MKURUGENZI wa BANDARI DAR AJIBU HOJA KUHUSU MJADALA wa DUBAI PORT; "WAWEKEZAJI BINAFSI NI LAZIMA"

  Рет қаралды 5,981

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MKURUGENZI wa BANDARI DAR AJIBU HOJA KUHUSU MJADALA wa DUBAI PORT; "WAWEKEZAJI BINAFSI NI LAZIMA"
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 39
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@salama1113
@salama1113 Жыл бұрын
Acheni tamaa ya matumbo yenu kwani wenzenu wamewazaje cc tushindwe wakati cc kilakitu tunacho natunauwezo wa kuza natukapata pesa ya kuendesha nchi tatizo mnajali matumbo kuliko nch
@farhanhassan6858
@farhanhassan6858 Жыл бұрын
Upigaji huo hela zote mnazo kusanya mnashindwa Nn kununua Vifaa vinavyoitajika,fikirien vizaz vijavyo kueni na aibu hpo mnatafuta ten% Yan kiukweli kuna watu Hawafai Yan watu kama Hawa ukiwapa nchi wanaiuza.
@jumabakary2796
@jumabakary2796 Жыл бұрын
Sector binafsi ndio imeifanya South Africa kuwa kama Ulaya na hata Kenya wameanza kuiga sasa,kuna uwekezaji mkubwa kwenye barabara na nyumba,ila kwa nchi kama Tanzania tutachelewa sana kuendelea kwasababu ya kelele nyingi na imani zetu potofu dhidi ya wawekezaji .
@zikramussa2366
@zikramussa2366 Жыл бұрын
Safi sana kaka
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Kwani lazima ku copy na ku paste? Nchi hii wasomi na matajiri wapo wengi. This the problem of putting the wrong people in the right bus.
@danielmalambugi
@danielmalambugi Жыл бұрын
Tumeona sekta binafsi zinafanya vizuri angalia usafiri wa abiria,mizigo magari hayo ni ya watu binafsi mnataka serikali iendeshe?
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Just for your information kwa baadhi yenu ni kwamba bandari haiuzwi itabakia kuwa mali ya serikali lakini operations za bandari ndio zinahitaji prominent private sectors specialized in port fuctions
@tonitonito90
@tonitonito90 Жыл бұрын
Wewe hauji kitu tulia
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
@@tonitonito90 wewe unaejua si useme ujuaji mwingi yet you a stagnant mindset
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Sasa hivi ukimpangisha mtu nyumba miaka mia si sawa na kumuuzia au vipiii jmn?
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
@@saidasimba9979 hizo document zikifika bungeni ndio utahamu kama ni miaka mingapi achana na umbea wa mitandaoni ........huku kila mtu ni mjuzii
@viatoryadam1556
@viatoryadam1556 Жыл бұрын
Ivi kweli jaman Kama matatu ni billion Sabin ayo maclen yakushusha mizigo selikali inashindwa nn kununua hata 6 bilion 140 mbona lasilimali ni nyingi za mapato achen kutufanya sisi Kama hatuna akili
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Acheni Kutolea Mifano Ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Kwao Mafisadi Sio Kama Kwetu Ayo Mambo Yakutumia Akili Zaidi Nyinyi Mnapita Tanzania Inabaki Wewe Uwezi Lakini Vizazi Vya Mbele Vitaweza Kila Kitu
@ibrahimally5350
@ibrahimally5350 Жыл бұрын
Acha ujinga ww KO ndo kusema privet sector iwe juu kuzd serikali
@martinkisha6307
@martinkisha6307 Жыл бұрын
Huyu ndiyo mwizi mkuu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Yani Uyu Ongea Yake Haya Aeleweki Anasema Nini Kala Kashiba
@vedastusmalimi5176
@vedastusmalimi5176 Жыл бұрын
Kiujumla mmeshindwa pakubwa, acha kudanganya watu. ww n chawa wao. Serikali haishindwi kitu. Mafisadi wakubwa nn
@martinkisha6307
@martinkisha6307 Жыл бұрын
Mwizi tu huyu
@dicksonkisanga7380
@dicksonkisanga7380 Жыл бұрын
Mbona tulikuwa na TIKS na tukaishia kulizwa? Mkataba haupo wazi kwenye kipengele cha muda na haki ya kuvunjwa hata asiesoma atafahamu tunapenda wawekezaji lkn hawa hawana Nia njema.
@RugemaliraRenatus-rf6yv
@RugemaliraRenatus-rf6yv Жыл бұрын
Kama unaona uwezi unaachana na kazi unaenda pembeni wenye ubunifu wengine waje Tatizo lenu ni kutaka kufanyiwa ili mpate fedha pasipo kufanya kazi.Sasa mnaandaa kizazi gani . Kizazi kisicho penda kufanya kazi kama unavyotaka,Selikali pesa inazokusanya zinaenda wapi .Sasa wewe unaposema Serikali,acha serikali ijisemehe yenyewe sio wewe , serikali unazidiwa pesa mtu binafsi ,uliona wapi,hiyo miaka 22 Nyerere na serikali yake changa alikuwa na mashirika ya umma kibao,nyie mmekuja amtaki kufanya kazi mnataka kufanyiwa kazi ,kama amwezi mnachia ngazi wabunifu watakuja wengine.Kizazi kisichotaka kufanya kazi aomnaowaleta amjiulizi kwanini wameweza na ninyi kwanini hamuwezi.mgekuja na ufumbuzi,Sio maneno ya kilejaleja.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Awamu hii inayojiita ya sita imejaa majizi sana. Kila kitu ni deal, deal, deal.
