Moritu ma kwiyumiria mucii wa ikeno wa Mombatha

  Рет қаралды 77,661

Kameme Tv

Kameme Tv

Күн бұрын

Mwena wa Gicua-ini ni umwe ukoragwo na ikeno na miago miingi undu uria andu maugaga ni kuhuthu ukiingira no nihakoragwo na uritu kuuma ni maundu maria mundu atunganaga namo.
Aingi maingiraga guku gwicariria uboco wao wa oro muthenya no uria thiku irathii na mbere gukia iceera ria thiku kana kiumia rigatuika ria miaka.
Njenga wa Wambui utuhaririirie riboti ino ya mwanya thiinii wa mururumo witu wa kiumia.

Пікірлер: 244
@daniels9835
@daniels9835 5 жыл бұрын
True story. Mimi nimeenda mombasa 2008 na jike likaja kunisalimia kwa mikono. Jamaa mwingine kaniambia nisijaribu ama sitoki kwa huyo bibi. Ni kufunga wanaume wanafunga na majini. Hakuna hayo anasema. Jamaa mwingine alitoka kiambu mahali sisemi lakini alikuwa daktari wa hospitali na akapelekwa mombasa lakini kulala na hawa alishikwa na hawa wadigo au nini hao. Mama yake alifunga safari kumchukua mwanawe, wakitoka huko aliambiwa na huyo mama hawataenda mbali. Kutoka hapo yeye na wazazi wake waliliwa na jiggers mpaka kufa 2005. Daktari mzima alikuwa chakali hawezi fanya kitu na jiggers hata vidole. Usidanganywe na mtu eti ni viuno na kutingiziwa. Kama ni mkikuyu nimeoa wacha anitingizie mwenyewe kitu ni ile ile hakuna tofauti. Tofauti ni mchezaji na upendo kati yenu
@jumuisha
@jumuisha 5 жыл бұрын
Ati kitu ni ile ile😄😄😄😄...wee we ngoma....hahaha
@gideongathekiamkoloni5043
@gideongathekiamkoloni5043 5 жыл бұрын
Mwathani atùteithie nìndatùraga na Mcoast.Angúrúkìtie più.Ndamuonaga gìkehanda ta gìa thitima
@veronicahwakanyi
@veronicahwakanyi 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gathekia Gideon wangahůra mbaru... 😅😅😅😅
@wanjirukarago9308
@wanjirukarago9308 4 жыл бұрын
Naskia pia they use charm
@wamberepeninah6749
@wamberepeninah6749 5 жыл бұрын
This mugunda ngame ndugire ciana hee ngombe mai njoke haririe andu Marie makome.Njoke thaithe mundurume ta mwana aca wee inuka ugathaithuo kwanyu ni twiethe na tuteithanie akorwo ni mwana niagimare acoke ahikanie Ashiiii Busy Bee us
@cirushish5858
@cirushish5858 5 жыл бұрын
Hahaaaaaa....niwanjaka mundu niagathaithwo ni nyina 😂😂😂😂😂
@estherkamau8150
@estherkamau8150 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@paulinerathgeber1045
@paulinerathgeber1045 5 жыл бұрын
hata watoto wao hawasomi hawajengi hawanunui mashamba,,,,,wasiniletee
@withoutjesuschristofnazare2746
@withoutjesuschristofnazare2746 5 жыл бұрын
nimeishi mombasa miaka 6 MALINDI na UKUNDA 2 b spesific na yale mambo yanaendelea hio mombasa waah sisemi kitu. yani nikama upande huo watu hawamjui YESU ni nani haswa JAMII fulani ambayo sitaitaja jina . MJOMBA yangu aliangamia kuko huko mombasa ,alikua akifanya kazi LEISURE LODGE JADINI .ndugu yake ndio alitangulia kuangamia but yeye naskianga alikua ameiba pesa za wenyewe 10k akaambiwa arudishe akakataa. baadae aunt naye akagonjeka usiku asubuhi tukaambiwa hakufika hata hosi. am happy that my cousins moved from there and went back to stay with shosh and now they are grown up and married. yani mombasa mwaweza angamia familia mzima kimchezomchezo. Mimi hata na dawa MOMBASA sio chaguo langu. afadhali kama nikuogelea niende L.VICTORIA ama hata NAIVASHA. Mombasa wacha niionange kwa TV. Baada ya familia ya uncle kuangamia rafiki zao wakaribu pia walikufa wakifuatana yani kazi ilikua ni mazishi mazishi. mkienda mazishi mnapatana tu na Makaburi fresh fresh mnaambiwa hawa pia walikua huko huko mombasa wakatangulia.
