Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo

  Рет қаралды 824,932

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Rais Magufuli leo alitembelea Feri ambapo moja ya kitu amefanya baada ya kufika eneo hilo ni kujichanganya na Wananchi kukata tiketi kisha akapanda Panton kwenda na kurudi Kigamboni.

Пікірлер: 709
@msafitv8663
@msafitv8663 3 жыл бұрын
Wangapi tumekuja kuangalia baada ya kifo cha raisi wetu?
@rafaelmeza8586
@rafaelmeza8586 3 жыл бұрын
😭😭😭 mm aisee
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Wengii tu bora nisiangalie hizi video maana najisikia kulia vile dah
@zulfahyusuph1863
@zulfahyusuph1863 3 жыл бұрын
Mim
@housnayousif780
@housnayousif780 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@marianapatrick5993
@marianapatrick5993 3 жыл бұрын
It's so painful 😭😭R. I. P. JPM
@bashirkambale4573
@bashirkambale4573 4 жыл бұрын
Kama unamukubali magufuli ni mtu wa watu gonga like apa.
@bahatimihambo7639
@bahatimihambo7639 3 жыл бұрын
Sku zote utakua nasi mioyoni mwetu
@ahmedsaidi438
@ahmedsaidi438 2 жыл бұрын
No one will ever replace him rest in peace magu
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 ай бұрын
Thank you for sharing your thought, he was a man of the people, humble and honest!
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 жыл бұрын
Umekuwa Rais wa tofauti sana nenda baba kapumzike upendo wako hautaondoka moyoni mwangu na kwa watanzania wengi 😭😭😭😭
@ibrahimhumbotv
@ibrahimhumbotv 7 жыл бұрын
Ucle magu umenifanya nikukubali zaidi siku moja moja sio mbaya kufanya hivi, kama unamkubali unce MAGU gonga LIKE hapa. 👍👍👍😁
@hashimabu6883
@hashimabu6883 7 жыл бұрын
ibrahim humbo TV Safi sana rais wetu tuko nyuma yako
@magigeametisha9699
@magigeametisha9699 6 жыл бұрын
mmmh
@hawaali8107
@hawaali8107 4 жыл бұрын
😭😭😭😭yaani Huyu ni rais wa wanyonge Allah amkinge na kila shar wazanzibar igeni tabia ya huyu jembe acheni ukuda
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 4 жыл бұрын
@@hawaali8107 Anazingua ban Anajipendekeza tu saiv uchaguzi , me ananikera sana kwa sababu ya kuwafunga mashee wasio na hatia😔
@abdiwelidaud669
@abdiwelidaud669 4 жыл бұрын
Rais wa maana ndo huyuu maguli.
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 3 жыл бұрын
Daàh NANI ANAANGALIA BAADA YA KIFO CHAKE 🙄😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭🇹🇿🇹🇿🙏
@crausmasala8572
@crausmasala8572 3 жыл бұрын
Dah yani inauma sana
@abrahammisanti8557
@abrahammisanti8557 3 жыл бұрын
Hao waliopiga naye picha ndio wataria kwa sauti kubwa zaidi
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Mimi Huku nalia
@abrahammisanti8557
@abrahammisanti8557 3 жыл бұрын
Pole sana Dadaangu
@germanuskalugwa1526
@germanuskalugwa1526 7 жыл бұрын
dah... uyu siyo raisi ni mkombozi... huwezi pendwa na wote, ila utapendwa na unapendwa na wengi.. asante Mungu kwa kutuletea kiongozi uyu..
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Inaniuma Sanaa 😭😭😭😭
@tigerabs9123
@tigerabs9123 2 жыл бұрын
Still watching it 2022 may his soul rest in peace 🕊️✌️
@omanghobra4869
@omanghobra4869 3 жыл бұрын
Ivi jaman mbona mm nashidwa kujizuia najikuta mda wote nalia😭😭😭
@priscacharlescharles9014
@priscacharlescharles9014 3 жыл бұрын
Sio peke yako tu my 😭😭😭😭
@fredahkishenyi84
@fredahkishenyi84 3 жыл бұрын
Inauma Mungu atusaidie
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 жыл бұрын
Jizuwie ndugu kisha muombe mungu sana atakupa amani
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Sio wewe bas tuko wengi mie wakati mwingine naingia ndani nalia mapaka bas na sijajuwa ni kwanini kifo cha huyu Baba mpaka Leo kimeninyima raha we acha mwaya we 😭😭😭
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 ай бұрын
Si wewe peke yako, tuko wengi! RIP JPM.
