Welcome back King Kong. Thank you Moni Centrozone for bringing back this Champ 🔥🔥🔥🔥
@thestonetown3302 Жыл бұрын
Chid benz ndio kanifnya niskilize hii ngoma#kama umeskiliza kwa ajili ya chid benzino gonga like tujuane tafadhali🔥🔥🔥
@SunsetHunter452610 ай бұрын
chid benzi ni Gold sana hii Tz kudadaeki hakuna mtu anamfikiaaaaaaa
@alexmdam7461 Жыл бұрын
Benzi kama ww shabiki yake kama mimi gonga Like
@nyunyaboy9523 Жыл бұрын
Chidi ..buton>>>>>>>>≥>
@MshengaBoy Жыл бұрын
Chichichi chidi Beeeeenz ameuwa """ HUYU jamaa nonama sana""BIG UP. Like zenu to show love kwa BENZ
@fadhilsamwel3965 Жыл бұрын
Mtoto wa vikonje majengo sokon malume respect much nigga
@daudiedsonrichard509 Жыл бұрын
damn damn damn....OMG this is the CHiD BeNZ i know..dah yan nimerudia verse ya chid mara nyingi sana
@princekarani7836 Жыл бұрын
Ihi nyimbo Nai kachanwa na Nai ndo anazungumziwa hapa
@kamuchidyblez2136 Жыл бұрын
Aisee Mon umejitafuta sana 😂😂😂 kidogo tu ,king nkoo akukalishee
@johnrichard5482 Жыл бұрын
Daaah Yaani hii Ngoma mmeipiga Mande "Good Combination" MONI🤜💥🤛 CHID... Eti Usije pande hz utachapwa bakora Mpaka Ubaki na michirizi... kalagabao Hii kitu haina part 2 Utazoea...Kasura cha huruma ila ndani una Agenda, Weee Kwenda Mwana Kwenda... 🙌🙌🙌🙌 #MoniCentrozone🎤🎧 & #ChidBeenz🎤🎧 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥💥💥💥
@collinspius5480 Жыл бұрын
Chidi amemfanya huyo Mtoto akuje (#Nieleweke kukuja ya kikubwa😅,Monii umeuwa kwenye verse ya 2!…Safiiii
@CountryWizzy Жыл бұрын
🔥🔥💣
@Smart_FundamentalFx Жыл бұрын
Nai kayakanyaga zee lakukomeshaaa😂😂😂
@LizenMaker Жыл бұрын
Wizzy
@Edward_Simon6 Жыл бұрын
I'm the first weka like kwa Ngoma Kali hii
@michaeljm730 Жыл бұрын
🙉🙉🙉🙉chidi niatariiiiii🔥🔥🔥✍️ uyomwamba yuko fire ukimshilkisha umenfanya kosa lazma akifunike
@josepius9905 Жыл бұрын
Mmeuwa sana wazee mimi nawapa 50% kwa 50% wote mmefunika
@dodomaonlinetv-we2jg Жыл бұрын
Majengo sokoni ndani ya zanzibar nakubali blood willgabrio hapa❤❤
@erastompongo8400 Жыл бұрын
Wimbo wa kwanza kwa moni kuupenda
@mulababaz2232 Жыл бұрын
Salute 👊 wanyama wawili wanawasha fire 🔥 kizazi
@ramermohamedy4344 Жыл бұрын
Dude kali.... Chid benzino kaua sanaaaa🔥🔥🔥
@DREYSON0776 Жыл бұрын
Beeeèeenziiiiiiiiiii
@Maxn_Engineer Жыл бұрын
Bado CHID Benz Mzima sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mackharun8750 Жыл бұрын
Oya hii imeenda
@magunila Жыл бұрын
Benz ni King 👑 kapita nihatar hatariii half ni💥
@KephaYohana-lk9cr Жыл бұрын
Cheed Benz nsamehe kama nlishawai kusema umefeli. Moni centrozone tunashukuru kwa kumshirikisha benzno
@LizenMaker Жыл бұрын
Baddest 47 umenigongea Beat Kama zamani.
@kbmsouth Жыл бұрын
Aiseee ..!! MONI humu umefunguka saana naiman NAI huko alipo Chupi Kilemba PEDI imejaa damu 😂
@wadmusicafrica Жыл бұрын
CHI CHI CHI CHI.........CHID BEEEENZ.....A LOT OF ENERGY IN THIS TRACK.
@mudricksniper9495 Жыл бұрын
Is true
@michaelbwoma2760 Жыл бұрын
Beeeeeeenziiiiiiiiiiiii is baaaaaaackkk like never before 😅
@officialkally3572 Жыл бұрын
Moni featuring chid benz 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@barakadaprince3742 Жыл бұрын
Benzi benzino umetisha baba kula chuma hicho👊🏿👊🏿
@SaraphinaSam-cw4gf Жыл бұрын
Yeah hap mmeachan kiume🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DOUBLE_G_DA_BST Жыл бұрын
Chichichichichichichichichi chid beenz🙌🙌🙌
@BoniphaceFridoline Жыл бұрын
Majengooo sekoniii music na centrozone ist zuuu
@dommycash1 Жыл бұрын
Chiddy KAVUNJAAAA aseeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@StereoSingasinga Жыл бұрын
Oyaaaaaaaa
@rizikisimbeye7152 Жыл бұрын
Chid Benz is back, he did big in this one. Mungu amjaalie azidi kuwa imara zaidi
@mfaumeally4476 Жыл бұрын
Acha daharau amerudi wapi? Huyo fundi
@rizikisimbeye7152 Жыл бұрын
@@mfaumeally4476 sijadharau in fact mm ni shabiki mkubwa wa chid benz ila sote tunajua aliyopitia chid na kwa sasa kuonyesha uwezo mkubwa hivi ni ishara nzuri kwamba jamaa anarudi kwenye ubora wake.