@jazzngush2638
@jazzngush2638 5 жыл бұрын
Waah juu ya 10k
@suziecutecute6274
@suziecutecute6274 5 жыл бұрын
Sasa hii ni enzi ya kukaa chini uletewe😡they are soo lazy that’s why they are soo poor,mad houses all over ,we got better things to do mama!Yet mwanaume wa kuzurura nothing can stop him.nikii uratwira riu👋
@nancywaringa2038
@nancywaringa2038 5 жыл бұрын
Zainabu Zaina for sure they are so lazy lazy lazy we from bara we work hard.
@dollyciku5678
@dollyciku5678 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jamesnderitu1681
@jamesnderitu1681 5 жыл бұрын
Endelea kujiConsole hapo na sisi tutawaEndea huko Mombasa uAchwe hapo na bidii zako
@estherkamau8150
@estherkamau8150 5 жыл бұрын
😂😂😂Bora Uhai
@ngethedavid142
@ngethedavid142 5 жыл бұрын
Giko kia modo
@kelbaleo9003
@kelbaleo9003 5 жыл бұрын
Tuachishe apo Abubashir.Wadigo wachawi nambari moja.
@khuivectors919
@khuivectors919 5 жыл бұрын
Nyume wira dimunogu,sauti 21 ngucihuthira thaa cigana na nii njui di migambo iri tu...wa kwaria na wa kungorota....hehehhehehhe....nie maundu maya...
@isaacmaina8522
@isaacmaina8522 5 жыл бұрын
Reke tùremwo ndakùìra😂😂😂
@fransciscamarangu9685
@fransciscamarangu9685 5 жыл бұрын
Nie maa ndigehota
@estherkamau8150
@estherkamau8150 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@wanjirukarago9308
@wanjirukarago9308 4 жыл бұрын
Huo udi ata wanawake waarabu hutumia sana .
@simomwai9601
@simomwai9601 5 жыл бұрын
Ni anyamukire 👏👏👏👏Ooro-nanii ninguthii mamhatha ngacocoruo na hakuo maguta muiri mooothe nginya mugongo😁😁😁😁😁
@privatepilot9945
@privatepilot9945 5 жыл бұрын
Giki kihiiki kihana jini ghai fafa😆😆😆😆
@florencewilson4821
@florencewilson4821 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hebamilad2611
@hebamilad2611 5 жыл бұрын
😂😂😂
@annieann0012
@annieann0012 5 жыл бұрын
🤣😂😂🤣
@annenyambura5442
@annenyambura5442 5 жыл бұрын
Woii aai niuchawi wasidangange am in coast 13yrs now wanaume wa mimbasa hawaoi wanawake wa mombasa wazungu tuliobaki ni sisi wakikuyu coz wanajuwa hawatatakosa plus wanatumia juju usiwahawi fikiria kwenyu kazi ni kuwatunza wao plus wana wivu anaweze kuendea KwaZulu mganga usitongozwe na mwanaume mwengine umuone yeye tu out of expilience ila ngai dakomaga unafunukiwa na nambo unapata fahamu but inauwa late
@estherkamau8150
@estherkamau8150 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@shiksshiks8494
@shiksshiks8494 5 жыл бұрын
My bro alienda job ya kuuza bar malindi....weuw....hakuwahi rudi afta 2yrs..hadi tulikuwa tunamtumia fare ka ndio amekosa ..Bibi akaenda zake n bro yangu mwingine ndo alimwendea huko na alikuja tu na nguo yenye ilikuwa kwa mwili na maisha yake hadi wa leo ikaharibika sinc tht tym
@rosemarymacharia9866
@rosemarymacharia9866 5 жыл бұрын
mi ni mkaaji wa Mombasa.wanayo time ya hio mambo.coz hawafanyi kazi.saa gapi utaweka kitanda. mauwa.kujirembesha na siou watoka.kujivukiza.mwanaume ni mtoto....Dio uwe wammbebeleza kila kuchao.mi namini.nimpikie, nifue.kama nafasi iko nimpelekee maji bafuni. nimpangie nguo. na nipige pAsi.tosha.siwezi mgoja tukule pamoja na atachelewA. but. akiwa sawa tuta kula.ata mm nahitaji kumbembelezwa.
@mikechali1052
@mikechali1052 4 жыл бұрын
Njega ulirudi ama Bado uko Mombasa👌
@nancywanjiru5468
@nancywanjiru5468 3 жыл бұрын
Bara tuko sawa kabisa mm heri niwe active na maendeleo yng but mbs wavivu WA kazi sangapi utasemwa (bwagaaaaa) WA Bara ashashukaa ako busy busy kilife
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 жыл бұрын
Huba ndio mambo yote uswahilini raha
@OsmanK699
@OsmanK699 4 жыл бұрын
Giki kihiki ni fire. Kingikunyitukia uguo, ungiririkana kwanyu ni Ngai kwenda. Kaba gwithema andu take biu. Reke njikare gwitu Central.
@shikunice8040
@shikunice8040 5 жыл бұрын
Niiuraiguwa uria araguweta wega Baba 😂😂😂😂Njengaaaa chunga asiku pampe
@njeshkarisnjeri2527
@njeshkarisnjeri2527 5 жыл бұрын
shiku .N hahaaaaa
@estherkamau8150
@estherkamau8150 5 жыл бұрын
Niamenyerere Ndakaahotwo nigwitwo baba 😂😂
@rossylatifa7427
@rossylatifa7427 4 жыл бұрын
Hope urirudi kutoka mombasa
@EmilyWambui-e9v
@EmilyWambui-e9v 6 ай бұрын
Hakuna pesa, better nairobi, pesa ni nyingi, na alot of food here in nairobi, mombasa chinda tupu.
@lillycaxy7969
@lillycaxy7969 5 жыл бұрын
JARIBU HII UJINGA KWETU Central, tunaamka 6am kujitaftia kazi aiii weeeh
@ruth2546
@ruth2546 5 жыл бұрын
😂😂noogle hii iko kila mahali
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 жыл бұрын
Culture is what matters uswahilini ni tofauti go to Zanzibar is more than Mombasa
@loisegitau5838
@loisegitau5838 5 жыл бұрын
we have two friends from our village nyeri they went to mombasa job know one died of AIDS and the other one is positive of AIDS.
@marymacharia9627
@marymacharia9627 2 жыл бұрын
Hawana kazi ya kufanya,kila saa wanafikiria kuhusu bwana zao.Wake wa gulf na hawa ni sawa
@milkahmwangi5611
@milkahmwangi5611 5 жыл бұрын
#KomeoNaMamaMandikondiko 😘😘 Mashauri Yako Nayapenda💓
@petercoyote3912
@petercoyote3912 5 жыл бұрын
hehehehe hapa kiambu iko mganda anatupisha wanaume mbao juu ya kuwapigia magoti aki serve chakula kwa hoteli yake...wanawake wawache kuwa mangaa wahudumie bwana zao...hehehe
@wambuimargaretmargaret9181
@wambuimargaretmargaret9181 5 жыл бұрын
Ukahaba tu🤣🤣🤣🤣🤣😢😩
@favouredblessed2631
@favouredblessed2631 4 жыл бұрын
Am from kiambuu and my hubby from coast 5yrs together wanaume wa coast watamuuuu
@montana3586
@montana3586 3 жыл бұрын
Haya
@wanjiru2556
@wanjiru2556 5 жыл бұрын
Really? So life is all about the 3 letter word for some men these days! What a way to live!
@hannahnjeringanga9902
@hannahnjeringanga9902 5 жыл бұрын
Njiguaga Mombasa gahahùka
@annthecook9427
@annthecook9427 5 жыл бұрын
haha makubwa haya
@joiceanne8195
@joiceanne8195 5 жыл бұрын
Niki
@momfive8847
@momfive8847 4 жыл бұрын
Ann Mombasa sio mchezo, I even don't want to hear that name.what I saw it is me n God knows, and I will never explain this to any one.kwa ngoma biu
@jennyjayne5745
@jennyjayne5745 5 жыл бұрын
Aty aa mabatha ni sop sop akuhutia ona ndungiigwa kuma nyumba... Ikara nyumba fiu gathee ona gikuyu kwaria noo thina... Ikara mabatha ukainuka ukihuraga nugu cia mutitu wa dei na mahiga mani anake aa rika riaku guku gicagi mena maburoti maguta maguta.
@penny4310
@penny4310 5 жыл бұрын
Mwongo aisha. .. sema ukweli. ..😉😉😉 kuna tumavitu. .. nimeishi na miji kenda miaka mingi. .. nawajuwa vizuuuri. .. wadanganye wasio juwa. .. 😕
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 жыл бұрын
Mombasa sio ya wamijikenda pekee
@rosewambui8026
@rosewambui8026 5 жыл бұрын
They dont work, like us
@rossylatifa7427
@rossylatifa7427 4 жыл бұрын
True name sake
@routhawad2150
@routhawad2150 5 жыл бұрын
Hau nii ndire. ...thie mugunda na nyaithe mundure reke nemwo
@wanjirukarago9308
@wanjirukarago9308 4 жыл бұрын
Am I the only one who doesn't see any big deal about Mombasa?🤔 I prefer Naivasha than the Coast...never been there since was a kid with my late dad but this is the last place i think about ata heri Turkana ... however I have heard about coast women being so romantic and responsible with their husbands. ... however they are lazy in other areas except the bedroom 😂😂😂
@jullygichurufamm3602
@jullygichurufamm3602 5 жыл бұрын
Babangu alienda 1995 mombasa 2013 mum akafaliki akaja kwa mashizi tu toka hapo hajawai rudi sai nikutusubua tu kwa simu
@nancywanjiru5468
@nancywanjiru5468 3 жыл бұрын
Hahaha 😂 😂 😂 😂 😂 anawasumbulia nn mzee 😂😂😂😂😂
@kennedyken
@kennedyken 5 жыл бұрын
naenda Mombasa kesho
@dominickinyua169
@dominickinyua169 5 жыл бұрын
Hopes hukuacha huyo jamaa huko ulimsaidia fare ya kurudi kwao nyumbani
@nancyribiro9447
@nancyribiro9447 5 жыл бұрын
mmmmhhhhhh...ucio ni urimo.....
@janekarish1636
@janekarish1636 5 жыл бұрын
Woi njenga witu ukimenye ndukahakuruo nio😁😓
@gideongathekiamkoloni5043
@gideongathekiamkoloni5043 5 жыл бұрын
No any mbugi lost mùriha.Nì waganu kùingìha.
@gideongathekiamkoloni5043
@gideongathekiamkoloni5043 5 жыл бұрын
Mùndù oimaga na mùrìo ta thenge.
@jamktiffan9353
@jamktiffan9353 5 жыл бұрын
Uongo hawa watu n wavivu kwa kazi yao ni kurembesha nyumba na kujipondoa
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 жыл бұрын
Sababu hio ndio kazi Yao, kazi anafanya mwanmume
@Serahpaul84
@Serahpaul84 5 жыл бұрын
Niurimu hawa wanawake wavivu kama nn kazi nikukaa chini kugonja wanaume wajinga wenye hawajielewi nkt
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 жыл бұрын
Sio uvivu katika uislamu mwanmume ndio anapaswa kutafuta mwanamke anakalisha boma na kulea watoto nyumbani
@Serahpaul84
@Serahpaul84 3 жыл бұрын
@@yusufmwash6299 ok
@marrymotez3591
@marrymotez3591 5 жыл бұрын
muchenzi mkubwa nimeishi nao miaka kumi nakiila kukisha mwapewa talaka usituongopee hamna liwalo.
@njeshkarisnjeri2527
@njeshkarisnjeri2527 5 жыл бұрын
Kkkkķkkkkkk ona menyerera kuregera kuu haaaaaaa mombasa raha
@samjohn583
@samjohn583 5 жыл бұрын
Wacha nikae na huyo ananuka Maziwa.
@terrynjamiu908
@terrynjamiu908 5 жыл бұрын
Hahahaha hapo sawa,i salute you
@estherkamau8150
@estherkamau8150 5 жыл бұрын
Kabixaaa Akinuka Maziwa Hataona Mwingine😃😂
@nimoras
@nimoras 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Apo Sawa
@LG-zd1fl
@LG-zd1fl 5 жыл бұрын
Mama chiku aka mosi of Aziza!!
