No video

MSAKO | FULL MOVIE |

  Рет қаралды 130,093

KIM VEVO

KIM VEVO

Ай бұрын

#clamvevo #kimvevo #sengo #tanu #butua

Пікірлер: 78
@FatumaUchi-i7t
@FatumaUchi-i7t 17 сағат бұрын
Napnda Sandra n mwasi kidogo wanafanana u're very creative congratulations
@richardchristopher7141
@richardchristopher7141 Ай бұрын
Vigezo namasharti viko pw kabisa kwenye hii movie like kama tuko pamoja❤
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 Ай бұрын
But all in all kazi nzuri washiriki wote wameshoo love kwa moyo mmoja kabisa japo kwa wale ambao hawaja fit ni kwakua tuu uhalisia wao hauruhusu wao kua ktk seem hizo bravo✍️
@user-vy5xj6ip8o
@user-vy5xj6ip8o 6 күн бұрын
Nawakubali kumbe vipaji vipo
@NaomyBahati
@NaomyBahati 2 күн бұрын
Haijaishia patamu. Jaman 😅😅😅 kiufupi haijaeleweka mwishoni hapo
@FatumaJay-bx1qo
@FatumaJay-bx1qo 11 күн бұрын
Apo kwenye vitu vya ajabu😂😂😂ndio pamenifurahisha
@nassorhamad3584
@nassorhamad3584 11 күн бұрын
Mchezo mzuri but mumeharibu mwisho mumeufanyia harak kuumaliza pasipo na kuonesha tamati kwa ufasaha
@JescaChande
@JescaChande 27 күн бұрын
Msituchoshe nakutaka tuwape like kisa wa kwanza tyache kuwapa walio tengeneza muvie 😮
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j Ай бұрын
Kazi nzuri kim
@swabiaa1489
@swabiaa1489 5 күн бұрын
😂Kim yupo seriously kinoma😂 ila anajua san
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 16 күн бұрын
Kipara bahna😂😂😂😂😂😂 just do it 😂😂
@Mariambuja
@Mariambuja 10 күн бұрын
Katika kazizote muzofaya na kimu hiniyo imevuja rekodi nimeipenda sana vizuri ❤❤❤❤ kimu nafaliya yako abayo musiriyana 👏🏿👏🏿👏🏿🤲🤲🙏🏽🙏🏽🙏🏽🫶❤️
@djasy.afrika
@djasy.afrika 14 күн бұрын
Filamu nzuri! Wakati nimeona dada'ke na Mbwela pamoja na yule kijana wakifungiwa kamba kama mbuzi, nimekumbuka jinsi wakoloni wabelgiji walikuwaka na watesa bibi na babu zetu kwa kuwafunga kamba shingoni kama mbuzi. 🇨🇩🇨🇬🪘 ila nafurahia sana filamu hii.
@djasy.afrika
@djasy.afrika 14 күн бұрын
Endeleeni hivyo!✊
@NextLevel-fg5ph
@NextLevel-fg5ph 13 күн бұрын
😂😂Nikashenzi hizi kauli zilizotumika humu ndani
@NextLevel-fg5ph
@NextLevel-fg5ph 13 күн бұрын
😂😂😂 Yule ndo predeta mwenyewe
@NiyiduhaRenè
@NiyiduhaRenè Ай бұрын
Mbona kaisha vibaya jameeeni
@joycecharles6799
@joycecharles6799 9 күн бұрын
Jamani, mwanzo kabisa uyu bibi alimwita Kim mjukuu wangu, na Kim akasema bibi. Lakin badae ikawa mama na mwana
@SaidBurhan-t1t
@SaidBurhan-t1t Ай бұрын
Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani
@IbrahimSelemani-bx1wq
@IbrahimSelemani-bx1wq 29 күн бұрын
Ananipa changamoto huyo dada cjui kaolewa
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 Ай бұрын
Nimewahi jamani taem strong Oman nawakilisha 🎉🎉🎉🎉 nipewe like zangu 😂😂😂
@NeemaNixon
@NeemaNixon Ай бұрын
Hujaenda kupika😂😂
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 Ай бұрын
@@NeemaNixon mwanzoni nilizani chozi nikaifungua naona mkimbizano kuja kusoma jina kumbe misako nika left fast 😂😂😂
