Tunahitaji Nyimbo kama hizi kujiponya dhidi ya dhiki, depression na kujitengenezea nguvu mpya kwaajili ya kesho. God bless you Q Chilla Rapcha & Chid Benz.
@melki-kabalu759 Жыл бұрын
Dah..powerful sana!!
@boukainan1002 Жыл бұрын
Agreed ✊🏾❤️🔥
@farijjmohammed7723 Жыл бұрын
wazo nzuri sana
@stevemwachi254 Жыл бұрын
Chidi ni chuma kisichoshika kutu siku zote,popote anapopita anakiwasha..KING KONG
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Goma limekuja na Baraka za kichifu
@johnsolomon-g2k Жыл бұрын
Mafundi wamekutana kwa track moja. Big up sana chief
@africanmuzik4587 Жыл бұрын
ukizaliwa mwanaume unakula jasho lako maisha yote 🔥
@mdachiog5211 Жыл бұрын
Hivi mume muelewa chid😂😂😂yaani kapewa tuzo na kusaga bila shilingi
@josephatSwai Жыл бұрын
Kka Kwa nnii hii icwe staily yko mbona huku una Tisha sana wasanii WA Hip hop ukiwa shavuu
@modesigner1085 Жыл бұрын
Umeua sana humu cheaf umesound ki namba moja 🙌👊🏿
@Chida Жыл бұрын
Q Chila unastahili Tuzo mzee uko poua sana. Salute kwa La Familiaaaaaaaa na dogo Rapcha
@MachoMidia Жыл бұрын
Shada munasema munataka ngoma izi ila munadanganywa na nyimbo za kisasa sapoti inapotia ktk ngoma kali
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Tuipeleke on trending jmn
@africanmuzik4587 Жыл бұрын
Bin Laden ana deserve credits sana kwa kuweza kumerge feelings za hawa wote watatu pamoja tukapata huu wimbo wa kudumu
@Nigaboy-p4s Жыл бұрын
Yaan Chidi umeamua kumficha kabisa dogo,,,sidhani kama atarudia kuomba kolabo
@rajabukimweri5893 Жыл бұрын
Q chief ni kolas killer , Rapcha ame waelimisha mabishoo& ma brothermen wanao penda kulelewa wapambane CHID BENZ kaimba kwa hisia sana na fact tupu # Kazi nzuri wanangu Jah bless all
@Malunpick5-rl8jz Жыл бұрын
Nahapa kwa jina la shida bila hata msaada 🙌......mah niggah chid🌵......ue kill it🚀🚀
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Hi ngoma aipiti Siku bila kucheki
@josephatSwai Жыл бұрын
Naomba malume ziwe nyingii sana coz ni kali
@abdulrahmanhassan5998 Жыл бұрын
Binadamu hafai kuapa kwa Vitu vingine au kuapa kwa kiumbe nimakosa sana, mwenyezi mungu pekee ndiye anayeapa kwa Vitu mfano, kuapa kwa jua au mwezi na kadhalika, ila binadamu anapaswa kuapa kwa jina la mwenyezi mungu tuu , chidi Benz amekosea kuapa kwa ajili ya vitu na binadamu mwenzake, haya ndio madhara ya mtu kutoisoma vizuri imani yake ( DINI ) mungu amsamee.