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 жыл бұрын
Sina la kusema nakuombea dua roho yako ilale mahala pema peponi😭😭😭😭😭😭😭
@denismethod1284
@denismethod1284 7 жыл бұрын
Mara moja moja sio mbaya kulipa kodi kazi nzuri mkuu
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 7 жыл бұрын
huyu ndo rais tulielewana tukimngoja kwa miaka mingi, nampenda Sana rais wa Tanzania. MUNGU akulinde rais wangu
@sarasifazabwana5743
@sarasifazabwana5743 7 жыл бұрын
julius katemi Isa.25:9"Katika siku hiyo watasema,Tazama,huyu ndiye MUNGU wetu,Ndiye tuliyemngija;Huyu ndiye BWANA tuliyemngoja,Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake".MUNGU yuko ndani ya hili Taifa.
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 4 жыл бұрын
Natamani kenya siku moja nasi tupate km magu
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Anajichanganya na wanyonge sio mjivuni ukijishusha utapandishwa aminaa rais wa wanyongee
@magdalenaashery3742
@magdalenaashery3742 3 жыл бұрын
Jamani kumbe magu alikua anajishusha hakuwai kujikweza lala salama uko uliko baba
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 жыл бұрын
Leo ayupo Duniani inaniuma 😭😭😭😭😭
@gahizishaban4312
@gahizishaban4312 4 жыл бұрын
I love this president with all my heart thank you new born African son all the way from Rwanda
@isaackagame1876
@isaackagame1876 3 жыл бұрын
Oh this man was down to earth. Farewell pombe😭😭😭
@andersonsoly1469
@andersonsoly1469 7 жыл бұрын
hongera Rais ww kweli kipenzi chawatu wengene wasingeweza kufanya unayo yafanya hongera sana na MUNGU akubariki Amen!!
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 жыл бұрын
Aiseee pole kwetu Watanzania roho zinaumia Sana huu ulikuwa zaidi ya upendo Magufuli alituonyesha Watanzania
@arnoldwillison8729
@arnoldwillison8729 7 жыл бұрын
Raisi wangu we ni mfano bora wa kuigwa katika nchi hii nakupendaa Mh. raisi wetu
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 жыл бұрын
Waliobahatika kupija picha nae watamkumbuka zaidi kwa siku kama ya leo baada ya kutangazwa amefariki 17-03-2021
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Daaah 😥 mbona naona Kama ndoto hviii jmn 😭😭 Mbona katuondoka mapema sanaa Kiongoz wetu 🇹🇿 Mbele Yako nyuma yetu MW/ MUNGU akulaze mahara pema peponi 🙏
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Mm nahisi kaenda kutembea atarudi
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Kinachoniuma daraja la kijazi ubungi pale kafungua yeye ,aliumwa lini ,nawala hatujasikia homa yake ,Mara kafa khaaa inauma Sana.
@explorerwanda6458
@explorerwanda6458 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 so sad
@afrahoman2844
@afrahoman2844 2 жыл бұрын
Yan machoz ye2 anayaona
@user-mt4ff5fi8s
@user-mt4ff5fi8s 7 жыл бұрын
Dhaa magufuli ni president wakipeke mashallah
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Masha Allah
@emmanuelmajumbi9794
@emmanuelmajumbi9794 2 жыл бұрын
My king my president my role model RIP JPM you lived for people you're my hero thank for your life.
@melissamugisho3625
@melissamugisho3625 7 жыл бұрын
A great president ! May the Almighty God bless you
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin
@adomatichristopher4052
@adomatichristopher4052 2 жыл бұрын
It pains me a lot to see my friend.JPM. my best president ever.
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Baba tunakulilia mnooo tumeumia Sanaa😭😭
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
Jamani😢😢😢😢😢😢😢
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
Daaah wallah haito tokea habadani kumsahau magu wetu yarabi mungu atuwekee mahali pema magu wetu😢
@OmarOmar-ew9zs
@OmarOmar-ew9zs 3 жыл бұрын
Sadaka zake alizotoa zitamuokoa kwa muumba wake lazima tujifunze huyu jamaa sio rahisi alikua Yuko na Imani ya aina yake duh!
@afdaa946
@afdaa946 7 жыл бұрын
Ma shaa Allah tanzania's b proud of ur prezo
@eaglemuhsin2129
@eaglemuhsin2129 2 жыл бұрын
I respect and love u sir may you Rest in peace
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 жыл бұрын
Jamani watanzania mumepata rais mzuri kweli hanaga dharau anawapenda sana wananchi yake na hapendi kujionesha kama yy ni rais kila anapotembea awepo ndani ya gari kama vle marais wengine hata hatupati kumuona live wala kuenjoy nae kwa kupiga pic kama hapo wadada walvyokubaliwa kupiga pic nae, mungu awalindie rais wenu huyo anatabia yake pekee na hata pia kapitia sana maisha ya hivyo chochote kwake bora hata kukaa kwa mkeka akitandikiwa ana kaa hata ugali bila nyama anakula ni mtu aliejitambua katka hayo maisha na kujiamini zaidi, na hivyo ndio binadamu wengile waliojaliwa uwezo wakimaisha inatakiwa waige mfano kama huo, wakumbuke roho ndio utu mali si kitu.
@user-qo9gx6nj1u
@user-qo9gx6nj1u Күн бұрын
Nakukumbuka sana babaangu mungu akuhifadhi kamambinguni tunaonana basi tutaonana
@Ronald-gh6jl
@Ronald-gh6jl 3 жыл бұрын
Such a great, wonderful leader, mungu aiweke roho yake marehemu jpm mahali pema peponi
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 2 жыл бұрын
A man of the people,rest in eternal peace JPM you will always stay in my heart 😭😭😭😭😭😭😭😭
@williamkadzomba2570
@williamkadzomba2570 2 жыл бұрын
Man of the people keep on resting in peace HEROO
@hafsaali4423
@hafsaali4423 3 жыл бұрын
Utakumbukwa milele kweli mungu alikuleta kwa kusudiyo duniyani na amekuchukuwa bado tulikuhitaji sana
@francischiko3752
@francischiko3752 7 жыл бұрын
Safi sana kiukweli mimi nimeipenda hii dah raha sana
@mariyammariyam8649
@mariyammariyam8649 6 жыл бұрын
Ni lazima apongezwe jmn rais.Magu kwa kazi nzuri
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
wakuu waliopita hawakufanya hivi huyu Raisi namkubali sana.
@alistairelias536
@alistairelias536 7 жыл бұрын
Fahad10 Una uhakika?
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Alistair Elias ninauhakika sababu mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa mitandao na habari tena kwamiaka mingi tu,ila nataka na wewe uniambie kiongozi gani unamkubali?
@shamssaid7632
@shamssaid7632 7 жыл бұрын
Walinzi wana kazi ngum. Kwa MH. Rais. Nimkupenda saana my President
@davidjoseph9776
@davidjoseph9776 2 жыл бұрын
Rest In Peace Legendary... Raisi wa wanyonge
@saumuabdalla686
@saumuabdalla686 3 жыл бұрын
Yani kweli kazi ya mungu haina makosa najikuta nikilia kila saa
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 3 жыл бұрын
Baba unatulizajmn baba yn rais amejaaa upendo uyu. Acheni tufe natulie 😭😭😭
@masudyomary1979
@masudyomary1979 7 жыл бұрын
Ningekua mm ninakauli rais wetu atawale milele mungu akulinde wa tanzania tunakupenda sana
@dalmasruwa1479
@dalmasruwa1479 3 жыл бұрын
Waa God bless Mr Maguu i wish he cld cheif adviser to our president to Kenya tulikosea kwa ballot
@angelinachimale2214
@angelinachimale2214 5 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu rais wetu penda sanaaaa ahaaa misimamo yako God bless u.
@mustaphamohamed353
@mustaphamohamed353 3 жыл бұрын
Malazingine natamani ata kukufulu ila Kila nitazamapo matukio yako ayati uwa nalengwa na machozutu mwenyezi mungu akupe kauli thabiti mbele za haki😭😭😭
@esthermataba2943
@esthermataba2943 7 жыл бұрын
amani sana.. hata mm ningepata hii fursa ningeitumia vilivyo. kuna watu hawajawah kukutana na rais tena mchapa kaz km mjomba john
@fetilishazomar4799
@fetilishazomar4799 7 жыл бұрын
Penda sana Rais wangu Maisha marefu Aiseee
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 3 жыл бұрын
Magufuli hizi video ni azina ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿 tutajifunza sana, wasio kujuwa miaka ijayo tutaeaonyesha ivyo zitaishi, hii ni zama ambayo wengi tumeshuudia huongozi wako wanyerere sikushuudia na hata waliokuwepo wamekusifu wewe ni baba lao, TULIKUPENDA MUMGU KAKUPENDA ZAIDI BY BABA
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
😭😭😭Acha my nahata kama watakuwepo hata wawe wanaongoza nchi vizur ila hawatamfikia huyu baba kwa ucheshi wake 😭😭inauma
@agaowajouniar6614
@agaowajouniar6614 3 жыл бұрын
Halafu hivi unadhan machozi yataisha ktk mbon zetu za macho thubutu nikiangalia clip zake muda woot machoz yana nimwagika Kama au sijui ninunue kiswaswadu maan nitakua sion kitu duuuh lala salama mpendwa wetu wa wanyonge
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Ndio basi Tena tuli ishi na mtumishi wa mungu pasina kujua
@abelbaraka263
@abelbaraka263 5 жыл бұрын
May God give you long life to live...
@paschalkimwaga9117
@paschalkimwaga9117 3 жыл бұрын
Ni ngumu kuamini kuwa rais wetu hatunaye tena 😭😭
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Duuh furaha yetu ime eenda ghafula lamda tulikua tuna Ota bwana 😭😭😭😭😭😭😭😭
@yolakahmathews6913
@yolakahmathews6913 7 жыл бұрын
This is fantastic.
@venancemalima1181
@venancemalima1181 3 жыл бұрын
Upendo wake,jitihada zake kusaidia wanyonge kiafya,kielimu,na kiuchumi hazipo tena leo.Mungu alitoa na Mungu alitwaa jina lake liimidiwe milele.Lala Baba yetu .😭😭😭 Umeacha vidonda ktk mioyo ya Watanzania
@angelamarlow510
@angelamarlow510 3 жыл бұрын
Hakika ameacha vidonda
@ezekielfunuki6402
@ezekielfunuki6402 6 жыл бұрын
M/Mungu akupe nguvu mh. RAIS uweze kutimiza azma yako hasa ya kuleta maendeleo ktk taifa letu! Kwakwel hii nmeipenda!
@fettyramadhan622
@fettyramadhan622 2 жыл бұрын
Tulio Rudi kuitazama hii like twende sawa Rip
@isayasway8633
@isayasway8633 4 жыл бұрын
Vizuri sana Mzee magu hauna ubaguzi
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 7 жыл бұрын
much respect Mr president ,,,,hapa kazi tuuu
@dicksongervas5164
@dicksongervas5164 2 жыл бұрын
Inaniuma nafisi kumukosa nipenda mawazo yake kitafa
@maryamsinganomaryamsingano7938
@maryamsinganomaryamsingano7938 7 жыл бұрын
daa anatia hadi raha jamani iwemfano kwa wengine
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Dah bas tu Mungu nMwema lkn Ina nPaiñ 🙏🙏🏼🙏🏼😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼!!!
@allymanenokingo734
@allymanenokingo734 4 жыл бұрын
Dah sinachakusemaa juu ya magufulii ilaa mungu ampe maishaa marefu
@zamaradihussein661
@zamaradihussein661 7 жыл бұрын
sisi wanadamu sijui kiongozi afanyeje ili aambiwe pongezi zake, kuna watu vyama vimewaingia ktk damu hata dini haina nafasi, kiongozi akifanya jema apongezwe hata kama hukumchagua, muogopeni mungu sote ni udongo tu tunapita
@gracethomas683
@gracethomas683 7 жыл бұрын
Zamaradi Hussein kabisa zama kuliko dini...Hatujui siku wala saa umeandika point
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 6 жыл бұрын
Zamaradi Hussein well said zama
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
Nime amini wanawake tunapenda pc 🤣🤣 nenda salama baba💔🇹🇿🕯️😭
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Sintokuja kupiga kula mwenzenu hata siku moja magu baba ohhh siamnini mwaya haitakuwepo kama magu baba mcheshi na wananchi habagui da inauma 😭😭😭inauma baba ohh kilio changu mungu ndie anyekiona 😢
@aishaswalehaishaswaleh5616
@aishaswalehaishaswaleh5616 5 жыл бұрын
Uhuru angalia makufuli anavyoishi n wananchi wake
@mohammedanuman1841
@mohammedanuman1841 2 жыл бұрын
U are great man Africa we be proud of u RIP we love you but Allah loves you best
@khadijahassan3504
@khadijahassan3504 4 жыл бұрын
Nakupenda sana kiongozi wang daima mbele haturudi nyuma love you more💓💓💓💕💖💕👍👍👍💞💝💞💝💘💘👌👌
@davidorito1707
@davidorito1707 7 жыл бұрын
Safi Sana President
@watendekiyagi8177
@watendekiyagi8177 7 жыл бұрын
huyo ni rais wa mioyo ya watu nampenda sana
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 3 жыл бұрын
Magufuli is among the greatest African President
@geofreymwatonoka1628
@geofreymwatonoka1628 7 жыл бұрын
Asante kipenzi wa watanzania tunaimani nawe utawale miaka mingi zaidi
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 4 жыл бұрын
Man of the people
@jamesngadaya2791
@jamesngadaya2791 2 жыл бұрын
Wanamuita dikteta yes sio shida But tulikupenda dikteta wetuuu...😭
@mkombozidrivingschool8160
@mkombozidrivingschool8160 4 жыл бұрын
Mhuuuuu, wabongo bhana,!!! Hiii sawa na kukutana na maraika wa mungu, ukasahau shida zako ukabaki kumshangaaa na kupiga picha nae, akitoka, ndipo unaanza kukumbuka, wabongo bhana!!! tujuane tulioona self zikipigwa na wadau kwa mweshimiwa raisi
@akademkkz
@akademkkz 7 жыл бұрын
😂 0:15 kata wanee... ila big up mzee wetu wa kazi
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 6 жыл бұрын
Huyo ndo rais wetu safi sana
@yazidiabduli2069
@yazidiabduli2069 5 жыл бұрын
Sijaona raisi wa mfano kama huyu tanzania nilikua simkubali lakini sasa na mkubali kiroho safi
@shaffiidaffa4761
@shaffiidaffa4761 7 жыл бұрын
Mungu akuweke mheshimiwa yaani unatuonesha hali ya mtanzania tena mzalendo anaeipenda nchi yake hakika ww ni mfano wa kuigwa
@edithajoseph7675
@edithajoseph7675 2 жыл бұрын
Mungu ndie anae jua kifo chako kilitokana na nini Mungu ilinde Tanzania Mungu ibariki Tanzania Amen
@ommylisttz5539
@ommylisttz5539 7 жыл бұрын
Jamani nimesikia rahaa sana mimi nampenda sana
@patrickchristopher1311
@patrickchristopher1311 7 жыл бұрын
Kweli hakuna mtu wa mfano kama raisi huyu. Kwan kuwa kiongozi aangali privilege kwan kama kuvuka asingelipa akapanda bure lakin kujua kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kulipia kivuko na yeye kama mtanzania akalipia kivuko. Big up to Mr president
@pamelasimon1532
@pamelasimon1532 7 жыл бұрын
Patrick Christopher akachukua na chenchi 😺😺😺😺
@abdulmkanda2300
@abdulmkanda2300 7 жыл бұрын
Pamela Simon hahaha
@mbeyatv
@mbeyatv 7 жыл бұрын
Nilijua wengi wataangalia kwenye kipengere cha chenji.....hata mimi ni mmoja wao
@shumamasima6747
@shumamasima6747 5 жыл бұрын
Nakuelewaga saana mh. Magufuli
@neemapatrick8293
@neemapatrick8293 4 жыл бұрын
Gerald Mligo cheji lazm achukuwe make amefanya kamm raiya wa kawaida tuu hajatka kuonyesha ufahali wa kuacha hela
@nicolasevarst1280
@nicolasevarst1280 6 жыл бұрын
This is the blessing.
