MOTO WA MAOMBI.. MID - NIGHT PRAYER LIVE WITH PASTOR SARAH.

  Рет қаралды 17,231

the VERILY tv

the VERILY tv

Күн бұрын

Пікірлер: 260
@esthermacharia1770
@esthermacharia1770 8 күн бұрын
Thk you God for fighting all my battles ad gave me victory in all areas in Jesus name. Lucy nduta
@StephenOchudang
@StephenOchudang 20 күн бұрын
Watching from kahawa wendani Amen tunapokea nyota ya mambo, ufaninzi
@JuliusMuli-j8s
@JuliusMuli-j8s 8 күн бұрын
Katika jina la yesu naomba maisha yangu ibadirike na mwanangu Sarah mumoazigirwe na ndamu ya yesu namini pastor
@BHOKERAEL
@BHOKERAEL 3 күн бұрын
Nipiganie yesu usiku huu mimi ni mdhaifu nipe nguvu baba...nipe ushindi mungu wangu nimechoka na hii kazi nadharauliwa sana bwana yesu ..nifungulie mungu nitoke chini niende kiwango kingine jehove ..maroho ya uchawi,dharau ishindwe katika jina la yesu christo 🙏
@euniceomaore6442
@euniceomaore6442 20 күн бұрын
Npokee nyota ynfu masaa haya naombe npikee kibali ya uombezi thank you Jesus 🤲🏼🤲🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@idahmwongeli1799
@idahmwongeli1799 7 күн бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@EmilyBosibori-pz2wf
@EmilyBosibori-pz2wf 6 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@FaithNanga-k8m
@FaithNanga-k8m 4 күн бұрын
Watching from Ahero. Amen napokea Nyota ya maombi Katika jila la yesu kristo
@euniceomaore6442
@euniceomaore6442 20 күн бұрын
Amen Mungu npigania pamoja n familia yngu take care for my daughter 🤲🏼🤲🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@janetkerubo-w2c
@janetkerubo-w2c Күн бұрын
Kupitia kwa maombi ya pastor Sarah mungu anikumbuke aniprotect huku gulf nifanikiwe kimaisha nirudi nyumbani salama
@Winnie-y6n
@Winnie-y6n Күн бұрын
Mungu nashukuru kwa yote umenitendea katika jina la Yesu..umeondo haibu kwa ndoa yangu mungu..naomba nyota ya masomo kwa watoto wangu mungu kupitia madhabau haya....mungu ukubuke kazi ya mikono yangu Amen Amen
@esthermacharia1770
@esthermacharia1770 8 күн бұрын
GOD. I thk you for you hav gvn me favour ad the spirit of success. You have answered my prayers in Jesus name. Lucy nduta
@AGRIPAULTV
@AGRIPAULTV 4 күн бұрын
Najiungamanisha na roho ya mombi ya paster Sala kwa jina la Yesu,AMINA
@Faith-y2r1y
@Faith-y2r1y 16 күн бұрын
Kupitia kwa maombi ya pastor Sarah mungu nifungue kutoka kwa roho ya madeni na visirani mungu nipe ndoa ya heshima
@ELIZABETHMueni-d2m
@ELIZABETHMueni-d2m 3 күн бұрын
kupitia kwa maombi ya pastor sarah baba ya mtoto wangu haachiliwe kutoka gerzani jabla ya kifungo chake kuisha katika jina la Yesu Kristo.Amen
@JuliusMuli-j8s
@JuliusMuli-j8s 8 күн бұрын
Pastor naomba maisha ibadirishwe katika jina la yesu na ndoa yangu ibarikiwe mwenye ananironga afe katika jina la yesu namwenye naturushia roo ya talaka iniodokee katika jina la yesu naomba
@ElizabethKasili
@ElizabethKasili 14 күн бұрын
I cover my children through this alter in jesus name roho ya uchawi kwa nyumba yangu naikemea kupitia new life in jesus name ameeen
@euniceomaore6442
@euniceomaore6442 20 күн бұрын
