Good varieties, kindly arrange for samples in Ghana
@charukoally6689 Жыл бұрын
Naikubali sana hii mbegu iko vizuri
@ProsperAmon7 ай бұрын
Tunaitaji kujua ni maeneo gani mmefanya iyo projekt
@rashidiselemani1516 Жыл бұрын
Hiv robo eka miche wastani mingapi? Au nitaitaji gram ngap kwenye eneo la 1/4 eka
@hamadimziraymziray-ry4vi7 ай бұрын
❤zote ziko saw
@amonzachary27182 жыл бұрын
Hviii boss kwa ufungaji kama huo wako staking stick zinakaa umbali gn kwa distance alaf pia awamu za ufungaji kamba kuanzia stage ya kwanza mpka ya mwishoo juu ni kama mara ngp
@MedComtz2 жыл бұрын
Umbali wa 2m kutegemea na uimara wa mti. Kufungia ni awamu 3 hadi 4 kutegemea na urefu wa mbegu.