Mother in Law who received Money from South Africa narrates a twisted Story, Mama Shiru in trouble

  Рет қаралды 23,575

Easterntv

Easterntv

Күн бұрын

Пікірлер: 564
@NAOMIWANJIRU-ri4th
@NAOMIWANJIRU-ri4th 19 күн бұрын
Wah wah wah .....kusema ukweli mama ciku hana makosa .
@mamaboizpure842
@mamaboizpure842 19 күн бұрын
Kabisaa hana makosa this man choose her parents over her family
@rosemuthoni8109
@rosemuthoni8109 19 күн бұрын
@@NAOMIWANJIRU-ri4th ukweli kabisa ❤️
@rosemuthoni8109
@rosemuthoni8109 19 күн бұрын
@@mamaboizpure842 kapapa ka mom
@DorisMuriuki
@DorisMuriuki 17 күн бұрын
@@rosemuthoni8109 we are together
@mariagichuri7273
@mariagichuri7273 19 күн бұрын
Now I stand with mama shiku
@MthaMwalimu
@MthaMwalimu 18 күн бұрын
💯
@rosemuthoni8109
@rosemuthoni8109 17 күн бұрын
@@mariagichuri7273 pia mimi ❤️
@TeresiaMburu-u8t
@TeresiaMburu-u8t 19 күн бұрын
Me no matter what I will stand with mama shiku
@josephmwaura5254
@josephmwaura5254 19 күн бұрын
Naunga mkono mama chiku 100%
@rosemuthoni8109
@rosemuthoni8109 19 күн бұрын
Pia mimi
@Grace-ji9ul
@Grace-ji9ul 19 күн бұрын
💯💯💯
@agnesmutindi3094
@agnesmutindi3094 18 күн бұрын
Kabisaaaa
@elizanyaga3502
@elizanyaga3502 18 күн бұрын
Me too 💯💯
@annmwaura4426
@annmwaura4426 19 күн бұрын
Huyu mother-in-law amepitishia mama Ciku so much pain...😢😢😢
@rosemuthoni8109
@rosemuthoni8109 19 күн бұрын
@@annmwaura4426 kabisa
@BrianNjeri-y9b
@BrianNjeri-y9b 18 күн бұрын
True
@ANNEMAKA-j4r
@ANNEMAKA-j4r 19 күн бұрын
You see,i still stand with mama shiku
@loseeal3440
@loseeal3440 19 күн бұрын
Wewe mama wacha kusema mama shikuu ni maraya pia wewe umezaa hiyo sio maongeo ya mama kama wewe sema hukua unampenda but wacha matusi.nkt😢
@BethCera
@BethCera 19 күн бұрын
Mungu tuepushe kutokana na mother inlaw shetani kama huyu
@aomealaome4933
@aomealaome4933 19 күн бұрын
Kijanaa uliaamini mama yako ona sasa utakufa na stress Kenya ..Alf upate S.a kilikurambaa 😂😂
@DorisMuriuki
@DorisMuriuki 19 күн бұрын
Huyu niwale mother in laws kisirani...😂😂😂 😂😂
@njerimaina4207
@njerimaina4207 19 күн бұрын
Kabisa
@DorisMuriuki
@DorisMuriuki 17 күн бұрын
Huyu ni kisirani sio mother in law,,,una mrembeshea jina
@DorisMuriuki
@DorisMuriuki 19 күн бұрын
So ni ukweli hakuna pesa huyu kisirani 😂 alikuwa anapatia mama Shiru 😂😂😂
@elizanyaga3502
@elizanyaga3502 19 күн бұрын
😂😂pesa cucu alikula
@FatumaJeneby
@FatumaJeneby 19 күн бұрын
1)WEWE NIMZAZI GANI 2) ETI-WAKANISA 3) ULIPEWA PESA-UMMPE 4) UKA-ZIKULA WEWE 5) NA-UKMVUNJIYA KIBANDA😂 "WQLITARAJIA AFANYE NINI??"