@wilsonmn136
@wilsonmn136 5 жыл бұрын
Mombata here I come... aya agikuyu niguteee
@juzme37
@juzme37 5 жыл бұрын
Bye,bye
@sarahasuza5819
@sarahasuza5819 5 жыл бұрын
Hehe...watu wa Mombasa Tuko juu kapsa
@alicemania6658
@alicemania6658 5 жыл бұрын
Urekuo uguo nigetha ciringi imuhuko icomoke,the other hand andari na wira waku ena Bata na mbeca ciaku ciathira kana waruara agakuira out ni njaa
@aishaamohamed453
@aishaamohamed453 5 жыл бұрын
Mwamke mapish shosty nakujua kumtuza mume upooo mwamke matezooo mombasa hoyeeeeeeee
@samuelmbugua2343
@samuelmbugua2343 5 жыл бұрын
Ata vile anatamka neno baba..,huwezi jinasua..,apendeza kweli.
@محمدمحمد-ن7ط3ح
@محمدمحمد-ن7ط3ح 5 жыл бұрын
mjomba wangu alikua fudi wa mjengo alienda huko na alikua hata hajaoa akapatana na mwanamke mdigo nahakuwahi kuludi nyumbani mpaka wakati alogonjeka mwana mke akamfukuza akakufia huko kwa street,tuliendea tu maiti,hao niwachawi sana
@robertmungai4055
@robertmungai4055 5 жыл бұрын
Anga ningûthie mambatha onanie
@privatepilot9945
@privatepilot9945 5 жыл бұрын
😆😆😆rora kuo wamaitu😁
@verodestiny4927
@verodestiny4927 5 жыл бұрын
Kinya kuo😂😂😂😂
@marionmuthoni6461
@marionmuthoni6461 5 жыл бұрын
Roman Reigns anga nituguthie onaithui mombasa😂😂😂
@marionmuthoni6461
@marionmuthoni6461 5 жыл бұрын
Roman Reigns ama tuhame kenya tuende mombatha
@robertmungai4055
@robertmungai4055 5 жыл бұрын
@@marionmuthoni6461 Kwina key 😁
@kipangayaqichwa4500
@kipangayaqichwa4500 5 жыл бұрын
D2 Dusit.
@momfive8847
@momfive8847 4 жыл бұрын
Ukahaba tu ndio kazi Mombasa, I went to coast but what I saw there. I will never thought of Mombasa, uchawi mob, they tell you about.
@angelangare863
@angelangare863 5 жыл бұрын
Hahaa Mimi mkaaji was mombasa hawa wanawake wanatumia uchawi ndugu yangu aliharibiwa na mwanamke was mombasa they have a spirit of manipulating kutumia nguvu za giza
@hadassahqueen7359
@hadassahqueen7359 5 жыл бұрын
Ashindwe🙅👊👊👊👊
@lizkimani9576
@lizkimani9576 5 жыл бұрын
Msshh..wamama wa coast hamtu tishii na hamtu baba ishii sisi madame wa baraa...shindwe...we work hard and we got money of our own...kujeni baraa muwachukue wote...we don't even want them any more...foolishness
@petergachuru
@petergachuru 5 жыл бұрын
Wadigo ni mchezo wa kuangalilia mbali
@virginiawangui1108
@virginiawangui1108 5 жыл бұрын
I dont understand swahili but kulisha na kuosha mwanaume hapo nimeelewa na haiwes make kwa wanawake wenye tunafanya kazi laziness yao ndio inafanya waoshe watu wazima watie bidii
@martinmachraria6988
@martinmachraria6988 5 жыл бұрын
But good journalism.
@ephansirush9810
@ephansirush9810 5 жыл бұрын
Nashukuru Mungu nina 25yrs na sijawahi tamani mwanamke wa mombasa au chakula chao
@raelmarete4943
@raelmarete4943 3 жыл бұрын
Mombasa ntaenda siku moja, siezi kaa nikisikia sifa za Mombasa ntaenda kujionea mwenyewe.
@joiceanne8195
@joiceanne8195 5 жыл бұрын
Asante niudu wa kiii ni urimu
@jennyjayne5745
@jennyjayne5745 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 Nigutee
@joiceanne8195
@joiceanne8195 5 жыл бұрын
@Caroline Muriithi ....nohinya
@joiceanne8195
@joiceanne8195 5 жыл бұрын
@@jennyjayne5745 .....maaa
@winniemwash44
@winniemwash44 5 жыл бұрын
Mwanaume anizalishe mtoto kisha Na yeye awe mtoto....reke remwo
@hannahwainaina286
@hannahwainaina286 2 жыл бұрын
😂😂ath mm haiya ath nguo kumfulia Ni aibu ya jirani tuuu😂😂wee digahota niee
@annnjogu972
@annnjogu972 5 жыл бұрын
Njenga wambui unapenda mombasa..