@SaidaRamadhani
@SaidaRamadhani 26 күн бұрын
Mm pia Oman kipenzi
@NeemaNixon
@NeemaNixon 25 күн бұрын
@@ukhtymwana40 yaaani wanaboa wanatoa nusu nusu movi mpka nachukia ety
@user-oi4fl7qd3t
@user-oi4fl7qd3t 8 күн бұрын
Uko oman sehem gn
@damarismuli8364
@damarismuli8364 Ай бұрын
I love this man boya hogera sana dugu
@AmaniChari
@AmaniChari 14 күн бұрын
Mwaaaasii
@user-nu8wz3bb8x
@user-nu8wz3bb8x 19 күн бұрын
Nampenda sana mwasi hajaolewa?
@lionlee257
@lionlee257 Ай бұрын
Mbuela safi sana Nakukubali 🔥🔥🔥
@danibboy6831
@danibboy6831 Ай бұрын
Napenda movie zenu endeleeni ivyo ivyo
@MmenoSamuel-b3s
@MmenoSamuel-b3s 25 күн бұрын
Liko poa Ila mmetuacha kuzubaa😂
@user-ee8xb1tl5n
@user-ee8xb1tl5n 22 күн бұрын
Sandra mzuri san asee❤❤❤
@shadyasaid5828
@shadyasaid5828 Ай бұрын
Msiwe mnaongea maneno ya ovyo kwenye Movie zenu kama vile Kahaba n.k kwasababu hizi movie zinatizamwa na Rika zote.
@joymkenya2359
@joymkenya2359 Ай бұрын
Movie Smart ❤wa TZ 👍 we love you 😊
@arafathswaleh
@arafathswaleh Күн бұрын
Eti ndo unaenda kulipeleka,?ndio narudi Kkkk
@PeterChengo
@PeterChengo Ай бұрын
Kim dadangu hongera🎉🎉🎉🎉🎉
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 Ай бұрын
Kim VEVO apa umezingua 😅very sad kaka Ako alipitia jeshi tulitaka tumuone hukomafunzoni aliiva ,, alafu butua anafaa kuigiza mlevi tuu ama mporipori pia mmeo kwa snake boy hafai kua jambazi wamjini huko maporini ndio ana faaa ungemtumia rafiki ake kakoso Kwa snake boy anafaa kua jambazi yule
@remiomar7154
@remiomar7154 Ай бұрын
Mbona hamukutumalizia muliachia nusu hatukujuwa hatima ya begi
@halimadonath1862
@halimadonath1862 Ай бұрын
😂😂😂😂umeanza lini kubutua mwanamke Mbwela
@NillyNilly-fm5pw
@NillyNilly-fm5pw Ай бұрын
Wow nimeipeda
@FridaMwaipaja
@FridaMwaipaja Ай бұрын
Unawezaaa 💯💯💯💯💯
@HamisiMitongu
@HamisiMitongu 20 күн бұрын
Kwani leki ndonn
@Irankundasadiki-yx1vf
@Irankundasadiki-yx1vf Ай бұрын
Munayiaca acaje injethu ivi kuyiingiza ndani imewashinda ahaaaa ngoja tukaonethu
@SaidBurhan-t1t
@SaidBurhan-t1t Ай бұрын
Jamani huyu mwasi anajuwa kuecti sana
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 12 күн бұрын
Kumbe Kim producer hongera dada
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 Ай бұрын
Mwisho mbaya
@yohananyamaruri9105
@yohananyamaruri9105 Ай бұрын
Kim hongera❤ Tunaomba part two
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh Ай бұрын
Jman punguzenii kutuleteaa movies za vijijinii Kila msaniii saiv anatoaaa movie location yakee vijijinii ndo nin xax
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 16 күн бұрын
Hahahaha so ndio chimbuko letu😂😂😂😂😂😂😂
@joseulemcheshi1890
@joseulemcheshi1890 Ай бұрын
Hamjaonyesha nani aliendea polisi lakini ni mimi hapa
@Teddyzhukenya01
@Teddyzhukenya01 Ай бұрын
Nimetazama KIM VEVO
@halimadonath1862
@halimadonath1862 Ай бұрын
Kaka mpake shedo na kijora juu 😂😂😂
@user-dv2wl3gh4n
