Yamoto Band - Mama Official Video

  Рет қаралды 8,202,271

Mkubwa na Wanawe

Mkubwa na Wanawe

8 жыл бұрын

Watch KAYUMBA MSELA Latest Song ► bit.ly/2uBIx9c
Yamoto Band Latest Videos ► bit.ly/YamotoBandVideos
Presenting Mama official video song by Yamoto band.
Video Directed by Pablo
Follow Me on:
Instagram: / yamoto_band
Twitter: / yamotoband
Facebook: / mkubwa.wanawe
Digital promotion by Spice Vas Africa!!
Subscribe us for unlimited entertainment
/ mziikitube
Like us on Facebook
/ spicevasafrica
Follow us on Twitter
/ spicevasafrica
Follow us on Instagram
/ spicevasafrica
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Kisamaki - Zatika (Official Video)"
• Kisamaki - Zatika (Off...
~-~~-~~~-~~-~

Пікірлер: 2 200
@BrisexyBriana
@BrisexyBriana 3 ай бұрын
Uchungu wa mwana naujua mwenyew wangapi bado wanaiskia mpaka leo kama mm 😔😭 2024
@charleskalembwe2013
@charleskalembwe2013 3 ай бұрын
best song ! best message ! team yamoto ilikuwa juu !
@user-no4is4sc4b
@user-no4is4sc4b 2 ай бұрын
😅😅
@stanleygeorge264
@stanleygeorge264 Ай бұрын
Tuko wengi mama❤❤❤
@vanekemunto78
@vanekemunto78 4 жыл бұрын
Nani kama mama kama unapenda mama like apo jini
@NapindaSadamu
@NapindaSadamu Ай бұрын
❤❤❤🎉
@malikiakimwera9524
@malikiakimwera9524 5 жыл бұрын
Kama unaamini hakuna kama mama embu tupia like
@feleboy7029
@feleboy7029 5 жыл бұрын
Malikia Kimwera pa1
@cecyemilia6514
@cecyemilia6514 5 жыл бұрын
I miss you mama
@ammaraldodo3625
@ammaraldodo3625 5 жыл бұрын
Nani kama mama hakuna hakuna
@nasoromjanja8017
@nasoromjanja8017 4 жыл бұрын
SAANAA
@jumamayanza3638
@jumamayanza3638 4 жыл бұрын
Love mom
@BravoTarasis-bx8ie
@BravoTarasis-bx8ie 13 күн бұрын
Now dayz Nina 23 yrs ila nikimpigia mama simu hua namuuliza "umepika nn Leo mama"? Namiss sana madikodiko ya pale maskan ... Be blessed mama
@SalmaMohamed-vx7me
@SalmaMohamed-vx7me 4 жыл бұрын
From Somalia one love Mama nakupenda sana ❤️❤️❤️ gonga like ukipenda mamako 🥰🥰🥰
@musazenge3880
@musazenge3880 4 жыл бұрын
Almas X true
@abubakarbekaboy5085
@abubakarbekaboy5085 3 жыл бұрын
😘😘
@magembemaduhu8419
@magembemaduhu8419 3 жыл бұрын
Mambo
@musaibaabuu1064
@musaibaabuu1064 3 жыл бұрын
Mama ndio kila kitu kwenye hii dunia Asante mama kwa kunilia vizuri
@fattyandruqyahbinthouthman8025
@fattyandruqyahbinthouthman8025 4 жыл бұрын
Allah awalaze mahala pema wa zazi wetu. Walo tangulia😭😭 huko mbele zake Allah na wazazi bado wapo hai Allah awape umri mrefu yarabi
@iddyame4333
@iddyame4333 4 жыл бұрын
😭😭amin
@aishashekhe9531
@aishashekhe9531 4 жыл бұрын
fatty and Ruqyah bint Houthman nikumbuka mama
@muhammedyussuf8406
@muhammedyussuf8406 4 жыл бұрын
Amiin yaarabbi
@hakaboy5780
@hakaboy5780 4 жыл бұрын
Amiin
@faridamdem1543
@faridamdem1543 4 жыл бұрын
Ameen
@kingomediatv
@kingomediatv 10 күн бұрын
Still We love Mom ❤ 2024 like hapa🎉🎉🎉
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 7 ай бұрын
Tanzania ni nchi yenye nguvu kubwa barani Afrika, mimi ni Mkongo 🇨🇩 lakini Tanzania ni kipenzi changu.
