e8y 3 ай бұрын
Waohh asante kwa kumuweka legendary kingwendu
@EspoirBudade-on9ef
@EspoirBudade-on9ef 3 ай бұрын
Tunae mkubali KINGWENDU naombeni like Ata 100 tu
@kajairolancaster7028
@kajairolancaster7028 3 ай бұрын
Finally my comment has done... Naona mzee wa kazi kingwendu ndani ya nyumba 🎉🎉🎉😂🤼🤼
@khamisathman7171
@khamisathman7171 3 ай бұрын
Chips mayai uvimbe makalio hio kali😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@MrPuronM.a
@MrPuronM.a 3 ай бұрын
Hapa 😀 safi mmemweka kingwendo nitacheka miee 😂😂
@Shakry-Pasua
@Shakry-Pasua 3 ай бұрын
Mostake director kaskika cene ya kinrwenduuuuuu kuwe makiniii mkojani gang nikubwa mnaanza kujishushaaa😢
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 3 ай бұрын
😢 wame tuaibisha brand
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Kabisa inabidi wawe makini kwenye editing
@jumaomary1957
@jumaomary1957 3 ай бұрын
Kwanza leo
@GrandePiquiGrande
@GrandePiquiGrande 3 ай бұрын
Hila chandimu kayatimba kwa madam haaaaa famonga nae olé wako ukimtowa mkojani utajuwa ujuwi😭🤣😂🤣😂🌹🥀🌺🙋🇲🇿🇲🇿🇲🇿🥀🌹
@suleimanmohd.7197
@suleimanmohd.7197 3 ай бұрын
Dah kingwendu umevunja mbavu zangu kwa kweli baada ya kufungua friji😂😂😂
@WARIDVITUS
@WARIDVITUS 3 ай бұрын
Rafik kama uyu Dunia ya Sasa hayup kumi kwa mmoja
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 3 ай бұрын
This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞
@AthmanHamisi-j2v
@AthmanHamisi-j2v 3 ай бұрын
Ugaigai umekamilika bado kamugisha,chumvi na mambwende,chado na khanifa
@HatibuRajabu-p5q
@HatibuRajabu-p5q 3 ай бұрын
Apo lbd kamugisha ao wengine wasariti
@Mzuri_002
@Mzuri_002 3 ай бұрын
😂​@@HatibuRajabu-p5q
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 3 ай бұрын
Haya leo nimewahi
@FahadAli-ni5eu
@FahadAli-ni5eu 3 ай бұрын
My favorite comedian sjakutupa bado nipo na wewe
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Ya leo kali sana😂😂😂
@abdillah_Viera96
@abdillah_Viera96 3 ай бұрын
Like Kwa kingwendu 😅Ila kwaKwelr
@kingstv6231
@kingstv6231 3 ай бұрын
Amezingua director hapo amesikika
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 3 ай бұрын
Yaani mkojani kua makini na camera man wako na director wako wanaharibu brand, unasikia kabisa action tena kwa sauti
@InnocentArmadillo-do9vm
@InnocentArmadillo-do9vm 3 ай бұрын
Team mkojani gang. Kingwendu. Kazi nzuri sana
@AburdonMugiraneza-i9h
@AburdonMugiraneza-i9h 3 ай бұрын
Dah ya Leo kali kbx😂😂😂
@JosephatWesonga-ef7gq
@JosephatWesonga-ef7gq 3 ай бұрын
Kingwendu ngwendu lile 😂😂😂❤❤❤ much love from 254🇰🇪
@abdallahdullah7378
@abdallahdullah7378 3 ай бұрын
wa mwisho hapa
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 ай бұрын
Kingwendulile 🎉😂
@MohamedyRajabu-p5t
@MohamedyRajabu-p5t 3 ай бұрын
Ankojani 💥💥💥💥💥💥💥
@KidogeDolie
@KidogeDolie 3 ай бұрын
Sisi kawaida yetu tupo tayarisana kwakusubiri aise tumefurahi tena tunahona mze wakazi kigwendo kamapia unakupali weka like apo 😂😂
@KidogeDolie
@KidogeDolie 3 ай бұрын
💥💥
@YobelgnEmmanuel
@YobelgnEmmanuel 3 ай бұрын
Uyo broila anababa na mana sema ajalelewa nao
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 3 ай бұрын
Baba kingwendu ndani ya mjengo 😂😂😂😂😂😂😂 kumekucha maana kivuluge huy htr
@ibranoahngidange5909
@ibranoahngidange5909 3 ай бұрын
Hii movie inakosa mvuto japo ni nzuri kwanza vipande vinachelewa sana na pili vipande ni vifupi sasa mtu unashindwa hata kuiendeleza vipi yani utaratibu inakuwa ni hovyo hovyo tuu
@Smooth-vy5ky3qp6s
@Smooth-vy5ky3qp6s 3 ай бұрын
