maashallah ❤. AHMED UNA VIGEZO VYOTE MAASHALLAH ❤ U A GUD ACTOR BROH ❤ UKO NA UWEZO MKUBWA WA KUCHEZA NA KAMERA ❤ UKO NA AKILI ❤ MVUTO ndo usiseme MAASHALLAH ❤ PIA mienendo ya uigizaji wako unapendeza sana .❤ Allah awalipe kheir kw ujumbe huu 🤲 ila Ahmed. Men of the match 🎉 forever
Kazi mzuri sana hii mungu akusimamie kwnye hili najengine❤❤
@a.p.monlinetv356110 ай бұрын
Naaam kazi nzuri hakika 💪💪
@ShabanMaganga-ry6fc10 ай бұрын
😂😂 oya we Maandazi Mambo yametiki huku weka likes kama umesikia
@abdulazizam292910 ай бұрын
😂😂😂Mshua maandazi kweli kumbee yeye ndo miyeyusho
@SalumSimba-ye3de10 ай бұрын
Hii ndio Sanaa halisi ya bongo tuliyokuwa tunahiitaji kama zile za waandaji wa zile filamu za watu wa bwagamoyo kama za chumo
@sarhatabuu87910 ай бұрын
dah yani mpka sitamani iishe ilivyo nzuri😢❤🎉
@bigbro-my6xj10 ай бұрын
Waigizaji hawa ni wapya wapya ila uwezo wao ni wa wakongwe
@NDIKUMANAMariam-v4c10 ай бұрын
İdris tafazali 🙏🏽tüpe muendelez bhana kazi nzuri sana
@jimmygabby339310 ай бұрын
Daah broo😂 unjuaaa kaka....keep going kak @idris
@MaulidiAlly-qo6vy10 ай бұрын
Kilicho bora kiach kiwe bora nakupar kaka kaz zur sana
@allyabdallah69210 ай бұрын
Kaka huyu Baba Ahmed ni miyeyusho sana sema hawa ndo wazee wanaohitajika...😂😂😂
@NuhuMohammed-nu6ni9 ай бұрын
😂😂😂hovyo kabisa
@AminaOmar-z9b9 ай бұрын
Ata mm naona ila wacha tuone mwisho
@ChalulaFrank10 ай бұрын
Idrisa ni director mzur Sana Unajua namna ya kuwachachua watu na mb zao
@abubakarmwachuo133710 ай бұрын
Mbn baba Ahmed mnoko hvo..
@IshaaKharun10 ай бұрын
Tunamsubiri fauzia asituangushe inshaallah iwe ya kheri🙏😘♥️
@rehemasaadan34509 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wow nice series
@emmanuelkiiza353710 ай бұрын
Damn homie... Mr. Director. Okay, I see you #Respect #Alqasus #IdrisSultan
@aishaomar228710 ай бұрын
Ati mda wa Ahmed wa kuoa ulishapita miaka 10😂😂😂 🙌 🙌
@innocentmushi155010 ай бұрын
😂😂
@aishaomar228710 ай бұрын
@@innocentmushi1550 ukiambiwa ivo wakata tamaa kabsaa🤣
@saidndaki978310 ай бұрын
Ila baba Ahmed 💪
@MohammedNkunya10 ай бұрын
Oyaaa...nakukubal mwanetu AHMED
@eliachaula654210 ай бұрын
Kubaaaaaan 🤭🤭🤭🤭🤭🤭 ama kweli kikulacho ki nguoni mwako
@maryamtanzania97437 ай бұрын
Kanzi nzuri
@alexmalangalila2410 ай бұрын
Idris your so talented
@dannytohjoh59842 ай бұрын
Mwendelezo vip
@HabibamohdMohd10 ай бұрын
Jaman twaomba muendelezo . pls. pls .pls .pls😢
@donaldvanjoseph815310 ай бұрын
wote waigizaji ndio nawaona leo ila wapo vizuri 🤜🤛
@a.p.monlinetv356110 ай бұрын
Mwendelezo ni lini wakuuu
@abdulhafidhshaban801510 ай бұрын
Duuh adui yako hatoki mbali😢😢 baba tu kakaza
@a.p.monlinetv35619 ай бұрын
Fanyeni wepesi wa mwendelezo wakuu💪
@MohammedNkunya10 ай бұрын
Oyaaa. Kumekuchaa
@blackking629510 ай бұрын
Kaza usipate supp babu....tht kill me hahahahahahha 🤣🤣🤣🤣
@abdillahiomary57147 ай бұрын
twataka muendelezooooooooooooo
@IluMshana-ni8xf9 ай бұрын
Achana na Ahmed, Fauzia, mama mkwe sijui nani na nani....baba Ahmad 😂😂😂😂😂😂😂 "Ko utakua unajua mke wangu kavaa njia tatu...?" Jamaa wa alkasusu sasa😂😂😂😂
@chidyziddy42265 ай бұрын
Eti InshaAllah msalimue muuza vumbii....😂😅😅😂
@danielmkama2410 ай бұрын
We bro #Idris shda yko ni vile unatubabaishaga na hz series zko. Yn humaliz sa cjui shda nn
@LOLISO_MP10 ай бұрын
Aloooh😅
@SeedsDeep10 ай бұрын
Waigizaj wote nimewapenda Ila hao Wazee Miyeyusho kinoma
@idrisambela80539 ай бұрын
Hii series Kila inavozidi kusonga mbele utamu ndo unazidi zaidi
@khamiszuberi10 ай бұрын
💥💥💥
@khamoshmikidadi61810 ай бұрын
Miuno feni njoo😂😂
@StephanoCharles-nq8tf10 ай бұрын
😂😂😂...Ety kaza usipte sapu
@aminamikidadi154210 ай бұрын
Kazi nzuri Sana❤
@Commentsplus10 ай бұрын
Kaka hii itafika mbali
@chamtvonline905810 ай бұрын
Baba Ahmedi Kaisha aribu 😢😁😁
@AbuuRuhailahAssalafy10 ай бұрын
Ahsanta Idris.... Ila hapo kwenye salamu ni waalaykum salaam... Sio Aleykum salaam...!!