@melki-kabalu7599 ай бұрын
Wewe umeisoma vizuri sio?😂
@modesigner1085 Жыл бұрын
Cheaf Rapcha Chidbeenz binladeen TONGWE RECORDS 🎙 👊🏿🙌
@hawaiddi5737 Жыл бұрын
Mkali wimbo
@LucasPastore-u5w Жыл бұрын
Chid Benzi kauwaa snaa kwenye hii ngoma Trust me
@mohammedathman5816 Жыл бұрын
Mashallah song nikali kinyama big up Q..ch...umeuwa kwenye chorus... 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥
@Hashdough Жыл бұрын
DAM THE VERSES THO.... THE FEELING INTO IT...CHID KUDADADEKIIIIII
@vinny.morales Жыл бұрын
Kenyans dondosha likes hapa representing🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamesnatai7430 Жыл бұрын
kwel chillah alisema usipomlipa anairudia na inakuwa kali kuliko ya mwanzo😂😂😂 CHID VERSE LA DUNIA🔥🔥🔥 malume
@zangamimi-pc2br Жыл бұрын
Wenye vipaji....the legends ones...big up brothers
@peterphilemon2096 Жыл бұрын
Ngoma flan hv uchoki kusikilza 🔥🙏💥
@AkimanaKenny-y7j Жыл бұрын
eeeeeeh malume
@ankolsimba7838 Жыл бұрын
mkongwe ni mkongwe tuu big up Savimbi nimeelewa alichoongea kingkong mpka sikio linatetemeka aseee....huyo benz sio wa planet hii bas tuuu
@mkonowafedha1318 Жыл бұрын
Yaa sikia maisha nayakimbiza kila yakini pigachenga nihamkapo malume nakula kiapo mpaka mcho naona chenga lifu za asro mtoto wa kiume napambana kwa huku navuja jasho malume
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Njoooni team mziki mzuriiii
@emanuelidivine4941 Жыл бұрын
La familia boom🔥
@Nixx996 Жыл бұрын
Q katoa bonge la corous Ukizaliwa mwanaume utakula kasho lako noma sana
@HamiskMatunguli5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 chid benz
@simbaedouardo8499 Жыл бұрын
Chila hiyi kiukweli kali kabisa sinachakusem zaidiya motooooo
Making Making Tu 🎉🎉🎉Mkwaju Mkali Sana, I Swear Umempa Dogo Nauli Ya Kuja Mjini. Rapcha Usilale Tena Ninja Umesha Pewa Bless 🙌
@donalfa1850 Жыл бұрын
Rqpcha yupo mjini kitambo sema itamsogeza mahali lakini sio kwamba hii collabo ndo imemleta mjini
@farijjmohammed7723 Жыл бұрын
Sidgani kama kuna rapa yeyote mwenye uwezo zaidi ya kingkong
@thomaswilbert6431 Жыл бұрын
Unatisha Ila umepoteza mashabiki kabisaaaaaaaa
@teteboy2110 Жыл бұрын
Nawatambua wakuu salute from Kenya 👏 🙌
@petercharles7439 Жыл бұрын
Big up guys kazi nzuri
@AvansMbape-jq7ct Жыл бұрын
Ngoma kali sana
@tasukutechnologies2573 Жыл бұрын
Chief deserves to be a chief
@jumuucliff Жыл бұрын
nimekuja kusikiliza ngoma hii coz nimeambiwa ni kali na simuliziNasauti, kwel kali
@JumaHassan-j1l Жыл бұрын
ngoma imweza.. but moni cetrozone agekua ingweza snaa bt smbya big up💪💪
@felixfanuel-z8d Жыл бұрын
MALUUME...qchila ft moni still on top💣💣
@josedorothea7939 Жыл бұрын
Mziki umeniletea uchungu na ma brother Q chilla . Naenda kama Moni centrozone
@perermoshi9244 Жыл бұрын
Mon Centrozone Atabaki Kuwa Juu🙏🙏
@mosamossile9113 Жыл бұрын
I like this combination yooh Chid benz on 🔥
@ElinajaMlaty-qg4sj Жыл бұрын
Yenyewe chief
@africangirls482 Жыл бұрын
Chila and chid 🔥🔥🔥
@colehugo5055 Жыл бұрын
Chorus ya moni ilikuwa kali zaid hii chorus sio kali mzee
@abdallahmakumbato6688 Жыл бұрын
ngoma kali chidy umeuwa sana
@CHAMPMEDIA212 Жыл бұрын
RAPCHA AMEUA SANA HUMU BIG RESPECT
@saljam82 Жыл бұрын
Straight to my playlist...Malume different versions 🔥 chiddi 🔥 🔥 🔥 wakuotea mbali🔥 🔥 🔥 Thanks sns simulizi na sauti akina esco, sky na baba mil. kwa update
@negodylan2634 Жыл бұрын
MALUMEE
@revocatusmtahaba99557 ай бұрын
La familia 💥💥
@agreymbwilo5874 Жыл бұрын
Chidy 🙌🙌🙌🙌🙌
@dvjmiloow2955 Жыл бұрын
Mbona huku mbaya kuliko Ile nyingine 😂. Dah! Chuki humuumiza anae ihifadhi
@christopherchacha7944 Жыл бұрын
Oyaa challah mwamba sikudangany hili goma sio la nchi hi ,ni kali kinoma ww mwenyewe unetisha ,raptcha nae katisha ,king of dar es salaam chid benzi ndio kabisaaa ,what a song upewe maua yako broo❤❤❤
@EmanuelJulian-e1r Жыл бұрын
Nyimbo kali sana asee nimeikubali Big up wote mmetisha
@OmarDavix-ek5yw Жыл бұрын
Big up my brother chidy an chila
@amissisamley7398 Жыл бұрын
Without doubt This song deserves more trophies this year, love you guys from Switzerland
@Monyo04 Жыл бұрын
Switzerland ya nyokoo
@emmaculatewambua-ou9nu Жыл бұрын
Namkubali sana Chid benz its true game hawezi staafu