@kingomediatv
@kingomediatv 10 күн бұрын
Most welcome
@joanitastephano3321
@joanitastephano3321 5 жыл бұрын
Kama umesikilza 2019 gonga like yako hapa twende sawa
@ikopoasankk3604
@ikopoasankk3604 5 жыл бұрын
Nawakubali sana sema nimeboleka mlivyotengana nataman bend irudi tenaaa
@aishasuleiman5137
@aishasuleiman5137 5 жыл бұрын
Joanita stephano .💕💕💪
@bestomwambata6088
@bestomwambata6088 4 жыл бұрын
Nawakubalili sanaaaa yamoto band
@eliakalinga5771
@eliakalinga5771 4 жыл бұрын
Kamaunampendmamalaik
@eliakalinga5771
@eliakalinga5771 4 жыл бұрын
Mamb
@p.lyrics6339
@p.lyrics6339 8 ай бұрын
Nani ambae anaangalia hili chupa mpaka 2023 agonge like twende Pamoja
@ndewamagahila4330
@ndewamagahila4330 4 жыл бұрын
Kama bado unaangalia hadi 2020,piga like twende sawa
@zuhurazuhura7441
@zuhurazuhura7441 4 жыл бұрын
Iko poa sana
@ayeshal4395
@ayeshal4395 4 жыл бұрын
Poa
@jafarialfani9795
@jafarialfani9795 4 жыл бұрын
Nzuri
@elinecosmasi3932
@elinecosmasi3932 4 жыл бұрын
💪💪👏
@shebeboy2423
@shebeboy2423 4 жыл бұрын
Yap man
@mukerichard4196
@mukerichard4196 Жыл бұрын
Navyo kupenda mama aneyejua ni Allah.
@naswiyajuma8152
@naswiyajuma8152 4 жыл бұрын
Kama unaupenda huu wimbo gonga like in2019
@shinunasalim2570
@shinunasalim2570 4 жыл бұрын
Mama hana mpinzani
@BrotherNassir
@BrotherNassir 4 жыл бұрын
wanawake wote duniani wanaweza kukusaliti na kukugeuka, ispokua mwanamke mmoja tu nae ni MAMAKO MZAZI... MUNGU AWABARIKI MAMA ZETU, NA WALOFARIKI AWAWEKE PEMA PEPONI.. HAKUNA KAMA MAMA ❤
@teedullah5708
@teedullah5708 3 жыл бұрын
Amiin kweli hakuna km mama mwenye mamake munqu amuekee
@iddahamandus1144
@iddahamandus1144 3 жыл бұрын
Ameeeen
@adilmohamed1784
@adilmohamed1784 3 жыл бұрын
Swadaqtaa brother Nassir ,pepo ya dunia ni mama❤️
@amanmatara7588
@amanmatara7588 3 жыл бұрын
Kwel kaka Allah awabariki.
@ahmedjack4135
@ahmedjack4135 3 жыл бұрын
hapa sio wote
@mrmbodj8572
@mrmbodj8572 5 жыл бұрын
Imagine I don’t understand what they but I swear I love Tanzania 🇹🇿 song for is best in Africa even I’m from Mauritania 🇲🇷 west Africa
@socialdemocrat0015
@socialdemocrat0015 2 жыл бұрын
Do you understand Swahili
@simiyueric7885
@simiyueric7885 2 жыл бұрын
We wacha 😂😂
@hidrammwanga3508
@hidrammwanga3508 2 жыл бұрын
The song is about mother
@kibandachasimu
@kibandachasimu 2 жыл бұрын
@@hidrammwanga3508 😅😅😅
@cutecutie1411
@cutecutie1411 Жыл бұрын
We love you darlin
@benjaminenyasanga2195
@benjaminenyasanga2195 6 ай бұрын
Nani anaiangalia 2023, November?
@stanleygeorge264
@stanleygeorge264 Ай бұрын
Tupo
@bahatibuhoma5329
@bahatibuhoma5329 8 жыл бұрын
Daaaah!! Huu mwimbo unanitoa machozi kila nikiusikiliza...Hakika hakuna kama mama hapa duniani
@kassimngohengo3281
@kassimngohengo3281 4 жыл бұрын
Hakn kama mama wkt yupo ambae ni baba
@leangkeywizkid1981
@leangkeywizkid1981 4 жыл бұрын
Haki
@nanahaidar3867
@nanahaidar3867 7 жыл бұрын
wimbo mzuri wanikumbusha mama pia machozi yanitoka R.I.P my mum
@nanahaidar3867
@nanahaidar3867 7 жыл бұрын
wimbo waniuzunisha nakumbuka mama R.I.P my mum
@zawadirajubo7485
@zawadirajubo7485 5 жыл бұрын
alloveyouuu mam
@cyruskimei8546
@cyruskimei8546 4 жыл бұрын
Pole darln
@gracesarrive1887
@gracesarrive1887 4 жыл бұрын
Pole sana ndungu
@iddyame4333
@iddyame4333 4 жыл бұрын
😭😭
@martinntesh9479
@martinntesh9479 4 жыл бұрын
Who else is watching today 2020 mother's day. Piga like
@dickkagusu4110
@dickkagusu4110 4 жыл бұрын
Bado nazikubali ngomazenu sichoki kusikiliza gonga like tujuane
@rizikichitanda6583
@rizikichitanda6583 4 жыл бұрын
kama naww pia unatamani yamoto iludi tena kama zamani gonga like apo tujuane
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 4 жыл бұрын
nani bado ambae anaisikiliza huu ujumbe mzito wa mama hadi leo 8/9/2019 ebu gonga like hapa tuane
@canesoul5916
@canesoul5916 15 күн бұрын
Nani ako hapa 2024
@user-fm4vl4dv6k
@user-fm4vl4dv6k 7 ай бұрын
2023 bado nafatilia ngoma hii like kama ni mmoja wapo big up 💪💪👑
@ashagowa9037
@ashagowa9037 2 жыл бұрын
Am a mother now, I understand every sacrifice my mom made for me. May Allah bless u in this world and in hereafter
@mikeotieno4728
@mikeotieno4728 11 ай бұрын
This song goes to my mother's who's not here with us RIP mama 😭 thanks for being there for us 🙏🙏🙏🙏
@ShukuruElizabeth
@ShukuruElizabeth Ай бұрын
Aki mimi huu wimbo sitachoka kuusiya 🎉2024
@babymarrycharlesjames5501
@babymarrycharlesjames5501 2 жыл бұрын
Still lit in 2022 rip mom nakupenda sana mama yangu 😪😭😭😭 daaaaah naumia mama kila nikikufikiria nakuchukia kifo mnoooo nashindwa kuficha hisia zangu 😭😭😭😭
@patrickjustini3122
@patrickjustini3122 Жыл бұрын
Mungu awa jalie maixha maruf na vipaji vyenu viendelee
@jojo-ne3oy
@jojo-ne3oy Жыл бұрын
Ohhh😭pole 😓
@swahilivilla
@swahilivilla 7 жыл бұрын
Hii nyimbo hakuna katika miaka 2015 hasi 2020 kama ujumbe hakuna kama hii
@halfansultani9315
@halfansultani9315 5 жыл бұрын
Swahili Villa 9
@fatmamuhamed3254
@fatmamuhamed3254 5 жыл бұрын
Love you mom
@Shamsa-bm7tg
@Shamsa-bm7tg 5 жыл бұрын
Loise muhando
@yasminnjeri6817
@yasminnjeri6817 6 жыл бұрын
Who is here in 2018...i miss my mama..R.I.P
@keziaodongo3555
@keziaodongo3555 5 жыл бұрын
Kweli mama huwa mtetezi I miss my mum deeply R.I.P
@mamanofari9039
@mamanofari9039 5 жыл бұрын
@johmakuol1471
@johmakuol1471 5 жыл бұрын
Yasmin Njeri RIP 😪
@mtutamajala4767
@mtutamajala4767 6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ashanijalia na mimi nikaitwa Mama na mimi.Nagombana na majirani ata wanangu wawe wachokozi.Raha ya Uzazi
@2cooltv919
@2cooltv919 5 жыл бұрын
Nafurahia, najivunia Uwepo wako we kwenye dunia Nakuombea, miaka mia Uishi nisije potea njia
@wolfskinjmiddy6944
@wolfskinjmiddy6944 8 жыл бұрын
RIP my mom wherever u are .....iiiiiuuuuu
@aminasaidi1081
@aminasaidi1081 4 жыл бұрын
Poleee
@bettymwende2988
@bettymwende2988 3 жыл бұрын
Pole
@chrisphineoluoch8633
@chrisphineoluoch8633 2 жыл бұрын
Pole
@aliasadhana
@aliasadhana 8 жыл бұрын
happy mother's day everyone from Ethiopia!!!
@mjatayasir2245
@mjatayasir2245 4 жыл бұрын
pamoja
@kassimhassan5834
@kassimhassan5834 3 жыл бұрын
A
@waxsybk
@waxsybk 2 жыл бұрын
Love you song swahili
@hadijahamisi9815
@hadijahamisi9815 4 жыл бұрын
May mama pongezi kubwa Sana .mama najionea Yale ya Dunia ulionambia gonga like Kwa mamaa
@omaryshabani3500
@omaryshabani3500 8 сағат бұрын
R.I.P My Mama (17/05/2024) 😭😭😭🙏🙏🙏
@itsngaki4507
@itsngaki4507 8 жыл бұрын
popote ulipo mama angu Nakupenda sana
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 жыл бұрын
Sichoki kuusikiliza huu wimbo Hakika Hakuna Km ♥️MAMA♥️ ALLAH awajaalie pepo yenye darja ya juu mama zetu
@ayushachidau6758
@ayushachidau6758 4 жыл бұрын
Amiin thuma amiin
@mathiasmuyanja1839
@mathiasmuyanja1839 Жыл бұрын
Apo ni ukweri mama Ndio mweisho hapa duniani
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 жыл бұрын
Daaaaah 😭😭From egypt Hii Nyimb nikisikiliz huwa na bubujikwa na machoz vile Nime Miss Mom Mwak Wa 9 sas Sik karibu na my Mom 😭😭😭😭
@sarahkhaemba4158
@sarahkhaemba4158 Жыл бұрын
Am here 2023,nafee nko mbali sana na mamangu but this the message for her❤❤❤❤ mama yangu mzazi
@babadeee6921
@babadeee6921 5 жыл бұрын
2019 natafut wenzangu R.I.P my mum
@khaledstiffler7502
@khaledstiffler7502 8 жыл бұрын
only tanzanians make us proud as eastern africans love from somalia❤❤❤
@abdinoorshariff4321
@abdinoorshariff4321 5 жыл бұрын
Fact:somalia not part of east africa
@constantineclement8990
@constantineclement8990 4 жыл бұрын
abdinoor shariff considering its location it is in east Africa
@waxsybk
@waxsybk 2 жыл бұрын
Love you song
@annauronu1083
@annauronu1083 Жыл бұрын
Asilei
@tumumohdi2553
@tumumohdi2553 Жыл бұрын
Amin
@asmamsati48
@asmamsati48 Жыл бұрын
Mama yangu kipenz ❤️💋❣️ love you
@user-wg6ej8xq7x
@user-wg6ej8xq7x 2 ай бұрын
Love songs from yamoto band 2024 naisikiliza
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 6 жыл бұрын
😢😢😢love u my mom Allah akupe Maish marefu ktk hii dunia Na wale wt waliopotelew na mama zao waliotangulia mbele za haki Allah awape kauli sabit awasameh yt mabaya na hawawek mahala pema pepon wot tusem Amiin Amiin Amiin dua maqboor kwetu sote Mama ni mama😗😗😗
@azizatwaha18
@azizatwaha18 6 жыл бұрын
muvi
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
The link I have with my mum❤️I'll play this song forever..2023 here we go 🔥🔥
@MwasiHamidu-ox1gc
@MwasiHamidu-ox1gc 5 ай бұрын
Mungu akuremu mama yangu mpaka reo bado nakuriria
@stellasiruri7595
@stellasiruri7595 4 жыл бұрын
Nakukumbuka sana mamy umeniachia pengo kubwa sana kwangu kikubwa nakuombea upumzike kwa aman
@caesarbcuk82
@caesarbcuk82 4 жыл бұрын
I don't understand the language, but I can feel the music. Great African voices they've all got
@katyalengajua5947
@katyalengajua5947 4 жыл бұрын
Rest in Peace my mom😭😭😭😭😭 hii nyimbo inanitoa machozi huwa namkumba Sana mama yangu
@kattofahion4209
@kattofahion4209 2 жыл бұрын
Pole kwa Wale wote walio poteza wa mama zao Mungu awalaze Mahali Pema tunawapoza
@fatmamwinyi8778
@fatmamwinyi8778 5 жыл бұрын
Best kuliko zote.....!!!!!!!!!! ...yamoto band... Penda xnaa mamaa yng..👎💖💖💖💖💖
@malandiabilahi8333
@malandiabilahi8333 6 жыл бұрын
Yaan hii ngoma najikuta naagiza coke kiwanda cha pepsi pumzika kwa amani mamaangu utabaki moyoni mwangu
@aminasaidi1081
@aminasaidi1081 4 жыл бұрын
Sorry
@francismambo8055
@francismambo8055 3 жыл бұрын
Kwani mwasahau baba
@mariadaudi8729
@mariadaudi8729 3 жыл бұрын
😩😩😩😩Pol sana. jmn. zid kumuombea kwa mng amp pmzk la Aman.
@vickybootlicious4335
@vickybootlicious4335 8 жыл бұрын
nimejikuta natokwa na machozi... daaah big up YAMOTO BAND....Aslay M/Mungu akupe nguvu ameen inshaallah... kupotezewa na mama sio kitu rahisi kabisa...especially at a very young age😭😭😭😭😭
@mwanaidykareem2611
@mwanaidykareem2611 6 жыл бұрын
nic song
@sharifasultanmhinah7829
@sharifasultanmhinah7829 4 жыл бұрын
Hakuna kama mama
@shakibmohamed7080
@shakibmohamed7080 Жыл бұрын
Hi video ya huu wimbo nikama walitabiri future yao
@augostinermercy1542
@augostinermercy1542 7 жыл бұрын
Ooh ma gad. thank you ya moto band.. nani kama mama?? Lord bless our mothers,,,
@tawhidashuaib2267
@tawhidashuaib2267 7 жыл бұрын
Ameen
@queenoflove628
@queenoflove628 6 жыл бұрын
Augostiner Mercy AMEN
@saumuezro3134
@saumuezro3134 5 жыл бұрын
Mama nampenda SNA love uuu mum wangu
@abdyjuma113
@abdyjuma113 2 жыл бұрын
00p00000
@sabrinamponda1503
@sabrinamponda1503 2 жыл бұрын
Yani nalia tuu hapa 2021nikisikiliza nyimbo
@babyanneytvshow3068
@babyanneytvshow3068 8 жыл бұрын
RIP my lovely mum i miss u so much,this song make me to cry
@shirugracegitau6362
@shirugracegitau6362 8 жыл бұрын
rip lovely mama.
@babyanneytvshow3068
@babyanneytvshow3068 8 жыл бұрын
thank dear
@fatimafa3042
@fatimafa3042 7 жыл бұрын
I really miss u mum, nakutafutia all de way in Jordan
@user-nq3yu7cu2u
@user-nq3yu7cu2u 7 жыл бұрын
+am ma ommy missing u mum but am coming soon 14th aug 016 inshaallah
@shirugracegitau6362
@shirugracegitau6362 7 жыл бұрын
***** rip lovely mum.
@josephamani5607
@josephamani5607 3 жыл бұрын
If you reading this I'm wishing you success in your life
@zuenahamis8802
@zuenahamis8802 5 жыл бұрын
Hii nyimbo naikubali San nipeni like na mm bac
@bartanabada2906
@bartanabada2906 5 жыл бұрын
i like his voice and music but i don't understand from somalia🇸🇴🇸🇴 keep going bro. i love you all mothers
@ammaraldodo3625
@ammaraldodo3625 5 жыл бұрын
Hoio hoio ❤ elahi kcabso
@asteriaanthony5311
@asteriaanthony5311 3 жыл бұрын
@@ammaraldodo3625 na
@bahatibuhoma5329
@bahatibuhoma5329 4 жыл бұрын
Happy Mothers Day❤❤❤Mwenyezi Mungu awabariki wamama wote duniani na awarehemu wamama wote waliotangulia mbele za haki🙏🙏🙏🙏
@abdalaismaelabdalaismael783
@abdalaismaelabdalaismael783 Жыл бұрын
Mashallah
@abdalaismaelabdalaismael783
@abdalaismaelabdalaismael783 Жыл бұрын
Amin
@hamisially34
@hamisially34 Жыл бұрын
Allah akulaze maala pema peponi Mama yangu Mwanamanza Zumo
@Ljuyghbnjvvcdd
@Ljuyghbnjvvcdd Жыл бұрын
Still here 2023
@evaristdeus9650
@evaristdeus9650 Жыл бұрын
Kama una mpenda mam kam mm like hapo
@fatmajambia4968
@fatmajambia4968 7 жыл бұрын
ilove u mom always and forever 😘😘😘😘 no one like u
@zeiynahmuhammad5378
@zeiynahmuhammad5378 3 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yang nashukul kwa kunizaa nakuombea maisha marefu
@skystarmedia8192
@skystarmedia8192 4 жыл бұрын
Kama unawish hili kundi lingedumu hadi leo gonga like hapo
@marykemunto1616
@marykemunto1616 8 жыл бұрын
ninavyo kupenda mama anaejua ni mungu................................
@jotamusaimon8186
@jotamusaimon8186 4 жыл бұрын
Saww
@officialisaiah3979
@officialisaiah3979 3 ай бұрын
2024 tujuane jamani like inatosha jamaniii❤
@vanekemunto78
@vanekemunto78 5 жыл бұрын
Nampenda mama akuna mwingine kama mama
@SubiraMakonde-eg4qe
@SubiraMakonde-eg4qe 9 ай бұрын
Aamina inshaallah mola awafanyie wepesi wazazi wetu walotangulia
@mohammedabdu8647
@mohammedabdu8647 7 жыл бұрын
I don't understand what it means but I understand the word moma. I love my mother ❤❤❤
@halimaahmed1038
@halimaahmed1038 7 жыл бұрын
me kwako bado mtoto.mama ooh mame x2mwanao nimekuwa eeh. yale ya dunia eeh ulinambia .umenifunza kuna maziwa na tui
@idilcabdiqadir6976
@idilcabdiqadir6976 7 жыл бұрын
mom I luv u
@zuhrhadam7112
@zuhrhadam7112 6 жыл бұрын
Halima Ahmed ,,mama,,mama
@rhodamusungu745
@rhodamusungu745 5 жыл бұрын
Sasa Halima
@rhodamusungu745
@rhodamusungu745 5 жыл бұрын
T
@simondominick9012
@simondominick9012 5 жыл бұрын
Kwer
@joanitastephano3321
@joanitastephano3321 4 жыл бұрын
Kama bado una mama ako bas tuwapende mama zetu Kama kesha tangulia mbele za haki R.I.P 😭😭😭😭😭
@ericutyogenche3602
@ericutyogenche3602 Жыл бұрын
Kwa wasiopahatika kupata malezi ya mama kama Mimi pita huku na like mwenzio😭😭😭😭
@fatmamacharia3593
@fatmamacharia3593 4 жыл бұрын
Still lit in 2020 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@alimmadi3411
@alimmadi3411 4 жыл бұрын
0
@saimonmtonga8456
@saimonmtonga8456 3 жыл бұрын
Miss you sana yamoto bend
@hassanrisasi884
@hassanrisasi884 3 жыл бұрын
Gaucho
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 2 жыл бұрын
Kama nawe unaangalia2021 gonga like
@abdhulimuhammd9790
@abdhulimuhammd9790 2 жыл бұрын
@@alimmadi3411 jj
@zainabubarack4017
@zainabubarack4017 7 жыл бұрын
mama is great gift from God. ..thank you ya moto more love. ..God bless you
@husseinibrahim2997
@husseinibrahim2997 Жыл бұрын
Always shading tears can't hold back my lovely live long I promised u will see my kids n you will enjoy alhmdulilah my dreams is valid enjoy my sweat.i love u forever mum
@elizabethbasiri-wo6jm
@elizabethbasiri-wo6jm Жыл бұрын
Daaah huu wimbo inanikumbusha mbali sana daaah ulale salama huko ulipo mama😭😭😭😭🥺🙏
@josiepamela3992
@josiepamela3992 8 жыл бұрын
uligombana na majirani kunitetea wakati mkorofi ni mm ....that line tho! my eyes are welling luv u mum.
@winniemutahi2502
@winniemutahi2502 7 жыл бұрын
That parts also gets me teary
@lugeecekakupa3285
@lugeecekakupa3285 3 жыл бұрын
Where this song takes I don't need anyone else to understand😅 I love you mama💖💖Namibia🇳🇦
@saidiscaba9968
@saidiscaba9968 3 жыл бұрын
Kama nawewe unampenda mama naomba gonga like twende sawa 2021✔️
@izackali7516
@izackali7516 4 жыл бұрын
Mama ni wa maana sana hebu rudi pamoja yamoto band nawapenda coz bado nawatazama hadi sasa from kenya
@sospetermzuma1685
@sospetermzuma1685 4 жыл бұрын
Dedication to all mamas all over the world...... R. I. P MY MOM
@sheilamacharia5233
@sheilamacharia5233 2 жыл бұрын
May she rest in peace 😢🙏🥰
@mwajabukobembe726
@mwajabukobembe726 Жыл бұрын
Hata kama anampangufu mama atabak kuwaa mama tuu mungu Alan wote nnachukiaa mama zenu wakna baba wako weng ila sio mama I love you mama angu kipenz Cha rohoo yanguu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️maishaa marefu kwakoo
@bartanabada2906
@bartanabada2906 4 жыл бұрын
I miss you mama😍😍😍♥️♥️from somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴
@Deussiyussuphu-jc8wi
@Deussiyussuphu-jc8wi 10 ай бұрын
uligombana na majilani ata kama kosa nafanya mimi love mama❤
@mohammadyahya5739
@mohammadyahya5739 3 жыл бұрын
I love you mama kma wampnda mamako gonda like tuende dau moja
@queenmasilu4378
@queenmasilu4378 5 жыл бұрын
when I remember u my mom I just listen this song 😭😭😭rip my dear mom
@bettymwende2988
@bettymwende2988 3 жыл бұрын
Pole
@shaibahkmwangoto8089
@shaibahkmwangoto8089 4 жыл бұрын
Kama unamkubali mbosa tangu kitambo achiya like yako. ili twende sawa.
@mukerichard4196
@mukerichard4196 Жыл бұрын
Navyo kupenda shahidi ni Mungu.
@anordmunyaga5929
@anordmunyaga5929 4 жыл бұрын
Kwa wale ambao wamepoteza mama zao 2020 ,inauma sanaaaaaaa
@hamisishaame1458
@hamisishaame1458 6 жыл бұрын
Big up yamoto band for sure always make me happy especially this song i really remember where she is.