@user-dv2wl3gh4n Ай бұрын
Anakuangalia kama hakuangalii😂😂😂😂
@user-ed1sj5it4s
@user-ed1sj5it4s Ай бұрын
Kim ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@selemaniseif7767
@selemaniseif7767 Ай бұрын
Mwas❤❤
@SamwelWafula-xt3jf
@SamwelWafula-xt3jf Ай бұрын
Mambo poa Sana
@GloireFikiri
@GloireFikiri 18 күн бұрын
Yana nivutiya saana jameni
@LembeliAthanasi
@LembeliAthanasi Ай бұрын
Pamoja sana
@kellyigorNinziza
@kellyigorNinziza Ай бұрын
Hhahaha 😂Kipara bwana ,eti unakwend kushoot nani!!??? Jason Statham 😅, ila nawakubali saana wadau
@halimadonath1862
@halimadonath1862 Ай бұрын
Ndo mwisho kivipi sasa
@halimadonath1862
@halimadonath1862 Ай бұрын
Kiparaaaaa
@ImmaculateMkhambe
@ImmaculateMkhambe Ай бұрын
Hawayuniiiiii
@Zenji_znz
@Zenji_znz Ай бұрын
NAOMBA MUNILIPE MB ZANGU MCHEZO MZURI IMEISHIA BIBAYA
@kaka-of2oq
@kaka-of2oq Ай бұрын
Ipo vyema ila mlitakiwa tuone namna polis waluvyopata taarifa kuhusu begi
@halimadonath1862
@halimadonath1862 Ай бұрын
Jamani mbona sijaelewa hapo imekuwaje tena ,maana police walifikaje na nani alitoa taarifa
@AminaBakari-oy9eb
@AminaBakari-oy9eb Ай бұрын
Ila kipar😂😂😂
@StanleyaStella
@StanleyaStella Ай бұрын
Ila butua yani umekaa kimchongo mchongo
@Irankundasadiki-yx1vf
@Irankundasadiki-yx1vf Ай бұрын
Mutiye yakufwatiya ili tujuwe mwisho ya ile begi
@SaidBurhan-t1t
@SaidBurhan-t1t Ай бұрын
Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani 54:00 54:02
@StanleyaStella
@StanleyaStella Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@772moana
@772moana Ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@giselemauwa4477
@giselemauwa4477 Ай бұрын
❤❤
@JuliusMelle
@JuliusMelle Ай бұрын
Morali
@user-sz9wm4bm5c
@user-sz9wm4bm5c Ай бұрын
😢😢😢😢
@halimadonath1862
@halimadonath1862 Ай бұрын
Jamani muwe mnarudia kutizama vipande vyote mkishatoka location kabla ya kuvirusha maana Kuna baadhi ya vipande sauti haipo vizuri
@damarismuli8364
@damarismuli8364 Ай бұрын
I love this man boya hogera sana dugu
@SaidBurhan-t1t
@SaidBurhan-t1t Ай бұрын
Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 58 М.
MY HEART 《01》
28:09
BONCENA RUTA MAN
Рет қаралды 76 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 42 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 5 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
GOVINDA. full movie @MWAKATOBE
45:19
MWAKATOBE
Рет қаралды 163 М.
NAMPENDA 💝 (FULL MOVIE)
1:37:54
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 93 М.
KOSA LA MOYO episode 1
19:53
Nong'a Comedy
Рет қаралды 4,7 М.
KUFULI | EP 1 |
15:05
KIM VEVO
Рет қаралды 45 М.
Usiamini Full Action Movie (Part 1) Top Netflix Action movies
1:19:35
Benroyal Movies 🎬
Рет қаралды 161 М.
BAD STUDENT | FULL MOVIE
1:00:01
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 112 М.
FORTUNE | Ep 01| Full Episode
17:29
Hajra Kidoti
Рет қаралды 74 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 42 МЛН