Yeye mwenyewe kikwete anakikosi congo kinamuibia dhahabu
@AbuuRamadhani-o7k3 сағат бұрын
Kikwete kwenye utawala wake alimuondoa rais wa comoro madarakan. Aliwatimua m23 wakakimbilia milima ya uganda na akataka kumchapa malawi ila malaw ikafyta
@salcle97024 сағат бұрын
Jamaa alikuwa kijana enzi zile 😂😂😂
@yapelyapell20302 сағат бұрын
Hahaha kweli
@richarddavidmk4 сағат бұрын
Africa kuungana haiwezekani. Akilimbovu
@BecomboFakeСағат бұрын
Nakupenda sana kiongozi wetu kwa kuipambania nchi yetu
@Chettymlambalipsi-lb9km4 сағат бұрын
Kagame angeendelea na huo upuuzi wake angekionja kile kilichompata Iddi amin
@NyirantokiZahara3 сағат бұрын
Kagame angeliwachakaza nyie
@ProsperUlungi-p3t2 сағат бұрын
Kile kijiji ndio kisumbue tanzania😂😂 acha upuuzi wewe yule watu wanamuonea huruma2 hata hiyo congo ikiamua wiki2 Rwanda hamna kitu@@NyirantokiZahara
@zuberihamisi4607 минут бұрын
Ilikuwa kipindi hicho sio kwa sasa.Rwanda ilikuwa bado inajitafuta
@mbwanahasan29713 сағат бұрын
Vyombo vingi vya habari Tanzania mnapenda uchonganishi sana hii abari Toka majuzi mnapalilia sana acheni unafiki Tanzania ni unafiki na uchawa ndio mnajua tu
@SamsonMajula-u8fСағат бұрын
Huyu ndiye Raisi aliyejua ni nn hasa hua kinatokea Goma kwa miongo 20 sasa, nukuu hayana maana kwa Tanzania Wala Hayana faida kwa Tanzania ni mambo Gani hayo sasa, alikua ashaanza kuzuia ugali wa Rwanda Goma
@Jirhley4 сағат бұрын
Kagame ni Kilaza
@marysangu85603 сағат бұрын
Sawaaaaa tuteteeeee mzee
@KostaJoseph3 сағат бұрын
Bado mawazo yako yanaitajika mzee wetu kipenzi
@valenakomba76866 сағат бұрын
Hii ni ya zamaani. Mabi ya kale hayanuki.
@mpallaupdates6 сағат бұрын
Ndio ila Tanzania Tukiamua Atakiona cha Mtema kuni
@Chettymlambalipsi-lb9km4 сағат бұрын
😂😂😂🎉 kweli asee @@mpallaupdates
@SaumuMgonja-q6o58 минут бұрын
Jk wewe mwanadiplomasia gwijii mbobezii sana
@VyizigiroDeo-lu1gv3 сағат бұрын
Kagsme nikibalaka ca mabebelo
@BecomboFakeСағат бұрын
Yani wanaona Tanzania hawapigani na nchi yoyote anataka kuichafua nchi yetu lakini sisi tuna muungu
@ramadhaninassoro7386Сағат бұрын
Hii Rwanda tuichukuwe iwe mkoa wetu
@HamduMasud-xw6qc2 сағат бұрын
Hii ni kauli ya enzi za kikwete akiwa Raisi na hapoalikua akihutubia Taifa kuelezea yaliojiri wakati huo
@AbdallahMohamed-up4be2 сағат бұрын
Mnazinguwa
@Moudy-w1j4 сағат бұрын
Wandishi wa habari msifufuwe makaburi Huu ni mda wa kujadili congo tu Msihusishe habari ambazo zishapita 291....mpaka hii leo,
@timboxlee9192 сағат бұрын
Shida Tanzanie ufisadi tu
@jalaryababilasi15623 сағат бұрын
Kagame alikwambia ukweli Bandar moja 2 afanye Tanzania Zaidi ya ulaya sasa kakosea nin ulikuwa hufai ufisadi 2 mungu anakusubiri ulipe uliyoyafanya Mzee 😂😂
@mustwafathabiti2978Сағат бұрын
we nimsenge ata angeekwa mamayako angekua tajiri jingawew