@dramadrima2512 Жыл бұрын
BenZinO👊🏿
@nadalaboubacar2356 Жыл бұрын
Benz wa 2008/2009 ndo uyu
@nadalaboubacar2356 Жыл бұрын
Benz wa 2008/2009 ndo uyu
@dmswaggbamboostick4576 Жыл бұрын
Majengo sokoni & lafamilia🔥🔥
@sadiqrifay5448 Жыл бұрын
Official nai kuna ujumbe wako huku😄😄😄😄
@Pathro_Cavosia Жыл бұрын
Chidi hajawai Kuisha ladha kabisa 😎🤝
@cuthbertcyprian9715 Жыл бұрын
From now onward. Your Official producer should be Baddest 47
@alfredyhaule7434 Жыл бұрын
fire chid benz umetisha respect BROTHER💪
@harunamaleko5201 Жыл бұрын
@Chid Beziiiiiii one love ❤❤❤🎉🎉💯💯🔥🔥🔥🏆 umeuwaaaaa💪💪💪🇹🇿🇹🇿🎧🎧🥇🥇🥇 siyo powa🗽
@beatriceurassa3080 Жыл бұрын
Moni una hatari mzee baba📌
@arnadkwizera484 Жыл бұрын
Chi chi chi chi chi chide benz nakubali ww ni kali kila leo😂😂😂😂💃💃💃
@dynamic593 Жыл бұрын
Chidiiiiiiiiiiiiiiii 🔥🔥 flow moja hatr sana
@MaduduWaraWara Жыл бұрын
King kong is back .#Nyani na Bunduki mtakipata pata aisee
@shedrackdaudi3403 Жыл бұрын
Tamu sana
@perermoshi9244 Жыл бұрын
Nimelud Tenaaaaaa, Centro zone 🏌️
@wisefolks1669 Жыл бұрын
Nyie huyu chidiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fredkasuga9740 Жыл бұрын
Bonge la jimbo💪💪💪💪
@ibrahimnjohole1684 Жыл бұрын
Eeeeh....chid baba chid baba....Mamamaeeee.Return of the king kong
@kisalaurence6177 Жыл бұрын
Main man CentralZone DAMN DAMN DAMNNNNN !!!! Chid Beeeeenzzzzzz dah!✊🏿🔥🔥🔥 Beat+ Flow 🔥🔥🔥🎱
@humanboybdi Жыл бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉Wawape mauwa yenu mumefanya poa
@khalifaalmugheiry9232 Жыл бұрын
Huyu ndie yule chidi tunaemjuwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 benzi liko njiani izo vibiriti vyenu vitakaa upande kwa sasa mwenye rap yake karudi
@gtunewaves2867 Жыл бұрын
Move on tu bro inatosha tushamchana sana uyu manzi hii iwe ya mwisho
@DaudAshery-ie2pf Жыл бұрын
Ni unyama mwingi home boy
@blackblue9729 Жыл бұрын
Chid Benz 🔥🔥🔥
@godlistenmalisa5100 Жыл бұрын
❤❤❤ ipo personal sana na inagusa kila mtu
@allysonjohn8578 Жыл бұрын
Malume 🔥🔥
@eriranking_1235 Жыл бұрын
@chidiBenz umeua sana ma brother
@Ashyzo_ Жыл бұрын
Chidy🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥combo kal
@shafiirajabu4521 Жыл бұрын
Cheed motoooooo fire Kudadeki…..Ngoma imepenya
@mohamedmwinjuma Жыл бұрын
Chidi Benz kaua sana humu
@youngbona3804 Жыл бұрын
Na me best friends zko wazur lazma niwale🔥🔥🔥🔥
@promramson1478 Жыл бұрын
Humu kama namsikia chid wa Dar stanď up ...large up
@geniusgangkenya8732 Жыл бұрын
Diss track huwa tamu saaaana 😂😂😂😂😂!!!!!
@prettyshuuumungypo6967 Жыл бұрын
bonge la nyimbooooo kumamake 🔥🔥
@PiuceMponzi-pq4ij Жыл бұрын
Nili kupa boliii na uka shindwa kuchezeaaaaa
@Kabi_47 Жыл бұрын
Duh daily namuombea brazza chid 🙌🏿🔥🔥🔥🔥
@MatoMediaTzTv Жыл бұрын
Oya wee mmeuwa Sio powa
@shaksboy3568 Жыл бұрын
Utukufu kwa Dom boy &king kong chuma
@TaariqOmar6 ай бұрын
Chidi benzi mimi namfananisha na 2pac wa tanzania
@ummysaid6490 Жыл бұрын
So talented wanangu so creative
@manenokayuni9775 Жыл бұрын
Chidi Benz kaua bado Yuko juu
@alexwatae3165 Жыл бұрын
Sasa bwana Rashidi unafeli wapi wakat bado upo on fire
@hamzamsafiri3418 Жыл бұрын
Hili kweli dude.. KING KONG TENA KWENYE UBORA KAMA ZAMANI