@isabellaimbaya8418
@isabellaimbaya8418 19 күн бұрын
𝘼𝙩𝙖 𝙨𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙣𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙄𝙎𝙄𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙩𝙪𝙪𝙪
@DorisMuriuki
@DorisMuriuki 17 күн бұрын
@@FatumaJeneby mzazi mzuri hategemei mtoto,,,mtoto aki jinjenga ndio raha ya mzazi.......huyu kama ni mamako hata laana hauwezi pata........but wewe unaweza mlaani ata azae last born na 90 years..to expose the evils
@DorisMuriuki
@DorisMuriuki 17 күн бұрын
Ghasia yeye
@Emily-xk4jc
@Emily-xk4jc 19 күн бұрын
Uyu mama sio mzuri
@simonmuchiri1560
@simonmuchiri1560 19 күн бұрын
Very selfish and evil mother in law.....my God have mercy .This mama shiko wasted her own son.waaaaah my God have mercy.
@damarismacharia256
@damarismacharia256 19 күн бұрын
What a parent?! If this are the parents we have to seek advise and guidance from in the society then may God arise in the name of Jesus.
@winskitchen.602
@winskitchen.602 19 күн бұрын
Wacheni mama shiku akae maisha yake na bwanake please, hapa hapaezi kalika😂😂😂😂huyu mama in law ni mnoma sana
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 19 күн бұрын
Haki huyu mama pesa ni shetani what a family this mama also fighting with husband over the same money. Just go back to south Africa and start again you have lost everything in Kenya
@eunitakesio
@eunitakesio 18 күн бұрын
Makosa ni kwamba huyu mwanaume alijenga Kwa mwanaume mwenzake but shiko Hana makosa
@EUNICEWANGARI-w8u
@EUNICEWANGARI-w8u 17 күн бұрын
Hahaha ni kiberiti ngoma at bwana yake amemchoka😂
@Rachel-j2b
@Rachel-j2b 19 күн бұрын
Mama Chiku is saying the truth she never had help from this man and his mum. Clearly the parents have been enjoying their son’s money. Baba Chiku mlezi ndiye alijenga
@irinewachira6589
@irinewachira6589 19 күн бұрын
Very true. Mama ciku has been telling the truth all along
@PurityMusyoka-h5z
@PurityMusyoka-h5z 19 күн бұрын
Mnaespect huyu mama aseme mama shiku n mzuri kweli wakati ndiye anatumiwa pesa yy mwenyewe
@marywanguimburu2359
@marywanguimburu2359 19 күн бұрын
So is true huyu mother in law hakuwa anampea pesa
@winskitchen.602
@winskitchen.602 19 күн бұрын
Ile ukora iko wazazi wetu ni mingi sana, imagn someone staying in South africa for 10 years, sending money back home but no investment that was made😢😢😢😢
@evangelinemunene
@evangelinemunene 19 күн бұрын
Kanisa gani hiyo jameni acha kuaibisha kanisa...
@sallykirubi3250
@sallykirubi3250 19 күн бұрын
That's why Mama shiku did that aki never blame someone
@Userantelope
@Userantelope 19 күн бұрын
Very evil mother in law. Mother in law has admitted to only giving mama ciku money for only 3 months . Baba ciku has a wife in South Africa 🇿🇦. Mother in law admitted they spent the money with father in law and spent the left overs on food na father in law is spending the rest kwa mungetho. Baba ciku wa SA, kanyanga kubwa kubwa.
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 19 күн бұрын
Mother inlaw from hell
@larcoviaridgesrealtors2677
@larcoviaridgesrealtors2677 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 18 күн бұрын
@@Userantelope baba chiku go back to south Africa and start life a gain consider the 10 yrs wasted
@halimacute
@halimacute 19 күн бұрын
Ten years imeenda hivyo,hakuna family hakuna mali shamba pia imeenda na umri pia ni usiku asemavyo pastor Ezekiel 🙆
@wamzy1110
@wamzy1110 19 күн бұрын
Baba shiku wa SA alikuwa anajiringa na mama yake. Sasa kimemuramba 😂😂😂😂😂. Mama shiku was telling the truth
@sandraawour
@sandraawour 19 күн бұрын
Mothers who are always against their sons wives just to collect money from thier son😢😢😢too sad and shameful
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 19 күн бұрын
Very shameful evil mother why misuse your own son
@athulumargaret8372
@athulumargaret8372 18 күн бұрын
narcissistic mother in aw.. She's a pathological liar too!Bwana suruali...where was he for ten years!
