UTANI episode 01

  Рет қаралды 821,564

MPAYU FILM

MPAYU FILM

Күн бұрын

Пікірлер: 372
@GivenMtambo-ft4ig
@GivenMtambo-ft4ig Жыл бұрын
Yaani Hawa ndo mabest comedian nnaowaelewa ndo maana spend wavunje urafiki❤❤❤❤bila Tini hakuna lingo na bila lingo hakuna tini
@AthumaniSelemani-o1l
@AthumaniSelemani-o1l 4 ай бұрын
Ringo wewe nakubali sana mtu kapiga makofi ukajua imekupata 😅😅😅
@GideonLukeha
@GideonLukeha Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Oy ringo umetisha Sana we unajua unaupiga mwingi mno mpaka unakera
@LinaUlaya-ze4en
@LinaUlaya-ze4en 9 ай бұрын
Hii ni movie kubwa jmn nipen like zangu
@DavidLucas-ou7vp
@DavidLucas-ou7vp Жыл бұрын
Napendaga hizi mtu 2 zikikutana😂😂😂yani Ringo na Tiny white❤
@jejemmasai
@jejemmasai Жыл бұрын
😊😊😊
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Hunizd mm
@swalehmaliq8782
@swalehmaliq8782 Жыл бұрын
Napenda sana kazi yenu muki fanya pamoja muna ushirikiano mzuri MashaAllah hua muna fanya kitu chakueleweka 🎉🎉🎉🎉 I appreciate.
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
UTANI sasa inakuja motoooo sana kikosi kazi hikoooo
@kladahmad3333
@kladahmad3333 Жыл бұрын
😂😂😂❤❤❤
@Jumwa-b2q
@Jumwa-b2q Жыл бұрын
Hapa nikucheka kwenda mbele 😂😂😂😂🎉❤❤ jamani we daa mweni.yaani unachochea moto😂😂😂😂❤❤
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Ringo unajuwa sana toka enzi unaitwa uchubo ktk sumileta ukaokota kopoo❤❤❤
@dianerditto
@dianerditto Жыл бұрын
Hahaaa umetoka kuirudia shumileta nn
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Жыл бұрын
Duuh jaman mbavu zangu mie😀😀😀😀rongooooo umeua hatar eti nifundishe kutongoza nimecheka mpaka basi
@Georgepetro-wo2dc
@Georgepetro-wo2dc 4 ай бұрын
❤tini na ringo hamjawah kosea kaz
@alfredymalata269
@alfredymalata269 Жыл бұрын
😂😂😂 Tin unapenda kumuonea Ringo😂😂😂
@HaliyaShauri
@HaliyaShauri 2 ай бұрын
Kweli yani kama tom and jerry
@samidquiz6316
@samidquiz6316 Жыл бұрын
Huyu ndio yule KIFOROKWINYO KINYANGARAKUTI........😀😀😀
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 Жыл бұрын
😂Mbona msishirikiane na wakenya kama kina Makoha na olexanda mtupe vitu mashabiki zenu wa East Africa
@TotoTondolo
@TotoTondolo 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@KeddyMnagamba
@KeddyMnagamba Ай бұрын
Yaani Tin white, hapo nimekukubali sana
@kambikashama4619
@kambikashama4619 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ringo shkamooooooo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Unajuaa Me Sijawah Kukuchokaa Eti Mimi Msusii Wa Mwenee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 Жыл бұрын
Tin na Ringo hawa watu mb zangu kazima ziishe tu 😂😂😂😂
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 11 ай бұрын
Unapenda ufe leo au😢😂😂😂😂😂
@ShanyAthumani
@ShanyAthumani 24 күн бұрын
Mh hii ni noma
@kachoramustadh2125
@kachoramustadh2125 4 ай бұрын
Nakubali sana kazi yenu hasa Ringo
@Runkiller1
@Runkiller1 Жыл бұрын
Vitani katokea muuza silaa 😂 daah hawa watu nyie 😂😂😂😂
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Жыл бұрын
Nawapenda sana,tin Ringo mkojan mwene na asha bojo
@shadrakagalus1185
@shadrakagalus1185 10 ай бұрын
Safi sana wakali wang collabo yenu ni nzr sana never separate each other