Akuna siraha itakayoinuka juu yngu na familia yangu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@IreneWanjiru-fz5du
@IreneWanjiru-fz5du 5 күн бұрын
MUNGU kupitia kwa hii maombi roho ya snails kila mahali kwa nyunba yangu niodolee katika jina la YESU AMEN
@perisndiritu4841
@perisndiritu4841 14 күн бұрын
I connect my self my husband Geoffrey Ndiritu my children Kelvin Muhara Bridget wanjugu Ruth mumbi na haya madhabahu siku ya Leo nguvu ya haya madhabahu imtafute yeyote anawidana na sisi apigwe na radi ya moto wa damu ya yesu ang'olewe uhai pamoja na madhabahu yake katika jina la yesu amen 🙏🏼
@MAGDALINEMWIKALIWAUSI
@MAGDALINEMWIKALIWAUSI 9 күн бұрын
Kupitia maombi ya pastor Mungu naomba uniponye Moyo Na aiondoe kizungunzungu in Jesus name
@elizabethkim6456
@elizabethkim6456 20 күн бұрын
Kupitia kwa maombi ya pastor Sarah nifunguliwe na nyumba yangu..Prisca na bwanake maroho ya hali na mwakikaji wa damu upotee kupitia kwa hata maombi..
@JantrixJuma
@JantrixJuma 9 күн бұрын
Maisha ya watu wa familia yangu yabadilike katika jina la yesu christo
@elivllahmoraa
@elivllahmoraa 11 күн бұрын
Fungua maisha yangu, ya Mume wangu Raymond na mwanangu Nelly in Jesus name 🙏
@sabinanzioka3257
@sabinanzioka3257 4 күн бұрын
Mungu wa mbinguni najiconnect na hii altar ukamponye Evn .Ile spirit naikemea katika jina la ayesi na yeyote ameusika ikamrudie
@CruzMasika
@CruzMasika 6 күн бұрын
All i desire this year is this Grace
@KhajehaLidiji
@KhajehaLidiji 10 күн бұрын
Naomba kupitia maombi ya pastor Sarah ,ifufue wimbo mpya ndani ya moyo wangu,urejesho was nyota yangu iliyoipiwa,urejesho was kazi,rejesho wa ndoa,afyia kwangu,watoto na mume wangu,urejesho wa masomo ya watoto wangu wawe akili Bali si mikia kwa masomo na shuleni,mipango ya kujenga na kutolewa mahali ufanikiwa kwa huu mwaka mpya,Mali ya babangu iliyopotea irejee,gari,mashamba,pikpki,poshomeal,ng,ombe na pia afyia take irudi ,ugonjwa was pressure umuondokee babangu,mamangu pia nyota ya biashara imurejeshee na alone ugonjwa wa alcers
@PrictaNtongai
@PrictaNtongai 7 күн бұрын
Thank you God for the protection,the results were amazing.Pokea sifa Jehovah
@euniceomaore6442
@euniceomaore6442 20 күн бұрын
Amen glory to God 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@IreneWanjiru-fz5du
@IreneWanjiru-fz5du 5 күн бұрын
MUNGU nyamazisha maadui zangu kwa jina la yesu kristo Amen
@esthermacharia1770
@esthermacharia1770 8 күн бұрын
May Yr favour ad grace be with me ad my families wherever we go.in Jesus name. Lucy nduta
@GraceMutua-m5d
@GraceMutua-m5d 10 күн бұрын
Yesu nehema Yako na uzuri wako unifuate thanks for financial break thru yesu zidi kunibariki na kuniongoza kwa jina la yesu kristo
@MitchellKachagira
@MitchellKachagira Күн бұрын
Kupitia kwa maombi ya pstr Sara naamini nitafunguliwa na nyumba yangu na jamaa zangu, mungu nitendee kupitia kwa haya maombi
@teclakirui1981
@teclakirui1981 20 күн бұрын
Neema na kibali yako itue juu yangu,neema ya maombi na kufunga iachiliwe kwa maisha yangu
@elidhermagoma6285