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
*Magufuli mmoja alizaliwa mmoja na ameondoka mmoja mwamba wa africa umeanguka kilio kwa africa mzima*
@nicetamasawe8121
@nicetamasawe8121 7 жыл бұрын
huyu mzèe yuko peace sana ila ukimzingua
@douglasjackson373
@douglasjackson373 4 жыл бұрын
Niceta Masawe 😂😂😂😂
@hajjiyasin4255
@hajjiyasin4255 4 жыл бұрын
Uhuru na magufuli wanaweza kuwa sawa kweli?
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@raissafabien4285
@raissafabien4285 3 жыл бұрын
😭😭😭😭Bab kwa nini umetuacha ?? Rudi basi siku moja nikwambie neno moja😭😭😭😭😭eeeeeh MNGU
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 7 жыл бұрын
Mungu akulinde mheshimiwa, na tunaomba uwe katika historia ya Tanzania. Mheshimiwa ukiondoka tuletee atakae fata mwendo wako na tutampa Kura zetu bila ya woga. Tunakuomba tumbua CCM na iwe na watu Tanzania kwanza.
@abwekamili4999
@abwekamili4999 6 жыл бұрын
Duuhh natamani congo ipate raisi kama uyo
@queenfizi5654
@queenfizi5654 4 жыл бұрын
Tusubiri sana kaka 😪
@noordinismail8650
@noordinismail8650 7 жыл бұрын
Top president I have not everseen be for
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 7 жыл бұрын
David Gideon.unasemaje kua wabunge wa upinzani hawapewi haki .unafuatilia bunge.?ushabiki na unafiki uko wazi.rais hahusiki na bunge. bunge in mhimili unaojitegemea.ongea bunge na spika wake tu. mi nasema wapinzani wanashindwa kwa kura .hilo wanalijua ndio maana hununua vyombo vya habari na kuongea hovyohovyo kama trump .sasa wanasema wamarekani wampime akili.
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Dah inasikitisha sana. RIP JPM SON OF AFRIKA
@benezethbwikizo3158
@benezethbwikizo3158 7 жыл бұрын
safi Mh.rais watanzania hatukukosea na tunaimani na wewe kiongozi
@ayoubkamendu1506
@ayoubkamendu1506 2 жыл бұрын
Asante Mh. Magufuli, tunayakujifunza mengi
@kanukanute1514
@kanukanute1514 4 жыл бұрын
Rais wetu umekuw mfano wa kuigwa kote ulimwenguni hakika tumepta rais bora mchapakaz n mwajibikaj katika taifa le2,Allah azid kukupa Afya njema wewe n uhongz wako.ndg JPM Rais tanzania🙏🙏🙏
@teedullah5708
@teedullah5708 3 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭 Jamani munqu mrehemu
@zawadiomari3757
@zawadiomari3757 2 жыл бұрын
Daa yaan kila nikimuangalia choz linanitoka kweli chema akidumu
@davidkaitira9649
@davidkaitira9649 4 жыл бұрын
Hatar xan naenjoy
@bigambomaulidi6893
@bigambomaulidi6893 6 жыл бұрын
Duh! I'm so excited kwa alichakifanya Muheshimiwa #Rais nakupenda na nitazidi kukupenda na kukubali daima #hapaKazi2
@adelinekombe9660
@adelinekombe9660 6 жыл бұрын
Daaa huyu ndio rais sasa sio ukiwa kiongoz bas ndege ndege na ww mpaka unakufa hujui hata changa moto za watu wako hongera sana rais wetu kwa upendo wa pekee.
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mhe.Rais wetu john pombe Joseph magufuli
@leonardgervas7515
@leonardgervas7515 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupumzisha uncle magu
TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOSIMAMA KUPANGA MSTARI NA KUPIGA KURA
11:47
RAIS MAGUFULI ALIVYOSHTUKIZA KINONDONI KUKAGUA MSIKITI, AIOMBEA CORONA...
8:22
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
HIVI NDIVYO JPM ALIVYOKULA KIAPO CHA RAIS LEO DODOMA
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 132 М.
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
1:08:30
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН