Weh KP umeigiza sana na Zebuu ndiyo maana alitaka kukuita Benzema akakosea akakuita KP hiyo inamaana badilisha waigizaji ila hongera sana kwa filamu zenu nzuri za kuelimisha❤
@janetkyumbe7154Ай бұрын
Kazi nzuri leteni mwendelezo bc
@YusraSiyaleo-yk2fzАй бұрын
Ulisema mwez wa 10 unatoa ahad ya jin season 2 tunaisubili usituangushe
@JamesKiiru-o3jАй бұрын
Natumai atatuangushaa pia hapa Kenya tunaisubili jin season 2
@KendrickKhalfanАй бұрын
Hahahhaha majin ya bongo bana haya jaachaga kuangalia kushoto kulia kama traffic😂😂😂😂😂