Napenda nginsi anamuweka kingwendu vizuri sana Jana apo unakamilisha movie zako, tafuta wa star wa kipaji utaendelea sana na utapa ma view nyingi
@navigatorchinduli2699
@navigatorchinduli2699 3 ай бұрын
Naomba like zangu
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 3 ай бұрын
Kingwendu na tiin whait wanachangamsha hii muvi
@suleshfelain5429
@suleshfelain5429 3 ай бұрын
Good job mkojani bin daruesh big up sana👌
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 3 ай бұрын
Leo nimefurahi kumuona kingwendu mkojani Asante kwa kumleta huyu mtu
@IbrahimBundo
@IbrahimBundo 3 ай бұрын
Vp tn stend by action katikat ya move tangulin
@IbrahimNassoro-y7m
@IbrahimNassoro-y7m 3 ай бұрын
Wao kutembelewa na wajomba tu
@benOfficial36
@benOfficial36 3 ай бұрын
😂😂😂 kingwendu tena 😂😂😂
@chidyobey10
@chidyobey10 3 ай бұрын
Wakosikia after short action, hapa mkojani kafeli na kingwendu katulia kutuonesha kuwa anaelekezwa
@blackangel.58
@blackangel.58 2 ай бұрын
Ila mkojani😂😂😂😂
@HamzaAli-f3y
@HamzaAli-f3y 3 ай бұрын
Kingwendu wanichekesha sn😂😂😂😂
@AnithaRutajama
@AnithaRutajama 2 ай бұрын
Vipande vzr mno ila vina dk chache kinoma
@hassanseleman2301
@hassanseleman2301 3 ай бұрын
Duuh!!!!,Mr ngwendu
@AbdulZack-m3q
@AbdulZack-m3q 3 ай бұрын
Hahaha nimecheka sanaa nisaidie nipo kwenye frij mkojani bhn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😛😛😛😛😛😛
@AlexKasena-d9p
@AlexKasena-d9p 3 ай бұрын
Karibu sana HB
@josiacharles2778
@josiacharles2778 3 ай бұрын
Ivi wewe samofi Kwa kamara na kayoko apo Wana msimbazi tutakuzingua😂😂😂
@SwaumUmmy
@SwaumUmmy 3 ай бұрын
Ninoma sana
@SumailJacinto
@SumailJacinto 3 ай бұрын
Dakika ya 8 na skunde 57 60 apajakaha sawa
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 3 ай бұрын
Babu kingwendu in the house
@iddymjeshi7763
@iddymjeshi7763 3 ай бұрын
Nipeni like zangu
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 3 ай бұрын
UNAULIZA EMBE KIBADA 😂😂😂😂 KING KINGWENDU NDANI YA NYUMBA
@SadamKhamis-z1i
@SadamKhamis-z1i 3 ай бұрын
Director kazingua
@StevenWilbert-f8x
@StevenWilbert-f8x 3 ай бұрын
Mauza uza😂😂😂😂
@petromihayo8632
@petromihayo8632 3 ай бұрын
Kingwe Boy😂
@hamzaalliy8210
@hamzaalliy8210 3 ай бұрын
Jamani ebu kuweni makini kidogo mbona hiyo action mpaka sisi tuna isikia !!
@WARIDVITUS
@WARIDVITUS 3 ай бұрын
Naisi uyu ndo atakae mfungulia bwana mkubwa 🤣🤣🤣
@GyaviraLaurean-x8b
@GyaviraLaurean-x8b 3 ай бұрын
Mwanangu umenonaaa
@AzakiMasangwa-xe8mm
@AzakiMasangwa-xe8mm 3 ай бұрын
nimecheka😂😂😂😂 naganda niko kwenye frijii😂😂🌎
@Bbyviny
@Bbyviny 3 ай бұрын
Inakuaje action zinasikika tena kwamba amuakiki kazi kabla ya kutoa au
@ErnanimaulideMaulidechivonda
@ErnanimaulideMaulidechivonda 3 ай бұрын
Ninakubali sana
@Kitufeactorfilm
@Kitufeactorfilm 3 ай бұрын
Twende sawa
@KIFARUCOTOONS
@KIFARUCOTOONS 3 ай бұрын
Like mbili 5 zinatosha 😂
@issamtolwa
@issamtolwa 3 ай бұрын
leo tumeskia apoapo action mefer kucut
@anchorhamic217
@anchorhamic217 3 ай бұрын
Behind the scene za sikika,,saut ya director,, Editor angalia io
@Sàlim_Møhd3
@Sàlim_Møhd3 3 ай бұрын
Timu la kisenge linabebwa kisha munatuekea match zake
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 3 ай бұрын
Walo sikia kingwendu akielekezwa na director gonga like
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Apo wamefeli
@paulojoseph3350
@paulojoseph3350 3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 3 ай бұрын
😂😂😂😂 mkojani naganda kwenye friji
@jakayajakab
@jakayajakab 3 ай бұрын
Madhara ya kuedit na usingizi