@elidhermagoma6285 10 күн бұрын
Kupitia maombi haya roho ya magonjwa iniondoke kwa Jina la Yesu Amen
@catherineSidi
@catherineSidi 12 күн бұрын
I connect my self to the higher alter nifunguliwe kiroho nipate nguvu za kuomba zaidi
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Nimalize maisha yangu salama. Nisaidie yesu. Nioshe. Kila misukosuko. Kwa jina la yesu
@jacklinecherotich-wo6pv
@jacklinecherotich-wo6pv Күн бұрын
Wazazi wangu ,watoto wangu familia yangu yote naikabidhi mkonono mwaka Jehovah
@teresaokuku2719
@teresaokuku2719 20 күн бұрын
Asanti kwa maombi tume funguliwa ameeeeern
@BHOKERAEL
@BHOKERAEL 3 күн бұрын
Kupitia haya madhabahu ya new life usiku huu naomba mungu anifungulie njia za mafanikio katika jina la yesu
@JacklineKituku-j8k
@JacklineKituku-j8k 6 күн бұрын
I connect my self together with my family, my hubby Antony,my son samuel mboshi,David mboshi, Alicia ngoiri
@teresaokuku2719
@teresaokuku2719 20 күн бұрын
Thanks pasta kwa maombi
@VivianAyuma-s8u
@VivianAyuma-s8u 13 күн бұрын
I claim back my peace,my happiness, trustworthy and love in my marriage and in my life.
@PaulineKiilu-lr7fi
@PaulineKiilu-lr7fi 20 күн бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen I receive it in jesus might name
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Yesu naomba baraka zangu irejeshe. Ndoa. Afya. Nyota. Irejeshe. Kwa jina la yesu
@ElizabethKasili
@ElizabethKasili 14 күн бұрын
Watching from kahawa west kasarani amen
@catherinemaganga4273
@catherinemaganga4273 3 күн бұрын
Kupitia maombi ya pastor Sarah niponye magoti yangu na nifunguliwe kiuchumi
@margaretmbithe2239
@margaretmbithe2239 12 күн бұрын
I connect my family to this higher alter in Jesus Name.
@PaulineKiilu-lr7fi
@PaulineKiilu-lr7fi 20 күн бұрын
Na nyamazisha maadui zangu katika jina la yesu
@Winnie-n8g
@Winnie-n8g 19 күн бұрын
Bwana niogoze nishide vita niponye katika jina la yesu
@Faith-y2r1y
@Faith-y2r1y 16 күн бұрын
Mungu nyamazisha madui wangu kwa jina la yesu kristo
@EmilyBosibori-pz2wf
@EmilyBosibori-pz2wf 6 күн бұрын
Mungu mponye bwanangu akapende maombi naumponye kifenda watoto wapone pesa zake sifanye kitu kwa jina la yesu
@ElizabethNaanyu
@ElizabethNaanyu 12 күн бұрын
I connect my husband Albert my children Victor n john tu this altering Jesus name
@JoelDodi-k6j
@JoelDodi-k6j 16 күн бұрын
Kupitia kwa hi maombi ya pastor Sarah nifunguliwe kifedha
@IreneWanjiru-fz5du
@IreneWanjiru-fz5du 5 күн бұрын
MUNGu nakuomba kupitia kwa hii maombi ya mtumishi wako hii mwaka ya2025 unikumbuke nipiganie kwa maadui zangu,wanaoniwada mimi na mume wangu na watoto wangu,roho ya mauti Dani ya familia nyangu niodolee monitor sprit tuodolee Amen
@helenmaina3789
@helenmaina3789 2 күн бұрын
Kupitia Kwa maombi hii ya paster Sarah ni funguliwe mimi na nyumba yangu
@esthermacharia1770
@esthermacharia1770 8 күн бұрын
God gv back life to all that was killed ad barren in my life ad my family for Yr glory. Nduta😊
@jalalakashindi2158
@jalalakashindi2158 6 күн бұрын
Mungu nifunguwe kwa wachawi wapigwe naradi yamoto wa yesu
@TasmanMayende
@TasmanMayende 16 күн бұрын
I receive receive amen and amen more bless to you mum❤❤❤❤❤
@PrictaNtongai
@PrictaNtongai 7 күн бұрын
Naomba wimbo mpya Kwa kinywa Mwangi ,naomba kunarikiwa pamoja na nyumba yangu
@ClareNanjala-c5m
@ClareNanjala-c5m 14 күн бұрын
Kupitia maombi ya pastor Sarah nifunguliwe kwa ndoa yangu na kiafya
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Naitaji nguvu. Naitaji kubarikiwa. Na itaki mume. Kwa jina la yesu
@esthermacharia1770
@esthermacharia1770 8 күн бұрын
May Yr blessings Lord now follow me ad my children all the days ad nights in Jesus name. Nduta
@jacklinecherotich-wo6pv
@jacklinecherotich-wo6pv Күн бұрын
Nakuitaji katika maisha yangu Jehovah,,,
@mildredgogo1441
@mildredgogo1441 10 күн бұрын
I conect my husband and family to this alter
@EverlyneWechuli-z2l
@EverlyneWechuli-z2l 11 күн бұрын
I connect my family's to the alter of God in jesus name
@zeddyjelagatkibet7
@zeddyjelagatkibet7 4 күн бұрын
In the mighty name of jesus my daughter chebet to be delivered in jesus name
@PaulineKiilu-lr7fi
@PaulineKiilu-lr7fi 20 күн бұрын
I receive it in jesus might to my husband
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Kupitia maombi Aya. Uniponye. Kwa jina la yesu
@ElizabethKasili
@ElizabethKasili 14 күн бұрын
Naomba mungu kupitia hii madhabau wasichana wangu wapate ndoa iliyo na heshima
@neemalety5600
@neemalety5600 9 күн бұрын
I connect my mum in this high altar of God proclaiming healing
@CatherineOmwenga-n1b
@CatherineOmwenga-n1b 6 күн бұрын
Amen
@rostilechepngenoh-gq2hm
@rostilechepngenoh-gq2hm 9 күн бұрын
I connect myself to this higher alter
@jacklinecherotich-wo6pv
@jacklinecherotich-wo6pv Күн бұрын
Asante mungu Kwa kuniponya usiku kama huu
@margaretkamene5999
@margaretkamene5999 4 күн бұрын
Sickness not my portion..heal me god..amen
@MaryKamenya-f9p
@MaryKamenya-f9p 3 күн бұрын
Msako wadamu yayesu wamoto upite kwenye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara yangu ifunguliwe upate wateja wengi napesa nyingi nyota yangu ingare kimataifa biashara ndoa
@JuliusMuli-j8s
@JuliusMuli-j8s 8 күн бұрын
Pastor naomba sprite of hasband ingolewe katika jina la yesu na mchawi wangu ukupe saa hii
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Nifundishe kupigana vita. Kwa jina la yesu
@LucyKalama-v5e
@LucyKalama-v5e 4 күн бұрын
Kupitia maombi yako mama naomba nifunguliwe nitolewe stress depression Kila saa naomba niregeshwe ufaham wangu
@jalalakashindi2158
@jalalakashindi2158 12 күн бұрын
Mungu nikumbuke pamoja nafamilia yangu
@AnaMariana-x4b
@AnaMariana-x4b 15 күн бұрын
Amen glory to god protect me lord and dosomething new toy life
@MaryKamenya-f9p
@MaryKamenya-f9p 3 күн бұрын
Mama naomba mungu anipe wateja wengi napesa nyingi nyota yangu ingare kimataifa biashara ndoa
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Naomba mwaka huu nipate mume kwajina la yesu
@margaretkamene5999
@margaretkamene5999 19 күн бұрын
Niondolea ndoto mbaya na pia nipate pesa.amen
@SofiaMramba