@belugakibelixem-t-cj6oc
@belugakibelixem-t-cj6oc Жыл бұрын
Ringo umehuwa 🔥🔥🔥🔥bro kipaji bado unacho big up sana 💪💪💪💪
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 Жыл бұрын
Nyie jamani yani nimecheka kama zuzu😂😂😂😂😂😂😂
@IrenMushi
@IrenMushi 11 ай бұрын
kaz zenu nzur xna mungu awalinde ❤❤❤❤ wonderfull🎉🎉😂
@SHAGUKAYA
@SHAGUKAYA Жыл бұрын
😂😂😂Kama Umesikia mwana mzik anae Kohoa😂😂 Like hapa
@azizamohamed5438
@azizamohamed5438 Жыл бұрын
naijuwa hy 😂😂😂
@memphisdepay6010
@memphisdepay6010 11 ай бұрын
@SHAGUKAYA uyo wazii ni kunde boy 😂😂😂
@SaidyMkop
@SaidyMkop 6 ай бұрын
Napenda sana kaz zen mkiwa mnafanya wrote pamoja❤❤🎉🎉llllllll
@scompanyswahili3024
@scompanyswahili3024 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Ringo daah yani karibu yumbani pako hapo ndio utatamani sijui uwe na uwezo wa kuyeyuka
@EnestFSoka
@EnestFSoka 11 ай бұрын
Unapenda ufe leo au kesho...❤❤❤😂😂😂 Tin weee
@ChoraKisiki-zz3ut
@ChoraKisiki-zz3ut Жыл бұрын
Yaaaani nimecheka hadi nime jamba 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Farthun
@Farthun Жыл бұрын
Hii noma kwakweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂term raha tu
@abdullaabdullahmpakanjia2336
@abdullaabdullahmpakanjia2336 Жыл бұрын
Ndowalewaleee kina gigy
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@anselimtesha5151
@anselimtesha5151 8 ай бұрын
yaan Ringo na tinwhite wakitana hawana akili kbc yaan nchekaa mpak naliaa jmn 🤣🤣🤣🤣
@nasibuukashaukasha8788
@nasibuukashaukasha8788 Жыл бұрын
Imenibamba sana from kenya watu wa fupi hoyeeeeee# ringo😂
@marianakamb-fg7sk
@marianakamb-fg7sk 8 ай бұрын
Ooh lime toka moyon au limekuchomoka iloo..mmh we unafkri kwenye kujiuwa litakosa kutoka moyoni😂😂😂❤
@SuleimanAbrahman-v9m
@SuleimanAbrahman-v9m Жыл бұрын
John Makin Joy boy kila hatua dua muhim❤
@mpayufilm
@mpayufilm Жыл бұрын
Shukran kaka
@fravythemistocless6903
@fravythemistocless6903 Жыл бұрын
Alinambia mama na marehemu bibi kuwa Nina sauti ya kwanza😂😂😂😂
@ccdiscoverymedia
@ccdiscoverymedia 10 ай бұрын
Ringo and Tiny white.My most favourite commedians from TZ
@RajabSufian
@RajabSufian Жыл бұрын
Ringo kazima ghafla kusikia..YOTE🎉🎉
@innovitchmsimbe2250
@innovitchmsimbe2250 Жыл бұрын
Nyie mbwaa mtaniuwa tin vs ringo🤣🤣🤣
@PartrickJackson
@PartrickJackson Ай бұрын
Akiamungu haaaaaaaaah he😂😂😂 heti na ninaviwembe😅😅😅
@amisasalomo3179
@amisasalomo3179 Жыл бұрын
Jamani ringo 😂😢😂😭🤣😂 I miss you 😅
@barakahosseamsemo4426
@barakahosseamsemo4426 Жыл бұрын
Nawakubali sana wakuu mko vizuri
@innocentking5709
@innocentking5709 Жыл бұрын
Utani wa round ii ni noma, love this from mombasa
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Ni utanii😅
@MohamedZakaria-vy3gr
@MohamedZakaria-vy3gr Жыл бұрын
Sanaaaaaaaaaaa
@buganation7669
@buganation7669 Ай бұрын
Hahahahaha colaboo ya Ringo na tin aaaah ni hatar 😅😅😅😂😂😂😂
@IbrahimYassin-hw8fu
@IbrahimYassin-hw8fu Жыл бұрын
Braza ringo unauwa sana😂😂😂😂❤from 🇧🇮
@buganation7669
@buganation7669 Ай бұрын
Aaaaaah ringooo😅😅😅😅 unjuwa kaka unajuwaaaa
@NuluBarnabas
@NuluBarnabas 2 ай бұрын
Aaaa😂😂😂😂 awa jamaaa wanajuaa kinoomaa
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 Жыл бұрын
Hii ndiyo ya kwanza kwa comedy sizone UTANI ❤❤❤❤