@ngunekiwanga54819 ай бұрын
Ila mama ahmed ameshawahi kuigiza mara kadhaa zaidi wapya ni kweli wametisha sana humu
@mussahdickson35384 ай бұрын
Why two episodes only
@abdulhafidhshaban801510 ай бұрын
Mbaba mmoja wa vijijini mwanza 😂😂😂😂😂
@Kanzu_Tz10 ай бұрын
🙏🏾
@chriskgs013010 ай бұрын
4:08 pamo kosa la Editor
@aishasalum337210 ай бұрын
Jikaze usipate supp
@marcoemanuel689210 ай бұрын
Duh,mbon noma mzee ndiy mchaw
@Suzanpaul8610 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@calvinmarco111210 ай бұрын
Ila Baba Ahmed 🙌🙌🙌 Shikamoo 😂😂😂
@zenamwasekaga746010 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa ldris ❤ next episode please
@hamisinew9 ай бұрын
Idris , you would have been a badass director had it not been your inconsistency. Sijui unafeligi wapi
@IdrisSultans9 ай бұрын
Nivumilieni, you'll have a new episode this week 🙌🏽
@BarvanJuma10 ай бұрын
sema mwanetu wa oman oyeeeeeee misa maandazi
@Boraehae10 ай бұрын
14:08 hawa wazee mungu anawaona 😂
@FatmaAlmas-r9s10 ай бұрын
Nice
@EmmyNassor88510 ай бұрын
❤❤❤ 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮.
@amriyyahamad39469 ай бұрын
Mzee anatangaza vita halafu ana bowa chukua shanga
@IluMshana-ni8xf9 ай бұрын
Cha msingi tuombe Idris kichwa kitulie😂😂😂 otherwise mtabaki mnasubiri ijayo 😂😂😂😂😂
@IdrisSultans9 ай бұрын
😂 Kichwa kimetuliaaa
@IluMshana-ni8xf9 ай бұрын
Mungu mkubwa, na kiendelee kutulia hivyo hivyo. By the way kazi nzuri
@IluMshana-ni8xf9 ай бұрын
This time around sijui Chalii yumo? Na yule big mama😂😂😂😂
@Simple-street10 ай бұрын
😊
@AminaHamis-ki5pf10 ай бұрын
Watching from Dubai but please add more minutes it’s very short
@mwaseleladaniel729310 ай бұрын
😂😂 Maandazi hayajawahi heshimika
@juliusmagunila630810 ай бұрын
Kijijini mwanza😢😢😢
@IdrisSultans10 ай бұрын
Pole aisee
@juliusmagunila630810 ай бұрын
@@IdrisSultans akuna kitu inanifurahishaga kama staa kunijibu God bless you
@FadhiliGeorge-jx4lh10 ай бұрын
aiseeeeeh
@Shaibujr10 ай бұрын
Kaza usipate sup😂😂😂😂
@andrewraphael309810 ай бұрын
Miuno feni 😂😂😂
@FatmaAlmas-r9s10 ай бұрын
Sana drizz
@wihalefelix46292 ай бұрын
Tuliokuja kwa link ya Idris tujuane
@Mondry-r7n10 ай бұрын
Duh oya shekhee kazia apo apo mwambie asimuoe fauzia uyu mzee kiwembe
@slumgold320510 ай бұрын
Ila bwna ahmedi😂
@IluMshana-ni8xf9 ай бұрын
Kama umesikia alkasusu ni shanga za kiume😂😂😂😂😂
@paulmgishamussa112510 ай бұрын
Ver🎉good story but you must make a video quality more better 😊😊
@beckerzomboko19019 ай бұрын
Vipi kuhusu mwendelezo? Tumesubiri sana
@IdrisSultans9 ай бұрын
Wiki hii
@dullamuwise480210 ай бұрын
Kaza babuu usipate sup duh!!😂😂
@rejius1110 ай бұрын
Basi inshallah mnisalimie muuza vumbi
@fatimailiyasu36369 ай бұрын
Which tribe is this plss
@makeallybypas9 ай бұрын
Mbona huna muoendelezo wa move zakoa vp mbona hatukuelewi
@IdrisSultans9 ай бұрын
Eid ni yetu sote 😂. Tunaleta jambo lenu wiki hii inayoanza.