@annwanjiku9808
@annwanjiku9808 5 жыл бұрын
Ako na advice,, lakini kama mnafukuza wanaume after kusota,, hayo ni mapenzi kweli??? Kwa uchawi mko number 1
@ngethedavid142
@ngethedavid142 5 жыл бұрын
Kabisa naishi nao najua tabia zao
@raniasufi5847
@raniasufi5847 5 жыл бұрын
Kazi kutegemea tu lazybones
@easygirl5047
@easygirl5047 5 жыл бұрын
Njenga wa wambui ,, ..kafa gicagi ..
@محمدمحمد-ن7ط3ح
@محمدمحمد-ن7ط3ح 5 жыл бұрын
iko haja gani upewe mapenzi wakati uko na pesa na zikikosa unaluswa inje,si afathali bibi ysko mwenye hata anakulelea watoto wako na anakalisha boma angalao ukizeja uko na kwako,ile kitu ninamini nikwamba huwezi mambo zote,hawa wadigo niwavifu sana hawawezi kazi zingine nihio yakitanda tu,sasa wewe kaa hauna pesa nikutupwa inje naumezeka hata juu ulisahao wstoto wako ukifukuzwa unaona aibu kuludi nyumbani,unakufia huko kwa street.
@eunicemutinda2484
@eunicemutinda2484 5 жыл бұрын
Sisemi kitu Mombasa wacha tu kuna uncle yangu toka nizaliwe Hadi waleo hako huko,naniko na 30years .yeye ukuja tu kukiwa na Jambo kubwa na ukimuangalia na wale wanaishi shags better hao Mombasa weweeeee!!!!!!uko NO ooh
@rosemarymacharia9866
@rosemarymacharia9866 5 жыл бұрын
mi ni mkaaji wa Mombasa.wanayo to
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 5 жыл бұрын
Riu ni mwana nguoha pamper kana ni guthambia muthee 🤔,no athuria a thiku ici ona umwike atia no arihanya 🔫🔫wee tiga gutuhenia ona ithui ni tuwi wendo
@essnjrnjr3635
@essnjrnjr3635 5 жыл бұрын
But umaskini ndio more in Mombasa
@paulpogba4326
@paulpogba4326 4 жыл бұрын
kwani mambo ni kitandani tu
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 5 жыл бұрын
Hapo dada umeongea urongo mtupu....Tushaishi mombasa na twajua tabia zenu wa coastii kwa jumla...Wanawake kwa wanaume.....Kazi yenu nikutumia watoka mbaraa wakisha virisika mwa watupa nje...Tena uchawi mwapenda sanaaa nina prove..Rafiki yangu alikua na mpenzi kiume wa kingiriama alikua amemshika rafiki yangu na madawa asije akamuacha wala kufanikiwa..but dem ali suspect something was in the bush coz alikua akishikwa na maradhi mara kwa mara..kumbe alikua alishwa uchawi kwa chakula....So siku moja walipo maliza starehe zao za kitandani ...mchana before lunch dem akajifanya ati amelala...hapo ndipo aliona mambo...jamaa alikua ana mix hio dawa kwa chakula ili akiamka akule lunch..Kwenda kwenu kwa waganga ni kama kwenda hospitali...I say MOMBASA INA WENYEWE TEMBEA TARATIBU NA USIWE NA TAMAA wana mdomo mtamu sanaa Hahahaha utapewa mahaba ya kihindi hadi moshi utoka kwa mashikio ,,Mombasa raha wasema wenyewe Period!!
@kelbaleo9003
@kelbaleo9003 5 жыл бұрын
Uuui,am scared and the way I love coast.