@hezronmotari3662
@hezronmotari3662 19 күн бұрын
It is true mama shiko hakupewa pesa, it is also true pesa ya huyu jamaa haikutumika kujenga nyumba
@dancanomwenga1987
@dancanomwenga1987 19 күн бұрын
That is another side of the coin
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 19 күн бұрын
Ilijeka tumbo😂😂
@wacerahchege8
@wacerahchege8 19 күн бұрын
Mum saved her sons money in her stomach 😅😅
@johnorina5952
@johnorina5952 19 күн бұрын
Amenona kama nguruwe
@SalomeTumbo
@SalomeTumbo 19 күн бұрын
Wazizi wengine jamani bora agekua ana save pesa zake
@devinchysbeverages
@devinchysbeverages 18 күн бұрын
😅😅 you can tell by the size of it
@shadrackamani7675
@shadrackamani7675 18 күн бұрын
😂😂😂, it's in fixed deposit withdrawal is once a year. 🤔🤔🤣🤣🤣. He will get it. 🤣🤣🤣🤣
@nerinchumba5328
@nerinchumba5328 18 күн бұрын
Karibu niandike kitu.woiii 😂
@euniceberggren6359
@euniceberggren6359 19 күн бұрын
Huyu mama ni mkora pia. Angeambia kijana wake ndio asikuwe anatumia hizo pesa zote. Alinyamazia ndio akue anatumiwa pesa anakula.
@esausadia
@esausadia 19 күн бұрын
Mother inlaw amekula 5,850,000
@euniceberggren6359
@euniceberggren6359 19 күн бұрын
Mother doesn't have a heart and compassion on her own son. Alikuwa anakula 100,000 making his son to believe that anapatia wife 50,000. Mother inlaw is to blamed
@kyllakoki9609
@kyllakoki9609 19 күн бұрын
Hata kama ni mimi nikiwa na inlaw kama huyu naolewa. Nkt gitumia gikigu na kihii giake. NKT
@anastaciamurungi8150
@anastaciamurungi8150 19 күн бұрын
It's now clear that the house hasn't been built by the son... his a deadbeat dad
@paulmoyo3641
@paulmoyo3641 19 күн бұрын
alirogwa na mama yake katika umri wake kuwa huru kabisa juu yake. Most women are very selfish and evil they don't want to let go of their kids.
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 19 күн бұрын
Inviting 2 men in one house one home trouble
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 19 күн бұрын
Ukweli kabisa huyu mke ndio pia Bure kabisa ana Tamaa
@Ratio-s3g
@Ratio-s3g 19 күн бұрын
Ukuyu ladies tabia mbaya 80%.
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 19 күн бұрын
@@mjombawallace4966 fear kikuyu ladies
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 19 күн бұрын
@Ratio-s3g saana wanaume hawana shida
@josephwaweru439
@josephwaweru439 19 күн бұрын
Woooiye 😂😂😂😂 💔 Mimi heri nikufe kama dunia ndio hii mama yako anakufanya hivi 😢😢😢😢
@SharonJira
@SharonJira 18 күн бұрын
Woiiiiiiiiii 😢😢😢wazaz walimuosha uyu na muosho mmoja wueeeeeeh sasa ataanzia wapi ju umri umeenda na familia ndio hio imeenda 😢😢😢aki
@Roz-m2z
@Roz-m2z 19 күн бұрын
Adai mamake alificha kijana hivi ndio manawato wanatoka kwao mamako amekutafuna amekuficha unawacha bibi angalia unachezewa
@judykamau6121
@judykamau6121 19 күн бұрын
Grown-up man sending his savings to his mum. Na aliacha watoto😅
@nashryans7727
@nashryans7727 19 күн бұрын
Shame on him😂
@Rachel-j2b
@Rachel-j2b 19 күн бұрын
@@judykamau6121 imagine that!
@rebeccahkithi4875
@rebeccahkithi4875 19 күн бұрын
Ng’ombe ya mwanaume. How can you stop taking to your wife for 10yrs. You were like married to your mother not mama Shiku.
@beatriceawuor3077
@beatriceawuor3077 19 күн бұрын
Surely
@elizanyaga3502
@elizanyaga3502 19 күн бұрын
imagine 😂😂😂😂
@wilsonkamau1215
@wilsonkamau1215 19 күн бұрын
To be honest the problem started with these mum all in the name akuwe anachukua hiyo pesa ya kijana these happened with me when I married mama hakumkubali my wife coz alijua pesa yenye alikuwa anapata hatakuwa anapata
@rahabmaina3240
@rahabmaina3240 19 күн бұрын
Huyu mother inlaw ni mofire mwaki but amesema ukweli hakumpee mama shiku pesa kinjana rudi south Africa ukakee na hiyo familia uko nayo huko
@CharityWachira-zw9cf
@CharityWachira-zw9cf 19 күн бұрын
Huyu mwanaume ni burukenge.bure kabisa
@hezrolangat6010
@hezrolangat6010 19 күн бұрын
Pia huyu mama amechangia hi shida
@serahnjoroge9640
@serahnjoroge9640 18 күн бұрын
Lord I pray that I will be a blessing to my daughter in-law and my children. Mama Shiku I wish you told the two guys the truth. It would have set you free. The second guy for sure loved and trusted you.
@mercykimani9741
@mercykimani9741 19 күн бұрын
😂baba ajenge nyumba Na mama Ajenge tumbo Ngai
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 19 күн бұрын
Parents from hell
@johnorina5952
@johnorina5952 19 күн бұрын
Mama alijenga tumbo
@floramumbua3393
@floramumbua3393 19 күн бұрын
Huyu mama hawezi kaa na daughter in law
@GithamboWanjiru
@GithamboWanjiru 19 күн бұрын
I can't imagine such parents
@judykamau6121
@judykamau6121 19 күн бұрын
@@GithamboWanjiru wako wengi
@Hannahmwangi-x3r
@Hannahmwangi-x3r 19 күн бұрын
God!huyu ni mama wa huyu mzee surely
@Jescah-d2c
@Jescah-d2c 19 күн бұрын
Waaaaaah 😢😢 so mama was this wicked,mama shiku pole.
@angelkurikuki1078
@angelkurikuki1078 19 күн бұрын
That means SAfrica man has been sending money for mjengo the patents benefited
@sky-nj1nq
@sky-nj1nq 19 күн бұрын
Imagine he must marry again and start with diapers...but was supposed to communicate with mama ciiku to hear her side of the story...
@jameskaamu8250
@jameskaamu8250 19 күн бұрын
Mwanaume mjinga mm sioni haja ya uu utoto
@JanetJanetaumawandera
@JanetJanetaumawandera 19 күн бұрын
Mungeenda na mama shiro bt mama shiro kitu alikosa ni kujenga kwa shamba ya baba shiro angenunua kwingine😢😢😢sasa ona
@joyngai7802
@joyngai7802 19 күн бұрын
Aliuza hio shamba kwa current husband na ikaandikwa jina lake. So huyo wa SA ndiye the looser.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 19 күн бұрын
​@joyngai7802 Loser aje ?! How did she transfer the Title to her name ? Mother Title iko Jina ya nani ? hii maneno sio rahisi hivo 😢
@JohnTomask
@JohnTomask 19 күн бұрын
Mama shiku is right God guidance
@jassgachogu5873
@jassgachogu5873 17 сағат бұрын
GOD Help our women who married who get such families
@mercywambui6392
@mercywambui6392 18 күн бұрын
Iam happy baba No 2 has won already 🎉
@agnesmutindi3094
@agnesmutindi3094 18 күн бұрын
Mama shiku, nakuunga mkono 100%
@EuniceMacharia-l3x
@EuniceMacharia-l3x 19 күн бұрын
😂😂😂😂 kwa hivyo ako na bibi mwingine period no debate
@sky-nj1nq
@sky-nj1nq 19 күн бұрын
Am in S.A. and most men do that...they leave their wives back home and start other relationships here...and when they are well established they disappoint either... Hiyo ni kawaida ya wanaume ...hata huko kenya wana sidechicks... If he was serious with ma ciiku he was supposed to communicate regularly...He was wrong...