@AymanSeif-t6u
@AymanSeif-t6u 3 ай бұрын
Like zangu mm ndo wakwanza kukometi
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 3 ай бұрын
Yan muda wote uwo alafu dakika 15 mmetuchoka au😮
@hamisnchumilar5115
@hamisnchumilar5115 3 ай бұрын
Action
@mikidadi596
@mikidadi596 3 ай бұрын
Wa tatu
@Dully-p6c
@Dully-p6c 3 ай бұрын
Eti weka kila kitu kasoro mchanga. Ila kingwendu
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 3 ай бұрын
😂😂
@FaridaMwasenga
@FaridaMwasenga 3 ай бұрын
😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
😂😂😂
@nicholausbakesha8052
@nicholausbakesha8052 3 ай бұрын
💥💥
@amerially8715
@amerially8715 3 ай бұрын
W
@ErnanimaulideMaulidechivonda
@ErnanimaulideMaulidechivonda 3 ай бұрын
🇲🇿💪💪
@abuuhanifa4569
@abuuhanifa4569 3 ай бұрын
Kingwendu anafungua chupa iyo
@Fiddkim
@Fiddkim 3 ай бұрын
❤❤❤❤😮
@officialbaloteli7965
@officialbaloteli7965 3 ай бұрын
Wa kwanzaaaa
@mtendebeachzanzibar
@mtendebeachzanzibar 3 ай бұрын
Mbona mnafeli. Sio leo tu siku kibaao sauti ya director inasikika. Action waeleze
@aminali2677
@aminali2677 3 ай бұрын
👍🔥🔥🔥🇸🇦🇸🇦🇰🇪💯💯👍
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r 3 ай бұрын
Kwann mumepunguza Dakika kwenye video hizi
@AlfaniChirangi
@AlfaniChirangi 3 ай бұрын
😅😅😅
@FelixVirtumino-yf6xu
@FelixVirtumino-yf6xu 3 ай бұрын
😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇲🇿🇹🇿
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 3 ай бұрын
Duhhh editor alisahau kukata
@EvansLangat-l6h
@EvansLangat-l6h 3 ай бұрын
❤❤❤
@deniskiwanga477
@deniskiwanga477 3 ай бұрын
Wakwanza leo umnipe like zangu ❤❤
@AmeirAbdullKadir
@AmeirAbdullKadir 3 ай бұрын
I'm the first
@FaridaAbushirMussa
@FaridaAbushirMussa 3 ай бұрын
Watu kwa kutoa kasoro mara sauti mara rangi camera man acheni izo
@KuruthumAisha-c4v
@KuruthumAisha-c4v 3 ай бұрын
Ndio tatizo la wanadamu hilo
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 3 ай бұрын
ILA SAMOFI UNEZINGUA UNAMTAJA CAMARA WA NINI HAPO SASA
@abuykhalifa5727
@abuykhalifa5727 3 ай бұрын
😂😂
@KondoFundi-fl5td
@KondoFundi-fl5td 3 ай бұрын
Sisi ni team mkojani tunapenda movie zake anazozicheza😂😂😂😂
@chrissmedia765
@chrissmedia765 3 ай бұрын
Director kasahau kukata nin😂
@omaryshabandaud5235
@omaryshabandaud5235 3 ай бұрын
Hatar
@presentertelence1679
@presentertelence1679 3 ай бұрын
🤣 MTU WA EDITING AMEZENGUA KWA HII VIDEO TOKA COLOURS NA PART YA KINGWENDU ETI HAPO HAPO ACTION
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 ай бұрын
Hii episode mumezingua kwenye sehemu ya Kingwendu
@Sàlim_Møhd3
@Sàlim_Møhd3 3 ай бұрын
Siangalii ten hii movie munaweka match za kishamba ujinga gani huo munatuekea match yakijinga kam hio siangalii ten movie zenu
@sebastianmanumba-em2sf
@sebastianmanumba-em2sf 3 ай бұрын
Acha kuangalia 😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Wee mbn makasiriko usiangalie kwani umetumwa
THE MAGIC (Mazingaombwe ) EP 29 MKOJANI - SAMOFI - TIN WHITE
14:46
MKOJANI GANG
Рет қаралды 55 М.
KAZINI KWANGU KUNA KAZI
11:46
Joti TV
Рет қаралды 176 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Porkchop Duo Live at the Rembrandt Hotel
46:37
symtek
Рет қаралды 7 МЛН
DENI LA MAITI EP 1 STARING CHUMVI NYING
13:05
Kimso Media Tz
Рет қаралды 11 М.
CHA 2000  Full movie  STARING MKOJANI SAMOFI GALASA KISOSEG MBEMBE
1:18:57
Ubaya Ubwela (Ep.01) || Mkojani na Tin White
18:47
Afro tv
Рет қаралды 54 М.
"SIMU ZETU" CLIP No 8 ... TINWHITE /KILANGASO / SHIVALOH / VICK
9:32
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН