Dah et majini yangu,misukule yangu wanampelekea moto et motoni kumedamsh hahahaaa😂😂😂😂😂
@sagengejackson3623 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea Sana mda mrefu
@anurkymlavidavi1758 Жыл бұрын
Bigi bigi sauti ya effect kubwa kuliko yako hatukuskii
@annkamenyere Жыл бұрын
Mwakatombe wapelekeee moto😂😂😂😂
@sautikaliitz934 Жыл бұрын
Big cram kakupita Kama upepo tatizo me nilikwambia kazi me naweza vzri na nina mganga wangu wa uhakika hukutaka Sasa ona
@jeromenduwayo7 Жыл бұрын
Hey! Huo wimbo unaoishia hiyo ep2 unaitwaje ?
@tuombemamila1364 Жыл бұрын
Ety wee mjamzito 🤣🤣🤣big kaonewa
@directorkakoso Жыл бұрын
Kazi kazi 🔥
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Unaleta msiba kwenye sherehe😂😂😂😂😂😂
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Wapelekee moto mwakatobe😂😂
@StephanoVenust Жыл бұрын
Mwakatobe mtu hatar
@janethsylvester1704 Жыл бұрын
Swadidaaa 😂😂😂😂
@WycliffDonald Жыл бұрын
jamani nisaidieni nautafuta uo wimbo wa kinigeria waitwaje?
@aishawhite1107 Жыл бұрын
Mnachelewa mpak tunasahau part one 😢
@TungoZaMswahiliJk Жыл бұрын
Atajifungua Mwisho wa mwaka
@beyondmediatz1607 Жыл бұрын
Kula chuma Iko 🔥
@khadijakibwana3665 Жыл бұрын
Mwakatobe big up
@geeva99 Жыл бұрын
Huo wimbo wa kinigeria unanitoa kwenye mood kabisa ni too deep ukizingatia tulipo usikia yani nimejisikia vibaya mpaka roho imeuma wakati nilikuwa na enjoy
@WycliffDonald Жыл бұрын
bro unaitwaje huo wimbo
@geeva99 Жыл бұрын
@@WycliffDonald mi nimeusikia kwenye movie ya dark october ila jina siujui