@agathanyaguthii8034
@agathanyaguthii8034 5 жыл бұрын
ATI babaaa
@gracekimani627
@gracekimani627 5 жыл бұрын
Babaaa pia wewe jichunge
@priscillawanjiru7153
@priscillawanjiru7153 5 жыл бұрын
Shidwe reke nemwo
@charleskahuha8244
@charleskahuha8244 5 жыл бұрын
naenda mombasa
@kamrembomuthaka4645
@kamrembomuthaka4645 5 жыл бұрын
Napendezwa na nguo yako, but hapo kwa maongeo yako sija kwa amini kwa mapenzi
@billm7577
@billm7577 5 жыл бұрын
Mombasa pap mara that that
@saddamkhalifa2601
@saddamkhalifa2601 5 жыл бұрын
Jamaa wangu .. 06.00
@stephenmbotesm536
@stephenmbotesm536 5 жыл бұрын
Aki mombasa nitaenda uko
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 5 жыл бұрын
Maheni huyo mama anaongea mambo hakuna ni tumiti
@felistafrancis1162
@felistafrancis1162 5 жыл бұрын
Waaa it impossible to live like that because each an every partner have different rules and then not love because people they are busy with their work of searching for a daily bread
@gracemurimi4056
@gracemurimi4056 5 жыл бұрын
Iyo ni uongo ,madawa
@gideongathekiamkoloni5043
@gideongathekiamkoloni5043 5 жыл бұрын
Niì tiga nì waganu na ahiki ingìri na mwana 4
@chegechege1824
@chegechege1824 5 жыл бұрын
Aya ahiki a mombasa-ri nigute-ri 😂😂😂
@thomasmutero1911
@thomasmutero1911 5 жыл бұрын
Daah
@njerigachathi9247
@njerigachathi9247 5 жыл бұрын
Hawa wanaume tamaa itawauwa waingiza vidole pahali popote wanapoenda
@daniels9835
@daniels9835 5 жыл бұрын
Usiseme hivyo... kushikwa watu wanashikwa hata wanawake waolewa na hawajui na watu hawajui ni kwanini wako nao.
@wadaisy1397
@wadaisy1397 5 жыл бұрын
Aya akiri maraya
@wanjamaina267
@wanjamaina267 5 жыл бұрын
hawa wanawake wanajua mapenzi bwana haswa wadigo.hamna ya uchawi au nini.huwa nayaona kwa rafiki yangu.mwanamme mkisii alishasahau na yanyumbani
@florencek5736
@florencek5736 2 жыл бұрын
Hhhhhh
@perischarles2121
@perischarles2121 5 жыл бұрын
Njenga wambui ugucaria kuu wee tondu nduri mundu
@gideongathekiamkoloni5043
@gideongathekiamkoloni5043 5 жыл бұрын
RIP Kiswahili
@seiffullahmanyusi6982
@seiffullahmanyusi6982 5 жыл бұрын
Mama Aziza daaaah
@gladysmuriuki2054
@gladysmuriuki2054 5 жыл бұрын
They simply don't work they have all the time...
@hannahnjeringanga9902
@hannahnjeringanga9902 5 жыл бұрын
Wanawake wa Mombasa mwapenda kujisifu vile mwajua mambo ya kitanda ila uchawi lazima mtumie Nie guku ni Ngai wandutire tondu ona arume to ega
@eunicechege6839
@eunicechege6839 5 жыл бұрын
God
@ephansirush9810
@ephansirush9810 5 жыл бұрын
Mm nawachukia sana sioni urembo wao mimi wavivu hawajui penzi mdomo tu.wanateka wajaluo na wajinga wapenda wanawake
@susanw8926
@susanw8926 5 жыл бұрын
Hapo umeongea ukweli, wanaume ni kama watoto wadogo......hawatumii akili!!
@kelbaleo9003
@kelbaleo9003 5 жыл бұрын
Susan Wangui Don't generalize.There men who are hardworking and sober and not Pussy minded.
@edwardwairimu6717
@edwardwairimu6717 5 жыл бұрын
Watu wenye wanasema eti ni tumitii ni wale hawajui haya mambo,kubuka mapenzi ilianzia huko wanayajua sana
@pingwamum4015
@pingwamum4015 5 жыл бұрын
Nigutee
@karishmary9904
@karishmary9904 5 жыл бұрын
Ata urembeze kitanda aje si kimee ni kimeetu akuna kile kimekaangwa
#Nditimurano
1:22:27
Kameme Tv
Рет қаралды 4,1 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 65 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
Njohi thumu Leshau Pondo, Ndaragwa
3:08
Kameme Tv
Рет қаралды 3,5 М.
Day Break | Judge Lawrence Mugambi Security Withdrawn - Defense of Justice
21:56
BOI WA RIKIRATHA #Rikiratha
Kameme Tv
Рет қаралды 26
Life Advice from a 103 Year Old You Didn't Know You Needed
11:03
Sprouht
Рет қаралды 1,1 МЛН
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 371 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 65 МЛН