God increase my faith in you, my Redeemer who lives as i be in alignment with your Word.
@DydcuDHzuv4 ай бұрын
This is the result of cheating but why. If you didn't want marriage or relationship, please leave and enjoy everybody that accept and love you until the earth opens a door for you haaa we're tired of cheating couples
@MariamBahati-h4f2 ай бұрын
Ah😢😢😢 dada umetushaaaa
@mathiasmbogo-nl7bc29 күн бұрын
Huyo msela VP yuakaa uwanjani na kuna mechi
@MariamMwamwenda4 ай бұрын
Uongo live si amesema nyanya saii n babu
@Bentaaminakitsao-m6m2 ай бұрын
Pesa ya hamam za saud wee n mbaya sana dada pongez sana kwa hii movie poa😂😂😂
@Asha-yn4bu4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂waacheni kidogo😅waongo sio mara ya pili
@rodgerssiriria-n8k4 ай бұрын
Amezoea sana kupandana
@judybundi33144 ай бұрын
Makubwa madogo yana nafuu hii dunianina mambo
@MildredNakhumicha-u8j4 ай бұрын
Mm nmekwama hapo et mumetombana mara ngapi?🤔😂😂😂😂
@rodgerssiriria-n8k4 ай бұрын
😂😂😂ya bungoma aifikii ii
@MildredNakhumicha-u8j4 ай бұрын
@@rodgerssiriria-n8k baana🤣🤣🤣🤣
@alicelaika22344 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@NicholasTabuche4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@LadiaWonairaАй бұрын
Sorry
@AUMAISAH24 күн бұрын
Please give the number for they doctor good job 👍👍👍
@mohaclassicfamily24 күн бұрын
Text me inbox
@BGM684 ай бұрын
This is an act😅 It's not true! She claimed to have send her some money on her phone. The number she gave is fake.
@JacklineOtieno-tc7gf2 ай бұрын
Good job 👏 👍
@Eliabthmwambeke4 ай бұрын
Shedrack kakua mganga 😂 ama ni movie hii sielewi
@lucykinuthia97434 ай бұрын
😂😂😂😂tamu tamu 😂😂😂😂it sounds good
@mariamjuma75914 ай бұрын
Good job daktari 😂😂😂😂😂
@LilianAchieng-bo9xo4 ай бұрын
Eti beb tamu 😂😂😂
@VxvDbvАй бұрын
Kumekucha uswahiln na makucha yke
@judyongaki66152 ай бұрын
Huyu mganga anafanana aje na pastor Makenzi
@MELVINMANYASIАй бұрын
Ogopa partner wa onyewe
@Leon_Gabriel4 ай бұрын
part 4 Moha🤣🤣
@JaneMusembi-xj9yr3 ай бұрын
Wanaume hiyo nisomo Kilamtu atakaa na wake tamaa mbanya.
@WinnieSeme3 ай бұрын
Mwamuke mpumbavu sana
@DegalgalSarah4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 daktari peana number fusna😂😂😂😂 kumbavu zangu
@DoricasnuhuPeles2 ай бұрын
Naomba namba za mganga kuna mtu ananicheat huku😂😂😂😂😂
@VictoriaMahali-ik8id4 ай бұрын
Yani ningemjua huyo mganga na mm ningemfanyia mume wangu
@Asha-yn4bu4 ай бұрын
Mohaa😂😂😂😂😂😂umepatikana umepatikana 😂😂😂
@EdithaEditha-z3s3 ай бұрын
Sio kweli matukio Aya bwana
@shikusteve4 ай бұрын
Haya ni maajabu😂😂😂
@MejumaMatari4 ай бұрын
Nipewe no ya huyo babu jmn😂😂nitege mtt wa mtu nami😅
@maryantubetu90434 ай бұрын
Utapeleka wapi ukipewa
@jullykandush30534 ай бұрын
Sijapenda hii kitu😢😢
@catekamumcatrinacate27024 ай бұрын
Mombasa jmn ati simu yako iko wapy wewe malaya😂😂😂
@candidakawerawera69713 ай бұрын
That is not a solution though, men will fear this evil woman.
@MpwaniHalisi-p7t4 ай бұрын
ingekua mm ukinitoa nami natoa talaka tu heri ni annze square 1
@shantellemwanakombo37033 ай бұрын
Hakuwa amemuowa na ndoa
@gladysmapenzi20894 ай бұрын
Dawa ndo hiyo lazima ishema iwepo
@VivianMagoma4 ай бұрын
Huyu mwanadada akumfanyia mwenzake vizuri kabisaa...mbona wanaume wengi huku inche
@deborakadhengi57714 ай бұрын
@@VivianMagoma mbna akala pesa take na mwanamke mwengin ingekuwa mm ningemuacha akafa kabsa
@nostalgiaradio91154 ай бұрын
Ukiekeza kwenye mapenzi alafu mwenzako akusaliti inauma sana.
@Peninamsuko4 ай бұрын
Yaani patamu hapo kwa Beb nitamu Beb ntamu
@StacyKadzo4 ай бұрын
nisedieni na iyoo naomba ya uyoo mganga niko nakazi yangu nataka anifanyie
@catekamumcatrinacate27024 ай бұрын
Ukipata niambie 😂🥱
@CHILL504404 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Agatha-s4w5x4 ай бұрын
Eti atoke hapo umpige kichwa kimoja 😂😂😂😂
@nurafedrick3784 ай бұрын
Kwani ss wadada wagulf pesa yetuu hainaga kaxi unaenda kupeana mwanaume hata kama nimume wako aweee.bora nipeane yatima kama sina pakuzipeana lkn sio kwamwanaume naanaendaa kuhonga mwanamke nikama anafuata wa corner vile
@NyamburaAnnnjoroge4 ай бұрын
Na iwe funzo kwa watu wasiotosheka na mwanamke au mwanaume mmoja
@t.jsaidia20474 ай бұрын
Umewapatia sana😢
@MaikoNyondo3 ай бұрын
Hilo limwanamke halinaata aibu matusi mengi na wanaume mnashangaa tuu
@athumanikingi-ll9nj4 ай бұрын
Michezoo hii hakuna mganga yoyote😂
@hellenjepkemboi47534 ай бұрын
Na huyu ameketi Kwa bed🤠🤠
@marggiekarikamaina21874 ай бұрын
Walai dunia inambo kweli😂😂
@ElizabethNafunamakhanu4 ай бұрын
Sasa Nigeria imetuwachia hii mzingo ya unganga
@ElizabethNafunamakhanu4 ай бұрын
Tuombe Mungu aturehemu atupe Wana nabbii sio wanganga watu w content watempee nao ona Nigeria Kila mtu wa content Ako na prophet young prophet nasi Kila mtu wa content creator Kenya ni mganga mmh
@@ElizabethNafunamakhanuAwajui mungu kazi Yao tu ni kuaribu pesa Kwa uganga
@mkulimahodari29064 ай бұрын
Daktari amewalipa gapi kumfanyia advert
@halimarama17944 ай бұрын
Mama breydan ndio utukane live 😢😢
@SarahMwaka-i4c4 ай бұрын
Uyu mwanamke mm n mwanamke lkn nigekua karibu nigemchapa vbaya uyu atakufa akiona
@graciousgrace78414 ай бұрын
Jamani siku hizi KZbin kila mtu ni daktari😂😂
@mariamnzai88583 ай бұрын
Aki sielewi ni ukweli ama ni ma what
@AlbertPike-e4b4 ай бұрын
Bongo movie hizo
@pirimaganga6924 ай бұрын
Nipe huyu mganga please.. mimi nko na shida , kindly direct me..
@mohaclassicfamily4 ай бұрын
Reach us 0740499538
@sheyjohns15223 ай бұрын
Nitumie namba ya daktari mwenye aliwafunga
@Dil-nawadhFt4 ай бұрын
Uyo mganga mm namtaka jamn
@ennethnasimiyu26774 ай бұрын
Mimi ningelipisha 20m
@floridadavid64374 ай бұрын
Kama ni ukweli mbona sijasikia nduru huyo dem wakiachanishwa juu hiyo kitu hufura kwa ndani
@rodgerssiriria-n8k4 ай бұрын
Umewai jaribu
@BarongBeatrice2 ай бұрын
Kwani ushawai jaribiwa😂😂
@gibranmwasi-kw8px4 ай бұрын
Ivi mnazani ni ukweli mnadaganywa nanyi mnakubali
@fridahamu56894 ай бұрын
Hiyo dawa imefungwa na boxer
@Marry-u8m4 ай бұрын
Sasa hivi dio tuta fanyie wanaume wanao kula pesa zawake zao
@CatherineMwaniki-jw9ni4 ай бұрын
Hawa wanawake wanataka hivyo juu unakubali kukula pesa za mwenzako hujui vile tunachoka huku saudi.
@BlissHesbon3 ай бұрын
Oya ntumie namba ya mganga
@mfungonishauri42344 ай бұрын
Kwani ulimlinda ww kitovu.... Hukutumwa umuhonge
@MorineMorine-x8e4 ай бұрын
Mara paaap dawa zimekataa kufanya kazi😢😢
@user-mA17o4 ай бұрын
Huyu dada ana matusi khatar na nusu😳😳😳
@agnesmbula52614 ай бұрын
Ukristo gani huu...wa kwenda kww waganga....dunia kaisha
@ade_254Ай бұрын
hakuna haja kubishana na mwanaume...
@fredrickmuli48574 ай бұрын
Jesu😮😮😅
@rodgerssiriria-n8k4 ай бұрын
Makubwa haya
@triplem87464 ай бұрын
Kwani hii channel inanga story ingine
@maryantubetu90434 ай бұрын
Imagine uongo tu
@JumahMwalewa4 ай бұрын
Please Joey nitumie hiyo # yako na huyo mzee, niko marekani, Facebook,,,,, tsoo kadzo. Yashanikumba sana hayo nataka ni act
@PliscillaMwavita4 ай бұрын
Sa hata ni maswali gani na watu wanaumia
@deborakadhengi57714 ай бұрын
Mm pia nataka nipte huyu daktari aky
@lucykivutih65994 ай бұрын
Tupewe no
@Mariam-m1w1d4 ай бұрын
Atuachie no hapo kwa comments
@shihabmohmmed84694 ай бұрын
Vile umefanya mume wako ivo China chako mwanamke kimotoni siku zote mwanadamu ameubwa wa makosa nakusahau
@virginiawanjikuwanjiku39094 ай бұрын
Joy najua pesa wa reverse
@ZainabuMbodze-qq3hz4 ай бұрын
Babauu
@KhamisHabib4 ай бұрын
Wote hao Malaya tu kuanzia yy mpaka hao walionasa kwa nini yy kama ingekua mtu mzuri si engelitumia wazee wake hizo pesa
@dominickavinga33544 ай бұрын
Hizi vitu ni ukweli ama ni kipindi mohaa?
@irenesalamakambi41264 ай бұрын
Nipeni namba ya daktari
@bethkamau64363 ай бұрын
Those are scripts
@fridahamu56894 ай бұрын
Nipee number ys huyu dakitari
@virginiawanjikuwanjiku39094 ай бұрын
Huyu daktari apin number haki
@DavidDavid-wf5ug4 ай бұрын
Dr ? Huyo ni witch
@paulmuita35074 ай бұрын
Toanisha watu fuana
@lucyokoyo24353 ай бұрын
Too me I don't like this stupidity
@Kiplagat-j4b3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍
@phelisiawakio92464 ай бұрын
Stage managed not true it's just a content.
@TobiasTykun-g5bАй бұрын
The
@JoanIvet3 ай бұрын
Hehehee noma sana mnipe namba huyo doctr
@monicaumazi99264 ай бұрын
amor nakupenda mm njoi🤣🤣
@DavidDavid-wf5ug4 ай бұрын
Huyo dada umemuonea tu bwana yako amemtongoza amesema hana mke sasa unamuonea tu
@Salama123-iw7hj4 ай бұрын
Ss hii ndio dawa yawanaume wanao peda pesa ya Saudi tutawakomesha safarihii 😂😂😂😂
@IreneKamoiro4 ай бұрын
Naomba no ya dactari
@mohaclassicfamily4 ай бұрын
Reach through my number I sent it to you. 0740499538
@MariamMwamwenda4 ай бұрын
Utadanganywa watu wanaact
@maryantubetu90434 ай бұрын
Upeleke wapi
@fellst41594 ай бұрын
Yani pesa yote unatumiwa unafanya starehe na hata kiti hakuna kwa nyumb hata ya plastic yakushind kununua makubwa hii ni funzo hatutaki pesa kwa wanaume mm hata nikimpat sifanyi hivi bt namuacha ju niko na mia4 nahajakula pesa yangu