Mpe Mungu kwa mkono wako akurudishie kwa mkono wake; mkono wake ni mkubwa. Ukitaka Mungu atatue matatizo yako jaribu kutatua matatizo ya wengine, na matatizo yako Mungu atayatatua.
Пікірлер: 7
@juniorfredrick71169 ай бұрын
Father naomba uje Dar Parokia Teule ya Vijibweni Kigamboni Mungu azidi kukupa hekima
@johaneshaule43784 ай бұрын
Amina
@nyamitmm122710 ай бұрын
Amina mtumishi
@laurentfidelis961910 ай бұрын
Amina father, Mungu akubariki sana
@josephmallya552511 ай бұрын
asante padre
@godifreykimario254711 ай бұрын
Ameeeeeeeeen padri kamugisha me nimeguswana na hilii mungu akubarki sqna kwa kutukumbusha