@freeliketrips9063
@freeliketrips9063 19 күн бұрын
Baba ciku funguka macho Even wazazi wanakukulia kwa mfuko kaa njugu karang'a
@marymaina5245
@marymaina5245 19 күн бұрын
Mama shiku said the True, mother in low Never give her anything no money
@annmwaura4426
@annmwaura4426 19 күн бұрын
SA guy Sasa aache mucene. Alitupa mama Ciku kitabo
@janechege1550
@janechege1550 19 күн бұрын
Habari ndio hioooooo mama hakuna pesa alikuja anapatia mama chiko Rudi soutafrica period
@floramumbua3393
@floramumbua3393 19 күн бұрын
Huyu mama inaonekana hakuna anampenda mama ciku, mama mzee hana adabu sio vizuri kutaja jina ya Malaya na uko na wajukuu, chunga mdomo waiwe wakue Zaidi ya huyo mama
@sarahwanjiru191
@sarahwanjiru191 19 күн бұрын
Very shameless of her.
@wacherakinyua784
@wacherakinyua784 19 күн бұрын
Rudi SA, listen to him saying that his parents love him yet they've destroyed his family. yes wamemkosea !vibaya sana! lakini you can't arrest your family for stealing from you..watu wanakaa tu starehe wakikula jasho yake for 10 years with nothing to show for it
@bettygatwiri3612
@bettygatwiri3612 19 күн бұрын
I support mama shiku😂
@maggieshi690
@maggieshi690 19 күн бұрын
10years ni mingi harafu huna kitu chochote wah😢😢😢mathy hapo umekosea sana
@MwendeJustus
@MwendeJustus 18 күн бұрын
Mama shiku congratulation,uli fanya ivo
@rogerslubanga5955
@rogerslubanga5955 19 күн бұрын
Mama shiko hana makosa
@Ratio-s3g
@Ratio-s3g 19 күн бұрын
Mama ni l Clean 100%
@PurityMusyoka-h5z
@PurityMusyoka-h5z 19 күн бұрын
Sasa mmesikia mama mkwe akisema vizuri hakuwa anapea mama shiku pesa alaf mnamlaum mama shiku
@serahnjoroge9640
@serahnjoroge9640 18 күн бұрын
Oooooooh God, this mother, I pity this man.
@rackelturner6727
@rackelturner6727 19 күн бұрын
This mother in law ndio kisirani.
@joycewaweru5287
@joycewaweru5287 19 күн бұрын
Wueh! Kimemramba mzee wa SA
@risperk1657
@risperk1657 19 күн бұрын
Hakuna pesa mama Shiku alikuwa akipokea from this mother
@cewaki799
@cewaki799 18 күн бұрын
the evil mother in law 💔💔💔
@PhilisKundu
@PhilisKundu 19 күн бұрын
Uwongo we mama
@tribolchif578
@tribolchif578 19 күн бұрын
My opinion, wazazi WA huyu Mzee WA s. Africa ndo wamekula pesa ya mtomto wao
@johnorina5952
@johnorina5952 19 күн бұрын
Amenona kama nguruwe
@paulmoyo3641
@paulmoyo3641 19 күн бұрын
😂😂🎉​@@johnorina5952
@sweetheart6813
@sweetheart6813 19 күн бұрын
Mzee rudi SA ukatunze uyo bibi ako ko kimekuraba 😂😂😂😂😂
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 19 күн бұрын
Mama shiko ni mkweli
@rachaelmusya6635
@rachaelmusya6635 18 күн бұрын
Aliens yeye anajenga mwili, si Mnaona mwili yake? Evil woman ata uwezi kujali wajukuu wako? Kweli ulikula na ukakulia kijana wako na familia yake, there’s always something with in-laws!! Wapi likes za mama ciku??
@maggieshi690
@maggieshi690 19 күн бұрын
Sanitize huyo mama tena may be ako na wengine 😢😢😢ujue ukweli kama alikua mtu wa wanaume
@sophien6608
@sophien6608 19 күн бұрын
Mother in law ndiye aliingilia mama ciku and I think mother inlaw anamwekelea mama ciku. Yeye kweli tuna ame njenga tumbo kabisa. Mimi siezi kula pesa ya my daughter in law kutoka kwa son yangu NO. Mother in law hakuna ukweli she is the one who started the fire.....