@SofiaMramba 20 күн бұрын
Pastor Sarah ninaimani nitakurudishia nyota yangu na mwenzangu aliyekuwa aliniahidi kuniowa na mahusiono yetu yakavunjika juu ya uncle Yake ndo aliharibu
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Nimemuona yesu. Kwa mazabau. Haya. Ameniponya. Kizazi. Kwa jina la yesu
@PaulineKiilu-lr7fi
@PaulineKiilu-lr7fi 20 күн бұрын
Amen I receive it in jesus might
@JantrixJuma
@JantrixJuma 9 күн бұрын
Jariel afunguliwe na apate choo chake kikubwa kupitia haya maombi leo leo katika Jina la Yesu christo
@enestinerwambuikletke2587
@enestinerwambuikletke2587 5 күн бұрын
Moto wa maombi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PaulineKiilu-lr7fi
@PaulineKiilu-lr7fi 20 күн бұрын
Yes yes yes hautawahi fanikiwa YES
@VionaChemtai
@VionaChemtai 2 күн бұрын
Usiku huu wa Leo naomba maishà ya family ya tom mungu uwa ponye
@Simplesymonke
@Simplesymonke 20 күн бұрын
Ameen Thanks Admin
@PeterKatunge-i5u
@PeterKatunge-i5u 10 сағат бұрын
I receive new power in Jesus name
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Nitumie kukomboa familia ya ngu. Kwa jina la yesu
@esthermacharia1770
@esthermacharia1770 8 күн бұрын
GOD. by this my altar sacrifice of grace to succeed in the hse I am renting out today adall other businesses I will doincludong all my family members in Jesus name.lucy nduta
@MaryKamenya-f9p
@MaryKamenya-f9p 3 күн бұрын
Msako wadamu yayesu wamoto upite kwenye biashara iondowe kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara yangu iondowe kitu kinchozuia wateja kuingia kwanye biashara nipate wateja wengi napesa nyingi nyota yangu ingare kimataifa biashara
@zeddyjelagatkibet7
@zeddyjelagatkibet7 4 күн бұрын
Jesus rejesha nyota ya chebet, albert na kiprono
@SaminiMacrina
@SaminiMacrina 10 күн бұрын
Kupitia maombi Haya ya pastor Sarah nfunguliwe Leo Tendai Jambo usahangaze namacho yao
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Nifunguliwe. Kwa jina la yesu
@judithshitinya763
@judithshitinya763 20 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@jacklinecherotich-wo6pv
@jacklinecherotich-wo6pv Күн бұрын
Johovah ponya ndoa yangu mwaka wa huu
@HaronWanjila
@HaronWanjila 9 күн бұрын
Amen and my house 🏡 and my family my Job
@EmmaculataSilasi
@EmmaculataSilasi 4 күн бұрын
Tawala. Maisha yangu kwa jina la yesu
@teclakirui1981
@teclakirui1981 20 күн бұрын
Kupitia maombi ya pastor Sarah nifunguliwe, niongoze, inifundishe,yanifungue,mimi n family yangu
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 209 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 287 М.
NJAMBA YA NYUMBA....MAMA EDU ORIGINAL,, WARIGIA,,BABY PATIENCE....
1:58:04
MAMA EDU ORIGINAL
Рет қаралды 179 М.
EZEKIEL ODERO, TEACHINGS ON HOW TO BE GOD'S GENERAL.
5:01
ProphetJeremiahMwaisaka
Рет қаралды 834
LIVE RECORDED SERVICE
3:47:28
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 22 М.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
MORNING GLORY PRAYERS SERVICE .WITH:PASTOR SARAH EZEKIEL
1:10:51
New Life TV KENYA
Рет қаралды 536 М.