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka mpaka nimelia jaman mtatuua
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Lingo ameniua mm
@NirmahMoney
@NirmahMoney 2 ай бұрын
Tin vs Ringo nawakubali sana😅😅😅😅😅😅😅😅
@habibuhanifa1090
@habibuhanifa1090 Жыл бұрын
😂😂😂😂yaani movie ni ya 🔥 maana hawa watu wamekutana
@JosephSamwel-eh7qw
@JosephSamwel-eh7qw 6 ай бұрын
Woooow i like it yn had rahaaa ringo na tinwhite nawapenda sana mnafanya pow sana kaka zangu❤😂
@DaudGabriel
@DaudGabriel Жыл бұрын
Leo wa kwnza hpa ntanda jr naomben like zangu
@Dipeson700
@Dipeson700 11 ай бұрын
Ukalie ugali au
@hassanal6283
@hassanal6283 Жыл бұрын
Duuuuh 😂😂😂😂 mfanya biashara kapatkana
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 Жыл бұрын
Ringo mackintosh ❤😂😂nakukubali sana ringo
@joeboy5178
@joeboy5178 Жыл бұрын
♥️
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 Жыл бұрын
​@@joeboy5178❤❤❤
@sidekocho2694
@sidekocho2694 Жыл бұрын
❤❤lingo uta uponA
@alyBojan
@alyBojan 3 ай бұрын
Duuu hisura waza sass sura yanani hapa ilii kaa powa Kati yaringo na tini wait
@agnestemu8382
@agnestemu8382 11 ай бұрын
Huu mtongozo nimeuelewa sana 😂😂😂😂
@abdallalugho-gx5xf
@abdallalugho-gx5xf Жыл бұрын
Eti unamkumbuka yule niliye mpiga risasi ya kitovu wiki nzima 😂😂😂❤
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
😅😅😅we falaaa unajichekesha ujueee😅
@PaschalThomas-dm8by
@PaschalThomas-dm8by Жыл бұрын
Genius comedian ❤️💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jastinpetro9071
@jastinpetro9071 8 ай бұрын
Kazi zuri
@juliusjacob2590
@juliusjacob2590 11 ай бұрын
Tin na Ringo hawa watu hawajawahi kuwa wakawaida 😊😂😂
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 Жыл бұрын
Kkkkk eu gosto muito dessa dupla ringo e tin wite
@EmmanuelKileo
@EmmanuelKileo Жыл бұрын
🎉
@babrama3782
@babrama3782 Жыл бұрын
​@@EmmanuelKileo😊0
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Mwene huo mwili kibanda cha tigo pesa😂
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Жыл бұрын
Hawa watu wakiwa pamoja hawajawahi kufanya kazi mbaya
@jaliahatibu
@jaliahatibu Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nawakubali sana jmn
@MmbengaFreddy
@MmbengaFreddy Ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😅 nimecheka sana ila ringo jmn❤❤
@agnesswai7174
@agnesswai7174 Жыл бұрын
Nawakubali mpaka basi🙌❤️👌
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz Жыл бұрын
Duuuh mfanyabiashara kiboko😂😂😂
@HayratAllani
@HayratAllani Жыл бұрын
Msusi wa muhimbili nda kule😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 ай бұрын
Legends are back😂😂😂
@KhalifaJuma-z6y
@KhalifaJuma-z6y 10 ай бұрын
Mnajua Sana ndugu Zang msitengane
@HawaAlly-r7f
@HawaAlly-r7f Жыл бұрын
😂😂😂nimecheka sana hbr yako ringo
@Japharyhh
@Japharyhh 7 ай бұрын
Ringo kuna movie moja hivi aliigiza katili kinoma anapiga mwanamke mabanzi na ujauzito wake inaitwaje vile
@EsthetiqueMajaliwa
@EsthetiqueMajaliwa 2 ай бұрын
😂😂 makitosha jina lautani Ringo
@Nickparroty-r7g
@Nickparroty-r7g 2 ай бұрын
White n mnoma sana ama mwaniambiaje mashbiki wnzangu
@MusaMasika-to8xf
@MusaMasika-to8xf Жыл бұрын
Tutanyang'anya tuzo sasa, mana umekubaliaje
@emmanulvictory507