@anngithinji7109
@anngithinji7109 19 күн бұрын
Mzee NO. 1 kimemuramba, mama Ciku I support you 😂😂😂
@georgemwanzia8099
@georgemwanzia8099 18 күн бұрын
Man U inapiga mtu kwa background
@waa242
@waa242 19 күн бұрын
right now me am enjoying Christmas alone been married for 26 years my hubby and children travelled, fear inlaws,siongeangi sana but there's GOD IN HEAVEN
@sky-nj1nq
@sky-nj1nq 19 күн бұрын
Congrats...26 yrs not a joke...all the best in yrs to come.
@JohnSirengo
@JohnSirengo 19 күн бұрын
😂😂😂😂 me two 15 years
@judykamau6121
@judykamau6121 19 күн бұрын
Umeona vile ameshona😅
@AthumaniSeleimani
@AthumaniSeleimani 19 күн бұрын
Mama inaonyesha tokea mwanamke anaolewa alikuwa hamtaki kwahiyo hapo hamna jipya hapo
@christineelizabeth1933
@christineelizabeth1933 19 күн бұрын
So Mama shiku na ongea ukweli,baba mlezi yeye ndio amepambana kunjenga, that mother in law she is so wicked amekula pesa ya kijana yake ndio maana amenona kama nguruwe
@omanoman2044
@omanoman2044 19 күн бұрын
Mungu wangu wazee kumbe ndo wamekula pesa
@Quincy27464
@Quincy27464 18 күн бұрын
Mother in-law from hell😢
@Roz-m2z
@Roz-m2z 19 күн бұрын
Mama ata afikiri wajuku haya umesikia mama akona mutu sauth afrika angalia ten uongo na bibi wakora
@beatricewanjiru1110
@beatricewanjiru1110 18 күн бұрын
She said the truth !she didn’t receive any money
@davidkimani7268
@davidkimani7268 19 күн бұрын
Pole bro - Your father squandered all the money you were sending
@nicetamwaniki6172
@nicetamwaniki6172 19 күн бұрын
Baba siko my mum namuamini sana 😂😂😂
@faithgathoni3997
@faithgathoni3997 19 күн бұрын
Hows mama abigael sama ,pls update
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 19 күн бұрын
Kwana huyu Mama hapendi Mama shiku...na pesa hakuwa akimpatia
@Mercy-f9r
@Mercy-f9r 19 күн бұрын
Kwani kucheka na wanaume ni vibaya uweee dio maana nachukia wakikuyu aki
@RashidAsmani-h3w
@RashidAsmani-h3w 19 күн бұрын
Kunacheka nakucheka cheka na wanaume na wee ni bibi ya mtu, ni mbya lzma kue na boundary ,
@SoziSozi2020
@SoziSozi2020 19 күн бұрын
mzee wazazi wamekula pesa yote wachana na mama chiku alipata mbana ludi ukatafute pesa zingine 😂😂😂😂
@ruthwambuigichohi4138
@ruthwambuigichohi4138 19 күн бұрын
Standing with mama shiku
@victormaina9343
@victormaina9343 18 күн бұрын
😱😱😱 Omg this mother in law is dangerous she's wicked...enyewe mama Shiku alipitia mengi ata kama yuko na udhaifu, mapungufu yake!!!
@leahwanjiku3566
@leahwanjiku3566 19 күн бұрын
Mama ame ropokwa so pia..mama hapendi mama....shiko ndio maana ali mfukuza na pesa ni 3months tu
@samuelkariungi6289
@samuelkariungi6289 19 күн бұрын
It's true that the wife was abandoned by the parents in law and the husband.
@omanoman2044
@omanoman2044 19 күн бұрын
Sasa hiyo kilugha yenu kwn tunaelew mbon hamj8tambui
@joyngai7802
@joyngai7802 19 күн бұрын
Some parents are very toxic.
@damarismacharia256
@damarismacharia256 19 күн бұрын
Very very toxic
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
GĨIKARO NA PASTOR DORCAS RIGATHI
13:13
Inooro TV
Рет қаралды 132 М.
AT FIRST PEOPLE NEVER  UNDERSTOOD MY CHARACTER MAMA EDU
1:01:51
JEFF KURIA
Рет қаралды 44 М.
If this is marriage then Till death is better 🔥🔥🔥🔥
27:46
COMRADES FLAVOUR
Рет қаралды 84 М.