@sacdiyaahmed9126
@sacdiyaahmed9126 8 жыл бұрын
ninavyo kupenda maromboso anayejuae ni mungu
@kawambwakawambwa1850
@kawambwakawambwa1850 2 жыл бұрын
Hili kundi liludiwe kipindi linafanya vizuri sikuwepo 🔥🔥
@amanihamisi5686
@amanihamisi5686 3 жыл бұрын
Mama yangu jamani hajawai kula ata mia yangu daah mungu alimchukua mapema inaniuma xn basi tu🙏🙏mungu ampumzishe sehemu salama
@clizzbafody8645
@clizzbafody8645 8 жыл бұрын
Na mark register nnani mkenya ana watch....#Dope
@aliciousdaqueen6385
@aliciousdaqueen6385 8 жыл бұрын
present
@florencewambui8470
@florencewambui8470 8 жыл бұрын
present
@floryder3712
@floryder3712 8 жыл бұрын
Nimewasili! Natumai sijachelewa. Ni kweli uchungu wa mwana aujua! Nasi kama wana,tunastahili kutilia maanani maadili ya wazazi, kwa kufanya hivyo maisha yetu yatakuwa ya kupendeza.
@aliciousdaqueen6385
@aliciousdaqueen6385 8 жыл бұрын
+Flo Ryder very true
@clizzbafody8645
@clizzbafody8645 8 жыл бұрын
Right on time sabrina bby
@joegicheru7740
@joegicheru7740 7 жыл бұрын
nitapata wapi mama wa ki Tanzania...iyo sauti yao yunimaliza mbaya sana
@jacquelinemasase8953
@jacquelinemasase8953 7 жыл бұрын
Joe Gicheru w
@silviamasiza4513
@silviamasiza4513 7 жыл бұрын
ninavyokupenda mum anaye jua ni mungu!!
@hafidhlee2255
@hafidhlee2255 4 жыл бұрын
Mama ni zawadi kubwa duniani kama bado yupo mpende na umjali nmemmc mama right now 😢😢😢
@gemebader9893
@gemebader9893 7 жыл бұрын
I love this song and love music to God bless All Mammas
@ashuramanioc4210
@ashuramanioc4210 5 жыл бұрын
asante mama
@joctanmwalimo9376
@joctanmwalimo9376 5 жыл бұрын
Hi I love it so much have a wonderful time.
@hadijanyanda7680
@hadijanyanda7680 4 жыл бұрын
R.I.P mom
Yamoto Band - Niseme ( Official Video )
4:31
Mkubwa na Wanawe
Рет қаралды 10 МЛН
Nani Kama Mama
16:45
Isha Mashauzi
Рет қаралды 248 М.
OMG 😨 Era o tênis dela 🤬
00:19
Polar em português
Рет қаралды 10 МЛН
Be kind🤝
00:22
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 5 СЕРИЯ
27:21
Inter Production
Рет қаралды 577 М.
狼来了的故事你们听过吗?#天使 #小丑 #超人不会飞
00:42
超人不会飞
Рет қаралды 55 МЛН
Kasi_Simela_-_Mama(Official Lyrics Video)
3:56
Official dogo kasi simela
Рет қаралды 896 М.
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips Dan
32:55
Duncan Kips Dan
Рет қаралды 1,9 МЛН
Best Naso Ft Kimondo_Anaringa (Remix)_Video
3:11
Kimondo DM
Рет қаралды 7 М.
Best Naso - Narudi Kijijini (Official Video)
5:24
Best Naso
Рет қаралды 863 М.
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Mbosso
Рет қаралды 4,2 МЛН
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ZittoKabwe
Рет қаралды 18 МЛН
Kassim Mganga Feat. Christian Bella | Subira | Official Video
4:18
Kassim Mganga
Рет қаралды 3,9 МЛН
Yamoto Band - Nitakupwelepweta [Official Video]
4:35
Mkubwa na Wanawe
Рет қаралды 14 МЛН
Как поменялась мода на летние шорты😅💀
0:20
ВЕРА ВОЛЬТ
Рет қаралды 4,3 МЛН
🦧She Made A Gummy Bear Out Of Gummy Frogs🤪🤠
0:38
BorisKateFamily
Рет қаралды 25 МЛН
Lemon Juice Confusion: The Bottles Surprise 🍫😮 #Shorts
0:16
Cheesy Adventures Co.
Рет қаралды 45 МЛН
УКРАЛИ банковскую КАРТУ у ДЕВУШКИ 😱 #shorts
0:57
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 6 МЛН
Who is in the wrong?
0:12
Team Z
Рет қаралды 11 МЛН