@emmanulvictory507 Жыл бұрын
Yan ka mkojan asingekuaepo bas😂
@aggreymwacheda8011
@aggreymwacheda8011 Жыл бұрын
Ila mkojani bwana 😂😂😂
@FlorahNgassa
@FlorahNgassa 2 ай бұрын
Umeua man up vizur
@kugotwa004
@kugotwa004 Жыл бұрын
WAZEE HII KAZI KIBOKO MASTAAR WATATU NDANI TINWHITE MKOJANI NA RINGO HATARI SANA HIII
@princehamad4225
@princehamad4225 Жыл бұрын
🤣🤣🤣jaman Sina mbavu kabisa wakikutanaga ninoma
@jofreygrace9665
@jofreygrace9665 Жыл бұрын
Ngoja nimpigie cm baba😂
@OmrizoMwalizo
@OmrizoMwalizo Ай бұрын
Ok singo mtani kwely
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Yaaani mimecheka sana kusikia upunguwani wa akili na midabwada yako yote
@BernardoDanielBernardoSoda
@BernardoDanielBernardoSoda 2 ай бұрын
Nimeipenda sana jamani
@JoseKumburu
@JoseKumburu Жыл бұрын
Aaaaah ringooo tulikumisiiiii
@SamiaSimai
@SamiaSimai 7 ай бұрын
Hhhh ringo et hawapendwi wengine anapendwa yeye tu
@AbdurazaqueNfaumeAli
@AbdurazaqueNfaumeAli 11 ай бұрын
😅😅😅 Yani ringo akawi kulia 😅😅😅😅
@LivingstoneMinga-x6k
@LivingstoneMinga-x6k 4 күн бұрын
Mapenz sio vita wala sio lazima
@estergeofrey4851
@estergeofrey4851 Жыл бұрын
Wanajua sanaa
@SwabrinamwakaMwaka
@SwabrinamwakaMwaka Жыл бұрын
😂😂😂😂😂hawa watu wanachekexha 😂
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 11 ай бұрын
Miaka 20 hajawai kunchiti mume wake 😂😂😂😂😂
@SamuelMwendwa-d9m
@SamuelMwendwa-d9m Жыл бұрын
Kitu ka hii sasa mbwenaa😂
@abbubakar-c7i
@abbubakar-c7i Жыл бұрын
Ringo unaniowa mbavu😂😂😂
@innovitchmsimbe2250
@innovitchmsimbe2250 Жыл бұрын
Anakuoa😂😂😂
@MaajabuRamadhani-so9vg
@MaajabuRamadhani-so9vg Жыл бұрын
Anaejua anijuze hv hii n mpya au ni ile ya zaman
@mpayufilm
@mpayufilm Жыл бұрын
mpya
@Sosthen.
@Sosthen. Жыл бұрын
Mpya ihii
@MwanaidiyusuphYusuphomar
@MwanaidiyusuphYusuphomar Жыл бұрын
😂😂😂😂 sijawai kunchit penda Sana wende
@KhatibuNgozi
@KhatibuNgozi 11 ай бұрын
Mm napenda mkojani na vituko vy
@KondeBoy-r3g
@KondeBoy-r3g Ай бұрын
Kweli wanakuja kas san
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Жыл бұрын
Acha ncheke tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@ShafiAbdalla-hn6vg
@ShafiAbdalla-hn6vg Жыл бұрын
Hii movie noma Ringo na tinwhte 😅😅
@AmooTena
@AmooTena Жыл бұрын
Safi sana
UTANI episode 02
18:37
MPAYU FILM
Рет қаралды 313 М.
UBAYA UBAYA SEASON 2 epsode 1                               Staring: MKOJANI /TIN WHITE / DUME
18:47
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 27 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 416 М.
TIMU MBOVU : MKOJANI,TIN WHITE,SAMOFI,TUMAIN ABDALAH [ PART 1]
23:15
WATEMA MADINI
Рет қаралды 439 М.
BORA NIZIPASUE
11:34
Joti TV
Рет қаралды 269 М.
PENZI LA JINI LATIFA (Part 01)
16:59
kicheche
Рет қаралды 3,8 МЛН
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 2 МЛН
MTANGA NA BAMBO ,WAUZA MISHKAKI YA NYAU ,HII KIBOKO KABISA
6:38
MTANGA COMEDY TZ
Рет қаралды 739 М.
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 841 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
SANGA FILM
Рет қаралды 955 М.
MJEDA"Movie Episode1 Starling Tinwhite  Mwelesi Silva Queen
16:21
WHITE FILMS
Рет қаралды 877 М.
NDARO HUYU NIWANGU WEWEEE STEVE STEVE
16:16
Mweusi Family
Рет қаралды 1,1 МЛН