THANKS FOR WATCHING GUYS DON'T FORGET TO COMMENT AND SUBSCRIBE
@jacquelinembaga8909 Жыл бұрын
Tunawpnd
@raphaelnambombi3709 Жыл бұрын
Huyo dada mbona habadilishi nguo au Ni uniform
@emmanueloinoth Жыл бұрын
Wewe haumalizagi video zako unasema tu itaendelea inafika mahali unaishia nyiani siiuelewi Yani bro Na wale madada wako sijui wamekikimbia au sielewi Yani alafu kingine naelewa Sio kila kazi inachekesha Ila Kuna kazi nyingine ya comedian ambayo usipo Cheka hata utainjoy Ila siku hizi sielewi broo makomedian ambao nilikuwa nawakubali Hadi leo ni wewe Na Steve mweusi Ila Steven akitoa hata kazi imbayo haichekeshi Basi inafurahisha Na ni Kwa sababu bado yupo Na wasanii wa nguvu yaani Mimi miezi kama Tisa (9) iliyopita Na kurudi ulipoanzia nilikuwa nikiona umeweka Kazi KZbin naacha kila kitu Na kazi zako zilikuwa kama mziki nilikuwa ninarudia. Kwa siku mara mbili, Ila saifi labda sina cha maana cha kufanya au cha kuangalia ndio naweza kwenda account yako ya KZbin kuona ulichoweka hii account Na ile nyingine kubwa
@gloryallen5944 Жыл бұрын
Tunaomba mtupe vipande chap chap msutuweke sanaaaa😢
@Jaydannychawaboy. Жыл бұрын
Oyah we mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️😢😢😢😂😂😂
@moramtanga-dar7372 Жыл бұрын
Nakubal Mr....Big big
@barakamwasi7442 Жыл бұрын
Nimefurahi huyo Manzi kavua viatu Mlangoni wakati ni uchawi Bongo Raha😂😂😂
@farajimzungu3712 Жыл бұрын
Boss unatoa kidogo kidogo asaiv mpaka twamiss kaz zako rudi kma nwanzo ❤❤
@chibodee447 Жыл бұрын
Director mda mwengine kua makini ,,Huyo dem anapoingizwa getto na baraka ,,Huyo dem hakufaa kuvua viatu
@emmanueloinoth Жыл бұрын
😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@chibodee447 Жыл бұрын
Safi
@ZulfaJuma-r7c Жыл бұрын
Kazi nzuri 👏
@UpendoSimon-ds4jz Жыл бұрын
Hii ni tamu usikat tena tamaa na usichelewesh wek up mr big
@KirivoloKakule-hu7ge Жыл бұрын
Hapo kwenye kuvua viatu wakati hajielewi😢😢 umezingua kiukweli hapo umefeli sana