Kazi nzuri sana Bambi endelea hivyo hivyo tuko nawe kamwe hatukuachi
@OfficialBambo13 күн бұрын
Love all fans 🙏
@mohammedkidody561813 күн бұрын
Legend is back na mzee chupo😂
@geraldngangawangari86313 күн бұрын
😂😂😂😂huyo mzee chupi
@ecomedy-h1n11 күн бұрын
😂😂😂 aah bambo hi tunahitaji Episode ya pili hapa Tupate uondo 🙌🙌
@enjobw568213 күн бұрын
Umefikoo 😂😂😂😂
@georgebrowne25411 күн бұрын
Mzee anataka mademo😂 Ana shido kweloo
@youngsachafurniture548212 күн бұрын
Rais anasifiwa hadi anaumiza kichwa 😀😀😀😀
@sittandaki213511 күн бұрын
Bambo unaharibu kiswahili 😂😂😂😂😂
@MR_RAMSATZ12 күн бұрын
nakubali kaka bambooo
@FabianNtimba10 күн бұрын
Kweli huyu ndomzee chupi duuh 😂😂😂😂
@reagankahita18625 күн бұрын
Si mbayo😅😂
@Jakmoyamoya-yt9pz11 күн бұрын
Si mbayooohh 😊
@Marianduluma873012 күн бұрын
Mademo mtu mtungono😂😂😂
@ecomedy-h1n11 күн бұрын
Kabisoo😂😂
@ecomedy-h1n11 күн бұрын
Mizimu ya Festival 😂😂😂
@JophuMpogolo-y2p7 күн бұрын
wana balaaa sana
@manytz561813 күн бұрын
Bombo claaaat 💥,,,ila Hilo gari sasa😂😂😂😂Namungo
@zuberinyenzi198212 күн бұрын
Mkojo unanuka tetenasi
@BIGbone.94226 күн бұрын
Naomba kujua KZbin account ya Bosha ni gani maana napenda kazi zake ila mara nyingi hapatikana hewani.
@youngsachafurniture548212 күн бұрын
Bambo nakucheki miaka ya ile ya 2003 hadi leo umestill kwa game
@OfficialBambo12 күн бұрын
One love ❤️
@marygoreth-o8z7 күн бұрын
tutakosano😂😂😂😂
@MussaEnock10 күн бұрын
Tafuta mapemo
@allychakatu20175 күн бұрын
Mademo sixmobo.😂
@adammwaipungu3926 күн бұрын
Ondoeni upuuzi wa siasa kwenye kazi zenu nyie wazee
@DamianoKasiano12 күн бұрын
Yan bambo ww ww hakuna koMEDIAN ZAIDI YAKO KAMA WANA BISHA WA NIULIZE MM NILIE ANZA KUKUFATILIA KUANZIA 2012 HUJAWAHI KUKOSEA KIUFUP NAKUPENDA SANA WW NAMBA MOJA KWA KOMEDY
@OfficialBambo12 күн бұрын
🫡
@DamianoKasiano12 күн бұрын
@@OfficialBambo baba WAKOMEDI asante kwa kaz nzur chonde chonde msije mka vunja umoja wenu na mtanga