@edwinraymond3404
@edwinraymond3404 Жыл бұрын
Kwan inashindikana kuweka hela apo bandarin kama mnavyosema simuweke ela
@tonitonito90
@tonitonito90 Жыл бұрын
Kwaio hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuwekeza apo
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Kama wewe unauwezo nenda ukawekeze 😂😂usiseseme kwahio hakuna jiangilie wewe unauwezo au kama kuna internal investor alionyesha interest wataarifu serikali kwamba mtu fulani anaweza apewe 😂😂
@silanleon9755
@silanleon9755 Жыл бұрын
EeMungu utuokoe
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Ni ajabu sn serikali kushindwa kununua mitambo wakati tuna migodi inayotema madini
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Yani ni ufasidi tu msitufanye hatuna akili,, unatolea mfano nchi zinazoeleweka wizi tuu
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Жыл бұрын
Umelogwa? Mafisadi nyie
@ramahmdoe2660
@ramahmdoe2660 Жыл бұрын
Mbwa nyinyi mnatufanya hatuna akili
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Nyie mlituaminisha hatuwez kufanya lolote watanzania sasa chuma JPM alituonesha tunaweza..sasa nyie na maneno yenu hayo yaani ujasiri huo mnautoa wapi? Pumbavu kabisa
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Lakini unajuwa kuwa serikali ya awamu ya tano ndio iliokopa sana kwa wakati ule kuliko serikali zote zilizotangulia au wewe ni wale wajinga ndio waliwao ulioaminishwa kwamba miradi kama ya sgr ilikuwa inakuwa financed na hela za ndani 😂😂😂
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
@@oklahommy9838 sasa unaemdanganya ni nani ni mim mwenyewe mtanzania au hujui tupo wote humuhumu bongo..haya ndio madhara ya kutetea ugali,ubinafsi na hujali wezako wasiopata huo ugali unaopata wewe
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
@@saidasimba9979 hakuna kitu ninachokitetea mimi tatizo la wabongo wengi ni wazuri wa kubwabwaja sana lakini hawana facts ....wewe ungeniambia kama sio kweli serikali ya awamu ya tano haikukopa na unipe facts zako na sio maneno matupu sababu wewe ndio uliomleta hayati JPM na kumfananisha kama kiumbe asiekosea licha ya mazuri mengi aliofanya kunayo aliokosea pia
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
@@oklahommy9838 wewe hizo fact umeziweka wapi, maana ukiamua kupinga pinga kwa fact unaleta maneno yako ya jumla jumla nyie ndio mmejazana mitaani kule mkivaa kijani basi hamtaki kufanya hata kazi mnasubiri pesa za dili yaani mnapata pesa bila kufanya kazi,vikao ndio tiketi zenu za kuharalisha pesa , tupo tunawaona na hamna lolote mnalofanya , vijana wengi sasa hivi wamekaa tu ujanjaujanja wanasubir hela za mchongo siyo kwamba hatuwaoni , na kujipatia pesa bila kufanya kazi ni kuua uchumi. sometimes uwa na kubari wanaotuita waafrka nyanii kwa sababu hatujielewi kabisa mtu ukipewa ulaji tu bas upo tayari kuukana ukweli na kutetea uozo , na tayari imepandwa kwenye kizazi hiki hii tabia ,ili itoke kwa wale wa kristo labda hadi yesu arudi ,,kwahiyo endelea kupiga makelele lkn wabongo tunajuana sana, tetea ugali ila ipo siku utahitajika kujibu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Acheni Kutolea Mifano Ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Kwao Mafisadi Sio Kama Kwetu Ayo Mambo Yakutumia Akili Zaidi Nyinyi Mnapita Tanzania Inabaki Wewe Uwezi Lakini Vizazi Vya Mbele Vitaweza Kila Kitu
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Acha ushamba na wewe unajua kwanini bandari ya kenya ina ufanisi kuliko ya Dar mambo mengine kama haya yanahitaji private sector maswala ya ufisadi si ya investor ni ya serikali wenyewe serikali ikiwa strict na terms and condition nzuri bandari itakuwa na effeciency nzuri pia
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Yani Uyu Ongea Yake Haya Aeleweki Anasema Nini Kala Kashiba
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 25 МЛН
Turkey Has Built The World's Largest Army Of Armed Drones
11:21
The Impossible Build
Рет қаралды 2,8 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 512 М.
Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo
4:05
Millard Ayo
Рет қаралды 828 М.
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН